GODY YANGA AFICHUA SABABU ZA GAMOND KUFUKUZWA YANGA/ SHIDA SIO KUFUNGWA ILIANZIA HAPA

  Рет қаралды 36,252

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil Сағат бұрын
Shida sio kocha ila team yetu mbovu wazee wengi yanga ndomana imeoza sasa wewe chizi sijuwi unaongea nini
@SwaabirMuhammad12
@SwaabirMuhammad12 8 сағат бұрын
Gamondi sifa zilimzidia akajisahau akaanza kutoka kaenda club usiku na wachezaji wake viwango vikashuka
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 7 сағат бұрын
Kwa mimi binafsi nawapongeza viongozi kwa hili huyu Gamond amesababisha wachezaji kutokuwa na nidhamu wachezaji wanachelewa kufika uwanjani kila mchezaji anakaa geto lake halafu Azizi Ki alizidi Jeuri lakini kwa nini wachezaji wengine hawajezi anamng'ang' ania prince Dube hafungi kwa kweli acha aondoke
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 сағат бұрын
Ngoja mpigwe tena pale KMC stadium mkipigwa kwenye CAF champions league makundi yule Injinia hakuna rangi hatoacha ona ya Yanga hawa wajomba ndio watakuwa wa kwanza kumgeuka😂😂😂
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 7 сағат бұрын
WACHEZAJI BORA NI KILA KITU HIVYO YANGA HATUNA MASHAKA KABISA
@pascalchipuza3836
@pascalchipuza3836 7 сағат бұрын
Engineer Herse Man of the show 🙌💚💛
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 сағат бұрын
Iwe kheri kwake Yanga apite makundi kwenda robo fainali na achukue ubingwa hiyo man of the show itasimama otherwise Yanga ikikosa ubingwa na isipotoboa makundi Injinia ataona rangi halisi za mashabiki wa Yanga 😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 сағат бұрын
Sindano FC
@happysanga6846
@happysanga6846 7 сағат бұрын
Aziz jatualibia Tim nae atupishe aende💛💛💚💛
@samsonwanya13
@samsonwanya13 7 сағат бұрын
Unalipia ada za timu??
@HashimSaid-v7t
@HashimSaid-v7t 7 сағат бұрын
Tanzania Engn ni mmoja tu Heris Ali Said walobaki ni wasimamiizi tu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 сағат бұрын
Sindano FC
@mussasaidhamad1891
@mussasaidhamad1891 7 сағат бұрын
wee GOD jipe moyooooo lakini hakukuwa na haja ya kufukuza kocha kwa sasa
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 8 сағат бұрын
Eng hensi is a super maestro genius🎉💪
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 7 сағат бұрын
Daah ila God yanga,unavaa jezi huvai,ngengenge,unacheza huchezi ngengenge😂😂😂😂😂😂
@DAVIDKISWAGA
@DAVIDKISWAGA 9 сағат бұрын
Ha😂😂😂😂😂 Jamaa kidogo aseme ubaya ubwela ila haya mambo yanachanganya sana mtu aweza kuanzisha kitu hata humpendi ila utajaa tu!
@charleznicholas416
@charleznicholas416 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 kudadeki wewe sindiye uliyezimia Tabora walipo fanya yao,subiri Ibenge aje awafunue kwanza ili mpoteane kabisa
@emanuelinaman8240
@emanuelinaman8240 2 сағат бұрын
Kufeli kwa Yanga ndio nimeamini walipomfukuza kocha maana ni mtu wa maana simba mchukueni huyo kocha simba nguvu moja
@AbdulnuruShabani
@AbdulnuruShabani 6 сағат бұрын
Acha maneno ya kijifariji wee god
@hafia.056
@hafia.056 Сағат бұрын
Wananchi mmpo lakini The kingdom of football meaning is The best team in Africans .which one is Youngs Africans team ya wananchi all yes it's hayaa sasa Twendeee kazi all
@newgeneration9524
@newgeneration9524 7 сағат бұрын
aisee Gody tumekuzoea na kofia apa naona kama umebadilika asee😂
@Kanyawela
@Kanyawela 7 сағат бұрын
Mimi ni shabiki wa Yanga kocha kufukuzwa kwa ajili ya mechi mbili kisa ni beki hapana hapana hapana kwani timu kubwa hazifungwi?kama hutaki kufungwa acha mpira ukarime bamia uwnda ukafauru
@IdrisaKagoma-kr6ql
@IdrisaKagoma-kr6ql 4 сағат бұрын
Sasa mbona ww kama haujui kilomuondoa kocha, viongoz hawajamfukuza kocha Kwa kupoteza game 2, sema ulimpenda sana gamond.
