Moni Centrozone ft Jux - My Life ( Official Music Video )

  Рет қаралды 445,625

Moni Centrozone

Moni Centrozone

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@Charles_thoyah_promoter
@Charles_thoyah_promoter 3 жыл бұрын
MONI Ameuwaa sanaah 🔥🔥Wapi Likes za Centrozone...Love From Mombasa ❤️🇰🇪
@kendrickloy9310
@kendrickloy9310 2 жыл бұрын
Tunafeli sana centrozone ni wa kumpa tension zote yaan...
@prochtz4342
@prochtz4342 3 жыл бұрын
Wanangu toka Dodoma gonga like hapa, #Walume
@dominickntajinya1550
@dominickntajinya1550 3 жыл бұрын
Ilibidi nihame mkoa ndio nitoke,!!! %usiache KUTABASAMU%
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION 3 жыл бұрын
Bonge la ngoma! You deserve more attention and SwahiliNation we are here to support you 🤟🏿✌🏿
@brokaofficial
@brokaofficial 3 жыл бұрын
Swahili nation
@neemaelibariki73
@neemaelibariki73 3 жыл бұрын
Swahilination still around broo
@diamondfamily2661
@diamondfamily2661 3 жыл бұрын
Moni kama moni hatari mzee nakuaminia
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 3 жыл бұрын
Hili Bonge La Dude Jamani 💥💥💥 African Boy Umetisha Kinyamaa Harafu Michano Sasa Ni 🔥🔥
@davidkimambo1278
@davidkimambo1278 3 жыл бұрын
Huyu Moni ana hatari huyu..
@abbas_jr7
@abbas_jr7 3 жыл бұрын
Oyooooooooo Mambo Ndio Hayooo
@africanson4528
@africanson4528 3 жыл бұрын
Majengo sokoni to the WORLD 🌍🔥🇹🇿 ila JUX Fundi 🔥👊
@AllyAbdallah-x4g
@AllyAbdallah-x4g 3 ай бұрын
Kulikuwa kuna haja ya kuwaingiza mabantu vers yao mbaya sana
@prochtz4342
@prochtz4342 3 жыл бұрын
Home boy we ni mkali kinoma noma 🔥🔥🔥
@santusmagaiga5779
@santusmagaiga5779 2 жыл бұрын
Wanangu wa muleba gonga like za nguvu twende sawa
@peterson_consolatha2246
@peterson_consolatha2246 3 жыл бұрын
Qumamakeeee Centrezone Umetsha Mbaaaaay Jux Pia Umeuaaa Mbaaaaay....🔥🔥🔥🔥
@herbertkanyawana4747
@herbertkanyawana4747 3 жыл бұрын
tunapotokaa hatu snitch oyaaa mselaa si wenyew watot wa street oyaa mselaa.....Dom town wote twenden🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Ripple-r3r
@Ripple-r3r 3 жыл бұрын
Nakubali Ngoma ni 🔥🔥🔥
@oscarshotit
@oscarshotit 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZpXXlZmBetSAq7c
@afroboytv5339
@afroboytv5339 3 жыл бұрын
Ngoma yente
@kamedia1066
@kamedia1066 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sH2ue2qqaMeBsMk
@saidissm293
@saidissm293 3 жыл бұрын
HII ngoma naisikiliza sana yani nimeikubali iko good any where big job Moni and jux
@jafariosujack7183
@jafariosujack7183 3 жыл бұрын
Mmetisha wazee wa mistari ❤
@SameèrKulwa
@SameèrKulwa 8 ай бұрын
Nishafanya Mingi now U can’t tell nothin, Mungu na bidii baraka za Wazazi mpka Mkaelewaaa,,, Gonga like Jux, twende sawa 2024.
