Mpya: Majibu Ya Christina Shusho Kwa Wanaomshambula....

  Рет қаралды 42,319

XPlora▪️

XPlora▪️

Күн бұрын

Nimekuwekea hapa Christina Shusho akiongea kuhusu Historia yake, jinsi alivyokutana na mmewe, mateso ya ndoa aliyopitia hadi kuanzisha huduma yake.
#shusho #ndoa #talaka #kanisa #historia #injili #trending #wasafi #millad #millardayo

Пікірлер: 389
@sisteragnesmwangi2637
@sisteragnesmwangi2637 5 ай бұрын
I believe she has fought battles that nobody knows about.May God preserve you and ministry.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 5 ай бұрын
She is lost. Umalaya unamsumbua😆 maisha ailiyoishi kwa history yake ni maisha common kwa mabinti wengi walioishi kijijini.. kawaida kwa binti wa kiafrica kufulia midume ile, yeye alitaka wamfulie yeye... Mpuuzi mmoja huyo.. Ukahaba ukizidi ndio mnasingizia mungu, au mwanaume hajui nafasi yake. Wapi mungu alisema mwanaume asipojua nafasi yake ndoa ivunjike😂 Umalaya acheni!
@solomonmichael9735
@solomonmichael9735 5 ай бұрын
What battles? The lady is trying to fool people with fabricated testimonies, Try to demonise the husband, the day that man opens the mouth the world will shut down
@wanjikukim
@wanjikukim 5 ай бұрын
Amen
@boazmpazi260
@boazmpazi260 5 ай бұрын
a lady I looked at as an angel suddenly turned into a devil, keeping quiet could be a great wisdom.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Hawezi kunyamaza kwani shetani kesha mkamata na anataka kutuzalilisha wa kristo.Naomba Mungu ampe pigo kubwa ili arudi kwenye mstari.Nadhani atakuwa ameingia kwenye Makundi haya kina Diamond ya freemasonry.Anaikana bibilia kabisa
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 5 ай бұрын
Atarudi tu bint wa Mungu ni wa Mungu tu
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 5 ай бұрын
​@@samwelmatemu8873kumdhania mtu kitu ambacho huna uhakika nacho na ikiwa siyo kweli pia ni dhambi., kusema ameingia freemason unafika mbali sana bro., Na kama cyo kweli hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine inabd na ww pia tukukemee uanze kutubu dhambi yako ya kumdhania mtu uongo
@PeterMwangi-jd7ru
@PeterMwangi-jd7ru 5 ай бұрын
unahitaji maombi,umetoka katika njia za mungu ,may God acknowledge you
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 5 ай бұрын
Pole Christian.. Ndio dunia ilivyo.. Sote tumeemda ktk ndoa tumiwa vibint... Ni wakati wako kumwangalia Mungu tu.. sio kujibu tuhuma.. Hakimu wa haki ni Mungu tu.. Bless
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Mungu yupi amabae anafuata huyu shetani.maandiko yana semaje kuhusu ndoa kwa mkristo.Kifo ndio kitawatenganisha .Maandiko yanasema mpeane mapenzi marakwamara msije mkajaribiwa.Ndoa ni sacrament yeye anasoma wapi maandiko .Maandiko ya nsemaje kuhusu askofu imempasa awe na mke mmoja.
@Jane-fi8on
@Jane-fi8on 5 ай бұрын
@@samwelmatemu8873lakini ukimsikiza anavyonena, ni kama hakuingia kwenye ndoa out of love, but out of cultural circumstances na huwezi fake mapenzi for ever, utachoka. Which means there was never love from the beginning but she stayed regardless to please the society. Ni muhimu kusikia pia side ya mume wake kujua walipatana vipi?
