Police nyie hii nchi mnaona kama yenu fikeni mahara mtuheshimu wana nchi hata nyie niwaongo sana
@GodfreyMwendawila-ff7on5 сағат бұрын
Wananchi wamechoka na uhuni wenu mnajifanya viongozi wa chama fulan ili msipo timiza wajibu wenu msaidiwe ila Kwa taslifa yenu mkiendelea kujipendelea sasa ivi tutawaloga tu
@EmmanuelChrispin-bo5xh4 сағат бұрын
Makonda alishasema wagaragazwe kwenye matope
@gabrielmnozya88815 сағат бұрын
Acha washambuliwe tu wananchi wamechoka na uhuni wenu mnaoufanya
@mallanmwh84525 сағат бұрын
😂😂😂😂 eti jisalimishe😅😅😅
@harunamtiko1176 сағат бұрын
Wameiva wakaungulia 😊😊
@DavidKalima-q8y32 минут бұрын
Nabii alisema uchaguzi mtashinda lakini kwenye viti hamtokaa, mtaleft grupu
@MasaweMasawe-r5b5 сағат бұрын
Hatakiwi ukiona hata wananchi wanachoka na bado
@mtewelemtewele02606 сағат бұрын
Kumeanza kuchangamk
@StivinPasco6 сағат бұрын
Acheni uongo shilingi milioni6 anatunza ndani2 na nyie mkakubali ???
@mallanmwh84525 сағат бұрын
Mbona hatuambiwi kwa kina chanzo Cha vurugu😂😂😂
@samwelmatemu887315 минут бұрын
Jisalimisheni wote 500 kituoni
@deogratiusdonald51236 сағат бұрын
Kwani Mh. Rais huna mtu mwingine wakumpeleka wilaya ya Nkasi? Mbona malalamiko ya huyu muhuni yamekuwa mengi sanaaaaaaaaaaaa?? Au mnasubiri hafi watu wafeee? Ndipo mtatafuta mkuu wa wilaya mwingine mwenye akiliiiiiiii????
@kibwetere14186 сағат бұрын
Hii wilaya mbona vurugu zimekuwa kila wakati
@AthanaseKiyoja6 сағат бұрын
Jua likali si ni mmoja wa wale walionunuliwa na mzee mmoja wa chato?
@simbarajabu41575 сағат бұрын
Wakamatwe na kufungwa Ili iwe fundisho kwa wengine
@SylvesterKameo6 сағат бұрын
Eh! Kujisalimisha tena? Hapo sasa patachimbika!
@simbarajabu41575 сағат бұрын
Wahukumiwe kifungo Cha miaka 30 Ili iwe fundisho kwa wengine
@simbarajabu41575 сағат бұрын
Mnafanya fujo mnakimbia c mkae kama kwenye mnanguvu ,mbona mnakimbia mnaona pabaya sasa amkai kwa raha😊
@georgempogomi73295 сағат бұрын
Wauaji na watekaji hamwakamati mnakamata waiotaka kuona watekaji Sheria mkononi maana hamfuati Sheria mnalinda majamba
@KingCza-kb2bv5 сағат бұрын
Huo ni mwanzo tu balaa mnlolitaka linakuja nchi nzima silaha zebu hazitazuia hasira za wananchi
@DavidKalima-q8y32 минут бұрын
Nabii alisema uchaguzi mtashinda lakini kwenye viti hamtokaa, mtaleft grupu