MPAKA HOME KWA MZEE MJANJA WA TIK TOK |MSWAHILI BALAA |MGUSE UNATE |ANACHAMBA

  Рет қаралды 43,380

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Kama maisha yake yanaendelea ayo mengine ni ya mungu sisi wengine waangaliaji achen shobo
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
mi bado nafurahia kazi yako music haina umri kwani mdomo na tumbo vina umri chamusingi ujaongea tabia mbaya mungu akuzidishie wasio kupenda niwa binafsi ndio wanabeba thambi zako maana hawastahili kuukumu much love mbuyu 🔥🔥🇰🇪🇪🇺🎷
@faridabakari3528
@faridabakari3528 Жыл бұрын
Mwacheni mzee amilki tik tok yani ako Sawa ongera bablu kisauji.. I love your all pet...
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
Nimeamini Tanzania bila kk uwezi ukajulikana msiba mkubwa huu ya Allah tujaalie mwisho mwema Inshallah 🤲🤲🤲🤲
@fatmamakalo3068
@fatmamakalo3068 3 жыл бұрын
Msiba mkubwa huu🙆‍♀️🙆‍♀️
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 3 жыл бұрын
Pambana na hali yako
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 3 жыл бұрын
Amin
@tatuomari5007
@tatuomari5007 3 жыл бұрын
Acheniu unafiki
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
@@tatuomari5007 tukiacha unafki wewe itakusaidia nn
@davivancee9991
@davivancee9991 3 жыл бұрын
Fanya kazi mzee kwanza unatufurahisha pia upo vizur sana
@marymary6758
@marymary6758 3 жыл бұрын
Uyu mzee nmempenda aisee big up
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Maashallah maashallah mungu akuzidishie sana nimependa wimbo wa mzee SAID umenikumbusha Kwetu Tanga da 💕💕💕💕💕 zilipendwa
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Nakuzindua kwa enjoy hiyo ungefungua madrasa kuruan bora
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Mzeee kashafika mjini haaaa Aya bhana enjoy na maisha yako...... 1997 mie ndio kwanza nazaliwa duuu heshima yako mzee wangu
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔😭Uyu mzee ni mtihani, Allah amjalie mwisho mwema, kumbe na kuimba anaimba, asara akose kutubu loooh
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Anaimb mdaa huyu babloom anaitwa anakaa magomen nyumb yake humo hum kuna studio
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 3 жыл бұрын
Anaimba kitambo sana
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Waislam mnajikutaga weema wenyewe nyoko kabisa we unajua huna dhambi?utaanzaje kuhukumu mwenzako we ni nani?kuma wewe
@hadijarajabu5312
@hadijarajabu5312 3 жыл бұрын
@@elbaricktv1632 siyo wote mwaya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
@@elbaricktv1632 Waambie ukweli.maana dhambi zote wanawapa wakristo
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Alla akubadilishe kabla hujarudi kwa mola wako
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Nyimbo Kali sana iyo mzee aiachie
@khaijajumanne1317
@khaijajumanne1317 3 жыл бұрын
Mtihan jaman
@ashasungata2708
@ashasungata2708 3 жыл бұрын
Mtihani wallah 😌😌
@habibaa9503
@habibaa9503 3 жыл бұрын
Mzee umri ushaenda mungu akupe mwisho mwema usiendekeze dunia.
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
SubhannaAllah maskin wee
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Hatariiiiiiiiiiiii......Duh Kweli Hamna Mzee Tanga nyakati hizi.....
