Hivi kweli wewe mwanangu umeacha mke na watoto wazuri hivyo kwa sababu ya hilo gume gume ! Shemsa malipo ni hapa hapa utayaona! Machozi ya mwanamke yule na wanae hayatakuacha salama! Wallah !
@ashasaidi1298 Жыл бұрын
Pambana kaka angu huna baya,kwani kumpenda mtu ni shida, nashangaa huyo dada anacholia lia mtandaoni,KWANZA ni aibu kwake,kwann asijikaze na mambo mengne yakaenda,lkn najua hayo yote ni madhara yakumtegemea mume kwA kila kitu,coz hakuna mwanaume wa peke yko cku hizi