KENYA Ina County 47 Na pwani ya Kenya yenye watu huongea kiswahili sanifu (uswahilini) ni County 6 Mombasa 001 Kwale 002 Kilifi 003 Tana River 004 Lamu 005 Taita Taveta 006 Wasanii wenye wamemake it kutoka Mombasa na wanajulikana kenya nzima ni Otile... Masauti.. Kaa la moto.. Susumila.... Kelechi Africana... Sudi boy... Iddi singer.. japo hajatoka sana ila ni mkali sana Wa kike ni Jovial.. (nyota ndogo ni kama legend flani) Ssaru.. japo tumemjua akiwa Nairobi Ila mbali na K.O Kuna wasanii wengi wakali akiwemo Dogo Richie... Ally mahaba.. Mercury.. WA kike ni kina Adasa... Akeelah... Sai kenya... React nyimbo za Kelechi Africana... Iddi singer na Akeelah ni wanoma sana
@mcjakababakenya49123 жыл бұрын
ndio maana jina lako ni OVER THINKER.....umethink sana braza....ubarikiwe aiseee
@HirmizzАй бұрын
Wale uliotaja wote kando na Susumila, Masauti na Otile Brown, wanamsoma namba Echo 254
@ibrahimkatana84163 жыл бұрын
001 county wapi likes apa pamoko vani isikaka
@Ramz_fernadho3 жыл бұрын
Dogo anaweza sana tumepiga nae zege sana kitaaani cheki maajabu yake ......huyu na ni form 3......angalia ngoma yake yaitwa kasuku kijana mbaya sana mombasa tuna talent
@asiamohammed60433 жыл бұрын
Talent nyengine Akeelah she's so talented bro beautiful
@gilbertbada83853 жыл бұрын
KO ...knock out from coast thats my nephew. Bado student shimo la tewa high Hes goin places God bless him
@anitakamene46563 жыл бұрын
Mombasa kwetu
@albertpike5893 Жыл бұрын
KO ameweza ananikumbusha Zama za ferooz vocal zake Ni wazimu Sana amenitoa machozi aiseeee his message was crystal clear short and simple
@samuelkariuki78503 жыл бұрын
Huyo kijana wakumalizia hapo ametisha msee, Thanks Vani for your support we really do appreciate 🙏🙏💪💪 Umeingia pwani ya Kenya sasa
@sandefaraj7696 Жыл бұрын
Bro unafanya kazi nzuri sana ku market wasanii ata wale wa chini, mungu akubariki
@dj8sling4613 жыл бұрын
Hello im the second...wapi makofi Vani...+254 locked in
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@OmanCom-ky8tn2 жыл бұрын
K o nimekuelewa sana kijana unajua omba mungu utafanikiwa
@suleimanseif74363 жыл бұрын
Finally Nmekua nkisubiri sana hii reaction UNYAAAAAMWEZI MWINGI 🔥🔥
@joycegacheri51773 жыл бұрын
Kama umeangalia huu wimbo nakuvulia kofia
@bivernngesa99333 жыл бұрын
Kuna dogo anaitwa kayumba kutoka Tz bro mnyama sanaa very underrated
@ericnzaro91383 жыл бұрын
Kabisa yani. Kayumba is so talented but underated
@Victor_001_v6 ай бұрын
Eda ucheki vitendo by k.o na leta leta by k.o bro
@rajlovechild81343 жыл бұрын
Kaa LA Moto Kiumbe Ndio Young Killa Wa Kenya. Huyo jamaa ana Mashairi Yaliokwenda Shule Bro @Vanisikaka
@aliamani70343 жыл бұрын
The young man is in Form 3 at my former highschool
@abubakarsalim61033 жыл бұрын
SOBA all the way 🔥🔥🔥
@danichacomedians580510 ай бұрын
2fanyie chikuzee In love plz Ngoma Kali pia usisahau chonyi boy pia mkali sana chonyi boy
@egideniyonkuru97053 жыл бұрын
Van umenifanya hii ngoma niidawnirod maana hii ngoma imenisisimuwa kinoma yaani vani we nakupenda kutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@joycegacheri51773 жыл бұрын
Kuna wimbo wake unaoitwa kasuku by KO
@sirwejah3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏 Thank you for the reaction bro.. Pure talent
@swafiyamansur43263 жыл бұрын
Sauti kali santa lot of love from 001
@iddke.27793 жыл бұрын
Thanks Sana bro Vanisikaka kwa kusupport mziki wetu wa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@IreneKai-d7t Жыл бұрын
Mombasa kama Mombasa 🔥🔥🔥
@fatumatsuma22042 жыл бұрын
K.o noma sana Mombasa tuko 👌👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥
@reinsonkibisu20563 жыл бұрын
Mi ni Mnairobi sija skia wengi kutoka Mombasa, Kilifi, Malindi, ama Lamu, apart from Otile Brown, Massuiti, na Susumila tuwa Saidie nido wapate hizo ma recognitions they deserve hapo ndio Talanta👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@reinsonkibisu20563 жыл бұрын
@Yvonne Musimbi I always thought his from Nairobi I deed not know his from Mombasa but thank you.