@SalinaHuseni
@SalinaHuseni 5 ай бұрын
Kumbe,uyo dada ikoivyo,sikuzaniya,atasikumoja,nimahajabu,kweli,mungu akuhurumiye,saaana
@OlesoitEnoch-mq8ln
@OlesoitEnoch-mq8ln 5 ай бұрын
Huu ushuhuda hauwezi geuza neno la Mungu. Umepotea dada. Rudi kwa mmeo
@lydiawahome2301
@lydiawahome2301 4 ай бұрын
Keep up girl. I love your songs for long, i now understand you, keep up beautiful girl, washa waseme watashoka. Ni wivu
@ishengomanelson
@ishengomanelson 5 ай бұрын
Yaani unaongea maisha ya kawaida kabisaaa Afrika na unajiona kama ulikuwa unaisha kwenye mateso eti kwasababu umepata vijihela sahivi. Utajua hujui.
@ANDREWGADIMRINJI
@ANDREWGADIMRINJI 5 ай бұрын
Wewe Shusho wewe unavunja ndoa kwa kudai umepata wito wa Mungu. Ndoa ni agizo la Mungu. Sasa wewe umadhihirisha kuwa uzuri wa sura umekupa kiburi.ndo maana memuacha mumeo ukidhani wewe ni mzuri.chunga sana.
@ConsolataMedard
@ConsolataMedard 5 ай бұрын
😭😭nihuzuni kwakweli
@KathambiIsraeljaki
@KathambiIsraeljaki 5 ай бұрын
Tanzanians you have a problem......can't you sense this Woman has a calling and she was in a toxic relationship and environment. Can't you smell spousal inferiority complex. Wait you see her soaring.
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 5 ай бұрын
😂 unahasira sana ndugu yangu chukua dakika chache umuombee atarudi tu matter of time
@lucaschacha633
@lucaschacha633 5 ай бұрын
Nilikua siamini kama kweli huyu Mwimbaji ameanguka kumbe ni kweli, Ooh Yesu Kristo mrehemu.
@hallykanze6693
@hallykanze6693 5 ай бұрын
The pride she had Iko another level!
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 5 ай бұрын
​@@hallykanze6693terrible pride
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 5 ай бұрын
Aone Aibu gani kama uliteswa na mume wako na ni wangapi wanajificha katika ulokole ila ndani ya familia zao kuna uchafu mkubwa,,,,sema mama mchungaji ,,,Wanaume wa Kweli Tunakuelewa,,,,,Waume wa kiafrika tupunguze unyanyapaa kwa wake zetu ni dhambi kubwa sana....
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 5 ай бұрын
Aminaaaaaa
@gracepaul5901
@gracepaul5901 5 ай бұрын
Unaweza itwa mume wa mtu kumbe umejioa because unahusika kwa kila kitu cha maisha yake mwanaume anafanya kukuzalisha tu but mengine unapambana mwenyewe hiki kiatu nimekivaa so naweza nisimshangae Christina
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
Wewe bila shaka ni kichaa na pia hujui ukristo.Huyo mama hata kwa kumtazama tu unajua ni malaya mtaka vitu,haonyeshi ucha Mungu wowote.Ukitaka ujue ni malaya kaangalie maelezo yake ya nyuma kuhusu ndoa
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 5 ай бұрын
@@FridayMwassa yy ni malaya wewe je?mimi ni kichaaa wewe je ni mzima? Je unajua masuala ya ndoa..hebu fuatilia uone mateso hayo ya kina mama....kwahyo leo na wengi wako kwa hizo dini za imani kali ndio shida kubwa
@atufigwegelusajo955
@atufigwegelusajo955 5 ай бұрын
rubbish
@Mamas-06k
@Mamas-06k 5 ай бұрын
Hakuna mtu hakupikia familia za maali mtu aliolewa, tulifanya huwo utumwa, na bado tuko kwa ndoa zetu ......,madhaifu yetu Mungu aliyabeba na akatupa ushindi katika ndoa ambozo tumo hadi leo.
