Detective please forgive her anaonekana ni msichana mzuri na mungu atawabariki sana mtoi ni baraka za mungu
@muasyairene762618 күн бұрын
This girl must be dangerous.idont believe how she can hide her beautiful girl,and next she refused sanitizing🤔
@Happy-n5i5x18 күн бұрын
😂😂😂eti msichana mzuri wee miaka 2 hajasema mpka amezaaa na kuja mtoto akii wanawake mnabebana ingekua mwanaume hapa angesemwa vibaya
@virginiawaeni266218 күн бұрын
Not good angeopen up @@Happy-n5i5x
@jacklinekalee533818 күн бұрын
Very correct
@faithnasimiyu745518 күн бұрын
Hatukatai achukuwe na Baba mtoto akikuja aseme ni mke wake anafa aseme mbona hawatuko na Baba mtoto
@Kenyalydiahmonayo18 күн бұрын
Waaah MOHA umejaribu sana kupatanisha Hawa watu mungu aendelee kukupa hekima🇦🇪🇦🇪🇰🇪🙏
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Thanks
@shemmoseti546710 күн бұрын
Good job, moha. I am always watching you from the USA,am happy for those guys finding common ground and work together instead of fighting with words,I wish them happy wedding.
@TeresaKwamboka-s9j18 күн бұрын
Mm naye mtu akinikujia namwambia live kuhusu my life en if he is willing we continue if not go
@beckymaria212519 күн бұрын
Msichana anaficha mtoto ni mangapi atakuficha then alisema hataki simu yake iwe sanitised what if ako married kwa baba mtoto cos amekaa huko 2yrs na mtoto ako 2yrs chunga usioe bibi ya wenyewe chunguza sana umujue na ujue about baba mtoto before uendelee na wedding we can't judge wth beauty or mouth but action and phone sanitisation wth untidelete
@chesangfaith313218 күн бұрын
🎉🎉🎉well spoken
@immaculatemushira819218 күн бұрын
Huyo ni jangili dci akimbie
@AishaElizabeth-j6h18 күн бұрын
I love ❤it
@virginiawaeni266218 күн бұрын
True🏃
@nancymoraa649118 күн бұрын
Moha unge zanitine simu ya demu 😮
@bbmm64117 күн бұрын
Dame alisema simu hapeani,,,😮
@SurprisedBirdBath-qh2nn18 күн бұрын
Wow finally mungu ni mzuri moha umefanya poa xna ❤❤❤ nimefurahia xna
@faithnasimiyu745518 күн бұрын
Sanitation tujue yeye na babake mtoto waliachana Kwa njia gani,coz hata akikazana mwanaume asimwache anajuaje kama waliachana na Baba mtoto
@JamesNgala-g3c18 күн бұрын
Huyu jamaa hata akimuoa huyu Dem hawatakuwa na furaha maishani, huyu demu atakuwa anamcheza tu na huyo baba mtoto. Baba mtoto ndie atakuwa chanzo Cha kukosana. Baba mtoto atajitokeza hivi karibuni na kudai mtoto.
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Ukweli ni kitu cha maana sana
@Handloid18 күн бұрын
But hapa trust imepotea kwa hyo jamaa,,,sanitize simu ya dem moha mbona anakataa😢😮
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
I need to
@rosemuthoni810918 күн бұрын
I agree with you
@beckymaria212518 күн бұрын
Alisema hawezi peana simu
@Barak-ck18 күн бұрын
@@mohaclassicfamily no let them settle because the man loves her
@fatumahapesamohamedfatumah463318 күн бұрын
Amekaa kupeana phn.Meaning that anacheat.
