Hii ahadi ya jini muvi nzuri san halfu haikuisha lakin niwape pongez aisei mnafanya kazi nzuri sana muvi zenu nzuri
@SuziNzalalila4 күн бұрын
Hongeren mm shabik yenu
@SelinahKeny5 ай бұрын
Daaah kutoka kenya kazi nzuri sana wadau
@SelinahKeny5 ай бұрын
❤
@YussufoBrowzy3 ай бұрын
Kazi safi ilah ombi langu mumariz kabisa mana munatuacha kwenye utamu
@YussufoBrowzy3 ай бұрын
You brow
@KassimAli-l8k2 ай бұрын
Hilo nifunzo kwa wale wanawake wanao jifanya wana wivu sanaaa
@HilaryKalunde5 ай бұрын
Kazi nzuri iliyofanyika like zangu maana nmekuwa wa kwanza
@EmanuelDaniel-k1o15 күн бұрын
Wanawwke tupunguze wivu ii move inatufundisha
@ZakariahakimJumaseleman5 ай бұрын
Wakwanza mm kama una kubali gonga liki hapo 🌹💓💖
@Kelvin-o2b6v2 күн бұрын
Nyie tulieni bwana
@KudraTimbako4 ай бұрын
Mimewafatilia movi zenu kadhaa mnajitahidi kuanza vizuri lakini hamjui kumalizia mujitshidi
@mgtvtz4 ай бұрын
Pmojaa
@loveyokinyi36665 ай бұрын
Kazi nzuri ila ahadi ya jini mumetufeli saana haijakuwa vizuri mwishoni haieleweki kabisaa
@KudraTimbako4 ай бұрын
Muwe mnajitahidi kumaliza muvi zenu vizuri ili mashabiki zenu wasiwakimbie maana nimejaribu kufatilia muvi zenu kadhaa hamjui kabisa kumaliza
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Huu kweli mkufu upo 🔥🔥🔥 balaa np hap maguru sikuchoki kufatiliy movie zako Wala sitegeme kuacha kufatily nina waif kama zote z warabu za Bure OMAN 🇴🇲nisalimy San chapombe jaman
@MoanayediJuma5 ай бұрын
😂bas hii muimalize vizur siyo kama ahadi ya jin
@ClarisseZAWADI-r9j3 ай бұрын
Nawa penda bure 💝
@OthmanSaleh-x5m2 ай бұрын
Jamani jitaidi muwe munamaliza muvi sawa wapendwa
@PatrickChacha-wz6wo3 ай бұрын
Kazi nzuri jithahid
@ZakharaJuma3 ай бұрын
Kitu kizuri kimetulia Sana mtuletee muendelezo
@adventinadenis25195 ай бұрын
Kaka Magulu nmeumia AHADI YA JINI atujapata mwisho wake mzur 😢😢😢
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Magulu una bahati ww ya kupendwa n samir wallah mungu akuweke
@HafidhAbduli3 ай бұрын
nime like kinomanoma yani 🎉
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Huu 🔥🔥🔥🔥🔥 chapombe wap shangazi kaja tatu miss mm
@MELVINBBY5 ай бұрын
Cha pombe yy si anaenjoy umbea 😂😂😂😂😂
@ZaiZainabu-o4p5 ай бұрын
Mkufu very nice job🎉🔥
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Chapombe kama chapombe kama chapombe shudaa wa kwanza kushidia buchi ya mteja kuwaka 🔥🔥🔥🔥Hila chapombe mpeya San wallah ajifanya kama qjaona kitu vile 😂😂😂
@BeatriceNgeleza4 ай бұрын
Kazi nzur
@annmamakesymon16785 ай бұрын
Kamlevi wangu bado Yuko ajungulia😂😂😂
@MalhasanSaid5 ай бұрын
Mko vizuri
@wendyaguilar46445 ай бұрын
Yaan kuanza mnaanza vzr ila tatizo kweny kumalizia
@JanetRiziki-ut2is3 ай бұрын
Mko vizuri watu wangu ❤❤❤
@MwanapiliSidi5 ай бұрын
Kazi nzuri❤❤❤❤❤
@salimkombora27425 ай бұрын
Huyu Dada anajua mpaka basi
@hutahuta11705 ай бұрын
Mkufu usichelewesheni❤❤
@salimkombora27425 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@DeogratiusSMkeah5 ай бұрын
iko vema sana
@KARENZOAgricole5 ай бұрын
Kabisa ahadi ya jini bado hatujaona mwisho
@PiliCharles-ge1fu4 ай бұрын
Ni nzuri sana❤
@chundimuaminifo89515 ай бұрын
❤mauwa yangu
@khanhabibu-ce9qg5 ай бұрын
mwambie roma akupe
@HIDAYAKAMPAKASA5 ай бұрын
kazi nzuri ❤
@HIDAYAKAMPAKASA5 ай бұрын
but ahadi ya jini mwsho wake haukua mzuri mmetufelisha
@merinazyd05325 ай бұрын
Yes kumbe na wewe umeona eeeh wameimaliza vibaya cha kwanza Halima haja pona cha pili yule mkaka anaye tumishwa na jini hatuja ona alipewa mali yaaani haijaisha vizur
@MussaHaule-tn3xw5 ай бұрын
Wa3 naomba like zangu
@لويسلويس-ص6ر5 ай бұрын
❤❤❤❤❤mko vzur😊
@Khadijalucas-p8t5 ай бұрын
Kazinzur ❤❤
@RowanWS5 ай бұрын
Kaz safi
@mohamedomar43405 ай бұрын
Kwn 6mkuf🎉
@caroleangambe12395 ай бұрын
Wow so nice movie ❤❤❤❤
@DanielKibundila4 ай бұрын
uyu siyo mke mwema.