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
Sauti ya Jux tu 💥💥💥..It's lit. Hiyo ndio imenileta hapa. He just never disappoints. Kazi yake anajua sana. I'm not really a hip hop fan but I like this one. Love that Jux is giving us different vibes this year. The rap is so on point too, so lit
@dach_addiction9557
@dach_addiction9557 3 жыл бұрын
Have some respek for moni too
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
@@dach_addiction9557 I do, that's why I said the rap is lit.. It's just I didn't know him before, now I do
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
Sophie howz Kenya?
@kamedia1066
@kamedia1066 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sH2ue2qqaMeBsMk
@hussleafrica8402
@hussleafrica8402 3 жыл бұрын
Do you know who's moni centrozone😋😍Huyu ndo scar mkadinali wa tz bana
@alexndunguru8927
@alexndunguru8927 3 жыл бұрын
Bonge la Hit, Ngoma imesimama Sana hii
@ambrosesulley2788
@ambrosesulley2788 3 жыл бұрын
Just creativity and mind over this one. Positive vibe all the way. Big Up to you Champ
@bederdnh2701
@bederdnh2701 3 жыл бұрын
Dah, naeza kukaa kimya lakini nitaidhulumu nafsi, home boy kuna mda niliwahi kuhisi watu wa trap wanakupoteza ila this one imenirudishia imani, najua we ni mkali since day one.. BONGE MOJA LA NGOMA, Jux pia ameua asee, ngoma flani HAICHOSHI MASIKIONI 🎶🎼✴️👑⚡🔥🌟
@tumainirichard5678
@tumainirichard5678 3 жыл бұрын
VIDEO 🔥...SONG🔥...BEAT🔥... EVERYTHING 🔥. THIS SONG IS BURNING 🔥🔥🔥🔥..... JUX KATOA BONGE LA VOCAL YAANI KAMA ALIKASIRIKA ....MONI PIA KACHANA KAMA ALIKUA NA HASIRA NA MIC YAAANI DUUUH😍. KIZURI CHAJIUZA 🇹🇿. YOU GUYS DID SUCH AN AMAZING AND GREAT JOB. NIMEONA NIKIANDIKA IN SMALL LETTERS NTAKUA SIJAIFANYIA HAKI HII NGOMA YA MOTO.
@ambakisyemwakifwamba7785
@ambakisyemwakifwamba7785 3 жыл бұрын
Kideo hakichoshi salute malume.👮
@nyembomohammed8592
@nyembomohammed8592 3 жыл бұрын
Noma sana wanyama ndani yá mjengo🔥🔥
@mjukuuwamagufuli2404
@mjukuuwamagufuli2404 3 жыл бұрын
Ifike sehemu MONI apewe heshima
@ramadhanizaki272
@ramadhanizaki272 3 жыл бұрын
All the way from Central!aisee bonge la ngoma
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 жыл бұрын
Ngoma ni Kali kushinda hata *Kamata , Sandakalawe* sema imetoka siku mbayaaa mnooooo Leo Mondi kaachia video kesho Ali kiba anaachia video hii tutaangalia tusiokuwa na timu tu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@camillamdeda6870
@camillamdeda6870 3 жыл бұрын
Omg am in love with this songs ❤💝 this is real tanzanian life!.
@erickmushi2584
@erickmushi2584 3 жыл бұрын
Mamaeee yank malume Ngoma Kali kinoma big up bro👍
@josephkabwaye2388
@josephkabwaye2388 3 жыл бұрын
One of most underrated Rappers!.
