Unacheka Cheka km shangingi unawatuhum watu na wadhifa zao hovyo na kujiona wew ni mkubwa unaweza kum attack yyte kisa huo usemaji usichokijua kuhusu hizi time mbili ikiwa ktk cycle Yao unaonekana wamaana cku wakichoka kuwa na wew unajiona huna thaman Kuna watu walikuwa na nguvu ktk hizo tim mwishio walaondoka kwa dharau na kudhalilishwa ata mbele ya familia zao hivyo chunga domo lako.
@colu68545 сағат бұрын
Umechanganyikiwa. 😂😂😂😂😂😂 umeandika ulofa wa hali ya juu. Kiufupi kwenye hili ataumia Said Mtanda akiendelea kuongea kujibu mtandaoni. Rais na CCM wapo busy na uchaguzi sasa watamuona siyo mwenzao huyu. Baada ya 2025 oct uteuz wa 2026 unaweza kumgharimu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@SaidiIduri5 сағат бұрын
@@colu6854 unaweza kidogo
@willenmtafungwa19204 сағат бұрын
@@colu6854akili yako ni ndogo na ndo ilipoishia
@celinamosha942046 минут бұрын
@@SaidiIduri hata manara mlimtukana alipokuja kwenu mkamsafisha tumezoea
@petercostakisoka6 сағат бұрын
Sw kbs ubaya ubwela unyamaa mwingii
@AmaniKasekwa-uw8hp7 сағат бұрын
Tuko pamoja semaji ubaya ubwela
@JustinJoseph-k2t7 сағат бұрын
Unamtuhumu mzee wa watu
@BabeNoera6 сағат бұрын
Kamuombe radhi mheshimiwa
@celinamosha94206 сағат бұрын
Kwa kipi mwana yanga?
@colu68545 сағат бұрын
Taarifa ile ya Simba. Ahmed hana mamlaka ya kutoa tu Taarifa anavyotaka. Ni uongozi uliagiza. Hivyo unamaanisha Simba iombe radhi
@JustinJoseph-k2t7 сағат бұрын
Tatizo malezi yako ya ovyo bloo
@celinamosha94206 сағат бұрын
Malezi yako wewe ni bora
@colu68545 сағат бұрын
Unaweza kujifananisha na Ahmed kwa utulivu wa maisha anayoishi? Usipanic kuandika tu yupo kazini anafanya kazi anavyoagizwa na mwajiri wake