eeh mwenyezi mungu nijarie mwisho mwema shekhe alitoa madin had leo yanaish 2024
@shomarigongo48942 жыл бұрын
Allah alifanye kaburi lako liwe kiwanja miongoni mwa viwanja vya pepon,mwenyezi akupe kitabu chako kwa mkono wa kuume na akuingize katika pepo kwa Rehema zake naendelea kukupenda kwa ajili ya Allah
@DorothyTembo-fx3ck2 ай бұрын
sijuwi niseme nini😭😭😭😭Ya Allah tusamehe zambi zetu utupe mwisho mwema.Aamiin🤲
@abubakaralhabshy7274 жыл бұрын
Sichokii kuiskiza hiii darsa.. Inazidii kunirekebishaa ninapo koseaa.. ALLAH ( S.W.T) tusamehe waja wako hakuna aliekamilika isipokuwa wewe Muumba wa kila kitu. na utupe mwisho mwema.. AMEEN
@mohammedmmari54594 жыл бұрын
Tuko pamoja kaka yaani huwa nasikilizaga hii darusu kila siku kaka
@aminaothman21363 жыл бұрын
Amin
@ناديهترتوب3 жыл бұрын
Allahumma amin
@mwechizumbabaraka7082 жыл бұрын
Allahuma Amiin
@hamisimkulu657110 ай бұрын
Namkumbuka huyu wakati nasoma alikua anakuja boarding kwetu
@jumanzige96443 жыл бұрын
Allah akuepushe na adhabu ya qabr sheikh ismail, nakumbuka kusikilisa darsa hii kwa mara ya kwanza mwaka 1999 ilinifanya nianze kufanya ibada, ALLAHUMMA GHUFIRLAHU WARHAMHU WASKANAHU FILJANNAH, AAMIN
@yaedlifemedia3203 Жыл бұрын
Hongere sana ndugu yangu tushikamane
@yessraelbajun Жыл бұрын
Amiin
@mohammedgulam55717 ай бұрын
@@jumanzige9644 ameen
@mohamedkassimu87894 жыл бұрын
Umetimiza ulichoagizwa na Allah .Rehma za mwenyezimungu ziwe juu yako.
@kanyagatwende77383 жыл бұрын
😭
@johnnchimbi62293 жыл бұрын
Fundiii Sana'a huyuuu ulamaaa
@amidunihemediOmary10 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu sheikh wetu kutuachia mafunzo 😭😭😭
@zainabubazamukunda61325 ай бұрын
I caried the CD of the cheickh from Africa to Australia since 2016 and up now l am still watching it and it is always remind me to go back to Allah and do good things and swadakah as if l am dying to day. May All grant cheickh and his family aljannah
@zainabrashid3854 жыл бұрын
Ya Allah mlaze pema peponi shekhe Mohammed Ismaili amiiin
@majumahussein45976 жыл бұрын
Mashaallah Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi
@saidsululu86106 ай бұрын
Allah atujaalie mwisho ulio mwema, atusamehe madhambi yetu. Mwenyezi Mungu akurehemu shekhe wetu hakika umefikisha ujumbe. Naangalia kila mara 2024
@salimbiaisha64663 жыл бұрын
Allahu Rabbil Alamin akuingize kwenye pepo ya Firdaus
@mwanamosijuma5937 жыл бұрын
Inshaallah taa'aalaa m/mungu atufufue sote inshaallah tukiwa chini ya kivuli pamoja na mtume mohammad (s.a.w)
@masoudsaid79717 жыл бұрын
Pepo ya Allaah ni ghali sana sana sana. Tujitahidini sana sana kuitafuta. Allaah atupe khatma njema. Allaah atupe mema duniani na atupe mema akhera na atuepushe na adhabu ya moto.
@zainabrashid3854 жыл бұрын
Yaa Allah mjalie mja wako huyu peponi yawe ndo makazi yake ameeen
@chunamule61817 жыл бұрын
MUNGU akulaze peponi na akuepushie adhabu ya laburi mungu akujale upate kitabu chako kwa mono wakulia
@abushafii47396 жыл бұрын
Inna lillahi wa ina ilayhi rajiun
@mizasalum97436 жыл бұрын
Allah wahyd lkahar
@Stanbul.Y5 жыл бұрын
Ameen ya ALLAH
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Maneno yanaliza ,yanafundisha,nayanajenga , Allah atunusuru na dunia ,tuipe mgongo, adhabu ya Mungu ni Kali
@aminamohamed68115 жыл бұрын
Allah Azza wa Jall akuweke pema penye wema ndugu yetu!
