MOVIE REVIEW : MCHIZI MWENYE MOYO MKUNJUFU | TREASURE IN THE SKY(2024)

  Рет қаралды 613,074

E 7bits

E 7bits

Күн бұрын

Пікірлер: 521
@vannvannjokes2239
@vannvannjokes2239 11 ай бұрын
Unyama sana Mzee baba Kula mauwa yako🎉
@ismailaladini3014
@ismailaladini3014 11 ай бұрын
Zeee la kutune. Kakaaaaaaa nakukubali sanaaaaaa🎉🎉🎉
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@KhabilMtumwa
@KhabilMtumwa 11 ай бұрын
Wa kwaza Leo nipeni like zangu
@MohdMohdC
@MohdMohdC 8 ай бұрын
Kweli
@IssaHamisi-tf1bf
@IssaHamisi-tf1bf 11 ай бұрын
Umetisha mwambaaaas babaaaaaas
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙏🙏
@filemonjerad151
@filemonjerad151 11 ай бұрын
Watu ni mnawai balaaa khaaa😅😅😅 naombeni like zangu tu Atakama nimechelewa
@stevenjacob8011
@stevenjacob8011 11 ай бұрын
Hizo like mnazoziomba Zina kaz gan ?
@ridhiwanmkwanda8436
@ridhiwanmkwanda8436 11 ай бұрын
Yaan zngekuwa seat ww ungekuwa unawahi mbele
@official_juju01
@official_juju01 11 ай бұрын
Hatuchelewi😂😂
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 11 ай бұрын
Hio apo Joh ,tishaah sana
@IssaMussa-cl9oi
@IssaMussa-cl9oi 11 ай бұрын
Lazima upewe
@aslinemapenzi7962
@aslinemapenzi7962 11 ай бұрын
Treasure in the sky the trending movie this movie is something else it's very emotional i have 😭😭😭😭😢 cried the best producers in nollywood industry nagerian uchenna munambo tv on KZbin the best director ben cassie and the new Fine boy cute and handsome, intelligent CLINTON JOSHUA EZEWELE ❤❤❤❤
@DONY-kz
@DONY-kz 11 ай бұрын
Dah we Jamaa noma Sana movie imetoka juzi tu namaliza kuitazama tayari umepita...safi sana
@ZakiaJuma-z5f
@ZakiaJuma-z5f 11 ай бұрын
Broo hii imetishaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@abdiswift
@abdiswift 11 ай бұрын
wakwanzaaaaaa tisha sana e7bits
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@irenemahal3311
@irenemahal3311 11 ай бұрын
Jamn E 7 bits u are the best ever nimeanz kuwafwatilia Jan nmemaliz recap zotee na Badoo naendelea had nmekutan na 17 min ago
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Asante sna aisee🙏
@nasha_59
@nasha_59 11 ай бұрын
Ni movie nzur sna Huwez jua maumiv yakuondkew mpk uondkew na yyl mt wa karib Ni mwak sas tang Mama yang afarik sio rahis😭😭😭😭😭😭 Unajua sna 🙌💥
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Pole sana🙏
@nasha_59
@nasha_59 11 ай бұрын
Asnt sna 🙏🙏
@haluarahma3071
@haluarahma3071 11 ай бұрын
Moto sana🔥🔥🔥🔥asante dj❤❤❤
@Shadia544
@Shadia544 11 ай бұрын
Duuuh watu halali 😂 nimechelewa nimekuwa wa 98 sio mbaya asante mwamba tunainjoi tuuu ❤❤🌹🌹✌️
@iblack22_
@iblack22_ 11 ай бұрын
Jama anavyo fupisha hizi movie alafu nakuziweka kwa kiswahili yaani sisi wengine ambao tunaoziona zote full kama nimeielewa zaidi kwa hiki kipande kifupi kuliko full yote jamaa umeuwa 🎉❤🔥
@gladysmkamburi5001
@gladysmkamburi5001 11 ай бұрын
Umeonae niliona full but English
@gidionlemanya6077
@gidionlemanya6077 11 ай бұрын
Labda lugha ndio tatizo 😅😅
@ZillyGbwy
@ZillyGbwy 11 ай бұрын
Sana Konka ✌🏼
@mohamedsaid8221
@mohamedsaid8221 11 ай бұрын
Namba mojaaaaaaaaa
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙌🙌
@mohamedsaid8221
@mohamedsaid8221 11 ай бұрын
@@e7bits_tz nakubali mwamba
@ommyfuture.3853
@ommyfuture.3853 11 ай бұрын
Aiseeee zee la town respect sana brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Unazidi kutupa burudani na kukonga nyoyo zetu
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@ellah_tz