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Subhana lla
@judithmosha739
@judithmosha739 3 жыл бұрын
Hongera sanaaaa mzee kisauji.kuna wimbo unaitwa nikikupaa utalewa uliimbwa na dada mzungu.naupenda sn wa bendi yako
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 3 жыл бұрын
Na nikikunyimaaa utariyaaa
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
ujana haukukutosha kuimba muziki. uzee na mvi zimekujaa. hebu tubia mzee wangu . ufanye ibada. usipoteze mda wako kwa mambo ya kumuasi Allah Subhanahu wa taala
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Жыл бұрын
Atulie una mlisha wewe? Mnajipa majukumu ya kupangia watu maisha wakati yako alosto mfyuuu😂😂😂😂
@anwarambar6141
@anwarambar6141 Жыл бұрын
@@Bintimrembo-y1v kumbe mpo wengi,
@zainabzainab9803
@zainabzainab9803 3 жыл бұрын
Nakupenda Bure 😍😍😍😍
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 3 жыл бұрын
Safi sana
@aminaissa9756
@aminaissa9756 3 жыл бұрын
Mzee kijana.
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Mmmmhu Mzee kisauji huyu ni noma🤔 Mzee mjanja sana sana.
@petermlundwa6399
@petermlundwa6399 3 жыл бұрын
Kiswahili ni kizuri, nimekubali boksi la karata
@bintybaba3486
@bintybaba3486 3 жыл бұрын
Mrejesho wa mama happy
@swdaalii6892
@swdaalii6892 3 жыл бұрын
Masha Allah, sauti nzuri inasisimua wallah
@neeykabby4571
@neeykabby4571 3 жыл бұрын
Jamani huyu Mzee ana vituko yaani
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Jamaniii...seif kisauji oooh...miss u snsn...yaaani edaaa..edaaaa eda ukowapiiii..nnakutafutaaa..
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 жыл бұрын
Jichuzi limechachuka' churu churu Jinyama limemshuka gujuguju😂😂
@oum759
@oum759 3 жыл бұрын
Kasema kweli watoto wa kike mchana MashAllah usiku vidaka tu, ndoa zenyewe tng aolewe ashazini
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Haipendezi kwa kweli babu kwa umri wako.... Na watoto wako je wafanyeje
@annkabuga1904
@annkabuga1904 3 жыл бұрын
Wow💕💕💕💕😍💝
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Huyo Baba abamatatixo ya hakili badayakuswari kuomba mwishomwema anaelejeawapi na utuuzima huwo daa hasara muigope Allah moto WA Allah siyo mchezo tubu rydikwa Allah
@saranasser542
@saranasser542 3 жыл бұрын
Jamani tunataka mlejesho wayule dada wasingida
@tatuomary2008
@tatuomary2008 3 жыл бұрын
Kisauji Kama kisauji ❤️
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Babu dunia fanya ibada
@sherin3171
@sherin3171 3 жыл бұрын
Kweli mbongo kua star nidakika tu
@maryamkhamfar4029
@maryamkhamfar4029 3 жыл бұрын
Hy ni msanii wa miaka mingi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Huyo ni artist wasikunying
@tatuomari5007
@tatuomari5007 3 жыл бұрын
Unachekesha kisauji ni star miaka mingi nadhani umekuja juzi mjini
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 3 жыл бұрын
Ukikaa marekani hata ukiwa mzee unakaa mjanja mjanja tu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Ww babu toka umeanza umepata nini shauliyako umaarufu WA zambi aukusaidi ruditu kwa Allah mm ushauli wangu huwo Allah shaidi
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Subhallh 😭😭
@teddymachibya5766
@teddymachibya5766 3 жыл бұрын
jamani mrejesho wa babu na bibi pls jmn tumemic kuwaona jmn kweli
@halfanomouba7390
@halfanomouba7390 3 жыл бұрын
Diamond uyooooo,😁😄😂🤣😄😄
@khadijakhamis3160
@khadijakhamis3160 3 жыл бұрын
Anhaa diamond ♦ kakufata eeee diamond anatungia nyba chooni
@zarabati1750
@zarabati1750 3 жыл бұрын
Ila nimempenda uyu mzee
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Hongera siefu akee
@estapaskal4837
@estapaskal4837 3 жыл бұрын
Mgeni kwako 1999 alikua kijana mwenye mautundu yake mzuri
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Waah
@sultansultans9462
@sultansultans9462 3 жыл бұрын
Mzee safii sana. Lakini Taulu lake linauthi