@matikosillamunanka998710 ай бұрын
Nani Yuko hapa 2024
@jasminjuma63909 ай бұрын
Nipoo naskiliza
@bukharytwaha6802 ай бұрын
@@matikosillamunanka9987 tupo
@RannySalma3 ай бұрын
❤ mwenye zimungu akulinde na akujaliye mwisho mwema na wa Islam wote nawatakiya mwisho mwema
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Atanadi Siku ya Kiyama "Enyi Malaika wangu liondoeni katika safu za watu wa motoni kila Jicho lilitoa machozi kwa Ajili yangu ilipokuwa duniani.
@abduljabbarmohammed41888 жыл бұрын
masha Allah sheikh Ismail mwenyezi Mungu akujaaliye kila la heri dunia wa fil akhera
@dinhohussein6396 жыл бұрын
Allah akupanuliye kaburi lako akuwekeye nuru
@alihajilimo46756 жыл бұрын
mashaallah jadhakallah she he mungu atupe mwisho mwema
@zanmedia522510 ай бұрын
Still watching in 2024 Alla atupe mwisho mwema inshalla 🤲🤲
@davidndungu5107 ай бұрын
I watch him almost daily
@mkongomanidrc8492 жыл бұрын
Allah akuremu kaburini kwako sheikh Muhammad tuna miss hapa kwenu Congo drc 🇨🇩
@mudiinasser43035 жыл бұрын
Allah akupe fardous pepo ameen yarabi ameen
@salimseif24274 жыл бұрын
Mungu akurehemu Alhabib Sheikh Mohammed bin Ismael
@ajuxman93827 жыл бұрын
na kama kweli kafariki allah amjalie pepo ameen
@mundhirustvonline2511 Жыл бұрын
Ashaafariki mda sana
@MohamedHassan-bh2sq4 жыл бұрын
Maashaallah sheikh.... ALLAH AKUPE KAULI THAABIT aamiyni
@mohammedgulam55717 ай бұрын
MashaAllah Soldiers of Allah swt May your soul be at ease n peace ❤ 2024
@charlesmokaya76948 жыл бұрын
Tuzingatieni waja wa Allah,dunia mapito tu.Sheikh Allah akujalie pumzi uzidi kutukumbusha utukufu wa Allah subhannahuwataalah
@kadoditsa38052 жыл бұрын
Allah akukutanishe na Kipenzi chako Muhammaad sallaaallahu Aleyhii wa salaaam...
@ARFIddy8 жыл бұрын
tudhngatieni waja wa Allah duniya ni mapito ALLAH tujaalie MWISHO mwema yaarabby safar ni nzito. shukurani shekhe ALLAH akulinde NA hasaadi
@bakariyasin31365 жыл бұрын
Maashaallah mungu akufanyie pepo wewe wazazi no ndugu zako
@sabrycdy32145 жыл бұрын
subuhanah llah asante shekh allah akujalie pepokatika pepo yaumalkiyama
@asinatgasper25235 жыл бұрын
A.R.F. Iddy ukhty 0743475199 nichek
@madarakamarumbo61023 жыл бұрын
@@sabrycdy3214 u9uuu9ùùù
@ismailhussein97343 жыл бұрын
ikiwa nikweli kashafariki basi Allah aiweke roho yake pema penye wema
@abdallahomary34142 жыл бұрын
Allah akulipe kwa mawaidha haya na iwe ni sehemu ya sababu ya kuingia katika pepo yake na kaburi lako liwe ni bustani katika mabustani ya pepo na lisiwe shimo katika mashimo ya moto
@rashidsaleh66427 ай бұрын
😮huyu sheikh nmeanza kumsikiliza 1997 Leo mwaka 2024 mwezi wa 7 th 5 allah amhifadhi
@jokhajj22 күн бұрын
Amin
@MudyKing-ub6he Жыл бұрын
Haya mawaidha nayaskiliza mpk leo 2023
@fadhilikawambwa51594 жыл бұрын
DAH NINARAHA SANA KUMSIKIA SHEIKH BAYILE.SIJUI YUKO WAPI.ANAMPENDA MTUME SAW KULIKO CHOCHOTE
@AKASHA.P4 жыл бұрын
KASHATANGULIA MBELE YA HUKMU
@fadhilikawambwa51594 жыл бұрын
@@AKASHA.P INNALILLAH WAINNAILAH RAJIUM
@zaujiaomary67137 жыл бұрын
inalilahi waina ilah region mwenyezi Mungu ajaalie kabur lako liwe kiwanja miongon mwa viwanja vya peponi shekh Mohammed Ismail in shaa Allah.