@HANNAH-kc5kz18 күн бұрын
Lakini kwanini ufiche mtoto wako surely ladys kuweni seriours aki
@DianaMuhonja-oi9co18 күн бұрын
Huyo mrembo ako na bwana but anaplay huyu detective please moha sanitize her 😅
@FridahMash18 күн бұрын
Sanitize phone kuna siri fiche uyo dem ameolewa na babydaddy mbona hataki usanitize simu yake
@DianahMururi18 күн бұрын
Hata mm naona ivo
@PurityKerubo-k7m18 күн бұрын
Exactly 💯
@beckymaria212518 күн бұрын
True
@KeruboBebs18 күн бұрын
Ama ako n watoto wengine home
@KeruboBebs18 күн бұрын
Ama ako n watoto wengine home
@AphurahBoakye18 күн бұрын
Thanks moha for the great job you doing we love you from Uganda 🇺🇬 currently Doha Qatar 🇶🇦 but ladies should learn,why should you hide a baby to someone you love aissy,the person who really love you will 100%love you kid but not hiding till the last hour 😢😢
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Very true this should not be repeating itself
@ElizabethNafula-kd1qn19 күн бұрын
Moha till sanitize hiyo phone imeficha mambo mengi ni ka amehepa bwanake mwenye mtoto Don't Force DCI Kuna mambo fiche na huyu Dem
@immaculatemushira819218 күн бұрын
My thoughts too mbona asipeane simu iangaliwe kama ako honest?alificha mtoi kitu inaonekane je yenye haionekani
@rahema90718 күн бұрын
Huyo dem ni bibi ya mtu ama ameiba mahali ametoka hiyo simu ime. Beba mambo mengi sana ama alikuwa malaya mahali ametoka
@tabbyjoshepat983518 күн бұрын
Ama ako n watoi wengine kwao
@maryngatia236218 күн бұрын
Boy child ebu jipe shuguli wachana na huyu mwanamke alisema walikosana baby dad that's why alikunja kwako.
@FIDELISKimulu-g3z18 күн бұрын
Sanitise mrembo tujue ukweli
@MercyNadia-o1k16 күн бұрын
Dci congratulations 🎊 👏 💐 mtoi ni blessings 🙌
@muasyairene762618 күн бұрын
This game hoop's.they have been together for two years and the kid is two years.🤔 does this thing addup?.doe she think the guy will ever love her kid ?.she better had told the guy no matter what?.
@roselynenafula18 күн бұрын
Sorry you never understood they said they have been together for one year and the kid is two years which means they met wen a kid was one year she was even breastfeeding the baby
@SWALHA577-y3z18 күн бұрын
@@roselynenafulayes
@beckymaria212518 күн бұрын
No They have date 1yr but she was abroad 2yrs and kid is 2yrs something fishy
@kahitochzan91418 күн бұрын
@@roselynenafulastill nyonyeshaaa that time😊
@LuckyBonita18 күн бұрын
Very true let's see their decision
@mwanashasjambia857218 күн бұрын
Sanitize cimu yauyo mrembo ebuu
@KalekyeElizabeth18 күн бұрын
Hii ndunia Haina uruma mpaka didective anangongewa
@lydiagathua852318 күн бұрын
Will you keep quiet🤫😂😂
@deboraanyango5584Күн бұрын
😂😂😂😂you made my day
@zamnambarasa18 күн бұрын
Aiii Mimi naye kulisha mwanaume zii I think Nimeumbwa tofauti basi 😅😅😅😅
@MaryGathagu-tb9jl18 күн бұрын
Naona kitu Kwa macho,cshemi kitu nikuona tu
@maryngatia236218 күн бұрын
Kitaramba jamaa bona mrembo hakutaka kupeana simu yake
@conslatabochaberi18 күн бұрын
It's so painful, mbn akimuambia Ako n mtoi Hadi sai, hyo n lzm amuache afikirie kidogo, which means alikua akimcheat n mwanaume mwingine n hyo mwanaume akamdissapoint ndio akarudi back kufikiria DCI😊
@FaisalAlota18 күн бұрын
Mbona Uyo dem ataki simu iangaliewe anyway Maisha Ni kujaribu ampee another chance😢😢😢
@MbulwaMunyao18 күн бұрын
Moha mm hpo sioni ndoa
@Sheilahcherls18 күн бұрын
Simu ya dem isanitaiziwe period
@marymwaura-iw7vn15 күн бұрын
ukiona dem akiforce kwa boy fikilia sana 😢😢heri boy aforce kuliko dem
@Joseemjunior9 күн бұрын
Don't be like that
@christine40728 күн бұрын
Truee
@MaseaKerry18 күн бұрын
Sema hata uko na watoto 5 uone then be open kuna wengi wanapenda openness saaaana na ndoa ni kitu kubwa sana.. DCI we pray for the best but awe open ju ya baby daddy kuachwa ni kawaida si kupenda kwake hata
@jacintaedukan817918 күн бұрын
Hata wewe umefanyiwa ile kitu😅
@VerahLotuo18 күн бұрын
😂😂
@sheillahmakori19 күн бұрын
Aki mtoto ci issue ya kukataa mtu detective heri ungesema mfanyiwe loyal test hiyo maneno iishe tu hivo muenda Kwa nyumba 😢😢😢
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Kweli
@montolivoberlusconi32918 күн бұрын
Moha mbona you force DCI on this lady and you don't want to sanitise her. As your fun we have big Questions on you.
