Leo nimekuwa pale tao supermarket, nikiwa tu apo kwa que na maziwa mbili na unga yangu moja...jamaa alikuwa nyuma yangu nikaskia akinigusa mabega akaniambia, si uende uongeze ka unga na sukari, na akanipa thao....man i don't know you but wherever you are God bless you abundantly 🙏🙏🙏
@anonymoustim Жыл бұрын
2017 had lost my job was living at my parents house, depressed and suicidal. I used to play this song on repeat with hope that things would change. Fast forward 2023 I play this song in my car looking back to where God has brought me from. Forget the former things and do not dwell on the past unless it is to glorify God for what he has done. This song is a blessing moji
@dennogods_pick11669 ай бұрын
Amen, Thanks for this testimony. Tuko hapo ulikua na tutakua hapo ulipo, Acha aitwe Mungu.
@JayJay-sm8zy3 ай бұрын
Amen
@bwanjiku2 жыл бұрын
''You are my servant, Israel, in whom I will display my splendor'' Isaiah 49:3 Hallelujah
@masharyah6897 Жыл бұрын
Five years down the line this song still ministers to me❤️thank you Moji
Here still believing that one day the light will shine
@victordeekenya3539 Жыл бұрын
I always love your songs Moji short baba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NaiboiWorldwide6 жыл бұрын
God bless you for this bro.....thank you for this song.
@johnmugi44066 жыл бұрын
good music
@johnmugi44066 жыл бұрын
black diamond
@EmosNjoroge4 жыл бұрын
💯💯💯
@kalibouykalibouy_ke93073 жыл бұрын
Sio any nini 2021 wacha wa cheki
@JayJay-sm8zy8 ай бұрын
Amen
@eliaschesa14454 жыл бұрын
Jionyeshe na mimi Baba
@GURUVISUALZ4 ай бұрын
2024 here jioshe na mimi BABA.Without you GOD am nothing.
@trizahesther5 жыл бұрын
Kabisa bro
@KarwirwaLaura6 жыл бұрын
The kind of song that wrecks a heart 😢 Each one of us has a dark place. No better way to look at it - May He show Himself in everything we go through. To get through to the hearts of men by what He does in and through us. This one is straight from the heart. Bless you Moji!
@markhariison46414 жыл бұрын
Tune 💯💯💯
@glorymwangi773 жыл бұрын
So true🔥🔥🔥
@felixmutinda2140 Жыл бұрын
wacha wacheki God doing it for me
@marvotv2 ай бұрын
I remember kuna time. nilikua down 😢this song helped me manifest. n it all came to pass. Nime rudi tena. Na amini. Ita kua poa.
@mwololoianmbwika98695 жыл бұрын
I will wake up to this song everyday for the rest of my life
@deborahbeautiful18025 жыл бұрын
My Fav Artist....Kaa kwa Yesu Moji akuonyeshe even greater than this............
@JOSIAHMATTHEW7815 жыл бұрын
Haki ya mama Majik mike on this one Big Tuuune
@Mr.joshua19 Жыл бұрын
Five years down the line and the song still ministers to me ❤❤❤ 1:52
@monicawanjikumwaura66896 жыл бұрын
Crying while listening to this when I remember everyone mwenye amenionyesha madharau ati ju sina chochote but najua siku moja watakuja kujionea #WachaWacheki
@nelsonndubi90252 жыл бұрын
Wacha wacheki,Wacha wacheki ,love the song.Napenda sana vile imekam thru 👊👊
@vickykendy37303 жыл бұрын
Wacha wacheki,jioneshe na mimi for you are my present help God.
@zillionairesmastermindset6 жыл бұрын
Just LYK thoes days in exodus in Egypt, Wen u luv God this much u become à public enemy . babaooo babaooo jioneshe na mimi, ï luv that son it drives me closer to God.