@mohamedallyrashid68877 жыл бұрын
Mohamed bhalo. à santé sheikhe mungu akulaze mahalapema peponi amin.mawaidha yako yanaeleweka mwanzo mpaka mwisho.
@shaheed27057 жыл бұрын
My Allah the Almighty grant you jannah tul nuzzulla
@shaheed27057 жыл бұрын
To Allah webelong to Him our last standing
@sport18576 жыл бұрын
amin
@ombamassoudi79046 жыл бұрын
االلهما آمن
@khatwabimpinga64086 жыл бұрын
Huyu shekh nilikua namkuabali sanaaa allah amhifadhi huko aliko
@nabifomoureen63274 жыл бұрын
Una mawaidha yake mfano huu
@RahmaIddi-s2s8 ай бұрын
Nampenda kwa ajili ya Allah huyu sheikh alikuwa Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman
@hatbtalveson65814 жыл бұрын
ALLAH AKUONDOLEE ADHAB ZA QABRI SHEKH WETU!...
@ZongoKibwanaАй бұрын
Allah akurehemu akuhifadhi na adhabu za kakri shekh ismaili❤❤❤
@hajatihajati53574 жыл бұрын
Shekhe wetu Allah akulipe jema lolote kwa kunusuru waja wake
@telaamtauta22274 жыл бұрын
Shukran sheikh nikweli kabisaa Allah tujaaliye pepo yarabi.natujaaliye tutende.mema
@nassorcosmas70363 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu tujarie mwisho mwema🙏🙏
@jumamohamedkidiaunga92243 жыл бұрын
Hii ni dawaa sijawah choka kusikiliza inanipa nguvu kumuogopa Allah kujitoa kwenye mazambi, mwenyez mungu atupatie mwisho mwema ameen
@hamisihamisi73656 жыл бұрын
Inshaallah huruma ya Allah iwe pamoja nawewe
@luqmanajmalhiqmal45402 жыл бұрын
Jazakallah khayra fydunia wala akhera amiin
@omarmuhanda956711 ай бұрын
Allah amlipe sheikh wetu amzidishie rheri kwenye kaburiiii yake na atulipeeee sote kwa kuskia hiiii darsa Amiin.
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
لا اله إلا الله محمد رسول الله.
@salimsalehsoi65243 жыл бұрын
Sheikh Mohammed Ismail ALLAH akupe mema peponi uwe na furah siku zako sote mahala ulipo
@mkongesinani64426 жыл бұрын
Ingekua amri yangu ningeishi ktk sehemu wanaomubudu Allah pekeake kwasababu nimegundua sisi kwa sisi ndio tunaangamizana
@zitomomade9304 жыл бұрын
Mungu akulipe pepho.
@RahmaIddi-s2s10 ай бұрын
Inna lillah wainna illaih Rajiuun,,, Allah akurehem sheikh wetu ,,wala hatuchoka kuyackiliza kawaida adi pale Allah atatupa khusni khatma
@Khamis_Waya4 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema, maisha ya duniani ni mafupi sana tusijisahau.
@lusakaone778210 ай бұрын
Namshukuru Allah, Sheikh amenipa darsa wakati wa ujana wangu na nikafanikiwa sana. tusikilize darsa zake pamoja na sheikh Nassor Bachoo
@mhinatitus25473 жыл бұрын
Allah amrehem Sheikh baile
@lemugamba70216 жыл бұрын
Sote tuliumbwa kwa udongo natuta rejesshwa kwa udongo mungu akulaze mahali pema peponi
Sheikh umenifunza chenye sikuwa nakifamu Janna kweli ni ghali mno tujitahidi na tuombe ALLAH atusamehe makosa tulio yatenda. ALLAH akurehem pamoja nasi sheikh.