@ellah_tz 11 ай бұрын
Sikujua kama movie itaisha hiv 😢 ila imenitoa ma chozi na vicheko kwa wakat mmoja ,,,hey ma nigga konkaaa unajua aise we kaka 🥺🥺🥺 Mungu anajua wapi atakufikisha good of luck ma men
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Thank you so much🙏
@AllenSmith-lp360
@AllenSmith-lp360 11 ай бұрын
Wa kwanzaa leo likee zanguu jamanii
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌
@TheDeeHerself
@TheDeeHerself 11 ай бұрын
Like zako ndo nini? Acha utoto wewe
@AllenSmith-lp360
@AllenSmith-lp360 11 ай бұрын
​@@TheDeeHerself Kumbee,,,hello devothaa😂
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 5 ай бұрын
Like zako zipi hz
@JeffRashid-f9z
@JeffRashid-f9z 11 ай бұрын
7 bits hii movie ni kali na iko na stor kal nmetouch haya maisha ni mafup love ndo kila kitu
@DavidThadeo
@DavidThadeo 11 ай бұрын
Mzee unajuwa😂🫡🫡🫡🫡🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Asante sana🙏
@calvinmathiace9512
@calvinmathiace9512 11 ай бұрын
Dah kaka inasikitisha sana mwishoni had imenitoa machozi yani 😢
@lengoyamangoindakeni893
@lengoyamangoindakeni893 11 ай бұрын
Dah!!! Nimeumia bro😮😮
@MossesSanga-e9f
@MossesSanga-e9f 11 ай бұрын
Umeipig San nakubal mwanang
@SaudatOmary
@SaudatOmary 11 ай бұрын
Mzigo unasikitisha sana dah! Nakukubali mwamba...
@zanifaadam6344
@zanifaadam6344 11 ай бұрын
kweli ndomana ikaitwa the treasure in the sky❤❤...
@MunyangeNdabirinde-pn8px
@MunyangeNdabirinde-pn8px 11 ай бұрын
Kak umeniliza sana kwa story inatiy uzuni san
@aminaomary4834
@aminaomary4834 10 ай бұрын
Hii movie ni kali mpaka nimetoa machozi jamani❤❤❤
@justinemasse28
@justinemasse28 10 ай бұрын
Mimi pia nimetoa machozi jamn
@tellodelucky6864
@tellodelucky6864 11 ай бұрын
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥🙌🙌🙌❤
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙌🙌
@fourteen_kiid
@fourteen_kiid 11 ай бұрын
Kama hujalia hongera yako!
@GeraldKings-xj8iq
@GeraldKings-xj8iq 10 ай бұрын
Leukemia ni cancer ya damu kama kawaida ya cancer isipotibiwa mapema uwa inasambaa kwenye sehemu nyingine za mwili inaweza kwenda kwenye mapafu mtu akapata cancer ya mapafu na sehemu nyingine nyingi ..all in all kazi nzuri brother unajua kusimulia
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 11 ай бұрын
Utalia tu inafundisha sana nimepata kitu cha kujifunza maisha mafupi tuishi vizuri na watu hata kama wanatuudhi😢😢
@mwanahamishamis2711
@mwanahamishamis2711 11 ай бұрын
M mwenyeew nmelia😢😢😢😢
@Tito_mbugi
@Tito_mbugi 11 ай бұрын
wakwanza naomba usipite bila likes jamn
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙌🙌
@Tito_mbugi
@Tito_mbugi 11 ай бұрын
pamoja kak.. 😁😁
@emmanuelmashauri1430
@emmanuelmashauri1430 11 ай бұрын
Joshua Clinton anajua Sana huyu jamaa
@ClaudGeorge
@ClaudGeorge 11 ай бұрын
jamaa anakuja kwa kasi 🔥🔥
@ChristinaCharles-ef8qv
@ChristinaCharles-ef8qv 11 ай бұрын
Nimelia kwauchungu 😢 😭 inaumiza sana hi movie
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
So sad😭
@mahershadhil2493
@mahershadhil2493 11 ай бұрын
One on time
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙏
@maylucson001
@maylucson001 11 ай бұрын
Duuuh nimeipendaaa ❤❤😢
@RickChazy
@RickChazy 11 ай бұрын
Walio lia kama mimi gonga like tujuane 😭
@fayzadaud
@fayzadaud 11 ай бұрын
Mzigo ni wa moto 🔥 ila umenitoa machoz kw kwl
@WilfredyChuwa
@WilfredyChuwa 11 ай бұрын
Daaaah nomah sanh # tupendan maish n mafup wanang
@ellah_tz