@sultanvaxwastarabu3 жыл бұрын
He is a very talented guy....
@reuwelwaweru38793 жыл бұрын
Thnks.. uyu nmemjua na wewe
@dicksonshukrani32493 жыл бұрын
Kijana ako poa mkali sana nyumbani tumewakilishwa leo vani mungu akubariki broo
@bachii254910 ай бұрын
Niko pale nasubiri ya Reagan dandy Kilifi county kenya.. unyama n mwingi kwenye michano yake kaka Isikaka
@oscarkingstone3481 Жыл бұрын
001 county representing big up ko and KLM
@limbomambo97283 жыл бұрын
KO hongera bro upo juu mziki na sauti yako safi sana bro mungu yupo nawe usikate tamaa utafika unapo taka
@selinakwekwe94833 жыл бұрын
Van fanya reaction ngoma Bado by Medallion from kilifi Kenya 🇰🇪
@christinezighe69163 жыл бұрын
More 🔥🔥🔥 nawakubali
@mrasuul3 жыл бұрын
Safi sana
@hillarytindi88833 жыл бұрын
Malindi iko chini ya Kilifi county
@davilalawrance18673 жыл бұрын
This pure talent...vani you have really felt this song......shukran kwa support
@Ommywhity74 ай бұрын
Kumamamaeeee unyama unyamaniii
@jacksonkadhuwa-nc7zu11 ай бұрын
Team K O.... unyama mwingi kinara
@aliathuman20783 жыл бұрын
Kijana yuko vizuri unyamwezi mwingi mombasa kwa 001 mob love kutoka zanzibar
@thepoeticsolafrika89193 жыл бұрын
this video has made me shade tears am msafih poetics from 001
@original_driller Жыл бұрын
I liked u're reaction💯....Do the Noma song by @Badboy Cisse reaction also an artist from Mombasa
@nassorhamadi57383 жыл бұрын
254 🚦001 ni more fire
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
First viewer here from Kenya Kanairo City
@ezrakandie3 жыл бұрын
2nd Van Isikaka mzee mzima nuff respect
@dj8sling4613 жыл бұрын
Kevoh Wa Pipeline Transami ..😂 kevo leo umenikula mbele...umeshinda man..🤛 nimekubali
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
@@dj8sling461 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
@@ezrakandie 💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@dj8sling4613 жыл бұрын
Kevoh Wa Pipeline Transami cheki huyu msee anitwa hezra eti ni 2nd mshw rieng
Pia mm ni msanii chipukizi kutoka mombasa naomba utazame wimbo wangu mpya uitwao dawa. Japo video ipo chini ila lyrics huenda zikawa sawa. Naomba unifanyie reaction pia mm bro please
@juliananakwawi68632 жыл бұрын
So talented
@HassanChimera-j4n5 ай бұрын
Kuna echo 2 54 pia mkali Zaid ya k.o apo
@DJWAXKE36276 ай бұрын
Nakubali hap kaka
@bongapointepic29173 жыл бұрын
Mombasa waswahili kweli jamani
@samanthascollection2 ай бұрын
The k.o guy is totally talented
@wilsonbaya92683 жыл бұрын
Bdo umwangazie akeelah she is so talented for sure
@classiclilking25483 жыл бұрын
Plzzz vanskaka fanya hio ngoma ya meza.... Mafya bwoy plzzz
@amanizocharomwangoboy54163 жыл бұрын
Mombasa raha buda
@daviskhambinzai3793 жыл бұрын
Bonge la talet
@classiclilking25483 жыл бұрын
Vanskaka what's Popin... Nataka meza yake mafya bwoy... Pllzzz fanyia reaction hio ngoma
@aliamani70343 жыл бұрын
Akona talnta saana
@Founder.ke6Ай бұрын
tutakupataje kaka
@charokenga25963 жыл бұрын
Master kimbo from #003.