@yaseenkara90163 жыл бұрын
Allah akujalie kaburi lako kuwa ni nyumba miongoni mwa nyumba za peponi🤲...... Hakika haya mawaidha ulio yaacha kwa kweli ni swadaka tosha na iwe sababu ya Allah kukuonea huruma mja wake wewe na sie tulio baki Allah atupe mwisho mwema😪
@jokhajj22 күн бұрын
Amen😢
@suleimanmohommed52097 жыл бұрын
Mashallah Jazakha Allah khairat
@KezakimanaHadjara-o6zАй бұрын
Allahu Akbar 😭😭 Allah atupe mwisho mwena
@jzjuma83416 жыл бұрын
Inalillah wa innailayh raj unna mung akulaze pahal pem pepon ulituachia ujumb mzur San mashaallah
@allynyangehassan51216 жыл бұрын
Allah yarabi mwaza mdja wako mahali pema mulinde azabu za mu to wa djahanam mudjaliye mildhausi
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
unaweza unajikuta unaslimu bila Shekh,Allah atujalie kujua kweli na atujalie mwisho mwema
@leylam2121 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah Allah atujalie mwisho mwema yarabb
@kasimugullum58626 жыл бұрын
Allah amrehemu huyu sheikh nalikuwa namfahamu
@abynduwimana813 жыл бұрын
Inalilah was inailaihi lajeuli allah akuweke mahalapema akuondolee adhabu zakabur
@mbwanarajab72387 жыл бұрын
Mimi niliumia sana kusikia she he huyu kesha fariki..Niliumia sana ila namwombea kwa Allha s.w amfanyie wepesi katk kabur lake apate Nuru..aamin
@ramadhanmashaallahhamisi19077 жыл бұрын
MBWANA RAJAB masha allah
@amanidjuma25807 жыл бұрын
Amiin
@fahadhamza93716 жыл бұрын
MBWANA RAJAB Aaamiiin
@hassanmfaume45226 жыл бұрын
Amin rabi amin..!
@aseelaaseela49136 жыл бұрын
Daaah jaman kafariq lin Allah amlaze pahala pema pepon 🙏🙏
@MusaCissiko Жыл бұрын
ALLAH AKBAR........ ALLAH afanye sahali mambo yko yote kaburini
@abdiazizadan74754 жыл бұрын
ماشاءاللہ جزاك اللهُ
@naimaseleman68684 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema hakika kila nafsi itaonja mauti
@gaddafialjabry3 жыл бұрын
MashaAllah,, barakAllahu fik
@jasminjuma63909 ай бұрын
Ya ALLAH tunakuomba waja wako tujaalie husnul khatima yarabi 🤲
@omaryissa2562 Жыл бұрын
Allah akusamehe kwa makosa uliyoyafanya hapa duniani Allah akujalie firdausi
@zainabousoumare89572 жыл бұрын
Allah akurehemu Pia akupe kimya katika kaburi lako .
@RahmaIddi-s2s8 ай бұрын
Tunamuomba Allah Tabbarak Rahman na Sisi Umati Muhammad (s,w,a) atupe mwisho mwema ,, amiiiiiin
@mohammedyusuf50113 жыл бұрын
Allah swt akujaalie Janatul firdaus
@mansoorsadiq23157 жыл бұрын
Allah irham waghfirlaha wa askinha filjanna
@dhulkflhamzah65866 жыл бұрын
Amiiin thumma amiin ya Rabbi
@RahmaIddi-s2s8 ай бұрын
Inna lillah wainna illaih Rajiuun, Allah akuhifadhi wewe pamoja na sisi wafuasi wako
@bilalyusuf46642 жыл бұрын
Allah tabarakalla wa taala akulipe. Hii ni sadaka tosha kwa wenye wanaishi
@OmariMshee3 ай бұрын
namuomba Allah nijalie mwisho mwema
@saidybhoky-lb7hg10 ай бұрын
inalilah wainalillah rajiun allah akujalie kauli thabiti sheikh wang
@assanisass66414 жыл бұрын
Allah akulaze maali pema 😍
@fatmaabdulazizy22722 жыл бұрын
Kwani amekufa
@jokhajj22 күн бұрын
Amen
@munyarubugaismailally1112 жыл бұрын
😭😭 ALLAH aipanue kaburi yako Ustadh na akupe Pepo ya juu zaidi😭😭😭
@jokhajj22 күн бұрын
Amin
@mohameddaawahkenyatv55292 жыл бұрын
Allah amrehemu huyu Sheikh amlipe amuingize Jannat firdaus InShaAllah
@omaarm8400 Жыл бұрын
Ya Allah tujalie mwisho mwema. Ameen 🤲
@faridahfaa88569 жыл бұрын
allahwakbra mashaallah ,asnte kw mawaidha mazuri allah awalipe kila chenye heri na umri mrefu mzidi kutuelemisha, ongera akasha daawah kw kukuwekea mawaidha iliwenye tuko mbali tunafaidika sana