@anyangoirine5428
@anyangoirine5428 5 ай бұрын
Hiyo history yako ilikua inakuandaa kwa kazi ya mwenyezi aishie milele .... Ilikua uvumilie maana heri kuteseka kwa njia bora kuliko kuteseka kwa njia isio eleweka... 1st peter 3 :14. Wewe uliandaliwa vizuri ...ukaiva ....halafu una mdharau yule ali kuanda ili umtmikie ... Najua siku moja utarudi kama mwana mpotevu. I ❤u Tina shusho
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Huyu na msikia anaimba nilikuwa form 4 miaka ya tisini naa huko.huyu ni kibibi kinawashwa tu.Hatakama mme wako hana nguvu za kukihomga vizuri kaa kimia tunza kiapo chako
@Dotto19
@Dotto19 5 ай бұрын
Having been in similar situation namuelewa sana Christina
@christianmakawa5722
@christianmakawa5722 5 ай бұрын
My dear Christina,,pole sana kwa maamuzi uliyofanya,tafakari sana comments za walimwengu hapa.
@mahinyakeelvin2196
@mahinyakeelvin2196 4 ай бұрын
Waha wakigoma wanaviburi hatari yani ukiyakanyaga tu umeishaaa. Si wanaume wala wanawake mashemeji zangu wengi ni washenzi wana roho ngumu. Sanaaa
@MarcKabaya
@MarcKabaya 5 ай бұрын
Christine aombe Mungu atulie asidande kiburi ashukee. Mungu anatembea n'a wanyenyekevu anakataa wenye kiburi. Message hii imusaidie
@necoonlinetv8200
@necoonlinetv8200 5 күн бұрын
Ucjari ni maswala ya mifumo dume. I'll simama na Mungu atakutetea huku ukituombeea wwngine pia coz wengi hupitia tabu Kama hizo. Marriage is not a curve but not a Happiness.
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 5 ай бұрын
Tumwombee mwenyezi Mungu wetu apate kujitambua.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 5 ай бұрын
Akili hazimo zote zimebebwa na mwewe😂😂😂😂
@onesmoalphonce3676
@onesmoalphonce3676 5 ай бұрын
Hakuna mkamilifu,Tunakamilishwa na MUNGU dada MUNGU akupe neema.
@everlynkanini6180
@everlynkanini6180 5 ай бұрын
Pride comes before a fall
@caromutia8738
@caromutia8738 5 ай бұрын
Some ladies are here commenting negatively about chrustina,,ladies we should never try to bring onother lady down....chrustina you belong to kenya you are ours,kemya twakupenda sana hata watanzania waamue kukushusha
@davidmoris7787
@davidmoris7787 5 ай бұрын
Pride come after fall.
@reubenmusundi35
@reubenmusundi35 5 ай бұрын
There things you don't waste time answering.Once your actions contradict scriptures and all of us fall short just repent.Go back to your husband and let him pray for your ministry and operate under his umbrella ...you will see a different Shusho.Forget the carnality.Rom 8:6
@munalook4477
@munalook4477 4 ай бұрын
Achieni mungu ,aukumu mwenyewe .
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 5 ай бұрын
Shusho ......siyo small money Sema few money or little money
@shorewanda5635
@shorewanda5635 5 ай бұрын
hahaha... again... "this is what i told to my parents" or "this is what I told my parrents
@frankkassongo6639
@frankkassongo6639 5 ай бұрын
That is why we believe in researchers.
@HoseaLeonard
@HoseaLeonard 5 ай бұрын
Mungu amrehemu😂😂😂
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 5 ай бұрын
Msema pweke mshindi Hatujasikia toka kwa mme wako Mungu atusaidie sana kujitambua 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@visitDar2011
@visitDar2011 5 ай бұрын
As Muslim who grew up in Christian Family ... would advise kusikiliza haya 1. Mapenzi ya mume kwa mke, familia na umuhimu wa extended family kwenye couple 2. Mtu kama mkosaji na 3. Mafundisho ya dini juu ya upendo na imani. Kwenye sauti ya Christina kuna maumivu kwa kivuli cha imani na majukumu ya mume yaliyosaulika kupitia sauti ya madhabau . NB hii ndo imekufa muda ila imeishi kwa sababu ya madhabau ( watatuonaje) na kwa hili liwaendee wote ndugu wanaoingilia mapenzi ya ndugu zao.
