No video

AHMED ALLY" SIMBA TUNA FEISAL KAMA 70/CHAMA TUTAMPA THANK YOU/MANURA NI MCHEZAJI WETU

  Рет қаралды 30,773

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Leo July 16,2023 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameeleza maandalizi yao kuelekea Msimu mpya wa Ligi kuu ya NBC PL.
Aidha Ahmed Ally amezungumzia Maandalizi ya Kuelekea Simba Day tarehe 03 Agosti 2024

Пікірлер: 84
@zakwetuupdate3387
@zakwetuupdate3387 Ай бұрын
MASHINE INATEMA madini🔥🔥🔥
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Chama anawaumiza Sanaa Simba hiiiii Kali sana
@user-vd3ce2zv5p
@user-vd3ce2zv5p Ай бұрын
Mbona mnafosi tuumie kiukweli mimi sioni cha kumuumiza kwa uyo chama alikua anajiona star sana
@simonjoseph4337
@simonjoseph4337 Ай бұрын
Panya nn ww
@bone102
@bone102 Ай бұрын
Kama hujui chama kaondoka Simba mara ya pili nw sasa tuumie vip wakat tushazoea kuondoka kwake
@KajunaJovinary
@KajunaJovinary Ай бұрын
​@@bone102na alivyorudi mkamshangilia sana maana ndo mlienda kushiriki shirikisho na mkatolewaaa😅😅😅😅😅
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc Ай бұрын
Samaji huwa hapendi kuzungumzia Yanga kabisa nani anagundua ilo
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Ай бұрын
Ana akili sana huyu jamaa😂😂
@athumanibakari8618
@athumanibakari8618 Ай бұрын
Ndiyo Rahaa ya Kuwa na Msemaji Msomi
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
@@athumanibakari8618yule ashura kutwa simba simba 🎉
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify Ай бұрын
Yule dogo wa nyuma mwiko kazi yake kuzungumzia habari za Simba badala ya kuzungumzia nyuma mwiko yao anaweweseka na Simba , juzi analeta habari za uongo kuwa eti "wamefungwa goli sita kisha hawasemi " .
@seikhan5115
@seikhan5115 Ай бұрын
hii ni fact kwel hyu mwamba aongelei timu ya yanga yupo bize na simba tu 😅😅😅 UBAYA UBWELA
@wencerich
@wencerich Ай бұрын
Machine ya kuongea hana mda wa kuwaongelea Team nyingine Akili nyingi kwa kichwa 😂😂😂😂😂😂
@SaidiMngoko
@SaidiMngoko Ай бұрын
Chama aliwahi kuondoka,lakini simba ilibaki kwenye nafasi nzuri kuliko sasa wakati chama yupo simba!! Au mmesahau
@Salum-ij6mg
@Salum-ij6mg Ай бұрын
Uyu ana cha kuoji
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf Ай бұрын
Semaji bora ndani ya medani ya michezo nchini na dunia
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Hapa pa Chama mnajiabisha sana. Ni aibu kubwa. Ni kama mwanamke unamwacha halafu unajifungia chumbani kulia kisa mke yupo nyumba ya jirani.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
nani kalia kwa mo mambo mazuri ata chama ameanza kujuta 😂
@danielmasatu3285
@danielmasatu3285 Ай бұрын
mifano gan iyo ushawai kulia nn jombaa
@scalionmulokozi9566
@scalionmulokozi9566 Ай бұрын
Akapambanie kesi ya Hersi
@hgki313
@hgki313 Ай бұрын
Kafie mbele
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Ай бұрын
Mtalaka hatongozwi broo
@HalifaMohamedMohamed-pr5eh
@HalifaMohamedMohamed-pr5eh Ай бұрын
Everything is possible on the earth surface when you will depend on GOD 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
Simba nguvu moja 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Jamani chama anaezungumziwa na awa wandishi siyo chama uyu wa sasa nichama wa miaka 4 nyuma.
