FEI TOTO "NITARUDI KUCHEZA YANGA//ENG. HERSI TUNAONGEA SANA/SIMBA WAKINITAKA NIPO TAYARI/AZAM FC

  Рет қаралды 165,812

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 164
@BeatriceCharles-f8t
@BeatriceCharles-f8t 22 күн бұрын
Jamani brother feisal kila mda naomba kila siku naomba arudi yanga nampenda sana fei sana tena sana rudi❤❤❤❤❤ 2:29 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@halimasawa611
@halimasawa611 Ай бұрын
Siku zote mtto kwa mzazi haku...fei ❤yanga n nyumban njoo wala usione haya wala usijipe mawazo....wanayanga wengi wetu tunakupenda sana ....yan iyo siku ukirud wallah nitafurah sana juu we n mchezaj wangu pendwa❤
@LauMagwaja
@LauMagwaja Ай бұрын
Achen unafik utopolo umeona ajafel ndio mnamtqman 😂😂😂😂
@halimasawa611
@halimasawa611 Ай бұрын
@@LauMagwaja hisia zako izo za kijinga usifikirie kila mtu ana hakili km zako
@TheShakazulu02
@TheShakazulu02 Ай бұрын
Yale matusi yote mliyomshushia je?
@halimasawa611
@halimasawa611 Ай бұрын
@@TheShakazulu02 uliniona me nikitusi ama....me sio mtu wamatus ...i respect everyone in this world
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
uwe unajibu hivi ila sio majibu yakitoto utafika mbali sana lastborn wa mama ukitaka kurudi yanga kuja upambane ndo maisha yako achana na wanaokujaza
@arafatmbaruku8927
@arafatmbaruku8927 Ай бұрын
Hawez kurudi utopolo hyo miaka mia
@OmaryKiwambilo
@OmaryKiwambilo Ай бұрын
😊😊​@@arafatmbaruku8927
@PhinaNassoro
@PhinaNassoro 23 күн бұрын
Akirud je​@@arafatmbaruku8927
@sabriysoudy5623
@sabriysoudy5623 Ай бұрын
Umeongea vzuri sana, very professional
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Nimependa leo umejibu kiukubwa na siyo yale majibu utumbo hongera na mungu akupe zaidi kipaji
@FatmaSalm-jn4xu
@FatmaSalm-jn4xu Ай бұрын
Mdogo wangu fei pambana mungu atakupa hitaji la moyo wako❤ nakupenda sana
@Realngwangwa
@Realngwangwa Ай бұрын
❤❤
@AllyNakopa
@AllyNakopa Ай бұрын
Fei mpira ni kazi karibu nyumbani
@renatusngeleka6059
@renatusngeleka6059 Ай бұрын
Msimu ujao atacheza Njano na Kijani tunzeni ujumbe huu na atakuwa mchezaji wa ndani anae lipwa fedha nyingi
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c Ай бұрын
Hii ndy maan ya wznzibar tofaut na nchi nyengne
@AyubuNgunwa
@AyubuNgunwa 4 күн бұрын
Kaka njooo yanga ni nyumbani kwako
@ansigarymbele8446
@ansigarymbele8446 Ай бұрын
Sahiz ungekuwa mbali
@muhiddinmustafa-r9j
@muhiddinmustafa-r9j Ай бұрын
Rudi nyumbani Fei tunakungoja na tutakupokea kwa mikono miwili, ww ni mchezaji mkubwa na unastahili kuendelea kuchezea Yanga, Karibu sana dogo.
@dynamoowamajukwaa1758
@dynamoowamajukwaa1758 18 күн бұрын
Omba mungu sana urudi jangwani dogo
@TheShakazulu02
@TheShakazulu02 Ай бұрын
Mara nyingi ukirudi kwa ex wako, mambo huwa sio kama mara ya kwanza. Timu ziko nyingi, angalia huko kwingine utapata furaha na amani ya moyo. Penzi jipya ni tofauti na penzi la ex wako.