@kentz186
@kentz186 5 ай бұрын
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
@VicentTarimo-z5z
@VicentTarimo-z5z 5 ай бұрын
Duuuuu nyakat za mwisho jamani Yesu anarudi
@cassyrex2023
@cassyrex2023 5 ай бұрын
Mungu anachukizwa na talaka. Wenzangu tumwombee. Matthew 16:26
@cassyrex2023
@cassyrex2023 5 ай бұрын
Shetani humwangusha mtumishi ambaye ana potential. Wakristo tumuinue kwa maombi wala tusimpige mawe.
@joycemwakilembe-lc9fx
@joycemwakilembe-lc9fx 5 ай бұрын
E Mungu mrehemu huyu dada ni rembukeni saana. Hivi vitu vinapita dada. Tena muimbaji mzuri sana. Mungu akurehemu.
@HoseaLeonard
@HoseaLeonard 5 ай бұрын
Waimbaji huwa wanaongoza kwa mambo ya ajabu.
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 5 ай бұрын
Yaaniiiiii
@BeatriceLyatuu-w8j
@BeatriceLyatuu-w8j 5 ай бұрын
Ok uliolewa na mwanaume ambae hukumpenda ila KUMBUKA ktk mafanikio yako Huyo baba alikuwa na wewe mpaka ulipofikia Sasa... Kwa lugha nyingi e Sasa toka umejua kuchanganya kiswahili na kiingereza na uko juu ya yote.. Unyenyekevu hakuna tena...ni wazi umempata unaempendaa... Tunasubiria kumwona Huyo unaempendaa... Usiache kutuonyesha na Huyo... Maana Kadri unavyopanda viwango Huyo pia utamtupaa chini aunyanyue WA viwango vya juu ya MUNGU UTUREHEMU KADRI YA WINGI WA FADHILI ZAKO😊
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 5 ай бұрын
Ndio tatizo la kuomba Bwana akubariki akupe pesa kabla ya kujazwa na Roho wa Mungu. Utafuteni kwanza ufalme wake na hayo mengine mtazidishiwa.
@anyangoirine5428
@anyangoirine5428 5 ай бұрын
Maajabu Tu ...lakini IPO siku Tu atarudi kama mwana mpotevu
@elizabethfatuma9053
@elizabethfatuma9053 5 ай бұрын
Mungu akuhurumie Dada ulianza ki Roho unatamaliza kimwili
@thomasorembo9830
@thomasorembo9830 5 ай бұрын
Wacha ujinga Rudi Kwa mumeo diamond atakupa Nini Na Ni fisi,Sasa utahisabiwa,sikundanganyi pale umetoka Ni mbali Rudi kwako.haraka Kwa Jina la yesu
@tunumigila8995
@tunumigila8995 5 ай бұрын
Dhahabu safi husafishwa kwa moto.
@kentz186
@kentz186 5 ай бұрын
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
@ErnestJoseph-r5x
@ErnestJoseph-r5x 5 ай бұрын
Wewe hacha kudanganya watu, hata unaowaongoza kwenye dhehebu lako ikiwa watafikiri vizuri bado wana nafasi ya kufanya maamuzi ya busara. Maana sio vema kuongozwa na kipofu, sasa wao watakuweje? Ivi unajiita mchungaji, uchungaji wako umesimamia kwenye msingi upi kimaandiko? Ila hujachelewa, bado una nafasi Yesu anakuita. Toka kuwa wakala wa shetani.
@chrismogusu306
@chrismogusu306 4 ай бұрын
Isnt this audio from 1 year ago?