@bensonokwaro9225
@bensonokwaro9225 Ай бұрын
semaji hvi unatoaga wapi maneno ww❤
@bensonokwaro9225
@bensonokwaro9225 Ай бұрын
na kama "ubaya ubwela' itakuwa kweli mbona 2ta enjoy kuckiliza tambo zako ahmed
@serekachacha-zg2vp
@serekachacha-zg2vp 23 күн бұрын
Jamani jeni yu wapi
@user-hd5rn8fh5b
@user-hd5rn8fh5b Ай бұрын
Mashiiiiine ya kuongea😂😂😂😂 ,❤❤🦁🦁🦁💪
@mrishotv5553
@mrishotv5553 Ай бұрын
Kweli ss hii pw
@halidmauga96
@halidmauga96 Ай бұрын
Hakuna mahojiano ya kusikiliza,
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Ай бұрын
Semaji la cuf,Shirikisho na Simba sports ❤❤❤ ubaya ubwela Yanga maji yamemwagikaaa Eng ????
@IddyMzuri
@IddyMzuri Ай бұрын
JAMAA ANAJUA AISEE, HUYU NI SEMAJI LA FAMILY
@KajunaJovinary
@KajunaJovinary Ай бұрын
Anajua au ni comedian?? Yani ww humjui Kazi?? Ndo anamsifia utafikiri ni Puyo
@THADEOCHUNDU-eu3ez
@THADEOCHUNDU-eu3ez Ай бұрын
Sema Chama anakuumiza wewe sio simba.
@gaspergasper5163
@gaspergasper5163 Ай бұрын
Eti Shakira shakiraa😂😂🙌🏽
@jofreymwampamba1236
@jofreymwampamba1236 Ай бұрын
Tumeenjoy intewvier
@DullahJazza
@DullahJazza Ай бұрын
Semaji umenifulaisha nasa
@kennyjohn-ov7sn
@kennyjohn-ov7sn Ай бұрын
Shakila shakila
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 Ай бұрын
Kwa WACHEZAJI HAO NDO UNASEMA UNAKUSANYA MATAJI?NGOJA NICHEKE SASA
@niyogushimaOscar-bh6mj
@niyogushimaOscar-bh6mj Ай бұрын
Hivi huyu jama ako anauliza ao ako anamwambia habari ya yanga na Azam?mpenja huu ulimtowa wapi kweri umetuangusha
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Ай бұрын
Haka kajamaa hakajui kuhoji.. jenny yupo wapi sijui.. hiki kinjemba kinaboa kinavyo hoji..
@ImuKibene
@ImuKibene Ай бұрын
Sijawai kuuona mwandishi wa hovyo kama uyu Yan hovyo kabsaa
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Kwani ww umekujaa kuuliza mambo ya Simba au umetumwa nayanga
@briansenga584
@briansenga584 Ай бұрын
Zungumzia Simba dogo narudia kamuangalie Jane
@briansenga584
@briansenga584 Ай бұрын
Yeah ndiyo maana nimesema huyo dogo azingua
@HukerRama
@HukerRama Ай бұрын
Ahmed ni hatar😅😅😅😅😅😅😅
@emmanuelsiyengo7401
@emmanuelsiyengo7401 Ай бұрын
Hiyo imeenda semaji
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla Ай бұрын
Munakumbuka la chama2 la fei hamlikumbuki nyuma mwiko
@ChembeaKhalfani
@ChembeaKhalfani Ай бұрын
Jamaa wa ovy ujui hat kuhoj
@janethelly4986
@janethelly4986 Ай бұрын
Ww ndio umepoa na unaboaa😂,semaji ajawahi kupoa ata dk mojaa😂😂mpenja plz turudishie jane uyu cjui mmemtoa wap😅
@EsterMbilo
@EsterMbilo Ай бұрын
U nawaingiza mashabiki chaka
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify Ай бұрын
Shida mnarogwa na kisha mnakwama .