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Ай бұрын
Zanzibar finest🎉
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Ай бұрын
Kalibu sana dogo yanga ipo tu
@KasimChaula
@KasimChaula Ай бұрын
Mashabiki wa yanga ni wanafiki mno huyu fei mlisema anamloga azizi k ndo 7bu azizi kutofanya vzr Leo mnasema tunakupenda Rudi Mara fei ana gundu duuuh wabongo tuacheni roho mbaya
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Mashabiki ndivyo tulivyo huoni hata wachezaji tunavyo wabeza pindi wasipo fanya vizuri huwa tunasahau yote inabidi tubadilike
@stevensosipita
@stevensosipita Ай бұрын
IKIWA YEYE BINAFSI KAAMUA KURUDI YANGA NA UONGOZI UMEKUBALIANA NAE SISI MASHABIKI TUNANGUVU GANI YAKUPINGA?NA UNAFIKI WETU UKO WAPI?KUWA NA AKILI BWEGE WEWE
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm Ай бұрын
Yanga wote manara kawaona kama wote hamnazo mbumbumbu, unafiki mwingi kwaiyo akirudi yanga azizi k atakaa bench tena maana mchawi wake atakua karudi. Yanga hamjielewi
@musapfute6608
@musapfute6608 Ай бұрын
Hayaruhusu kolokwinyo,,,, nyie na matetron yenu Nan anawasema
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 29 күн бұрын
mbona yeye Feisal alisema hawezi kurudi yanga mpaka hesri aondoke afu sasa hivi anasema nini kuhusu hersi..!!?? mwisho wa siku unatakiwa uelewe football sio kama mambo yenu ya vikoba huko mtaani kwenu
@JamesKasongo-m8b
@JamesKasongo-m8b Ай бұрын
Napenda unavyowatoboa manyoka fc sisi kijani fc tumeanza kukufor
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Fei ni mwanetu haya mengine yote yanapita mana sisi Binadamu huwa tunataka mazuri tu na si mabaya Mungu akulinde Mwanetu
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 Ай бұрын
FEI RUDI NYUMBANI MDOGO WANGU KUMENOGA KAKA
@LauMagwaja
@LauMagwaja Ай бұрын
Utopolo 😂😂😂 bado mjasema
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Aje kufanya nini wewe acha mnafiki abaki huko huko Yanga wanakula ugali na sukali aendelee kula ramba ramba na mikate tu😡😡😡😡
@abubakarysaid2772
@abubakarysaid2772 Ай бұрын
Arudi nyumban kwake fala huyo​@@rogersiddy
@Choro_Brand
@Choro_Brand 20 күн бұрын
Mala mdg angu Mala kaka mbona hatukuelew mkuu
@AloziaKanyungu
@AloziaKanyungu Ай бұрын
Fei kaongea vizuri lakini hata mwandishi umeiva
@NdamaJackison
@NdamaJackison Ай бұрын
Uko sawa fei
@BernadethaFundi
@BernadethaFundi Ай бұрын
Fei.we❤❤welcome.
@ansigarymbele8446
@ansigarymbele8446 Ай бұрын
Nakushauri Rudi yanga
@Sadazia-l1v
@Sadazia-l1v 19 күн бұрын
Acheni uongo fei hawezi kurudi yanga
@Beckammangula
@Beckammangula 27 күн бұрын
Saw kaka njo jangwani
@Msindo.Famiry.Korogwe
@Msindo.Famiry.Korogwe 22 күн бұрын
Ukitaka kuja yanga pitia kwanza kwa p Diddy
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 26 күн бұрын
Akirudi yanga amejiteketeza tulikuwa tunapiga debe yanga wamuhurumiye ila ukirudi yanga byby
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt Ай бұрын
Mtangazaji ndio huyu Sasa anauliza maswali mpaka unapenda
@JastinJerome-y5k
@JastinJerome-y5k 28 күн бұрын
Rudi home utafte ugari kijanaa
@JosephNdobele
@JosephNdobele 14 күн бұрын
Aje mtoe nan yanga
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 Ай бұрын
Nice jibu
@jumashedafa
@jumashedafa Ай бұрын
