SACCOS 😂😂 kama Makamu Mwenyekiti kwa miaka mitano kwa nini hukufanya hayo unayolaumu
@alphoncewilliam432517 сағат бұрын
Hamna kitu apo
@alphoncewilliam432517 сағат бұрын
Hamna kitu apo
@OmmyJames-xn7ji6 сағат бұрын
MCHUNGAJI MSIGWA ULIONA MBALI SACCOOS WAMECHEMSHA 😢😢😢😢😢
@hamzakimaro37648 сағат бұрын
huyo bwana ana msongo wa mawazo!!.wema wote aliotendewa na mbowe leo ana mzodowa hadharani!!? huyu ni mwizi wa fadhila!! mbowe amekijenga chanma hata kwa kuuza mali zake!! chama hakiendeshwi kwa MDOMO!!!
@nakalikyumile323412 сағат бұрын
Ndio ndio tumechoka kuongozwa na watu wasio na misimamo,Wanachadema twende na lissu
@Zaynabahmed-ey4zu12 сағат бұрын
Tundulisi hapo umekosea hupaswi kumkosowa kwa mabaya take mbowe Leo kwa kujipigis kampen sio vizur yaonesha were mbowe humpendi mda mrefu leeo ndio inazihirsha,tunakupenda mh, lakini mbowe kafanya mengi sana kwa chama muache apumzike msimchafue
@aminielyusufu435117 сағат бұрын
Hata mie ningetoa laki moja. Sikujua tu mapema
@StephenMpallange13 сағат бұрын
Lissu hiyo ni Agenda ya Pesa zinapelekwa wapi na Mbowe ni Agenda ya kupeleka kikaoni sio ya kuzungumza kwenye Press,unakivuruga Chama na kuleta Ugombanishi.Unawapa CCM point za kuwavuruga CHADEMA,sio kila kitu cha Chama kinapaswa kunenwa hadharani.Huu ni ushauri wangu tu.
@Petermunema-p1m12 сағат бұрын
Sema Lisu,,, wewe nimsema kweli
@OmmyJames-xn7ji6 сағат бұрын
Baada ya miaka 5 😢😢😢😢😢😢😢
@ayububrantaya662416 сағат бұрын
Nakuelewa lissu
@JustinJoseph-k2t17 сағат бұрын
Yeye anatoaga wapi anazowakopesha?
@mudathirali-en7mp15 сағат бұрын
Chadema huyu mbowe amekufa mvuto mbona anangangania sana hivi hakuna mwenyekiri mpya zidi ya huyu