"ukileta utumbo wenzako tunaulia na ndizi.. the best line .
@Fans_of_Dizasta-103 ай бұрын
Kama umerudia zaidi ya mara Moja weka like hapa😊
@kenewxillver255tz411 күн бұрын
Hamfikii Kenew XILLVER 255TZ😂😂😂
@Blackson_3603 ай бұрын
Tuondoke na Dodoma mabegani gonga like hapa fi coentrozne❤
@meshackkangwe34143 ай бұрын
🎉🎉
@dodomaonlinetv-we2jg3 ай бұрын
ni muhim hadi langa dom kanikuta
@HermanNjamas3 ай бұрын
Ngoma kali san malume 🤑🤑🫡🫡
@Omarykiing3 ай бұрын
Oya wanangu kama umeukubali huu unyama wa humu ndani kuanzia BEAT,VDEO na SWAGZ za moni👑.GONGA LIKE APA👇
@victormarino74493 ай бұрын
Mkononi tambala kama bakar mwamnyeto🙌💯💯
@dladchalle91793 ай бұрын
Ukiiona hii komenti 2030 basi fahamu kwamba 2024 saa 5 na dkk 50 usiku wa jumatatu tarehe 16 mwezi wa 9 nilikuwa hapa🙌
@middlechui5623 ай бұрын
Kwisha
@nyimbozawatoto2 ай бұрын
Rest in Peace😀
@BaritazaryBaritazary14 күн бұрын
Sjui nataka kusema nn,top 5 ya best rappa of all time moni umo❤
@EmanuelBosco-s2k3 ай бұрын
pongezi kwa producer what a beat👏
@omary_hapila3 ай бұрын
umetusema ukatusemea na kutuelekeza...kweli maelekezo🙌 PAPPA ni producer mnoma sana🔥🔥🔥
@DonDefoshizoo3 ай бұрын
Dom town na mchizi moni juu big up my brother 👊
@SamuelKisonga3 ай бұрын
❤❤❤Tutairudia mpaka mara 💯💯💯 mpaka iendeeee
@mudywaya3283 ай бұрын
ya biti lanyumbanikabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lildee_Vevo3 ай бұрын
Na Mtaani iki ndo Watakacho 🔐🏆 On Repeat
@rapper_dk_hustler3 ай бұрын
Kama unapenda HipHop na unamkubali mchizi moni gonga like za kutosha
@omarymbaraka5722 ай бұрын
Umeimba mzee sijawah kukuelewa ila hii kubwa
@cosmasmaguta083 ай бұрын
Toka enzi LANGA Dom amenikuta😃💯🔥🙌
@SamuelKisonga3 ай бұрын
Tumebeba sana mchanga kitambo icho chigongwee Dom town kitambooo sana I missing homeee
@martinmsigwa90663 ай бұрын
Comment number one, Ndoo ya Barafu, Hennessy moja halafu coca nyingi ✊🏾
@Kingcrowntz9123 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Your The Best My Brother We Go Wide To The World Malume
@paulsteven93782 ай бұрын
Ni muhimu❤❤❤ 1 ❤ mam3n nakubl
@SelemanHusen2 ай бұрын
Miaka kibao nilikua natama mtu mmoja apite na mdundo wa kigogo Sasa ndoto imetimia na mon
@iddymachunda93943 ай бұрын
Dem wako bwaaa ukilala piga mbizi😂😂
@DaveEasy2 ай бұрын
Wew jamaa Unajua sana 🔥
@amedeuskimario88952 ай бұрын
Hii ngoma naomba watu wangu wabajaji dalala hapa Dom tuigonge mpaka muhiru anyanyue kichwa
@trinidadivan7793 ай бұрын
Tunakula Bangi nyingi, watoto wa Dom hatuli Ngada .. let em' knoe Siirr..... We Outside. 🍷😴💯
@jackdom75563 ай бұрын
Lim hilu dudu flàni iv 😂😂 ngoma kali sana mzee
@NeddyBoy-hc2ux2 ай бұрын
Mon kama centrozone co pw bonge la dude
@hamzamsafiri34182 ай бұрын
Bonge la beat angepiga mdogo wetu hii 😂😂😂😂 angesema wametoka South kuja kupiga nai
@Msuki_icon95Ай бұрын
Sawaaaaa mzeeeeee @papa🔥🔥🔥
@moseshumbo16803 ай бұрын
Wanangu wachunya na mboz guchwa hand up
@ChidyRajabu-z2wАй бұрын
Umetisha unatuwakilisha bur
@yassinmrishoyassinmrisho65733 ай бұрын
Tunavuta ganja nyingi watoto wa dodoma hatuli ngada🔥🔥
@hemedihabdallahngalinga56783 ай бұрын
Mwanao nimelusha kindege nanishapunwa...