Rudi yanga si dhani aliyekishair nan kwenda Azam ila pesa ulizofikiria hapo ni chache mno kama ungekuw mvumilivu kwa kichache ukaupiga mwingi kimataifa huend ungeend kupga pesa nyingi nje ya Tanzania mf; morocco, misri, tunisi n.k ila kwa Azam hiyo dah! Umejichimbia shimo kuonekan kimataifa ni ngumu..Kama ikishindikan yanga nenda ata simba tu kwa faida ya kupga mpunga nje wa kutosha na kuja kusaidia Taifa
@JafariNahimba
@JafariNahimba Ай бұрын
Rudi yanga fei tunakusubili
@othmantv2654
@othmantv2654 Ай бұрын
Fei rudi yanga...wananchi bado tunakupenda😢
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj Ай бұрын
Aje kula ugali na sukari? Sema unampenda sio tunakupenda
@LauMagwaja
@LauMagwaja Ай бұрын
Utopolo bado mjasema 😂😂😂
@isakajacob3758
@isakajacob3758 Ай бұрын
Kuhusu swali la kirejea yanga au simba... Kijana ataenda yanga tu maana kajilanyaga kweli kujibu😂😂 ni sawa na mtoto kutaka kula wali Kwa watu anajichatua kula kumbe anatamani
@mussakilo4916
@mussakilo4916 Ай бұрын
Mimi natamani urudi yanga au simba utaenda mbali lakini huko dahh nakuombea mungu ufike mbali
@musapfute6608
@musapfute6608 Ай бұрын
Hana dam ya simba huyu😂😂😂😂
@danielaugustino705
@danielaugustino705 Ай бұрын
We si ulisemaaa raisi labda atoke ndo urd yangaa Leo tnaaaa....😂😂😂😂 Dah hilaaa fei
@rashidikhassim8125
@rashidikhassim8125 Ай бұрын
Yani hapo umejibu kinyangindo safi
@haidarysalehe9056
@haidarysalehe9056 Ай бұрын
IPO SIKU FEI utarud YANGA man NI home
@ansigarymbele8446
@ansigarymbele8446 Ай бұрын
We si wakucheza shirikisho Wala mechi mbili za club bingwa
@eliathomas8446
@eliathomas8446 Ай бұрын
Kumbe kuna saa unatumia akili😂😂
@AyubuNgunwa
@AyubuNgunwa 4 күн бұрын
Kaka kalibu San nyumbna
@LucasTangawiz
@LucasTangawiz Ай бұрын
Lundi nyumbani uanze upya safari yako ww unakitu cha kuigwa kikibwa🎉 pambana
@KhamisHamad-v7f
@KhamisHamad-v7f Ай бұрын
Come back home guy we love you so much
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Ай бұрын
Home ipi chief ....???
@HumphreyMapunda
@HumphreyMapunda Ай бұрын
Kuna sms humu za uto wanajikomba Kwa fei Hadi sibu
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Ай бұрын
Sasa umekua mla sukari 😂
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Ай бұрын
Fei rudi yanga bado tunakupenda wengine
@IddyNchama
@IddyNchama Ай бұрын
umeanza kuwa na upeo wa kukua na anae kushauri aendelee kukupa darasa
@loitengia4217
@loitengia4217 Ай бұрын
Ukirudi yanga tunakuisha ugali na mchanga😅
@ReiphanLusungu
@ReiphanLusungu Ай бұрын
😂😂😂😂apo umeenda mbali sana
@shafiimdogwa1482
@shafiimdogwa1482 Ай бұрын
Ona sasa Utakavyo Ongeza Follow Wengi Rudi Nyumban
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 Ай бұрын
😮
@josephlambo2433
@josephlambo2433 Ай бұрын
Rudi yanga
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e Ай бұрын
Ubwela. Hamuna. Maana. Bhannaa
@safarimashimba5080
@safarimashimba5080 Ай бұрын
Mchezaji mkubwa kwenye timu ndogo!😂😂😂
@FestusmartinBaharia
@FestusmartinBaharia Ай бұрын
Cna maxhaka na kiwango cheke Rudi nyumbani
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth Ай бұрын
Nakubar saan kaka,,
@saidmakamo8764
@saidmakamo8764 Ай бұрын
Paka mama yko cc tunasema tunamhitaji kama anakubali kosa lake atuombe radhi tu.