@SalimAl-mahrooqi
@SalimAl-mahrooqi 8 сағат бұрын
Mlikuwa hampasuwe kumfukuza kocha time hii. Mnaligi mbele yenu Sasa ndio kujipata ndio shida.
@LucasFungameza-e4w
@LucasFungameza-e4w 7 сағат бұрын
Hawa yanga wamepotea had waingie kwenye mfumo wa kocha mpya watakua wamepoteza gem nyingi xana, kwahyo mwaka huu ubigwa kwao ni ndoto
@SalminRashid-b1p
@SalminRashid-b1p 4 сағат бұрын
Ww kama nan jielewe ushapotea ww mwenyewe
@SilvinSeli
@SilvinSeli 7 сағат бұрын
GOD YANGA MBONA UKO SAHIHI!!!!!
@pinomjata678
@pinomjata678 5 сағат бұрын
Huyu kaumia na kavurugwa na kuondoka kwa Gamondi anachokifanya ni kujifariji na ku-support maamuzi ya viongozi ambayo ni unjustifiable
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 8 сағат бұрын
Kwa kweli mm binafsi nimefulahi sanaaa sanaaaaa Huyu kocha alikuwa boya sana sisi yanga tunawachezaji quality quality sanaaaaaa ila kocha ndo alikuwa boya kupanga kikosi sabu za ovyo.. Na uyu boya quality ya wachezaji ndio iliyo mtambulisha africa na atushukuru sana yanga kwasababu saizi anaweza akaenda timu yoyote kubwa akapokelewa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 сағат бұрын
Leo hii master Ganondorf amekuwa boya😅😅😅😅
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 5 сағат бұрын
@afterfull-time1348 sanaaa
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 сағат бұрын
Kwa hio kugingwa ndio hiwe sababu ya kocha kufukuzwa Du?.......
@EngeneerSiasa
@EngeneerSiasa 3 сағат бұрын
Kitaaqlam ynga mwaka huu hapt nafs
@BoniphaceMhaya
@BoniphaceMhaya 6 сағат бұрын
Naamn siki1 tutakutana na miguel gamond akiwa na team ingine kwenye caf champion af tutamtesa vbaya mnooo na hapo ndo mtaamn kuwa kikos ndo humbeba kocha na c kocha kukibeba kikos
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 сағат бұрын
Sindano ndo zinawabeba utopolo
@DiyaguGilba
@DiyaguGilba 2 сағат бұрын
Yanga Mimi n shabiki wa yanga damu damu ila kumfukuza gamond mmezingua ase
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 сағат бұрын
Utopolo toka ligi inaanza ilikuwa mbovu imebebwa sana😅😅😅😅
@MzeeBabu-s6y
@MzeeBabu-s6y 3 сағат бұрын
Mbona siku izi hana ongea kwa chini kwa hadabu ongea Nile uyo
@abdallahabdul1038
@abdallahabdul1038 4 сағат бұрын
Acha utahira wew huo ufungaji Bora wa champions league ameupata akiwa kwenu?
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 3 сағат бұрын
Kwa hili limeniumiza sanaaa😢
@EliasMatakwa
@EliasMatakwa 4 сағат бұрын
Aenda kabisa kwanza wachenzaji wetu kijijini pombe na umalaya amewafundisha uhunii sanaaa wachenzaji wanatakiwa wakae kambiniii?
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
Utopolo yamtimua kocha baada ya kupigwa na walamba asali wa Tabora😅😅😅😅 Wachezaji wamechoka sindano FC
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 7 сағат бұрын
Hersi anaachwa kwa lipi
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 6 сағат бұрын
Yupo Diego simion wa Atletico Madrid
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 6 сағат бұрын
Leo umekuwa na adabu. Kushinds mfululizo kuliwsfanya mjisahau na kuona kuwa munahaki ya kushinda kila match kumbe kunajufungwa.Mtazoea kulia
@Mumlion2624
@Mumlion2624 6 сағат бұрын
Haya kila lakheri mzee wa tano umetushon tano msimu uliyopta .sisi kama simba tumefurah kila lakheri baba
@qarmamabrouk4770
@qarmamabrouk4770 5 сағат бұрын
Yanga ndivo mlivo mnakosa utu na shukrani alafu ndo mnawapaka watu matope mnasahau wema mliotendewa nyie mliwasema vibaya azam waliowastir uwanja kwa mda mrefu
@mwinjumabujon4286
@mwinjumabujon4286 9 сағат бұрын
TIMU ZETU ZINAONGOZWA NA MASHABIKI WAKIONGEA TU VIONGOZI WANAPITA HUMO HUO DAAAAAAH AISEEEEEEE TATIZO KUBWA SANA
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
Tatizo la mashabiki ni kama machawa maamuzi ya viongozi yanawatesa lakini wanajikaza😅😅 sindano FC bhana😅😅😅
@mika.m.msanya2169
@mika.m.msanya2169 8 сағат бұрын
Huyu shezi anauficha ugonjwa ata sura yako kaonyesha unaumia moyoni
@kinigasimeni145
@kinigasimeni145 8 сағат бұрын
Acha bangi kijana
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 6 сағат бұрын
Mpaka utafuta hiyo chater, kipigo kinakuja mfululizo
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 6 сағат бұрын
Siku zote hua naongea, mwisho wa ubaya aibu, sasa mmeanza kuiona aibu inawanyemelea
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 сағат бұрын
Ngoja tuone ,tupo hapa
@aishabakari8040
@aishabakari8040 4 сағат бұрын
Ata mm nimefurahi
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 8 сағат бұрын
Huo ufala. Eti Gamondi ameondoka?! Shida nini?