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Namtaka huyo seki
@yusrasalum
@yusrasalum 3 жыл бұрын
Kisauji long time 😂
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
duuh baba kiseti😀😀😀
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Inalilah wainailahii rajiun Mungu tupe mwsho mwema
@sakinahkenia9426
@sakinahkenia9426 3 жыл бұрын
Muislamu unacheza na mbwa je ww unaswali kweli wakati mbwa ni haramu
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 3 жыл бұрын
mungu mwenyewe ndiye atamuongoza usijali mtu
@catherinewanjiru7136
@catherinewanjiru7136 3 жыл бұрын
👍👍👍
@fatumakassim716
@fatumakassim716 3 жыл бұрын
Pambeee mzee mwambie ataki mkeo mdogo nipo tayari 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 hahahaaa mzee kijana
@khalossalim213
@khalossalim213 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 жыл бұрын
Uyu mzee
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Huyu mzee ameaza kuimba mda tu acheni kutoa mapovu
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Kweli alikuwa anaimba kundi la Babloom
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 3 жыл бұрын
Hasu ni nyimbo ya Habasi Abako kutoka Burundi kautunga Hasu kwa mpezi wake Hasumini mwaka ya 1990 kutoka supper star band ya Buyenzi Barabara 8/ 30
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 3 жыл бұрын
@Mama Dully kwa sada nyau 🇺🇸
@halimafazeli52
@halimafazeli52 3 жыл бұрын
We zee Jaman tisini nanane mm minazaliwa mmh
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 3 жыл бұрын
Nishamkumbuka huyu baba nikiwa mdogo alikua akioneshwa tiviini akiimba.
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
We mzee ludi kwa Mola Wako daah aisee
@shakilakisangaike977
@shakilakisangaike977 3 жыл бұрын
Kweli huchambi ila unaelimisha
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 3 жыл бұрын
Namfahamu sana huyu mzee wakati wa Bablom Taaràb nami nikiwa barabara ya 15
@khalossalim213
@khalossalim213 3 жыл бұрын
Tanga mpooo😂
@LoloLolo-xj2nc
@LoloLolo-xj2nc 3 жыл бұрын
Noma xna rahajamani hakuna mzee
@fatmasultan7875
@fatmasultan7875 3 жыл бұрын
Ok👌👌👌👌💋💋💋
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Baba anamajibu huyo
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 3 жыл бұрын
Waaah 91 hata sijazaliwa🤣🤣🤣
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Kila lakheri
@marymary6758
@marymary6758 3 жыл бұрын
😂😂😂😂mzee
@ashnuhu1420
@ashnuhu1420 3 жыл бұрын
Hhhhh boksi la nini huyu mzee jmni
@stay_onit360
@stay_onit360 3 жыл бұрын
Jmn dunia ya sasa kila mtu anapenda awemarufu mimi tu ndo sioni umuhimu wake😃😃😃😃😃😃😃
@josemsafimusic3389
@josemsafimusic3389 3 жыл бұрын
Babou kisaujiii
@sadizedekia5061
@sadizedekia5061 3 жыл бұрын
😁😁
@cadhimberec1286
@cadhimberec1286 3 жыл бұрын
Hana uzee woote mvi tu hizoo🤔
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Duuuh mbona namba imesha tembea
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 3 жыл бұрын
Nyie wa andishi mna kosea wewe mulize ulio mfata mambo ya familia achana nayo
@likeothers2498
@likeothers2498 3 жыл бұрын
haahahha
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Mbwa na swala ni mtiani
@Nims643
@Nims643 3 жыл бұрын
watu wako hapa wakisema astaghafirullah na ukiwaangali wameoza🤮
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 жыл бұрын
😅😅😅😅umenichekesha
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
Walàh wasema ukweli watu wanafki kweli yao yawashinda kujitia wao dini imewakaa rohon kumbe uwongo mtupu nanyie mjiombee mwishomwema na wazazi wenyu mfuuuuu
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 жыл бұрын
@@aminakipande5645 😅😅😅😅😅
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
@@mariamselemani5208 😂😂mbn kilio
@mghazamghaza3361
@mghazamghaza3361 3 жыл бұрын
Si uwongo
@elizabethbwakila6078
@elizabethbwakila6078 3 жыл бұрын
Kwa hiyo ndio keshakuwa maarufu!!
