Рет қаралды 371,332
Tumsifu yesu Kristu
Nimara nyingine ambayo bwana ametupa pumzi ya kumsifu kupitia nyimbo za kumsifu na kutukuza.
karibu tuungane pamoja hadi tamati ya sifa.
unaeza pia pea moyo wa kusukuma kazi hii kwa
nambari ya simu;
+254702113890
Na bwana awabariki mtakapo enda kusikiza nyimbo hizi.
Amen🙏