Heri tumbo lililokuzaa na maziwa uliyoyanyonya. Barikiwa sana Kwa Utumishi uliotukuka. Ameen
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Amina🎉
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa tabora ni jembe halafu ni mama aliyebarikiwa sana. Mungu wa kweli na haki upendo namuomba akubariki sana.
@MahegaNgagani-iv1bl Жыл бұрын
Mpk nimemkumbuka mama yangu mzazi kupitia nyimbo hizi
@bhmeela Жыл бұрын
Milele amina❤❤
@TheonasProtas-rk8yx Жыл бұрын
Hongera Sana baba
@paulrwechungura4284 Жыл бұрын
Amina
@SylvanusNgutse Жыл бұрын
Inaleta raha sana! HONGERENI SANA wana Tabora. Man haki ya kufurahi! Sio jambo dogo hilo!
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Wameyatendea haki mapokezi walijiandaa vyema
@einstainjk5893 Жыл бұрын
Mungu akubariki babaetu
@jumakatanje955 Жыл бұрын
Yaan serikali kwenda kushiriki mambo ya kidin sawa ila watu wa dini wasema kidogo tu utasikia kulalamikwa oh wasiingie kwenye siasa,,yan shida tu,,kiukweli panaitajika muafaka kamili hapa