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Moni, moni,moni Commando hujawahi ni dissapoint ma niga Boooonge la ngoma! Remix yake muweke na country boy
@richardmloha1762
@richardmloha1762 3 жыл бұрын
Ma bruh 💀💀💀 Moni centrozone 🔥🔥
@mauamoshi2083
@mauamoshi2083 3 жыл бұрын
Mume..living our life..eeeh
@eidyvanny
@eidyvanny 3 жыл бұрын
Rap represented well in Swahili Nations
@rashdadady5195
@rashdadady5195 3 жыл бұрын
African boy hawajai kuniangush aswaa kweny chorus
@asnaliathuman6181
@asnaliathuman6181 3 жыл бұрын
Nakumbali kazii
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Hatari Sana 🔥🔥
@husnaramadhan9903
@husnaramadhan9903 3 жыл бұрын
Wooooooza bonge moja LA dude mkulubilanga......nimambo....papaaa....kasumbalesa baba baba watu wana shikia bintu za majengo sokoni wanabeng ki k.........$$$$gringo&&#@@
@panniboimitch9363
@panniboimitch9363 3 жыл бұрын
Jux we love yoh vibe.... Mob love from KE💥💥✌✌
@samwellazaro9480
@samwellazaro9480 3 жыл бұрын
Ngoma qaliii saana mzeee 🔥🔥🔥🔥#tunapotoka hatuswitch coz ss wenyew watt wakitaa👏👏
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 жыл бұрын
Mkitaja watoto wenu wa trap msitaje jina langu may be the best rapper of all time ndo mtaje jina langu🔥🔥🔥🔥🔥
@zillawakitaa7140
@zillawakitaa7140 3 жыл бұрын
Maniga centro🔥
@mickyghuma525
@mickyghuma525 3 жыл бұрын
Toka nianze kukufuatilia moni hii nyimbo umeimba juu ya kiwango unachokiimbaga aisee,Hii ni Bonge la wimbo Brother na Jux ndo🔥
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 3 жыл бұрын
Mmetisha sana wakali wango moni sentrozone na juma jux nakubal sana wanang 👊
@oscarkhan5568
@oscarkhan5568 3 жыл бұрын
Dom town lets goo🔥
@danmsafi2383
@danmsafi2383 3 жыл бұрын
Ngoma Kali kinyama
@thereallygentlemangentlema5755
@thereallygentlemangentlema5755 3 жыл бұрын
Malume on this one👍
@kevinchuwa9662
@kevinchuwa9662 3 жыл бұрын
Cetrozone huwa akoseagi#watoto down town💥💥🗨
@halimachristopher5773
@halimachristopher5773 3 жыл бұрын
Just love it💞💞💞🇰🇪
@herryguy
@herryguy 3 жыл бұрын
Kwanza nlikujua kupitia Josh Nkafwatilia mkito kumbe mazish Ni WA Centro haswa hanichosh Sasa collable na wish wakati naishi kwa hii sayari kubwa sio mars Big up @jux one Love central zone
@carlosford4384
@carlosford4384 3 жыл бұрын
Appreciate bro moni
@obeidjoseph3610
@obeidjoseph3610 3 жыл бұрын
Sasa nishapata ngoma kali za muda wote kutoka kwa moni la moto mihela dodo na hii 😁😁😁
@gaagablue
@gaagablue 3 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮✅✅✅ félicitations pour cette belle vidéo Brorher 👏🏻👏🏻
@efroncharles7062
@efroncharles7062 3 жыл бұрын
daaaah Motooooo sana hil Dudee, movie ya karata nimeipenda kila chaka chafu🤣🤣🤣🤣🤣
@fanboy_25
@fanboy_25 3 жыл бұрын
Chorus killer 🔥🔥🔥🔥
@aswilemwasanguti4482
@aswilemwasanguti4482 3 жыл бұрын
Moni kwenye mistar ujawai feli bigup bro unateleza na mistar ngoma kali sanha
@GrayGrey454
@GrayGrey454 3 жыл бұрын
That chorus❤️
@tumainirichard5678
@tumainirichard5678 3 жыл бұрын
Umeona eeeeh😜 yaaani Jux kama alikasirika maana siyo kwa vocal hizo yaaani he sang from the heart
@jumahaji2938
@jumahaji2938 3 жыл бұрын
Huyoo Dem Rastaa anaye pokea cm Anapoteza mbaya Puss babiloon kankarahaa rudbway 🤣✊👊😀🤣
@ericktanzanite4907
@ericktanzanite4907 3 жыл бұрын
This song is dope 🔥 🔥 🔥
@inclyrics4384
@inclyrics4384 3 жыл бұрын
Imebidi tu niirudie mara tano haina namna, huu unyama wa humu sio poaaaaaaa
@davehazard10
@davehazard10 3 жыл бұрын
It’s all about jux🔥❤️❤️
@juliuspeter7043
@juliuspeter7043 3 жыл бұрын
Nimekubal huo munganiko ngoma kali jux nimekubali hatar hiyo merod noma
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 3 жыл бұрын
I'm living my life🔥🔥🔥🔥🔥
@ramadhanyjabiry2664
@ramadhanyjabiry2664 3 жыл бұрын
Oya we ngoma kali mamake nashangaa wakina mond wanaimba uchoko halafu wanatrnd kumbe uchaw tu.