@bakariambari82583 ай бұрын
Moto wasonga mlulu muyangu🎉
@LuckyTemu3 ай бұрын
Huyu Jamaa ataftiwe Sayari yake 🔥🙌
@SamuelKisonga3 ай бұрын
ngoma kaliii na Hatutumii ngumuuu
@sebastianasanga-fd7ez2 ай бұрын
Boshoo ngoma n nzur sana umefanya kitu poa sana kumshirikisha one six ameifanya nyimbo imekuwa kal sana jamaa kwenye kitikio n on fire saut yake n nzur sana Big up Boshoo Big up One six
@veronicawilly16Ай бұрын
The beat is lit🔥🔥, bt the lyrics zinaukakasi sana jmn huwezi skiliza na watu
@hassanikobelo36883 ай бұрын
Huyu mwamba sijui watu hawamuonagi au ndo hip hop hailipi ni mbaya saana na anajua
@BoniphaceDonald3 ай бұрын
Wana wa Dom tujuane apa Moni anatuwakilsh vizur sn
@hamfreymagelo18592 ай бұрын
malume unatishaa🔥🔥🔥
@emmanuelnyina17892 ай бұрын
😂😂😂 mwana wa kukaya solweee muwaha
@ZuwenaCostantine3 ай бұрын
Wale wakenya wanaolingia kingereza Sasa waelewe kiswahili hapo tuone big up malume nchi nyingine umewapoteza hawaelewi Chochote hapo
@SuleAmber-lw2tx3 ай бұрын
Moni the best ,Love from Rock city(MWANZA
@DavidBoaz-rl9ce3 ай бұрын
mwanza hiyoo, naona milima na mawe na milima yakutosha
@soundgoodmusic55913 ай бұрын
Chigongwe Dodoma
@NellyMusic-vc6iz2 ай бұрын
Conboi naapriciete sana unachofanya unajua unajua brother nawish siku moja kufanya kaz na wew 🙏
@SamuelKisonga3 ай бұрын
Watoto wa 99 ni mashangaziii😅😅😅😅
@gweja8823 ай бұрын
Twende nayo benchi kabla kocha ajatuita benchi
@bahatiamoss52843 ай бұрын
Hii beat🙌🏾🔥🔥
@sheydadyshedytz88213 ай бұрын
Ya moto hii 👑
@vangaboy3 ай бұрын
Ngoma kali sana sema hip hop inadhalaulika sana bongo😢😮
@HenryPaul-y2y2 ай бұрын
Hapo kwenye mawe nimahome boy mloda ukitoka udom -ilolo -mvumi mission-iringa mvumi unafika mloda au pitia mpunguz-mvum makanghwa thain mloda
@football7highl3 ай бұрын
sema li malume linajua hili🥷
@chidi_don3 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana bro yani sio poa kabisa hi ngoma kali 🔥💯
@SamuelKisonga3 ай бұрын
From mbeya wasonenyiiiii
@hemedmgomi44503 ай бұрын
Moto firee Mzee moni💥💥
@laxmajor3 ай бұрын
Majengo sokoni 💯
@benomjuni68583 ай бұрын
Noma sana kaka malume🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥🔥🔥
@wadax69lebuu863 ай бұрын
Navimba ata kwa paso🔥🔥🔥🔥
@TimothMsemwa-hm9pk3 ай бұрын
MFALME WA HIPHOP dom mikono juuuu
@afterx31723 ай бұрын
'1. 'Usione tuna shine huku zinapumua hirizi'' 2. Kuna wana wanaloga na wanasema God did''
@DausonWilsonDauson-jj8oz3 ай бұрын
Malumee Dom Town 🇹🇿✔️
@bahatiamoss52843 ай бұрын
Malume💥✅️
@BigBulle-x6s3 ай бұрын
Ma goal baba chidi sooooooh PEACE UNYAMA SANA RASHID MWENYEWEE
@bennylove60213 ай бұрын
Sa ulikuwa wap sku zote kufanya kama iz? Sande kuhonjela mzhelelo😮
@RapperTyger-vv1vt3 ай бұрын
Ngoma Kali asili yetu kabsa
@Fans_of_Dizasta-103 ай бұрын
Wa Kwanza Leo 😂 nipeni hata like 50 jamni😢😢😢
@adembeza3 ай бұрын
HIVI ULIIMBA NA YEYE NDIO TUKUPE LIKES?