@heisgoon752Ай бұрын
Today I write this marking a new era driven by God's grace..... Watasema mengi but I'll forever to see this comment of mine and humble myself
@mrhumphreyndungu28442 жыл бұрын
Hii song huni bless glory to God 🙏 AMEN hallelujah
Sorry for my late comment but you're my favorite gospel artist. This song is much inspiring 👌 to me
@Elfraka-r5b10 ай бұрын
2024 na hii economy ya Ruto jionyeshe na mimi🕯️
@rodgersirungukamau8285 жыл бұрын
BABA BILA WEWE MAISHA NGUMU KAMA CHUMA @mojishortbabaa my bro you on SPIRITUAFIREEEEEEE
@Ruaknnn4 жыл бұрын
💕💕💕 wacha wacheki!! still a hit
@angwenyinyaboke71115 жыл бұрын
Woow sauti baba amekupa baba
@hillarymkanga75584 жыл бұрын
My best gospel artist thank for the song I believe my day is coming
@djlamsz_kenya27326 жыл бұрын
noma noma short baba wacha wacheki
@quite_official54922 жыл бұрын
To those listening in 2070...this guy was a legend in the gospel industry ✌️
@israeldiversej.i9845 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@dariusgreat140 Жыл бұрын
My all time favorite 🥰🙏🙏
@mysticpablo28312 жыл бұрын
Ulisema baba ..... 🤞💥
@kennymshamba4 жыл бұрын
Thanks for the hope unanipea kwa songs unaimba bro
@obbiemikeke87636 жыл бұрын
mziki mzito,,director kazi freshi
@kevinavegwakoinonia64914 жыл бұрын
Every time i listen to this song it really remind me that God is still in the process of making me a better person....it blesses my soul... 😇😇😇
@ianmugereki2 жыл бұрын
Nimekuskiza kutoka primo, naeza sema umechangia mimi kujua Christ. God aendele kukupe grace na favor yake, God akubali upate grace na favor pia kwa watu, Shoti Baba you are a blessing
@mukamimvungu52426 жыл бұрын
Waoh!waoh!waoh! Awesome!!! jionyeshe na Mimi baba, Amina
@kamau8332 жыл бұрын
hii ni true nduguu.acha iwe testimony.tune imeninice mojji
@seniormutua99546 жыл бұрын
Naja kwako Kila wiki kama sukuma 🔥🔥🔥
@voguecyber6 жыл бұрын
Moryo hii tune ni balaa sana
@kalibouykalibouy_ke93073 жыл бұрын
Stop asking who's here 2021 we never left.. Wacha wacheki throughout. Bless are you bro 🔥
@briankamau11686 жыл бұрын
Jioneshee Baba na jina lako libaki juu😍
@bigfishke71006 жыл бұрын
Baba naja kwako kila wiki kama sukuma 🔥🔥🔥🔥
@mercyachuti37655 жыл бұрын
Baba naja kwako kila siku
@maurineatieno484011 ай бұрын
Another Prayer
@designermrree12514 жыл бұрын
Wacha wacheki... Na bado nacheki hii ngoma...... Moji broo🔥🔥🔥🔥
@bigikiapi29636 жыл бұрын
The short guy na mistari refu
@judy61512 жыл бұрын
My prayer.....wacha wacheki.....
@DaltoneWhite26 күн бұрын
Great song of the all time 🤲🚀💯💎
@janemurugi92575 жыл бұрын
I love this song so much the message is so powerful those who don't love it must be demonic
@kennedykulma73472 жыл бұрын
This should be a banger
@michaelollinga13973 жыл бұрын
Mhhh , Yeeeah, Eeeeh, Mmmhh Yeeah Yeeah, Onana nanana Onana nana Moji Short Baba, Short Baba Wacha wacheki, Wacha Wacheki, Jioneshe na mimi, Wacha wacheki, wacha wacheki, Jioneshe na mimi, Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba bila wee, sina mbele wala nyuma, yeh yeh, Baba bila wee, maisha ngumu kama chuma yeh yeh, Baba bila wewewe ni machozi na kununa, So naja kwako, kila wiki kama sukuma, Umesema Baba, sitaona aibu, aibuu, Ukasema Baba, ya shetani utaharibu Haribu, So nasema Baba, kwangu uko karibu, karibu, Jioneshe Baba, na jina lako libaki tu, baki juu. Wacha wacheki, Wacha Wacheki, Jioneshe na mimi, Wacha wacheki, wacha wacheki, Jioneshe na mimi, Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Hata kabla kuingia kwa hii dunia, nitumie monyonyi, We uliniwazia ukanipangia hata siku za usoni, So sina ujanja mimi, ahh Sina Ujuzi mimi, aah Sina ujanja mimi, Ahh Jioneshe na mimi Wana try wana try wana try kuniweka low low low low low, Lakini I I I I I I, Baba Naku know know know know, know So naomba, naomba jioneshe na mimi, Ndio wacheki, eeehh eehh mbona me nakuamini Wacha wacheki, Wacha Wacheki, Jioneshe na mimi, Wacha wacheki, wacha wacheki, Jioneshe na mimi, Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba Yoh, Baba Yoh, Jioneshe Baba Yoh, Baba Yoh, Jioneshe Baba Yoh, Baba Yoh, Jioneshe Baba baba yoh, eeehhh Wacha wacheki, Wacha Wacheki, Jioneshe na mimi, Wacha wacheki, wacha wacheki, Jioneshe na mimi, Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi Baba yoh, Baba yoyoh, Jioneshe na mimi.
@franciskaara11636 жыл бұрын
Wacha wacheki jionyeshe na Mimi I love the song bro
@LILFELLY3 жыл бұрын
Can't get enough!!!
@charlescharlie55943 жыл бұрын
God use me as ur vessel.....one of my best jam.....2021 still watching
@tototerry36946 жыл бұрын
Baba bila wewe sina mbele wala nyuma .....Wacha wachekiiiiiiiiiii.........
