Ukweli unabaki palepale kaongea sahihi vimatawi mpaka 6 watakomaaje 😂😂
@JumaIdi-ee4pq6 күн бұрын
Ubaya ubwela
@shantungamaumba71596 күн бұрын
Yeye ndiye hana ubora ameshindwa kupanga timu vizuri
@AbuuAyubu-t7c6 күн бұрын
Romavic yupo sahihi kabisa % yanga inababaisha kwenye ligi hii vitimu vingi ni matawi ya yanga havina ushindani kwa yanga kabisa vinaruka ruka tu timu inacheza kwa lengo la kuikusanyia point yanga sasa hii ligi
@PaulMuasya-z8c6 күн бұрын
Huyu kocha watu wasikimbilie kulaumu hii kauli yake kwani yaonyesha anazo habari ya kuisaidia hii ligi ya NBC. Hii mambo ya mtu mmoja kufadhili timu 8 kumechangia kuidhoofisha timu yake ya Yanga na hatimaye kutimliwa kwenye mashindano ya CAF (klabu bingwa) Mwacheni aseme ukweli wake maana Uchebe kaondoka Siginda baada ya mechi yao na Yanga kule Zanzibar. Mengi yakuja julikana kabla ya msimu kuisha