@kentz186
@kentz186 4 ай бұрын
Exactly
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 5 ай бұрын
Wewe,huna aibu ,wewe kaa kimya,miaka 19 una udogo gani wa kutoolewa pumbavu nini na ulitaka usipike ukikuta watu,sote huwa tunaanza hivyo hivyo ila unakomaa mpaka unafanikiwa usihubiri nenda kaimbe nyimbo za kidunia,unamuanika mwenzio hivyo ndio nini wkt mmeisha zaa kwani uliolewa na miaka 13?,miaka 19 hata ukifanya kosa unafungwa au unataka,ndoa za sasa hivi za kuolewa miaka 35 na kuendelea shame on you my dear
@emmahke1929
@emmahke1929 5 ай бұрын
But why are you realizing know I only pray for you God ,for I believe God will alwas remain
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 5 ай бұрын
Kumbuka ni wapi ulianguka utubu,huenda Mungu atakusamehe,Yaani Shetani amekubamba pabaya,nikikumbuka wimbo wako wa unikumbuke,moyo unaniuma sana
@onalinasozigwa3167
@onalinasozigwa3167 5 ай бұрын
Mungu amsaidie huyu binti amepitea kabisa wala hana Mungu tena bora anyamaze
@bernardchowa803
@bernardchowa803 5 ай бұрын
Pete not blame our history
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 5 ай бұрын
KAMA KUACHANA NI VIZURI, WHY DO YOU WANT TO GET MARRIED AT THE FIRST PLACE? WANAWAKE MSIOLEWE... WAACHENI WANAUME.. MSIINGIE KWENYE NDOA KABISA KULIKO KUHARIBU KUSUDI LA MUNGU NDANI YA MWANAUME. DONT BRING SHAME IN OUR LIVES... UPUUZI MTUPU.
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 5 ай бұрын
Duuuuuu Waimbaji Kiukweli Mimi Nimepita tu Siongei Kitu Mnyakyusa Mbunifu Yamenishuka
@gibranhakika
@gibranhakika 5 ай бұрын
Shusho change Acha mabishi mrudie Mungu vingnevyo jehanam inakungoja dada tina
@doubleseven7750
@doubleseven7750 4 ай бұрын
Ulianza kuuza kaanga pesa ulitoa wapi yani kubali mambo ya mtandao hayafai
@dishonithomasi79
@dishonithomasi79 5 ай бұрын
Haujawahi kuwa binadam kamili huyo christina mjinga Sana mambo anayoyafanya kwenye familia yake nakumuacha mme wake duuuuh halafu anasema amemuacha kwa sababu ya utumishi
@alphasamwel
@alphasamwel 5 ай бұрын
Mithali 27:2 Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe. Ibrahimu alikuwa na mwanamke mzuri, Isaka naye pia, vilevile yakobo kwa Rahel, lakini walitunza ndoa zao,hawakuringa. lakini kwa kupitia uzuri wako ndo sababu ya kuvunja ndoa,ni hatari mno,umesononesha moyo wa shusho sana,na watu wengine. Ama kweli andiko hili linatimia kwako leo, Mithali 31:30 (KJV) Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa. Mithali 31:30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
@MaryWuantet
@MaryWuantet 5 ай бұрын
😂😂 the little English anawatishia watu wa home kwao😂😂😂..Fala hii
@anyangoirine5428
@anyangoirine5428 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@amosipasiani3294
@amosipasiani3294 5 ай бұрын
hatare sana aisee!inasikitisha😅
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 5 ай бұрын
Kila aliyeoa ashtuke. Uzalilishaji umeanza, maana hii ni hamasa.
@kentz186
@kentz186 5 ай бұрын
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
@janechacky3810
@janechacky3810 5 ай бұрын
Nasikia kichefu chefu kumsikiliza yaani sikumtegemea kabisa eti mtumishi shindwa na utepete
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 5 ай бұрын
Tunajua unajua kingereza ongea kiswahili wewe unachanganya sema ukweli mungu hana upuzi huo hao washirika unao wahubiri unawapoteza wakipatwa na matatizo ya ndoa hutawasaidia..unakichwa ngumu.
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 5 ай бұрын
Hata watt sijui wanajisikiaje mama kunisema baba yaan hapa inanivuruga kichwa
@marianamhepella-zy5dn
@marianamhepella-zy5dn 5 ай бұрын
Musimuhukumu sana nikimusikiliza ndoa ngumu ngumu sana hajaziishi tu mumuache
@syprianlameck3565
@syprianlameck3565 5 ай бұрын
Muonee huruma mme wako , acha kumruhusu shetani akutumieee, unatumiwa na ufalme wa Giza ww muombe mungu akufungue ufahamu umefungwa na shetan
@driquesmariques9794
@driquesmariques9794 5 ай бұрын
So have you found love
@JUDITHMGAYA
@JUDITHMGAYA 5 ай бұрын
😂 tumegeuka wakenya tena? Mungu atusaidie tu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
NINYI MNAONA KAMA CHRISTINA SHUSHO AMESHINDWA LAKINI HUENDA NDIO AMESHINDA KWA KISHINDO Kwa JIna la Yesu Kristo wa Nazareti.