@dicksonshukrani32493 жыл бұрын
Angalia nyimbo yake nyengine yaitwa kasuku
@emmanuelkabaya2842 жыл бұрын
K.O uniquely talented ⛷️
@mcjakababakenya49123 жыл бұрын
tupe reaction za iddi singer kutoka 001...
@barakakarabu Жыл бұрын
Kali bro
@j_firstj_one4553 жыл бұрын
huyo dogo ni mkali kinomaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@stephensmbitha7356 Жыл бұрын
Kipaji kipo kilifi, huyo KO na KLM wote ni mijikenda all the way kutoka kilifi county
@bongapointepic29173 жыл бұрын
Yupo vizuri kijana
@swafiyamansur43263 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@SalmaaFeswal5 ай бұрын
Kaa la moto my karate teacher
@charomtengo26693 жыл бұрын
Congratulations 👏 from 001
@wyclifem.97803 жыл бұрын
Talented 100% 🔥
@fahimabdul74943 жыл бұрын
Nice one
@habarugira2269 Жыл бұрын
Munyama sana ila Umesahau ngoma kutoka Burundi 🇧🇮
@benmkare10953 жыл бұрын
Real talent 🔥🔥🔥🔥
@kentimminvestments700010 ай бұрын
#Vanisikaka fanya reaction ya watangoja by Echo254
@alikaran24263 жыл бұрын
VAN asisahau kureactia kasuku,ya K O
@suleimanseif74363 жыл бұрын
Umetisha sana van
@lavvyboyKe3 жыл бұрын
K.O mfano wangu n ww,,,,,,penda kipaji hiki
@blessingji-va81143 жыл бұрын
utufanyie reaction wimbo wa swagg team +257 killing me ft big fizzo
@manuari60883 жыл бұрын
Malindi na Kilifi pia kuna talanta nyingi sana
@jadidlepeta81372 жыл бұрын
Naidownload sąisai
@Way69-v5z3 жыл бұрын
Van nlikusho ureact bash ya manuns,,,,aki naitegea
@zakariakiema6213 жыл бұрын
Dogo ana sauti
@mammymasibomammy50043 жыл бұрын
001 kusema tupo pamoja 🤝 imeweza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥
@babajuma2500 Жыл бұрын
Mara ya kwanza nilidhani ni msanii wa bongo
@willylewa50983 жыл бұрын
Fanya reaction ya kelechi africana
@kentimminvestments700010 ай бұрын
Suuuuuuuuuultan #joho 001
@orochojakoda81903 жыл бұрын
Zeeee🔥🔥🔥🔥
@davidenkokatamesh40623 жыл бұрын
K.o tutafika tu hadi kwa kutambaa
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Kellechi Africana, uyu jamaa anaushindani mkali na Masauti, pia kuna Chikuzee na Ali B. Kuna ngoma ya Masauti ft Ali B ngoma inaitwa Genye ngoma kali alafu Chikuzee ft Stamina
@tatianaqueen49353 жыл бұрын
Check out this dude called general de song. Mnyamaaaa
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Kuna mpya ya Kikosi Kazi na Kaa La Moto na Breezy
@YusufAli-fp8sg3 жыл бұрын
React cannibal ft sharamaa street hustler
@KenyanDailyGossip3 жыл бұрын
Wewe carnibal kaokoka
@YusufAli-fp8sg3 жыл бұрын
Yuko vizur cannibal
@eddywiser16493 жыл бұрын
Yeeap munyamwezi all the way from kilifi chek Shabby Day talents sanaaa kaka