@AnastasiaNKinya-gi5vw18 күн бұрын
Moha,thank for your job... detective rethink.its wise...lakini dont leave the gal because of the child...Imagine put yourself in her shoes...God will bless you detective na akupatie wisdom ya Solomon
@mwelusi254918 күн бұрын
i think I might go for that gal now I have come clean 👋ama vipi if SM isn't up to her am her now
@florenceatambo257918 күн бұрын
Finally God is good all the time 😊
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Amen
@emmahladytoshatv39518 күн бұрын
Detective plz fogive her is agood gal mtoto ni baraka ni ngumu kukuambia akiwa uku fogive plz mtaenda mbali sio mbaya na mtoi ako poa ni malaika wa mungu
@llmwangi19 күн бұрын
Ziku hizi kenya iko na madem wazuri husaport mutu ata njawahiona da doo zake we😢
@OmanOkk-y5i18 күн бұрын
Umefanya kitu kizuri cna mungu akulinde na familia yako tunakupenda
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
I love you too
@NambuyaJoyce-e5f16 күн бұрын
Ladies its good to talk the truth at the fast tym never hide your kids
@TreasureMagumba18 күн бұрын
Mohaa acha jokes😂😂 eti nyama zinataka kufanyaje
@ReginaMundia18 күн бұрын
Moha kama huyo msichana anapenda huyo jamaa mbona hataki kukupatia simu yake uangalie
@shemmoseti546710 күн бұрын
Just forgive her and move on. Nobody is perfect she has been there for you,brother. Love that baby girl like yours she is beautiful and blessed , and the baby girl she's innocent to, my opinion, I don't see, is a big deal,continue with your wedding and move on,wishing you the best and am rooting for you guys.
@k-frexxmpenzi18 күн бұрын
Bana nipeni huyu dem watu huchange
@Jojo_jd-f4p18 күн бұрын
Be, Blessed🙏
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
🙏
@CoCo-ol6mu10 күн бұрын
Beauty is not everything when lies are top notch. Hata ukiwa majuu gani potea na uwongo wako. Moha tumia akili kwamba this lady isnt disclosing mambo. Watoto ji wazuri but sio when you dont comeout clean from the start. Let it be a lesson that marriage is forever n everything should be laid down bare toka mwanzo for trust to thrive.
@RonikaAgo8 күн бұрын
Ati Samuel😂😂😂Huyu kijana namjua vizuri sana Wacha ninyamaze Sina loya siamini macho yangu ogopa social media
@periswanjiru947618 күн бұрын
Moha😂😂😂 change marafiki sasa mpaka ditective anawekwa
@DativaKiller3 күн бұрын
Well talent moha thanks alot
@elizabethmukeba252818 күн бұрын
Wa kenya mbona munakata mke akiwa na mtoto ?mtoi ni baraka uta regret badae unakosa utu kumbuka wema ao unamungine mke
@Flo-r3g18 күн бұрын
Mbona hukusanitize simu ya dem na nikama kuna kitu anaficha
@MwauraWanyoike-x3p4 күн бұрын
Never assume anything! Ulinyamaza until the last minute. Why?
