Hongera Mr morara. Tunakupenda xana kwa kazi nzuri
@waihura20392 ай бұрын
Let's try Morara as our next president. I am in
@PuritySanta2 ай бұрын
Well said
@EnockMochache2 ай бұрын
Excellent expose…unbelievable! How can we get you a drone? Camera man good job… tutakuchangia more equipment to record drone footage to show scale…unreal
@alexjaddu3772 ай бұрын
Thank you kwa kutufunguwa macho sisi wengine
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Well done,hukuskia tu,leo nimekuona,thnks kutufungua macho wakenya
@DanielkainguMwamure2 ай бұрын
Kwale tuko pamoja MORARA Kebaso i thought utaishaia NANDI but big....ukituita nasi tutaitka....you,ve done it..
@gertrudemwashuma79222 ай бұрын
Aisee,haki Mungu awalinde na team yako.
@sherahm.inspires99692 ай бұрын
Any channel with morara 2027 president I subscribe . Keep it up son , even this current gava their children are for you deep inside their hearts they remain smart GEN zs
@susanbaumgartl7881Ай бұрын
Hongera sana mtoto wetu mungu azidi kukulinda nakukutetea kwa jina la yesu kristo 💕
@innocentkeraa65542 ай бұрын
❤❤❤🎉 well done brother 👍
@janegianatasio99352 ай бұрын
Morara kibaso our God sent hero .God bless you so much and protect you. I come from taita taveta County Asante kwa kutufungua macho I support you my son hii wizi wizi bila kazi.100%
@AndrewUwani2 ай бұрын
Karibu bro
@Stanleykivinda2 ай бұрын
Kazi nzuri hii ya governor, salim vyura😭😭😭😭😭😭 makofii , makofi tena👏👏😭👏👏😭😭👏👏😭😭👏👏😭😭😭😭😭
@kahindimasha3892 ай бұрын
Good job Man... May God bless and protect you for sure...
@GeorgeMwanga-kk6vf2 ай бұрын
Big up bro ....nice job ...fika bungoma pia
@claudineali35612 ай бұрын
Asante sana kwakuongea kinswaili ndio wa kenya wengi wanakuelewa🎉🎉🎉🎉❤
@lawrenceauma40372 ай бұрын
Morara keep up with good work..
@ramadamasco92422 ай бұрын
Wefangue watu macho bro.kazi nzuri
@johnsonkazungu49762 ай бұрын
Well done our future president
@jumakumala13372 ай бұрын
ALLAH pekeake ndie anaweza kutubadilishia maisha yetu na kutupa rizki zetu km anavyo waruzuku ndege , lkn hkn yoyote miongoni wa binadamu wote ulimwengu wote wanaweza badilisha maisha y watu
@KIM-xl6zs2 ай бұрын
Wewe ndio my president
@franciswaiguru1051Ай бұрын
I feel like i like this guy for free😊😊
@christopherjefa16892 ай бұрын
Next ....Mombasa then Kilifi.
@dorisflorenceokila69632 ай бұрын
HONGERA MORARA
@Yunisgitonga2 ай бұрын
May the blood of Jesus Christ guide u mahali unakanyaga na mahali unalala! Imagine we are here Saudi Arabia cleaning toilets na kz Iko kwetu😢!nimelala! Do you know the Saudia kingdom cannot allow mtu wake aende kufanya kazi ya utumwa in foreign countries 😢😢!!au kz ya mkono! Do you know wazee,wajane, disabilities,wanalipwa daily oh!my I'm really crying for our country ipoone vizazi vyetu visherehekee uhuru! I'm here almost 10yrs! Working in vain nikiogopa nikija Kenya nitaishije na familia yangu! Kumbe Kuna projects miingi zimelalisha ushuru wetu! Zingeksmilishwa tungepata ajira ndani ya nchi yetu wenyewe kuliko kufanya kaz ya utumwa uarabuni😢😢! Thanks morara God bless you na akuondolee mahasidi! Please mungu fungua watu wako macho ya ndani!! na wape upendo wamekuwa wanyama! Mtu akipata anataka kula mwenyewe!! a country greedy people 😢😢!!
@susanbaumgartl7881Ай бұрын
Ee mungu tusamehe wa kenya tulikua vipofu tukimchagua,,,eee mungu kenya tuhurumie baba 😢😢😢😭😭😭😭😭😭
@rodgersmogaka2 ай бұрын
Good work bro we support you
@kombogambare35742 ай бұрын
Waaah,brother just move on to Kwale-kinango road ndio utajionea,still tumekimya,Mola aokoe Kenya
@dohaqatr84612 ай бұрын
Fika hadi kikifi County Morara plz n plz
@philipkarisachengo9233Ай бұрын
Aje, aje huku kilifi
@SamuelKitonga96982 ай бұрын
So sad..