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Ай бұрын
Hii nchi ngumu sana
@arafatmbaruku8927
@arafatmbaruku8927 Ай бұрын
Hyo ndio kiboko ya mashabiki wa utopoloni
@shabanimbega40
@shabanimbega40 Ай бұрын
Wewe nenda huko Yanga hutarudi tena. Baki Azam au nenda timu nyingine
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Ай бұрын
Ok kumbe yanga ni ya baba ako na ww ndioo unae amu nani aje nani asije au
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Ай бұрын
Sema kweli acha unafiki wako
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Hapo Azam kumbe upo kama kivuli tu ndo hujitumi mpuuzi kweli
@susumantalanta8505
@susumantalanta8505 Ай бұрын
Na nyie watangazaji sometimes mnakuwa kama mafala, we mtu alishanukuliws akisema rais hapokei simu zake na hawezi rudi yanga hadi rais aondoke we bado unamuuliza kama hawako au wako vzr
@josephkusenha5916
@josephkusenha5916 Ай бұрын
Uyu jamaa ana akili sana, anajibu kiutimamu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Ай бұрын
Ugali na sukar😂😂😂
@LimseyMassawe
@LimseyMassawe Ай бұрын
1. Fei amejibu kiutuuzima, inaonyesha amekuwa maana anatumia muda wa sekunde kadha kuelewa swali. 2. Fei ni mtoto wa Jangwani, na engineer akiongeza gear kidogo tu " jezi number 6" itauzwa sana msimu ujao. 3. Mpenja TV, huyu mtangazaji muongezee mkataba, maboss wako wa azam wakimuona ufanye biashara, maana itabidi avunje mkataba na wewe😅
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
We mtoto Rudi yanga utimize malengo Yako ya mafanikio Dunia ikuone
@waltermshanga4559
@waltermshanga4559 Ай бұрын
Fei bado anaipenda yanga atarud huyu inshaallah
@EduardwarrenPl
@EduardwarrenPl Ай бұрын
Si ndo huyu huyu aliyesema kua Heris akitoka yanga anaweza kuendelea kucheza yanga... Leo anasema hawajawahi kuwa na tofauti
@FatmaSalm-jn4xu
@FatmaSalm-jn4xu Ай бұрын
Mbona wapo wengi wanagombana na wanaelewana kwani wewe hujawahi kugombana acha manenoyako
@neemamwijage
@neemamwijage Ай бұрын
Sasa rais wa yanga ashaanza kumpigia simu aliona simba wanataka kumsajili akaanza kupiga simu ili asiende simba 😂😂
@CostantiniSabini
@CostantiniSabini Ай бұрын
Karibu unyamani
@Muhammedually
@Muhammedually Ай бұрын
Hakuna kitu hapo,abaki hukohuko kwenye urojo
@Mawejr2012
@Mawejr2012 Ай бұрын
Ila Yanga bado ugali na sukari upo
@AhyadAbubakary
@AhyadAbubakary Ай бұрын
Ukitaj kua na maendeleo ya soka achana na yanga
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 Ай бұрын
Aje simba au sio😂
@AhyadAbubakary
@AhyadAbubakary Ай бұрын
@@greysonkisinda7390 ndio c mulimzarau
@AhyadAbubakary
@AhyadAbubakary Ай бұрын
@@greysonkisinda7390 munalipa watu hela ndefu Nina mzarau
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 Ай бұрын
Endelea kupata Raha, ulikosa Raha sasa unapewa Raha
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Fei Leo nimekuelewa kumbe Huwa nakuchukia Bure kumbe watu ndio wAkuzaji rudi nyumbani bwana fei ongera na rais wa yanga una hekima kama injinia nimekusamee mdogo wangu
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Hamna lolote mulimtukana sana
@neemamwijage
@neemamwijage Ай бұрын
​@@Mumewanguyani ningekuwa yeye nisingerudi yanga wakati timu zipo nyingi
@YassirHaleem
@YassirHaleem 27 күн бұрын
Unprofessional fei as player wa Timu huwez kusema hadharani unaongea na boss wa Timu pinzani sana huwez kabisa watu watafkiria vibaya
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Ukirudi yanga namia azam ili nikawe mshabiki wa azam tuu wewe ulisema kuwa yanga ulikuwa ugali na sukari 😂😂😂
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 Ай бұрын
Rudi nyumbani dogo hujaua
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 Ай бұрын
Mchezaji gani asietaka kucheza yanga ilivoyamoto na yenye malengo makubwa? Hata watu mwenye akili huwa anaweka malengo na mtu mwenye blight future,siyo kila siku unarepeat pale pale huo ni ulemavu wa akili
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps Ай бұрын
Blight future ndo inamaanisha nini, ha ha haha
@AbubaMuhamedAbuba
@AbubaMuhamedAbuba Ай бұрын
Siku atakayorudi yanga huyu timu itagawika vipande vipande.huo uzuri wake auoneshe Azam kwa kuchukuwa kombe .mwana kulitafuta
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Ай бұрын
Ww uongo umezidiwa tu maji ya shingo huna chakuonge
@attiliokasuga1764
@attiliokasuga1764 Ай бұрын
Huyu ni fala tu! Anafikiri wote ni watoto kama anavyoitwa yy. Ishia mbali na Yanga bwege we!