@AlphaKingDaudi18 күн бұрын
Wacheni uongo nyinyi😂😂😂
@Lydia-q3k2y19 күн бұрын
Waah nikama huyu msichana hapendi mtoto wake how mtu afiche mtoto wake kwani mtoto ni kitu cha kuficha sure
@muasyairene762618 күн бұрын
Kabisaa .juu ata yeye atawahi penda huyo mtoi.atapreted to love the girl ndio amfinace but akizaa Mtoto wake atamjua in true colour
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Na yenye ako na mtoto mrembo
@rehemamoseti99517 күн бұрын
Rejected ,,uku moha akuna kity mtasema uku ,,,ooh my God ..uyo dem aha ajishort
@llmwangi19 күн бұрын
Moha niko na swali bona anatoka ng'ambo anje aorewe kenya? Alikuwa ana fanya nini Austria?
@Ashinagaltoto787619 күн бұрын
She said she was working...as a home nursing ( Australia)
@sheilagg150318 күн бұрын
Mi kizungu yake ni Ile ya Gulf sijui ata niseme nini
@HIDAIAZngbar18 күн бұрын
Nimempenda huyo kaka angekua 🇹🇿
@naliakafatuma987018 күн бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema Moha be blessed all shalom
😂😂😂 at mm narudi na mtoto sasa liwe liwalo moha patanisho ukae ready
@janewangui225713 күн бұрын
Moha just pass this to DCI to be careful , when deciding Abt that girl. She's hinding a lot . She doesn't want her phone zo be sanitized.
@TecnoSp-e9e18 күн бұрын
Saa wee unafikili uyo msichana ataumia aaa hawezi umia juu mtoi sio wa mnyama atamlea tuu
@janekarani737618 күн бұрын
Children are gift from God
@FaithMuia-f3k17 күн бұрын
Why did they refuse sanitisation kwanza dem amesema haezi peana fon red flags
@KenzyKaireri-vu4hx18 күн бұрын
Wow moha God bless your work
@PurityKerubo-k7m18 күн бұрын
Si kwa ubaya were they dating online
@ImmaculateWinnie18 күн бұрын
Happy for them ❤🎉
@LuckyBonita18 күн бұрын
This Guy is a cool One over million
@justofavour910919 күн бұрын
Sometimes let's be careful with what comes from our mouths,Kunayo nguvu katika maneno ,all along a've been hearing detective saying yy Ako single in a two bedroom 🛏️ house,he has never disclosed himself Ako Kwa relationship,nilishangaa sana kuona drama festival at JKIA ,bt inshort mr.detective haukufanyia yule dem kipoa hata kama alikusurprise na mtoto you could've embraced them uwapee accomodation in your house coz that house you're living in, ni yeye amekuwa akikulipia rent....😭😭😭💔
@Ashinagaltoto787619 күн бұрын
Soo sad 😭😭😭😭😭 it pain me alot😢
@Holywood_Entertainments5 күн бұрын
The skit is a good though because this kind of situation are many.
@kirabowamukama18 күн бұрын
Detective enjoy your special day 🙏❤ moha thank for your show bro team Dubai were u guys 🙏
@floramumbua339319 күн бұрын
Mtoto ni baraka please usimkatae Abigael
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
Help me tell her
@damarisnjerunjeru39917 күн бұрын
This lady,,,there's danger ahead...detective ,,,please don't accept her
@ghb740118 күн бұрын
Wow may the Lord help you through
@vincenzo389214 күн бұрын
Detective ni njaa inamusumbua. Anadai dow ya mrembo.