@WEARETH3FUTURE
@WEARETH3FUTURE 3 жыл бұрын
M A L U M E 🔥
@bakaringerere5973
@bakaringerere5973 3 жыл бұрын
Malume
@dostovan5142
@dostovan5142 3 жыл бұрын
Siwezi fanya wimbo na jux afu niimbie maisha yangu
@mabalathefamer1714
@mabalathefamer1714 3 жыл бұрын
Deserve FULL RESPECT
@MKobe_254
@MKobe_254 3 жыл бұрын
Pure good music sio zile vitu Babalevo uimba 🎤😀😀
@exuperychuwa179
@exuperychuwa179 3 жыл бұрын
Underrated track
@mbarakausein6534
@mbarakausein6534 3 жыл бұрын
Chamwino Nkuhungu Gwasa mpaka Itega ... Living my life
@bigthinker8378
@bigthinker8378 3 жыл бұрын
This Man 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ahmadjohn4531
@ahmadjohn4531 3 жыл бұрын
Ngoma kali jux kauwa moni we mnyama tyu ckupi jina n mnyama gan ila we n animali🔥🔥🔥🔥🔥
@RandyMwanaKin
@RandyMwanaKin 3 жыл бұрын
Living my life like a billionaire ❤️‍🔥🙌🏽 Lingala: Nzembo Kitoko French: belle musique Swahili: wimbo Nzuri English: good music Finnish: hyvä musiikki Spanish:buena música Portuguese: boã musica Italian: bella musica 🔥❤️🎶🤗
@davidkauki9797
@davidkauki9797 3 жыл бұрын
Malume baba umetisha, bonge la ngoma daàaaaa!! Jux maufund kama yote √√√
@henkphd8157
@henkphd8157 3 жыл бұрын
MAJENGO SOKONI MUSIC
@youngseleh9150
@youngseleh9150 3 жыл бұрын
kzbin.info/door/04v5XrpoAuZxoMpGuXvIeQ
@mabalathefamer1714
@mabalathefamer1714 3 жыл бұрын
From Sumbawanga kuanzia Leo mm ni fans wako MONI CENTROZON kumbe mkali hivi
@dishangib
@dishangib Жыл бұрын
Banger Hit Noma 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 3 жыл бұрын
Centrooo eerrrr daaayyy all daaayyy..., Majengo sokoni we up on this.....Tukishapiga paf hatupokei conselling.... Orlaaandooi freeeshhh street announcement majengo sokoni we livin our life Mofo's..