@SamweliNgandi3 ай бұрын
salute 3 kwa moni
@amadyeddy33543 ай бұрын
#nimuhimu....ukileta utumbo zenu tunaulia na ndizi💥💥
@echagwhy44423 ай бұрын
Direct by Goa 🔥🔥🔥
@mazengoreuben34533 ай бұрын
you made it up broo I appreciate 🙏 God bless you 🙏
@JohnJadi-zx6gy3 ай бұрын
Ukiskia yeye,ujuwe pisi zao tunapita nazo
@Ellyb-i4f3 ай бұрын
Kaka unajuaa we endelea ku struggle one day yes
@ReubenMdashi-vs5mh3 ай бұрын
More skills my G. Centrozone east zoo❤❤😊
@dullymaph51552 ай бұрын
Daaah c watu wa dom hatumtendei haki moni hii ngoma so ya kuwa na viewes hawa plz ebu tusapot cha kwetu jaman🙏
@Almandochibo3 ай бұрын
huu ndio wimbo ambao ungeutambulisha mziki wako nje ya mipaka ya Tanzania. endapo tuu ungeuheshimu katika uwekezaji wa video kwakifupi wimbo mkubwa video mbayaaaaa haujauonyesha uhalisia wa maisha ya wagogo na dodoma kwa ujumla
@MMX-n2c3 ай бұрын
Just free Ryhmes ,Michano mingiiiii Hatari
@mikemonstervox3 ай бұрын
Ukileta utumbo wenzenu tunaulia na ndizi🙌🏽
@meshackkangwe34143 ай бұрын
Dodoma mabegani 🎉🎉
@claudepaluku18423 ай бұрын
Classic hip hop🎉🎉🎉❤❤❤
@Joneslaizer1003 ай бұрын
Leo nimeangalia nyimbo yako kwasababu umevaa kimasai
@IbrahimMbwana-lv4jn3 ай бұрын
Aaaaah goa🔥🔥🔥twende mjini baba
@DicksonKamalamo2 ай бұрын
Hapo kwa inspecta mwangata bwanaa
@Edwinmgundulwa-sd1vt3 ай бұрын
Malumee ⚡⚡
@ReubenMdashi-vs5mh3 ай бұрын
Malume na Centrozone 🎉🎉🎉❤
@mossesmohd51703 ай бұрын
We Kuma ni mnoma leo nimenyoosha
@DANIELDAVID-b4c3 ай бұрын
Tukae humo🔥
@DainessLizer3 ай бұрын
Hii ngoma ni WACHUMBA 30 sehemu ya pili
@micknjiku12693 ай бұрын
It's very nice hip hop really hip hop haongelew sana lkn uyu mkal sio kama mbuzi mna hasifii madem na mabos mistar mikal san
@alphoncealphonce4443 ай бұрын
Sikuizi hadi matozzy wanadanga me sipingi , ndoo ya barafu Henessy moja coca nyingi, demu wako bwaaa unapolala piga mbizi…….
@Ramjane_OG3 ай бұрын
noma sana moni🔥
@Jumashadhil3803 ай бұрын
Jamani Haya Nami Maelekezo Tuu,, Ni Muhimu
@alexsimon41693 ай бұрын
DOM🔥🔥🔥
@modernizerbhoi26543 ай бұрын
Respect wakukaeee tuwakilishe rais wetu
@chenge32233 ай бұрын
Mwanangu moni
@frankmanga37213 ай бұрын
Jamaa akiimba hana shida kabisa, ila akianza kuongea ndo tatizo linapoanzia