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fatmamakalo3068
@fatmamakalo3068 3 жыл бұрын
Kweli vile umarufu umemfata miguuni mwake🤣🤣
@zarabati1750
@zarabati1750 3 жыл бұрын
Duuuh
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 3 жыл бұрын
watu hawamjuwi labda wamemsahau,alishakuwa maarufu miaka mingi tu wala hatafuti umaarufu
@DLBABY-BLESSb-OFFICIAL
@DLBABY-BLESSb-OFFICIAL 3 жыл бұрын
Amesha record alaki bado iko anasoma 😆 sijui kama ndo iko anaingiza vocals ama hio ni playback
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 жыл бұрын
Jamani kumbe huyu mzee ni mtanzania nae tukanana na watu tikitoki
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Mtnzania huyo mtu wa tanga anavihoj balaaa
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 жыл бұрын
@@husnaiyasulesh4687 ameniacha hoi aki mm nilikuwa naona ni mbara
@saumrashid8086
@saumrashid8086 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂hyo taulo,,shepu km boksi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
😂😂😂😂Ana hasira za maumbile 🤣🤣🤣
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
😂😂nilicheka hadi kojo kunitoka mmh
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 😂😂😂
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 3 жыл бұрын
😂😂😂😂we mcheshi
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@agapejosceline7683 😂
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@samsungj7pro64gb5 😂
@suzanamusukuma3396
@suzanamusukuma3396 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@trickyjosia4326
@trickyjosia4326 3 жыл бұрын
Kama unakuja vile
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Yaan huyu babu anahalibikiwa uzeeni mambo anayoyafanya huko ista ni aibu ukiwa Kama una family
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Uyo ni msani wa siku nying
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Anapend dog dog balaa 😂 niliwah kwend kwaak alinitongoz mweee shoga
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
@@husnaiyasulesh4687 mkamakiza sio?
@passmiracle5267
@passmiracle5267 3 жыл бұрын
Naomba like zenu hapa
@sinzoshabani6855
@sinzoshabani6855 3 жыл бұрын
Pass unanjaa
@passmiracle5267
@passmiracle5267 3 жыл бұрын
Yaweza kua
@mahamudali1453
@mahamudali1453 3 жыл бұрын
Old is gold acheni mzee abreakd dance
@shadyaalhabsi7996
@shadyaalhabsi7996 3 жыл бұрын
Waliosoma soma changa tujuane 😂
@abomohamad8546
@abomohamad8546 3 жыл бұрын
Me too
@vibe3080
@vibe3080 3 жыл бұрын
Tujuwane
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Mbwa ni haram wanakuvaa km ivo daah
@teddymachibya5766
@teddymachibya5766 3 жыл бұрын
babu ba bibi
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Nyie mnaye hukumu mtu nyie mna mema? Au kwa vile hamjulikani fanyeni yenu kama clip zake hazikufurahishi pita kule achaneni na mambo ya watu yenu yanawashinda 😏😏🙏🙏🙏
@sumadox9618
@sumadox9618 3 жыл бұрын
👏👏👏👏
SAMIDOH NA KURURIA HANDS 1 MILLION TO DADA SARAH
7:44
KIKUYU VYBES
Рет қаралды 4,3 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Abiudi talented vocalist trending on TikTok
1:47
Tessyterian TV
Рет қаралды 1,2 М.
SIBEBEKI Series.. Epsode ya 5
22:35
Nepro Filamu
Рет қаралды 214
ujenzi unaendelea wa bei nafuuu
2:45
Jiver Kasigara
Рет қаралды 12 М.
Dada sara Gûita maithori agiknya kwao mucii kuheo Million 1
14:07