WILSON ORUMA "KOCHA SEAD RAMOVIC HAFIKI CHRISTMAS AKIWA YANGA/YATAMKUTA YA GAMONDI/AKAZI YA KUFANYA

  Рет қаралды 2,694

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 20 сағат бұрын
Bila kuisema yanga hamjiskii vzr kabisa kenge nyinyi
@tcmwakambonja2431
@tcmwakambonja2431 21 сағат бұрын
Mshukuru Yanga inawapa cha kuongea kila kukicha la sivyo midomo mengi ya wachambuzi ingeota kutu, ukizingatia na timu yao haitoi kitu cha kuizungumuzia
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 18 сағат бұрын
We nawe unajimaliza sana..... na hilo domo lako lilivyo pana sasa.....kuwa na akiba ya maneno..... Tusikusikie unabadilisha maneno baadae
@jacobjames8706
@jacobjames8706 18 сағат бұрын
Kweli Oruma unahitaji clinic ya ufahamu.Kocha huyu ameachana na galaxy kwa sababu anakuza vipaji lakini wanauzwa hivyo kaona hawezi kuendelea kuuziwa wachezaji kila mwaka,maana yake ni kuwa yeye hakupendelea tabia ya kila mwaka kukuza vipaji bali alipendelea kuendelea nao ili apate wachezaji wao
@tumwitikemanda7601
@tumwitikemanda7601 18 сағат бұрын
Umbea tu waandishi wa mchongo wa simba
@GodlistenSamwel-r8p
@GodlistenSamwel-r8p 20 сағат бұрын
hv wew mbuzi unamsemea mtu na ujamfatilia unaropoka tuu kazi kaanza lin na amefanya kaz vilabu vingap
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 21 сағат бұрын
Sasa shida ni nini? Kaja timu ambayo imempa mipango yake nae kaikubali hivyo atabadilika kulingana na sehemu aliopo,, Hiyo timu aliotoka ni kama Southampton tu
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 19 сағат бұрын
Hata nyie hamfikiiki mweezi December nyie waganga njaa.
@songombingo108
@songombingo108 21 сағат бұрын
Nabi alitimuliwa kule Sudan. Gamondi hakuwa na timu miezi 6. Walipondwa sana. Lakini walichokifanya mmekiona. Sasa na huyu Ramovic endeleeni kumponda tu.
@chamguihamzahamza3071
@chamguihamzahamza3071 20 сағат бұрын
Wachambuzi wetu wanafk sana ngoja afanye vzr anabadilisha maneno ngoja uta
@abelg2488
@abelg2488 21 сағат бұрын
Assist ya Goal la Mzize dhidi ya Tabora ilitokwa kwa nani kama Siyo Dube?
@RashidHamis-o6w
@RashidHamis-o6w 17 сағат бұрын
Huyo kocha ni mjanja kweli alilijua hilo kwamba hafiki krismax na ndoi maana hakuja na mabegi 😂😂😂
@maruhe1958
@maruhe1958 17 сағат бұрын
Kama uruma anasema kocha mpya wa yanga hafiki Christmas je akifika hiyo Christmas uruma afanyweje? asiione januari au apigwe mawe ....acha utabiri wa kishenzi
@seleerenest3650
@seleerenest3650 21 сағат бұрын
Uyu maku ndio kawaida yake kuisemea vibaya yanga
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 19 сағат бұрын
Mzee wa kujimaliza😅
@audaxkarurama9052
@audaxkarurama9052 21 сағат бұрын
Anapaswa atambue objectives za kila club. Kama ni kukuza vipaji hawezi kwenda nje ya hilo. Kama ni kufika nusu fainali ya champions league atapaswa afocus hapo. Ni mwenye taaluma ya ukocha siyo siasa ya wachambuzi.
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 19 сағат бұрын
Wewe akili uliyo nayo ni ndogo sana sisi tunataka mpira sio cv maana benchika alikuwa vizuri sana lakini kafanya nini acha ujinga wewe
@OS-pf6op
@OS-pf6op 20 сағат бұрын
Itabidi siku hiyo ikipita bila lolote tukae mbali na wewe. Utachafua hali ya hewa!
@OsmaniSiame
@OsmaniSiame 20 сағат бұрын
Yaani wewe kazumari sijawaiwaelewa
@DannyFabiano-p9b
@DannyFabiano-p9b 21 сағат бұрын
We na miwan yako kama TV utapona ,mbwaaaa
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt 18 сағат бұрын
Huyu kumanina huyu
@Leon4-e6e
@Leon4-e6e 19 сағат бұрын
Cheusi mangala mpaka rohoni
@HalidKilale-h4j
@HalidKilale-h4j 19 сағат бұрын
Hao ni wachambuzu na ndo kazi yao.wacha waseme kwani yanga no Nani asisemwe? Kama Simba timu Bora yenye rekod afrika ilisemwa.inajitafutax2.mkawa mnafrahi Leo yanga kusemwa mashabiki wake mnajambax2 nini??
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 19 сағат бұрын
Na wewe binti hoji vitu vya msingi sio ujinga huo
@pinomjata678
@pinomjata678 18 сағат бұрын
Mimi ni mshabiki wa Simba lakini wewe Oruma umeonyesha uko very unprofessional kwa ulichoongea. Ni kigezo gani umetumia kocha wa Yanga hafiki xmas? Unajua makubaliano yao ya mkataba? Makocha wengi duniani wameanzia sehemu fulani mpaka wakafanikiwa the likes of Alex Ferguson, Mourinho, Pep, Klopp you name it. Huyu kocha wa Yanga atawashangaza wengi acheni kukariri, Guardiola alipotoka Barcelona B team aliwezaje kufanya kazi na big egos kama Messi, Xavi, Puyol, Iniesta, Eto'o, Ibrahimovic. Kuhusu Dube kushindwa kufunga mpaka sasa yeye sio wa kwanza imetokea kwa wachezaji kibao the likes of Drogba, Crouch, Mayelle, Torres etc etc.Hatq stats huna Dube ana assist moja na kwanini uamini mganga atamsaidia? Oruma punguza siasa na dharau kwenye mpira kuwa mtu wa mpira.
@jamallnyello5743
@jamallnyello5743 21 сағат бұрын
We jamaa hamna kitu wewe
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
KOCHA MAMELODY ASEMA YANGA YAMUUMIZA KICHWA
2:11
AZBEEN TV
Рет қаралды 458