@Saniasadick5 ай бұрын
Mashallah ❤️❤️❤️❤️❤️
@BechoubechouBechou5 ай бұрын
Lakini nyie mwaducherewesh
@MarimGodifrey5 ай бұрын
Leo 2ko na mkufu
@SamanthaMugisha-n9x5 ай бұрын
Jaman ❤❤❤ kutoka Burundi Tum maliza hadi ya jini sas naon mum timiz ag nyigin flesh 8min nilikuepo
@Maua-jq3tt4 ай бұрын
Jitahidin kumariza muv vizur jaman😂😢
@ESTERSAMWEL-u1b3 ай бұрын
Hivi mnaoombaga liki zanini mnataka
@PeninahOdongo3 ай бұрын
Huwa nashangaa wanaomba like kambe nichakula😂😂😊
@HawaHamisi-u6p2 күн бұрын
Tuliza ww
@hassanirambona75205 ай бұрын
Safi sana
@euniceobanda61585 ай бұрын
mm wakwanza kutoka gulf gonga likes hapo❤❤❤❤❤❤❤
@suleimanbuta32175 ай бұрын
Nzuri
@MaryamSafi-vm6or5 ай бұрын
Wap chapombe 😂
@khamisihamadi6295 ай бұрын
Imetoka ila tu msicheze uchi na maneno ya wahuni chezeni kieshims
@Esther01-g1h22 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@IbrahimJaston26 күн бұрын
napend mvi kam hz❤❤❤❤
@حسنا-ض3ز5 ай бұрын
Much love from Kenya
@RebeccaWanjiru-t7q5 ай бұрын
Nimeipeda part 2
@MR.CHUU15 ай бұрын
IYOWINE (MKUFU)
@HuseniSabiti5 ай бұрын
Tam❤❤
@ClarisseZAWADI-r9j3 ай бұрын
Lakini like zangu 😅
@SalmaNasoro-h1s3 ай бұрын
Nzuli
@Mariahmariah-c6v5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MillycentSidi-ij7rr5 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@EhrustineZ5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@صالحالفرحان-ت9ن5 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@Marianegu3 ай бұрын
Zuli jmn
@PascalIlunga-zs6xi4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bracketshow27725 ай бұрын
🎉
@Veronica-xe3ss5 ай бұрын
Tupo pamoja
@KudraTimbako4 ай бұрын
Muwe mnajitahidi kumaliza muvi zenu 11:26 vizuri ili mashabiki zenu wasiwakimbie maana nimejaribu kufatilia muvi zenu kadhaa hamjui kabisa kumaliza
@mgtvtz4 ай бұрын
ASante
@KaroLeonadi2 ай бұрын
Mambo naitwa carlos uwa nasambaza bongo move kwenye dvd naweza tukafanya kz wote kwenye upande wa dvd tuu
@mgtvtz2 ай бұрын
@@KaroLeonadi tuma no yako
@CareenHalinga-s8e4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@RaysMerige-cn6xg5 ай бұрын
Yan huyu dada napenda jmn mpk bc
@MG.TV.25 ай бұрын
🎉😂🎉🎉
@JumaKahindi-ip8iu3 ай бұрын
Hii ahadi ya jini muvi nzuri san halfu haikuisha lakin niwape pongez aisei mnafanya kazi nzuri sana muvi zenu nzuri