Mlenda mkavu (Mzubo, Nswalu, Mkunungu, Ndalu, Ighonda, Msele, Lilende, Mshigino) wa karanga.

  Рет қаралды 11,770

jikonajane

jikonajane

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@floramartin8075
@floramartin8075 Жыл бұрын
Asante dear nw nimejua kupika mlenda
@Sophia-yh4dc
@Sophia-yh4dc Жыл бұрын
Ahsantee kwa kutupikia lilende mboga tamu sana kwa ugali nakumbuka dodoma tumekuwa na mboga hii
@nadalibrahim1261
@nadalibrahim1261 2 жыл бұрын
Ahsante dada nitalifanyia kazi maana naupenda sana mzubo
@ratiphamanga9634
@ratiphamanga9634 3 жыл бұрын
Asante kwa somo maana nimeletew alafu sijui kupika
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Enjoy my dear😊
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Asante kwa pishi zuri.I came across your channel today.
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Karibu sana. Nitarudi soon na recipes mpya😊
@LilienNyirenda
@LilienNyirenda 3 ай бұрын
Aunt aztakiwi kuweka nyanya
@milkanindi3667
@milkanindi3667 8 ай бұрын
Nimeumis sana
@lehakitundya688
@lehakitundya688 2 жыл бұрын
Nimependa sana, vp moto unatakiwa kiasi gani mkali au moto kiasi
@jikonajane8459
@jikonajane8459 2 жыл бұрын
moto wa kiasi, ukiweka mkali karanga zitashika chini
@salambarobert3020
@salambarobert3020 Жыл бұрын
Asante dear wooooooooow I did
@stelamangalachuma4185
@stelamangalachuma4185 3 жыл бұрын
Ahsanteee dea, nicee
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Enjoy 😊
@MiriamuJingu
@MiriamuJingu 8 ай бұрын
Kipekecho
@SaidGindoh
@SaidGindoh 4 ай бұрын
Jaman nautaka taupata wap mm npo dar 😭😭
@joyceshanh
@joyceshanh 3 ай бұрын
sokon dear
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Hi Jane Uko Tz? Niko Uk, natamani ningepata hiyo ndalu ila huku hamna 😊
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Nipo Germany, nimetumiwa kutoka Tanzania. Kuna mtu anayeuza taweka contacts zake soon maana watu wengi wameulizia
@silvamtaturu4489
@silvamtaturu4489 10 ай бұрын
Naupataje huu mlenda niko dar
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 7 ай бұрын
Agiza mkoa mi nimeagiza Leo unaletwa
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 3 жыл бұрын
Sister jane uwo unga wa green uliochanganya na peanut buter ni mchanganyiko wa nini me cjauelewa?
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Ni mrenda mkavu unanunua umekaushwa tayari. Unauzwa masokoni au kwa watu wanaouza mboga za kukausha
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 3 жыл бұрын
@@jikonajane8459 ok thnx
@asmhatanzania8697
@asmhatanzania8697 3 жыл бұрын
duuuh Nakumbuka kwetu kondoa 😘
@halimasaid4977
@halimasaid4977 2 жыл бұрын
Waoo
Mini Vitumbua ( Kiswahili)
7:10
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 458 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,2 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
The 4 Easiest Ways to Get Into Fermentation
16:56
LifebyMikeG
Рет қаралды 1,4 МЛН
Vitumbua Vya Unga wa Mchele / Rice Flour Cakes Recipe /Vitumbua Recipe /Tajiri's Kitchen
7:14
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 103 М.
Sasa hii ndio Mboga ya Kulia Ugali?
3:11
Ika Malle
Рет қаралды 11 М.
Maini makavu ya kukaanga na mbogamboga
12:05
jikonajane
Рет қаралды 11 М.
Just potatoes! Super crispy fried potato flowers! No flour! 2 crispy potato recipes
14:14
The recipe comes from my great-grandmother! The whole family loves this rice recipe!
8:07
MLENDA WA BAMIA NA KARANGA MTAMU SANA  / KOMBATASTYFOOD
2:58
Kombatastyfood
Рет қаралды 10 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,2 МЛН