@riazjuma842 ай бұрын
😅😅VIOGONZI WA MOMBASA NI WEZI😅😅
@sophiahmedza9292 ай бұрын
Wote.. Si walisema nyumba ya governer isipite million 45.hii ishafika Mia na
@nuria72342 ай бұрын
Why do we build them a house?They steal enough to build themselves a house@@sophiahmedza929
@MoralisticHKM2 ай бұрын
Morar Kebaso needs support, all the way🎉🎉
@djdrop2542 ай бұрын
Good luck @ Morara Kebaso..May the Lord protect you and your family
@geoffreyombati5102 ай бұрын
What if we what to vote for you what have you done or what will you promise to do cose after people will follow you up the same same way Anyway remember always the truth person never needed in this world keep it up bro millions of people have alot to share and show but there are afraid to be killed since you have come without fearing anything keep it up congratulations bro I think we need someone like you to be our leader
@SalimMlocal-rk9hkАй бұрын
Morara GOD bless you
@justinkamau35032 ай бұрын
Enyewe Morara Kebaso Mungu Aku protect Tu Sana kwa KAZI unayowafanyia wakenya
@Lucky-JJ232 ай бұрын
🎉🎉🎉 Morara, l just find it strange that Ruto has never responded about this issues,were are the Likes of Raila,Sudi, Ichungwa, Murkomen and many of his advisors????? I honestly don't believe that he doesn't know 🤔.
@wawerumwangi71542 ай бұрын
They have responded by trying to quite this young man. Hata poronjo nyingi kuhusu Morara eti yeye ni mfasidi.
@jamesoyoya35622 ай бұрын
Wish you could link your channel with citizen tv for more kenyans to see what's happening in our c5
@Niceboys4562 ай бұрын
True@@jamesoyoya3562
@gilbertngetich2112 ай бұрын
Morara needs our support
@sireedelbaurry2 ай бұрын
Morara hatak kama sina pesa but nakuombea mungu uakupe nguvu na afia uwe mmoja katika team itakayokuwa kwenye serikali mpya
@thomasmarende24452 ай бұрын
Kazi mzuri morara kebaso. Bali tunaomba Mungu akulinde against Faruk kibet na masubaru zao wangalie kando.
@SheeMaryam.M2 ай бұрын
Serikali iliambiwa wasijaribu kumshika waachane na yy
@thomasmarende24452 ай бұрын
@SheeMaryam.M true,but l'm aware you know what happened to Jacob Juma, Rex Masai,msando atc.
@SheeMaryam.M2 ай бұрын
@@thomasmarende2445 yeah even saitoti mtu akisema anaenda kumwaga mtama mbunge, anauliwa siku tatu nyuma.. ila watalipia tu siku ya qiama
@thomasmarende24452 ай бұрын
@@SheeMaryam.M 👍 saitoti, Orwa ojode, general Ogola, ICC witness, Rigg G himself has said some security officers wanted to poison him in Kisumu, do you think that can happen without top leader. During Moi regiment we had powerful pple like Total Man (biwot) then we witnessed assassination against opponents off Moi the likes of Robert Ouko , Alexander muge,masinde muliro , during kibaki we saw michuki whereby we find mutula being poisoned atc, uhuru Kenyatta we had powerful guys like matiangi,kinoti whereby eventually we saw our fellow colleague being killed and dropped into river yala atc, Ruto's regime we have some individuals in this government the likes of Faruk kibet what to channel extrajudicial killings as their predecessors.
@georgemnene5022 ай бұрын
Morara, nimekubali kaka. Unastahili🙏🏿
@lincolnkirui-nc1nd2 ай бұрын
I love this guy
@christine8482 ай бұрын
Raisi Muteule Kebaso Morara endelea hivo hivo, lugha ya Kiswahili ndiyo ya wanainchi wote
@AbigaelSalama2 ай бұрын
Come kwangu oragere endugu
@dnetts2 ай бұрын
okoa kenya 😂😂😂😂😂 jamanii
@danielk72252 ай бұрын
Hii Kenya imeoza.
@PuritySanta2 ай бұрын
Good job morara
@winniethewinner332 ай бұрын
Kazi ya ujasiri
@MutuaJames-jx5ep2 ай бұрын
Kasri la kifahari lajengewa governor wanaichi wakipambana kutafuta karo,inauma sanaaaa😮😮😮😮,fichua Kila kitu.
@NgasaMaduhu2 ай бұрын
With Ksh100m i would've built 10 houses with same looks here in mwanza
@Marry-u8m2 ай бұрын
Karibu kijana wetu
@susanbaumgartl7881Ай бұрын
Huyu ruto na serekali yake wacha mungu akawajibu kwa mapenzi yake na siku yao inakuja hawatapata amani hatawakifa hizo fedha zimelaaniwa watoto wao na familia yao imelaani kwa jina la yesu kristo Dentronomy 28,kwa nzi 14,mpaka mwisho hicho ndicho kifungu chao siku zao zinakuja mungu huwahasahau kile upandacho ndicho utakacho vuna
@ausatmwangi6464Ай бұрын
Speaking the truth but it lands in deaf ears 😢
@BetyMaraga2 ай бұрын
Bro tuko nyuma yko asubui n mapema 2027 us prezo 🎉🎉🎉
@annjames7772 ай бұрын
Good work Morara, keep injecting
@manafikhatib94132 ай бұрын
THE NEXT JICHO PEVU
@apocalypsematrix92522 ай бұрын
THIS DUDE IS A GAVA PROJECT
@roselineshisinya5189Ай бұрын
Morara please one day go to vihiga na uende mbale hospital . Even just toilets za wakojwa ni maajabu.
