Mlevi kaacha pombe na kumrudia mola wake,mashallah nimeipenda filamu nzuri sana.
@davidmukiti70682 жыл бұрын
Tunaitaji ming sana movie z Iko poa sana mm mkenya
@johnmaskola8472 Жыл бұрын
Hongereni sana mnajua kuigiza sana tatizo kunamuda sauti inakata ila respeket one love
@pegidekanzulu-so6pq Жыл бұрын
Hongereni Sana kwa kazi yenu
@warishdafalah70652 жыл бұрын
Nataka kuwajoin ama amtaki wakenya 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@marywebster2985 Жыл бұрын
Karibu
@timothywanjalawedili73602 жыл бұрын
Keep it up I love this
@josephmarwa562610 ай бұрын
huyu binti hajawahi kuniangusha kwenye kuandaa move na natumia muda mwingi sana kutazama move zake najisikia raha sana napozitazama aisee hadi najisikia amani
@AdamsonJoseph2 ай бұрын
Jamani mnajua kuigiza lakini sauti inakata....jitahidi mrekebishe plzz❤
@halima72552 жыл бұрын
Asantni wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️
@FausiaSaide-pz1jt8 ай бұрын
historia danzaniana Gloria
@tantinebettynduwimana3802 жыл бұрын
asanteni sana movie sikuchoka kuitizama 🙏🙏🙏
@antoniadudus7917 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana hongera kwa wote 🥀🥀🥀🥀❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️🤍🤍🤍
@robertrobertngeiwo18902 жыл бұрын
tafadhali Saudi hamna sehemu zingine
@josephmarwa562610 ай бұрын
Ushauli tengeneza whatsap group kwaajili ya kutoa taarifa za move mpy