@eunicemuinde42706 жыл бұрын
It has Wezed. Imeweza. #WachaWacheki
@isazhamaz5 жыл бұрын
I relate .... God you are most awesome. I never doubted that truly he is God.
@collo.africa6 жыл бұрын
Hongera Bro...
@mbai_thegreat25884 жыл бұрын
Jionyeshe na mimi Mungu!!
@patopato24416 жыл бұрын
Nimependaaa...tune playing dawn to dusk...hii ndo morning glory
@dkkwenyebeatkenya6 жыл бұрын
TUNEEEEEEEEEEE
@josephgathogo39245 жыл бұрын
disaster mazee
@purrrr60816 жыл бұрын
I heard this in school and always asked for the name but I have found it It's such an inspiration.....😃😃
@eldyfanniest295 жыл бұрын
Iko juu xna imenibless
@moiben6636 жыл бұрын
inatesa kutesaa..big up short babaa
@serahlynn52246 жыл бұрын
You are my favorite gospel artist in Kenya achana na hizi binguni hakuna degree
@hazzybee16 жыл бұрын
Ata kabla kuingia kwa hii dunia nitumie munyonyi wee uliniwazia ukanipangia ata Siku za usoni.....so sina ujanja Mimi ..sina ujuzi Mimi...wacha wacheki ........wacha wacheki jionyeshe na Mimi....... This one manze .... may God continue blessing you to give us more inspiring songs that minister to us...
@DeejayVokeh6 жыл бұрын
🎼🎼wacha wacheki very inspiring 🎼
@vibesmerchant76646 жыл бұрын
Buda hii ngoma uliweza 🙌🙌 message imefika
@desmondwamae1786 жыл бұрын
Hii inaweza short baba..... Really good song. Imenitouch isay
@EuniceNjeriGlobal6 жыл бұрын
imenibless
@joneshmbe13973 жыл бұрын
Blessing wacha wachekki
@kenjuma87012 жыл бұрын
Noma Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎵
@piuskanzi47576 жыл бұрын
Gods time is the best, good Job ##MOJI**
@mercysmakeuptutorials62085 жыл бұрын
Such songs deserve attention 🤗🤗 real gospel well articulated words,,,,moji good jam🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@oalemwel4873 жыл бұрын
In your chaos, remember he is God. Let your heart not be troubled.
@naomiemaitima69726 жыл бұрын
Nice messages in all your songs..Shortbaba unaenda mbali...
@winfreywanjiru98986 жыл бұрын
I love this.. I heard it first on hope TV.. And I really loved it.. Sounded so genuine..
@divineintention7156 жыл бұрын
Acha ncomment mara ya pili . Hii ngoma manze imekua ma favourite @#Iko repeat mode bana . This is a blessing to me . Baba jionyesha na mimi .
@janegichuru27526 жыл бұрын
Ni moto sana kwaniii The best song writer in Kenya.......
@vixychosen6 жыл бұрын
Awesome song me love this.. large up shortbabaa
@dannizzle29677 ай бұрын
Umesema baba c taona aibu....jionyeshe baba na jina lako libaki juu
@yangk38513 жыл бұрын
2021 still rockin 💪💪jionyeshe baba ndio jina lako libaki juu🙏🙏
@miriamthuo68892 жыл бұрын
Bado Niko hapa 2022. Bless you Brother
@trizandegwa45142 жыл бұрын
I am you No.1supporter Moji.This song is uplifting ohh my I can't get over it.Be blessed always.
@traplord3743 жыл бұрын
This song always bless me.. God bless you moji🎶🎶🙏🙏 Who's here 👇
@juliusgikonyomuhuko92096 жыл бұрын
Shortbabaa My favourite Kenyan artist.this song is my prayer too.am just a vessel.God use me for your glory.wacha wacheki ukiniinua baba.bwana asifiwe.
@Tepkeny7 жыл бұрын
amen, hii ni kali sana.. few of kelele more of takatifu... napenda...
@elizashanel82812 жыл бұрын
Love this song can't stop listening to it.....we need more like this
@henrykinja89902 жыл бұрын
Ni Kali sana
@stonez31814 жыл бұрын
This song reminds me of 2018 and how God pulled me through a tough spell
@hillarymkanga75582 жыл бұрын
Day in out my fav song n artist
@JaneLoise6 жыл бұрын
Am gonner say that this song is a LIT. not in making it hit though its very essential but because the message is real. God use me to show others who you are. That's a Prayer. Amen. God bless you Moji
@chegemartin4886 жыл бұрын
iko sawa. I like!
@kennedykangethe59336 жыл бұрын
you wrote this song just the right time.... been going through some tough time but thank God He showed Himself.
@phoebealaine65366 жыл бұрын
Nafeel tu blessed nikiskiza hii song... Nice song mojishort babaa