@ellah_tz 11 ай бұрын
😂😂😂 ety wat ,,am sorry sitaweza 🙌😂😂
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
😂
@johnpetro1069
@johnpetro1069 11 ай бұрын
Huyu dogo kaupiga mwingi❤❤❤❤ unapoiangali ni lazima ulie au kama una moyo mgumu kama jiwe utaumia sana moyoni
@joshuafute5680
@joshuafute5680 11 ай бұрын
Yani lazima aseeee machozi yashuke
@dullywa9973
@dullywa9973 11 ай бұрын
😃😃sema wanaijeria bana, hii story naijua banaaa…ila zee la kutune umeuaaa sana
@ummuhumayraa7000
@ummuhumayraa7000 11 ай бұрын
Machozi yananitoka jamn so sad story
@BasuleBasule
@BasuleBasule 11 ай бұрын
Kwasasa huna mpinzani brooo kwanz napenda unaweka move ndevu nakubar sana 🙌🙌🙌
@GadafhiFundii
@GadafhiFundii 11 ай бұрын
❤❤❤ your brother
@NajmaMohammedy-u4y
@NajmaMohammedy-u4y 11 ай бұрын
Ad mm nmeliyaa🤧
@MasoudMakanya
@MasoudMakanya 11 ай бұрын
Wakwanza leo na mimi
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙌
@jovinodongo8212
@jovinodongo8212 11 ай бұрын
Ime nitachi sana ukilinganisha na hi life nayo ishi ....... nimachozi tu yananibubujika .... ,,,, ((( maisha nimafupi ishini kwaku furahi 😢😢😢 ))).....😪😪😭😭😭
@NdikumanaSheba-nk5jf
@NdikumanaSheba-nk5jf 11 ай бұрын
Dah mpaka nimelia aki 😥
@wennybarny168
@wennybarny168 8 ай бұрын
Leukemia ni English na kwa Kiswahili ni Lukemia hii ni kansa ya damu na ilomuua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa jina la utani mchonga meno. Ndo ugonjwa ulompata huyo Jidena.
@MoTalentTz
@MoTalentTz 7 ай бұрын
Oy hii movie kali mpk nimeludia tn kuangalia😂😂😂😂😂😂
@millermlowe8156
@millermlowe8156 11 ай бұрын
Hivi mnao omba like huwa mna taka kuzifa nyia nini
@yoh107
@yoh107 8 ай бұрын
😆😂😂😂😂😂Aseeeeeeee bora tu uwaambie
@NeyratZubeiry
@NeyratZubeiry 5 ай бұрын
Bora na wew ata umeuliz
@EverlineSyombua
@EverlineSyombua 11 ай бұрын
Nimependa movie
@MabantuOfficial
@MabantuOfficial 11 ай бұрын
Daah 💔
@omarmufti4184
@omarmufti4184 11 ай бұрын
Hiii movie imetufunza kuishi nawana wengine kiroho safiij mana hakuna anaejuwa keshooo I say nimejifunja mengii zaidi kupitia hi movie..
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 6 ай бұрын
Daaaah mpaka mm nimelia jamani jamani kizuli hakidumu😢😢😢😢
@irenechristopher2320
@irenechristopher2320 11 ай бұрын
Plzz recap ya miracle cell no 7 🙏🙏
@hamoud-kf7xk
@hamoud-kf7xk 11 ай бұрын
Nomaaaaaa atali
@christainc.5217
@christainc.5217 11 ай бұрын
Najifunza kitu hapa kuambiya watu waapendane wace cuki maisha nimafupi❤❤
@princealian5642
@princealian5642 11 ай бұрын
Jaama jidenna kauwa yaani big respect kwake
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 11 ай бұрын
Daaah 😥 imeniliza hii movie haswa hapo alipo jilikodi inabidi tupendane 😢
@SHALIFUHASSAN-c1t
@SHALIFUHASSAN-c1t 11 ай бұрын
Huyo jidena jina lake halis ni nan🎉
@pillymwigura1249
@pillymwigura1249 11 ай бұрын
Joshua Clinton ezewele
@athumanmanichi9832
@athumanmanichi9832 11 ай бұрын
Salute kwako bro
@abdul-hamidali6534
@abdul-hamidali6534 11 ай бұрын
Wakwanza😂
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌🙏🙏
@richardlizomba1291
@richardlizomba1291 11 ай бұрын
Aiseee..nilizimia baada yakuiona hii movie
@AminaBakari-oy9eb
@AminaBakari-oy9eb 11 ай бұрын
Nzur san
@DavidThadeo
@DavidThadeo 11 ай бұрын
❤️🙏💯💯
@MaimunaMustapha-m6c
@MaimunaMustapha-m6c 11 ай бұрын
Daah ad nalia
@marryofficial9143
@marryofficial9143 11 ай бұрын
Mm nmelia mpk mafua😢😂
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 6 ай бұрын