@Mjapancompanylimited
@Mjapancompanylimited Ай бұрын
Kuwa muungwana bro! 😂
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS Ай бұрын
Samatta akili zake ziliangalia mita mia nane cz aliona hili soka la bongo lingemfelisha
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 Ай бұрын
Ila wewe Mzee unaoneka umezeeka hata mawazo, chuki hazikusaidii na yeye kwa Kila mwezi anatengeneza zaidi ya milioni 20. Sawa wewe hangaika na chuki zako😂
@HamzaMillanz
@HamzaMillanz Ай бұрын
Wew N Simba 😅😅😅
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 Ай бұрын
Rudi hom
@FadigaObet
@FadigaObet Ай бұрын
❤😊😊😅
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r Ай бұрын
Eti mnawasiliana vizuri tu 😂 Azam mwangalieni huyu haeleweki atawauza huyu mnawasiliana kuhusu nini Azam fukuza huyu paka 😂😂😂😂
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi Ай бұрын
Mbona hakuna aliposema anarudi yanga?Kajibu kitaalamu mkajaa
@MaikoIddy
@MaikoIddy Ай бұрын
Tayar mwananch uyo muda ndo utaonge
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Ай бұрын
Ndugu yang meaning BILISI.HEBU RUDI NYUMBANI.HAKIKA UKIRUDI ITAPENDEZA SANA
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Mulimtukana sana
@neemamwijage
@neemamwijage Ай бұрын
Sasa hivi amekuwa mzuri nyinyi si ndio mlikuwa mnamtukana
@safisp
@safisp Ай бұрын
Eti au viuno?😅😅😅
@LimseyMassawe
@LimseyMassawe Ай бұрын
Vibuno 😂😂
@AllyMtinda
@AllyMtinda 22 күн бұрын
Uwakika mtupu ww akuna anaekataa vizulu ludi ule bata dogo
@ramadhanilukongo255
@ramadhanilukongo255 Ай бұрын
TUSEME KWA PAMOJA ""AZAM BINGWA""
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 Ай бұрын
😂😂we ni pando la Yanga, rudi nyumbani Dogo hio Juis haitakusaidia kufika popote.
@TitoMsanga-s7f
@TitoMsanga-s7f Ай бұрын
😂😂
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza Ай бұрын
Huyu Fei kama mtazidi kumng'ang'ania atawagharimu, achaneni nae haraka sana, Azam is bigger than Fei. Fullstop.
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 Ай бұрын
Asaivi umekua akili yako inafanyakazi vizuri utafika mbali
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
FEI TOTO NI BORA SANA. FEI AMEZALIWA KWENYE.MPIRA MWACHENI FEI TOTO ACHEZE MPIRA WEWE PIGA KAZI.
@AbubaMuhamedAbuba
@AbubaMuhamedAbuba Ай бұрын
Wahenga wamesema usimalizze maneno.huyu akapimwe akili sio mzima😅😅😅
@saidyussuf-my8ew
@saidyussuf-my8ew Ай бұрын
Apo poa kuongea na rais wa yanga
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Huna tatizo na Raisi leo hii haah wewe si ndie uliesema kuwa akiondoka leo Hersi Yanga wewe utabakia Yanga sio wewe kijana?wewe ni mnafiki kijana na Sahau kuhusu Yanga imeisha hiyo halas
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Ай бұрын
Wewe Yanga si yako na inawezekana kabisa wewe ukawa kolokwinyo...Fei akitaka kurudi nyumbani anarudi tu na muda utaongea...sisi wananchi tunampenda na tunajua kwamba kuna mijitu mibaya ya upande wa pili na wengine walimrubuni...
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
@@abdunnurahmedsilim7456 Haya
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r Ай бұрын
​@@abdunnurahmedsilim7456harudi Ng,oo endelea kujifariji 😂😂
@salummtumbukie8873
@salummtumbukie8873 Ай бұрын
Lakini bado wachezaji wenzako wanakula ugali na sukari
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Nikawaida hata mke huachwa na kurudi. Mtoto mwacheni
@MussaKitaluta
@MussaKitaluta Ай бұрын
Hapana Baki hukohuko azamu
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 12 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 271 М.
FEISAL SALUM AZUA GUMZO KWA CLATOS CHAMA MWAMBA WA LUSAKA
16:49
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 12 МЛН