hii familia inanifurahisha wallahi, wako tu kimoja vizuri, much love 😍
@uwimana6533 Жыл бұрын
D voice anafana na babake mzazi manshallah Alhamdullah 😂🙏
@irenembura8045 Жыл бұрын
Jamani hongereni Wazazi!! Mama pambe endelea kuwa shupavu❤
@ummymuya.20609 ай бұрын
Daah, mtihani kweli. Yaani mzazi anachochea moto hata hamuhurumii mwanae! M/Mungu awakengeushe kw kweli... Mtihani!
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Nimependa haya mazingira ya mtaani raha watu kukaa nje majirani wallahi napenda nimemis mambo hayo mkataa kwao ni mtumwa from uk 🇬🇧
@MwanaidiSalehe Жыл бұрын
Dada please naomb namba yko nimekupend
@qaisomarmunshid8934 Жыл бұрын
Rudi home dada
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
@@qaisomarmunshid8934 In shaa allah nakuja mwakani tukijaaliwa lazima kuja home wazee wwtu washakuwa watuwazima lakini raha maisha ya uswahilini nimazuri sana asikwambie mtu umoja ni nguvu
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
@@MahraMansoor5969❤ Ni kweli
@Boaz22 Жыл бұрын
We inaelekea ulikua mmbea wa mtaa😂😂😂
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Mungu amulinde Dvoice inshaaAllah
@ChunaChuna-vg8cj Жыл бұрын
Ameen
@aishahamisi239011 ай бұрын
Mama unafuraha ya upotofu wa umma wakati mwanao anaisoma Quran MaashaAllah,ebu angalia upande mwengine wa dini jamani
@Iam-datuu Жыл бұрын
Nimempenda sana kaka kuongea vizur sana yuko proudy sana na mdogo wake
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nimempenda ma mdogo, yupo smart sana.
@HassanHassan-sr3fq Жыл бұрын
Hata ww nimekipenda Mariam me Niko Zanzibar love u
@aminaomary556711 ай бұрын
Mama nimempenda bure anachekesha kama Asha Boko wanafanana sana.❤❤❤❤❤❤
@AminaAlly-d7kАй бұрын
❤❤❤ d voic nampenda saan
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
Mama etu pambee.... 🔥👌♥️♥️
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
😀😀😀😀ukoo wote wameitana barazani daah 😀😀😀hii ni raha sana😀😀
@JophasJohn-oh8zu Жыл бұрын
Nimecheka hatari
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
@@JophasJohn-oh8zu 😂😂😂😂
@LoveAron Жыл бұрын
Family ina jitambua nice familia 😍👌🔥🔥🔥
@jamesnzau4728 Жыл бұрын
Much love from Kenya
@rukyahassansuleiman5977 Жыл бұрын
Nimewapenda wazazi wanazungumza vizuri na D kafanana sn baba