@ShikukuTV..Elpresidenteee2 ай бұрын
Chunga usibebwe na ndovu
@gladysntalkshow89732 ай бұрын
I wonder if there will be honest, caring leaders in ourcountry. The world is full of selfish greedy leaders who dont care about anybody else apart from themselves.GOD HAVE MERCY.
@yussuflimited42202 ай бұрын
Even Azimio which was saying we are the eyes of the common people have never exposed the wasted monies in the counties.
@franciswaiguru1051Ай бұрын
All that money na haijamalizika 😮😮😮...kweri sisi wakenya tunasaidia watu wengine kuishi
@halimakiniti1227Ай бұрын
Governor mvuria was there for 10 good years
@EuniceBen-t4v2 ай бұрын
Hii Kenya ikona pesa mingi sana lakini shinda ni viongozi wenye tunachangua
@jamesmukila27212 ай бұрын
Come meru
@bakaribwata47482 ай бұрын
Sawa Sawa kabisa
@halimakiniti1227Ай бұрын
Hii kitu inaitwa Devolution was a Good idear but ma governor wengine wame chezea pesa
@supacklaizer76622 ай бұрын
Kenyaaaaaaaa
@julietkiti53862 ай бұрын
Njoo Kilifi Mr Kebaso
@RobertOnyonka-ho9hz2 ай бұрын
May God care for you my brother Morara kebaso . keep on moving❤
@vampskisua14472 ай бұрын
Kuna jamaa unafaa kumtembelea pale Mombasa pia saizi naskia anahesabu samaki
@gilbertbada83852 ай бұрын
Ile pesa imerambwa!!
@musakibwana45962 ай бұрын
Tunakungoja Mombasa uchimbue mashimo ya uizi
@magdalenemutua2 ай бұрын
This is unbelievable 😢
@MrSamatars992 ай бұрын
Great job! Hiyo ni pesa ya wananchi! Snake bites killing children and there is no antidotes and hawa wezi wanaishi kama wafalme! Wafalme wa kifo na damu ya watoto.
@christinekalama36602 ай бұрын
Please we are waiting for you in kilifi county
@brown001show2 ай бұрын
Uko kilifi wapi madam
@Chillaxingpics2 ай бұрын
Morara njoo kilifi utuomeshe mauzauza ya Kilifi
@nicholaskimwele52112 ай бұрын
Ooh my Lord
@JoshuaNzoka-ti1uf2 ай бұрын
Twajua kenya hiko wenyewe lakini twakuobea mungu tu
@frankdzombojun13432 ай бұрын
Mombasa … Mombasa Municipal Stadium
@gilbertbada83852 ай бұрын
Think the 100m was well spent. All that work i can see the 100m easy
@eliudgathuthi86012 ай бұрын
Imagine all this was happening and Kenyans didn't know, wote hawa wanaenda wakiendanga
@faithnyamburairungu-hq2nk2 ай бұрын
Hata unaweza shindwa kwenye umeingilia
@MwasabuniSuleiman2 ай бұрын
Katika ulimwengu mzima hakuna county ambayo pesa zake zina fujwa kama county ya KWALE
@johnthuo73122 ай бұрын
Enda Tana River hakuishi watu niwanyama
@MsDavali2 ай бұрын
We respect you MORARA for bringing these ills to our attention.
@eznabosibori71662 ай бұрын
Nyasae Abe naye
@jumakumala13372 ай бұрын
Jengo niwachiwe mbuzi na mambwa waje walale na kuzaana
@catherinemuthoni88472 ай бұрын
huu wizi wotee
@JhonsonCharoАй бұрын
Jameni mwataka nyumba kubwa ya Nini na wananchi wanatumia hata kazi hakuna mbona munakosa kutumia nafasi mlizopewq na Wakenya kwa kukosa ku prioritize miradi ya kuinua jamii
@godsservantrimo98442 ай бұрын
lastly umefika kwale tutolee madudu huko plz
@Mgongoo72922 ай бұрын
But why?????😢😢-hawatosheki???wanasikiaje kila siku & before the people+God??😡😡😤😤
@sophiahmedza9292 ай бұрын
Watu wa pwani hii mtaona alafu.. Mtabaki na mtu wetu 😢😢😢😢😢
@AtifaIslam-t6g2 ай бұрын
Wenyewe usema gavana mchapa kazi vipofu walio.mscho
@agnesmuchai94852 ай бұрын
One question asking myself all the projects you have showed No any opposition member has ever exposed this And now wako kwa ground wakitafuta kura za 2027 Tusibebwe ufala
@DICKSONMAKANGA2 ай бұрын
FUNUA UVUNDO KAKA MORARA KEBASO
@jacksonmuange38852 ай бұрын
Morara kibeso ipikapo 2027i Will vote you is better niaguke na wewe