@MrishoHusen-v9c
@MrishoHusen-v9c 6 сағат бұрын
Jifariji kaka ila ubaya ubwela mtamkataa na huyoo..muda ngoja ufike
@MohamediSleyum
@MohamediSleyum 9 сағат бұрын
Wamezingua hao mafala kwani kocha amefanya nini?wakat yanga ilikua haina mabek tulowazoea ivo walitakiwa wafikirie kuongeza mabek wa akiba wazur kama kina Ibrahim sio kumfukuza KOCHA
@JohnB-ws3ib
@JohnB-ws3ib 9 сағат бұрын
Wew una hakili ya mpira funga domo iloo
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 8 сағат бұрын
Hujui mpira wewe chizi gamondi uwezo umepungua kibwana shomari hachezi sababu nini,pia baleke hachezi kwanini shida ni yeye kocha
@SadickAbdalah
@SadickAbdalah 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@elishagregory1595
@elishagregory1595 8 сағат бұрын
Viongozi ndo wanajua,,ko we huwez jua kilichopo behind the scene
@JamilaMohamed-l9y
@JamilaMohamed-l9y 7 сағат бұрын
Yani kunamashabiki wengine hawajui mpra mm nawaspoti viongozi wa yanga wee gamondi anamchezesha nkane na 2 wakati kwenye bechi yupo kibwana shomari sawa hatukatai alivyo ona nkane anemewe ndio angemuigiza kibwana matokeo yake anaenda kulazimisha aucho acheze beki hivi kweli gamondi aende tuu ww azizi kii hayupo fiti analazimisha acheze wakati chama yupo aende tuu
@EngeneerSiasa
@EngeneerSiasa 3 сағат бұрын
Baba hiii lig ngumu tuachae zzarau
@EngeneerSiasa
@EngeneerSiasa 3 сағат бұрын
Kombe. Uliipat
@BeatriceZakaria
@BeatriceZakaria 5 сағат бұрын
Unalolote tengenezeni kikosi
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 5 сағат бұрын
Kweli jamani yanga nimapumba sasa anaongeanini huyu
@LazaroEmanuel-v3q
@LazaroEmanuel-v3q 9 сағат бұрын
Yote saw viongoz wetu wanachokifanya wako sahihi ss ndo hatujui hata kam 2napitia nyakat ngumu 2tafika
@BullahSambiga
@BullahSambiga 7 сағат бұрын
Sawa semaji la mashabiki nimekuelewa japo iliniumiza
@godwinmwombeki8632
@godwinmwombeki8632 9 сағат бұрын
Safi sana God yanga
@NassorJeuri
@NassorJeuri 7 сағат бұрын
Godi unasema kweli tuungane natimu yetu
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 8 сағат бұрын
Wewe ndio ulisema hakuna mwanayanga atakae toa lawama kwa kocha. Sasa nini unaongea leo? Dawa imeanza kuwaingia sasa
@rosechenga6515
@rosechenga6515 9 сағат бұрын
God inauma sana
@KhasondeJnr
@KhasondeJnr 6 сағат бұрын
Aache kuzuga aseme tu Ubaya Ubwela
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 8 сағат бұрын
Hauna lolote unatembelea upepo tu , kwako Kila kitu ni sawa tu. Mulikuwa munamuita master Yuko wp sasa master. Gamond ni master kumfuu shaulin temple 😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
Hawa ni machawa sindano FC
@AbuuKhuzaimah-z8i
@AbuuKhuzaimah-z8i 8 сағат бұрын
Alhilali njooni mpate moto wa ubaya ubwela wa nyuma mwiko
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 6 сағат бұрын
We poroja tu🤣
@JumaHeri-ph8bl
@JumaHeri-ph8bl 8 сағат бұрын
Ili ujue zaidi yakupasa ujifanye hujui!