@allynicco4607
@allynicco4607 Ай бұрын
hvi huyu mtangazaji anataaluma kweli? hana hata ubunifu
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Hiiii mashiiiiiiiiine ya kuongea
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Ай бұрын
Mi pia ntakuja Simba Day Kukuona unajua kuongea hauna jazba una akili sana
@briansenga584
@briansenga584 Ай бұрын
Wewe muandishi kasikilize interview za Jane ujifunze namna ya kumuuliza maswali semaji unazingua Sana unakaa na wachezaji kila SAA WA wapinzani wewe jiangalie alfu jitathimini
@MsafwaTv
@MsafwaTv Ай бұрын
Jobe ni shujaa wetuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h Ай бұрын
Dawa imeingia kuna mtu anatakiwa kutoka nyuma mwiko kumbe ni janja janja
@EsterMbilo
@EsterMbilo Ай бұрын
Presha zitawaua ngoja inyeshe
@JeremiahKiberenge
@JeremiahKiberenge Ай бұрын
Huyu jamaa hata hajui kufanya interview kabisa yaani anahoji vitu vya hovyo kweli.
@Snydacut
@Snydacut Ай бұрын
Ww ndio mashine ya kuogea. world wide
@JustineSanga-r9e
@JustineSanga-r9e Ай бұрын
Makoloooooo mpaka msemeeee.
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda Ай бұрын
Hujui makolo maana yake kwa kizaramo ni wajomba wako😅😅😅😅😅 hahahahaha
@SaidiMngoko
@SaidiMngoko Ай бұрын
Mmesahau nafasi ya simba wakati chama uko nje?
@MsafwaTv
@MsafwaTv Ай бұрын
Ubaya ubwela
@castromhilu6491
@castromhilu6491 Ай бұрын
Mwandishi ubongo wake mgumu kuelewa
@SanziNzige
@SanziNzige Ай бұрын
Utopolo hawana msemaji waangalie hapa wanaokota okota na hawana hata semina ya kuwafunza wasemaji wao wanaokota na kuacha msaji awe mropokaji tu.kaambieni hako kashoga kenu kaende shule au kamtafte huyu bwana ahamed ali kajifuze.huyu bwana mpaka hata siyo mwanasimba unapata hamu tu ya kumsikiza siyo hako kajinga kenu mnakaachia kuropoka tu
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Mmh
@Mwinyi-xo7jt
@Mwinyi-xo7jt Ай бұрын
Twataka Jane ndio amuhoji semaji
@jairosmnahi1218
@jairosmnahi1218 Ай бұрын
Kaondoka hpo mpenja tv sijajua khamia wap ila aliagwa tyr
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v Ай бұрын
Huyo alikuwa jeuri atakula jeuri yake
@AmonBenjamin-z1o
@AmonBenjamin-z1o Ай бұрын
Semaji bhna😂😂😂😂
@AmonBenjamin-z1o
@AmonBenjamin-z1o Ай бұрын
Samaji nimoja tuu😅😅
@husseynomar9523
@husseynomar9523 Ай бұрын
😅😅😂😂😂
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
ha ha ha ha ha ha nyie nyie itamgarimu uyu m2 nyie aya
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 Ай бұрын
Mwambieni semaji aingie na Simba mnyama mwenyewe wa zoo wako ambao wamezoea watu
@alistidesclemence3992
@alistidesclemence3992 Ай бұрын
Mpenja atafte mtu mwingine tu....jamaa hajui kohoji huyu!!
@simonjoseph4337
@simonjoseph4337 Ай бұрын
Njoo hoji ww
@DanielMarco-js1kz
@DanielMarco-js1kz Ай бұрын
Mpenja hapa hauna mtu!
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
u.nakutana nani wee wee aya kulia kuko palepale
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 5 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
🔴DAKIKA 45 NA MH.TUNDU LISSU, 26 AGOSTI, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,3 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.