@falzidazamba7893
@falzidazamba7893 3 жыл бұрын
Ndugu zangu wa tz nyie mnaa roho mbaya kweli yani ngoma kali kama hii ishindwe kupata v 1.m duuh..🇲🇿🇹🇿🇲🇿🇹🇿🇲🇿
@emmanuelfaustine1288
@emmanuelfaustine1288 3 жыл бұрын
Oyaaaaa moni mwananguu unajuaaaaa mzee mbaya mbovu hili goma bovu sanaa🔥🔥🔥
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 3 жыл бұрын
Sema nn ngoma Kali sana japo mie team mond ila kwa dundo hili mmeua mazeee
@immah_deo19
@immah_deo19 3 жыл бұрын
Juma Hiyo Chorus Kainyonga Kinyama Sanaaaaaa
@antonygregory4951
@antonygregory4951 3 жыл бұрын
Oi mone ngoma tam sema jux kanimaliza kinoma ngoma kaitendea haki
@manjaruu679
@manjaruu679 3 жыл бұрын
hpbdy brooh MONCENTRALZONE ISHI NIGA MAFANIKIO BAADA YA KIGUNDU CHA NAI KUONDOKA TUNAONA SAS
@alostyle8575
@alostyle8575 3 жыл бұрын
Jux njoo 🇰🇪 uimbe na kaligraph
@omarycavana2157
@omarycavana2157 3 жыл бұрын
Ngoma Kali kinoma noma salute to you guys
@msangioffice5007
@msangioffice5007 3 жыл бұрын
Mziki mzuri. Baby lawyer from bakta “ chaka”
@omardume2661
@omardume2661 3 жыл бұрын
Naamnia wana ndugu imeweza kutoka Mombasa kisauni full salute
@ezam255
@ezam255 3 жыл бұрын
DUUUUH NGOMA KALI SAAAAAAAAAANA SINA MANENO ZAIDI YA KUPIGA 👏👏👏👏
@monrisofficiel5916
@monrisofficiel5916 3 жыл бұрын
Rapper wa Burundi from Canada🇨🇦 nasema EBWANA NDIO 🙌song ni 🔥🔥🔥.
@amriharuna4236
@amriharuna4236 3 жыл бұрын
Hii ngoma ni kali kuliko SALUTE na KAMATA na SANDAKALAWE
@mattanofficemusc3535
@mattanofficemusc3535 3 жыл бұрын
Tumeanza huu mwezi na kazi nzuri Sana🙏🙏🙏
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Huyu jamaa nilikuw simkubali kwasababu nlikuw simsikiliza siku nilipoanza kumsikiliza hajawah nitokaaa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Umeua daaah,107K views in 1 day using your channel 👏👏👏🙌🏿👌,nimecheki channel yako zingine zina 128K in 7 months,hongera saana,
@dracotheholyone7844
@dracotheholyone7844 3 жыл бұрын
Ila wanangu wa majengo sokoni mpepe mnawasha wazi wazi 🙌🏿
@saidissm293
@saidissm293 3 жыл бұрын
Moni oyaaaaa ngoma kali sana big up bro, hustling imekufanya uwe HAPO kazana brother
@aslamaziz1885
@aslamaziz1885 3 жыл бұрын
Good work watoto wa knyama likes apaa
@edomkali3378
@edomkali3378 3 жыл бұрын
Masnich weng hawasaport Ila hili ni dude big up moni
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 3 жыл бұрын
Home boy salute kwako majengo sokoni on the top
@Fox_bwoy_7
@Fox_bwoy_7 3 жыл бұрын
Oyaaaaah hiiiiii ngoma moni aliandka uchiiiiii nn mmmmh atar kwa afyaaaa
@silvaisdory3995
@silvaisdory3995 3 жыл бұрын
Malume moto wasonga mlulu🔥🔥🔥🔥🔥 goma kali sana bro
Young Lunya - Fimbo (Official Music Video)
3:59
Young Lunya
Рет қаралды 1,4 МЛН
Moni Centrozone Feat Marioo - PISI ( Visualizer)
3:47
Moni Centrozone
Рет қаралды 103 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Moni Centrozone Feat Marioo - YEEH (Official Video)
2:46
Moni Centrozone
Рет қаралды 519 М.
Moni Centrozone Ft Conboi cannabino - Tuendelee/Hold Up (Official Music)
3:15
Jux - Utaniua (Official Music Video)
4:02
JUX
Рет қаралды 7 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 6 МЛН
Conboi Cannabino Ft khaligraph Jones-TILL I DIE (Video) RMX
3:24
Conboi Cannabino
Рет қаралды 315 М.