Daaaah uko poa sana mwendelezo tafazali 🎉❤🎉❤🎉❤
@youngmaster4127
@youngmaster4127 11 ай бұрын
Salute
@VailethCharles-xd3dx
@VailethCharles-xd3dx 11 ай бұрын
Isee napenda unavyo tafsiri wah! adi unasisimua yan move unaipeleka ilivyo mm shabiki ako nomba moko
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Asante sana
@laurentraphael2697
@laurentraphael2697 11 ай бұрын
Uyu jamaa ni fund sana hii ni movie kbsa yenye hisia sana
@Jackilinedanielikilika
@Jackilinedanielikilika 11 ай бұрын
Daaaa hii movc umenitoa machozi jaman😢😢
@ZachariaMalugu
@ZachariaMalugu 8 ай бұрын
Kaka nakukubali San njisi unavyo zitangaz hz movie congratulations my brother
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 11 ай бұрын
Daaah
@nashowtz9913
@nashowtz9913 11 ай бұрын
Unatishaah sana kaka🔥
@Ramlatshabani
@Ramlatshabani 11 ай бұрын
Nomaaaaa 🎉
@FrankMbaji
@FrankMbaji 11 ай бұрын
Noma
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Hatr
@AloydKalikeka
@AloydKalikeka 11 ай бұрын
Dah! Hadi nimelia mwishoni aisee😭
@rahmahamis7067
@rahmahamis7067 11 ай бұрын
Ya leo imenitoa machoz sio poa😢
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Poleeee
@ellah_tz
@ellah_tz 11 ай бұрын
Hata mim aise 😭
@rahmahamis7067
@rahmahamis7067 11 ай бұрын
Asante😥😥
@IssaKilimo
@IssaKilimo 11 ай бұрын
Duuh jamaa unajua kumsimulia mtu mpaka anasisimka aloo wee noma sanaa
@benjagabril9994
@benjagabril9994 11 ай бұрын
Oyah weh comment moja inatosha
@dayanafelly1488
@dayanafelly1488 11 ай бұрын
Ila wew Kaka unasauti nzuri
@BukuruShakila-s2i
@BukuruShakila-s2i 11 ай бұрын
Nimependa san ❤😢nduni tunapitaa
@bwashee
@bwashee 11 ай бұрын
😘😘
@godsonmwanga8808
@godsonmwanga8808 11 ай бұрын
Mpk nimelia asee😢
@RahmaMubaraq-w9r
@RahmaMubaraq-w9r 11 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢Nimeuzunika aiseee
@Mambalyelibarick
@Mambalyelibarick 11 ай бұрын
Nakubaliiii
@ashajumanne3281
@ashajumanne3281 11 ай бұрын
Mbona nimelia sasa jamni
@nancyg8664
@nancyg8664 11 ай бұрын
😢ata mimi
@ZuwenaSuleiman-w4s
@ZuwenaSuleiman-w4s 11 ай бұрын
Oya ww fundi Sana,Mungu akubariki
@afreyghp34
@afreyghp34 11 ай бұрын
Hongera kaka good stories 🎉😊
@TECHSMARTSWAHILI
@TECHSMARTSWAHILI 11 ай бұрын
E7bit umenifanya kila muda ni refresh youtube yangu kuona mzigo mpya umepost😂😂😂😂
@neemammbaga227
@neemammbaga227 11 ай бұрын
Same here nmekua addicted na recap zake af nlkua at sipend za kutafsiriwa ila saiv wee nshatizam recap za e7bit zotee nasubria mpya tu
@Chimamy5242
@Chimamy5242 11 ай бұрын
Saut ako ndo inafanya nafatilia story zako❤
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
Asante🙏
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 11 ай бұрын
🎉❤😂yani dj mm kila muda nilikuwa naangalia chukua mau yako
@e7bits_tz
@e7bits_tz 11 ай бұрын
🙌😂
@cosmasdaudgwemela6046
@cosmasdaudgwemela6046 11 ай бұрын
Ukweli hii move tamu sana sijui nisemeje I like so much
@sharonsalumu7445
@sharonsalumu7445 11 ай бұрын
Mm nimeliya san
@MamuuBby
@MamuuBby 13 күн бұрын
Kazi nzur sn❤
@Zakaria-i6q
@Zakaria-i6q 7 ай бұрын
Haha mm nawashanga sana like zann
@princealian5642
@princealian5642 11 ай бұрын
Movie hii unaweza kuangalia mara million Wala isikuboe
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
MAPENZI YA MASIKINI YAMPAGAWISHA MTOTO WAKISHUA | MOVIE KWA KISWAHILI
25:02
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 680 М.
AMEAMUA KUMPENDA MUUZA CHAKULA WAKATI KWAO NI MATAJIRI
16:10
AMBWENE MEDIA
Рет қаралды 665 М.