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e 8 сағат бұрын
UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂😂😂
@josephbonday8510
@josephbonday8510 9 сағат бұрын
😂😂😂😂WANYAMWEZI WAMEFANYA YAOOOO...
@DanielJuma-w7y
@DanielJuma-w7y 9 сағат бұрын
Sababu kubwa ni kulambishwa asali na tabora kutwa mara tatu
@athumanibakari-j6u
@athumanibakari-j6u 8 сағат бұрын
Ubingwa kwenye timu Yako ndy byby
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 8 сағат бұрын
😂😂 Gamond kakimbia wachezaji wazee wangemumbua maana bila sindano yanga haina timu
@khamisally9559
@khamisally9559 8 сағат бұрын
Tafuteni hoja nyengine basi. Mbona mnarudia kitu hicho hicho kila wakati?
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
Ukweli yanga wazee wengi sindano nazo zmegoma😅😅😅
@hatibumsukulu8611
@hatibumsukulu8611 9 сағат бұрын
Kumbe huwa mnakuwa wapolee😂
@abdullakhamis8239
@abdullakhamis8239 7 сағат бұрын
Hhhhhhhh kumbe mmeumia sana ety utopolo
@mika.m.msanya2169
@mika.m.msanya2169 8 сағат бұрын
Bado huyo mwenye atakuja ataondoka bado kile kikombe cha simba imegeukia wao wasikilizie sasa
@kafulirahillaryhabel6728
@kafulirahillaryhabel6728 8 сағат бұрын
Yanga 5-Simba 1 Yanga 2 Simba 1 Yanga 1 Simba 0 Yanga 1 Simba 0 Tunakusubiri awamu ya tano.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
​@@kafulirahillaryhabel6728bila sindano hamna kitu nazo bado zmegoma
@AgustinoLeonard
@AgustinoLeonard 9 сағат бұрын
We bwabwaja tu ngoja mshenyentwe huo mdomo utaisha
@athumanibakari-j6u
@athumanibakari-j6u 9 сағат бұрын
Wakati ndy tatizo
@AbuuBakar-h7n
@AbuuBakar-h7n 8 сағат бұрын
Eti timu kama Tabora ilikuwa mfungwe 5-1 mwe mnakubari mkizidiwa mlizidiwa 😂😂😂😂😂😂
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 7 сағат бұрын
WEWE YANGA HATUKUZIDIWA NA TABORA,UMILIKI WA MPIRA 80
@AbuuBakar-h7n
@AbuuBakar-h7n 6 сағат бұрын
@henelckneatunga2720 umiliki ndio nini 81 kwa 19 kwani umiliki unacheza mpira wewe ubao wa magoli 3-1 ulisomeka hivi uutopolo kweli hamnazo
@SaidMkome-q5t
@SaidMkome-q5t 9 сағат бұрын
Kocha ndyo aliwambia wasifunge
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 8 сағат бұрын
Kwanza mimi sishangilii mpila tena gamond kaniuma sana
@AthumanRamadhani-y3p
@AthumanRamadhani-y3p 8 сағат бұрын
Acha we sio shsbiki
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 сағат бұрын
Sindano FC
@AllyKimeme
@AllyKimeme 8 сағат бұрын
Sindano tatizo
@AyubuLacred
@AyubuLacred 6 сағат бұрын
Ubaya ugaid wapi we sema ubay ubwera
@binbadru8408
@binbadru8408 8 сағат бұрын
Sasa km mnatumia madawa abaki ana kazi gani
@alitante4279
@alitante4279 8 сағат бұрын
Sema tu ubaya ubwelaa utoo ww😂😂
@ZaniaMohammed
@ZaniaMohammed 9 сағат бұрын
Tuseme tu ubingwa byby
@Fridaaloycemboya
@Fridaaloycemboya 9 сағат бұрын
Ubaya ubwela
@KhamisPaul-o2x
@KhamisPaul-o2x 7 сағат бұрын
Hapo wampe tim ya taifa tutafka mbal stars
@MeshackManoja
@MeshackManoja 7 сағат бұрын
Yanga yenyewe ameshindwa ataweza Nini Taifa stars
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 8 сағат бұрын
Saivi mmekuwa wapoleee kama maji ya mtungini😅😅😅
@DiyaguGilba
@DiyaguGilba 2 сағат бұрын
Yanga Mimi n shabiki wa yanga damu damu ila kumfukuza gamond mmezingua ase
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,9 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 27 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 4,8 МЛН
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,9 МЛН