@Amira1977-y9 күн бұрын
PLEASE SINGLE MOTHERS ALONE IS BETTER!!!! TAKE CARE
@gachabeachgirl125513 күн бұрын
They better split, hii ni fake.. chali ashaskia vibaya na dame mwenyewe haelewi yuwasema eti alikuwa disappointed si ni chali anafaa kusema ako disappointed.. huyu dame ni mjinga she really need some wisdom from above.. Haya twende kazi
@ZolufaMas-ie4un18 күн бұрын
Detective owa huyo demu juu anaonekana n wife mzur sana
@DianahMururi18 күн бұрын
Baba mtoto akiona hiyo video ataingililia anataka bibi yake na mtoto😂
@dianasimiyu885318 күн бұрын
Only simu ikiwa sanitize hapo ndio ukweli itajulikana
@CoCo-ol6mu10 күн бұрын
Hii kizungu ya huyu dame ni ya Australia? Imevunjika sana..aongee tu kiswahili.
@Stella-t1n18 күн бұрын
Sometimes, the first lie is a red flag, what other lies is she capable of telling this handsome man when they get married, ??
@roslynroz651018 күн бұрын
The lady did not want to give out her phone.Chunga sana DCI kitakuramba
@NeZa-b2z18 күн бұрын
Good job moha 👏
@jessicakasandikasandi397819 күн бұрын
Mtoto ni baraka my brother mpende tu
@beckymaria212519 күн бұрын
But achunguze sababu yakufichwa mtoto asioe bibi ya wenyewe
@SnowrineKhatsika18 күн бұрын
My dear ww nawe uko Kwa Kila comment ama unataka detective akuoe ju umeshinda tu bibi ya mtu ww ndo ulimpa mtu kumbavu zako nyokonyoko watakuwa na amani soon watch and see@@beckymaria2125
@VannyObroy-fw7vn18 күн бұрын
Uyu detective ni mwongo si alisemaga Ako single sai naskia eti dating aaaiii 😢😢😢
@charitykatuveemutheu805617 күн бұрын
Cheza chini mkuu😂😂😂😂
@JaneWagaki-p1o18 күн бұрын
Moha sanitize simu ya huyo dame kwanza ni kama kuna kitu anaficha for real
@sheilagg150318 күн бұрын
Sanitization kwa both msichana sana na uweke ADC
@gozakoth846617 күн бұрын
wanawake munsshanga umfanyie kilakitu amekuruka na mtoto ungesema badae sasa alisema atakulipia mahalo ya kilala weeee
@AliceNjeru-os1yb18 күн бұрын
Na kama alikua akisimama na boy, amsamehe na harusi iedelee mtoi hawesi zuia kitu
@sylviaogwedhi51318 күн бұрын
Huyu msichana anaka poa but vile ameficha mtoto hadi sahii ku ambush our young detective ,its a red alarm , May be amehepa baba mtoto or kuna njamaa fiche .Mchunguzeni kwanza.
@tabbyjoshepat983518 күн бұрын
Wow the end is the best
@mohaclassicfamily18 күн бұрын
🎉
@SulekaHassan-x2s18 күн бұрын
Moha kwanini ujasamitize Bibi ukweli utajulikana
@LLl-p4r3l18 күн бұрын
Wow amazing 🥰🥰
@gozakoth846617 күн бұрын
wsnaume wakenya wanazalisha na awataki kulea ya wenyewe mtoto kischana baraka
@Lydia-m9q18 күн бұрын
Moha sanitize the lady kwa nini anakataa
@AliceNjeru-os1yb18 күн бұрын
Uyu dem ako tu fty na anapenda uyu boy xna
@EdinahMogire-d4w18 күн бұрын
Mbona mnaficha watoto wenu aky mimi niko na watoto na cjawai ficha mtu
@RebeccaMaunde18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 moha the kid is look like you Dci say...anyway end of this video is the best good job moha
@florenceatambo257918 күн бұрын
Huyu dem ni mzuri na anataka mtu wa kumuonyesha mapenzi,amekosa mapenzi na mtu wa kuongea naye vizuri
@eunicenazi67816 күн бұрын
The guy too is not honest both of them they are hiding each other