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 5 ай бұрын
Jifunze upendo aliyetuumba sio mwadamu anamjua kila mmoja msihukumu watu aliyewaumba anawajua zaidi yenu kuna vitu aliyeumba peke yake anajua
@richardmongare6207
@richardmongare6207 5 ай бұрын
Wacheni kumjudge shusho as if u are holy
@0diraWilson
@0diraWilson 5 ай бұрын
Tuache kuonyana kwa sababu ya mawazo ya kijinga Je BIBLIA inasema nini juu ya kuonyana? Ujue BIBLIA ni kitabu cha maonyo Pia. Lazima tuonyane site
@SimonMaregge
@SimonMaregge 5 ай бұрын
Unatukwaza kwa kumtaja yesu wkti tangia uachane na mumeo kimeonekano tyu tunda linaliwa na wahuni acha tamaa mrudie mumeo urudishe heshima Yako
@allenmlelwa7950
@allenmlelwa7950 5 ай бұрын
Wewe umegeuka kuwa wakala wa shetani.subiri ujira yako.
@omuze1290
@omuze1290 5 ай бұрын
Mimi najiuliza: Hivi kweli huyu Christina tangu aondoke kwa mumewe ameutunza utupu wake na kumheshimu Mungu?
@claudemj1542
@claudemj1542 5 ай бұрын
Hii yote ni upuzi, sasa uimbaji wako ukianguka utarudi kwa ndoa ukiwa scrap na unechoka. Jiite kamkutano, nyinyi waimbaji wa Tz sujui nini inawakula, ilianza na Rose Muhando, Sasa Christina Shusho, nani next
@titonsimbazi5532
@titonsimbazi5532 5 ай бұрын
Huyu ana mashetani kaitwa na mikataba ya kuzim, na mikataba hiyo ya kuzim ndo imemwambia aachane na mme wake au aachane na doa kabisa
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 5 ай бұрын
Mungu alisaidie kanisa, sababu sherani huwarumia watu waliokuwa wa Mungu ili wabomowe kazi ya Mungu! Huyu maman ameenda kabisa. Tafadhali watu wa Mungu muombeeni ili atubu amurudilie Mungu. 🇨🇩 🇨🇩
@TawakalStorecoltd
@TawakalStorecoltd 4 ай бұрын
umepotea
@carniarrow
@carniarrow 5 ай бұрын
Do not judge. For this woman to make this decision, there was a reason.
@SilvesterApolo
@SilvesterApolo 5 ай бұрын
Anamuita Diamond mchungaji kwel😂😂
@ClementMakongoro
@ClementMakongoro 4 ай бұрын
Kumbe alikuwa hampendi mme wake anadanganya ameitwa na Mungu!!
@petroyohana1126
@petroyohana1126 5 ай бұрын
Huna point 👉, ujinga mtupu
@EmmanuelAlberto-f3g
@EmmanuelAlberto-f3g 5 ай бұрын
sura.inakudanganya.firimasoni.hawakwachi.sarama.umeisha
@danielnyamawi8333
@danielnyamawi8333 5 ай бұрын
God is not the author of confusion
@esthermaluki5593
@esthermaluki5593 5 ай бұрын
This woman am sorry i dont think shes okay. May God show her the correct way. The grace grace grace iko wapi
@EmmanuelAlberto-f3g
@EmmanuelAlberto-f3g 5 ай бұрын
sura.inakudanganya.firimasoni.hawakwachi.sarama.umeisha
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 5 ай бұрын
Mbona watu kwenye comments mnahukumu je mungu akitufunulia mnayoyafanya sirini ni mazuri acheni hizo kwanza suluhisheni ya kwenu 😮😒
@mtoto_wa_Mfalme12
@mtoto_wa_Mfalme12 5 ай бұрын
Hujui kuwa bila huyo aliyekuona na kukuoa ungeweza kuishia huko huko kijijini? Wangapi wazuri wamejaa huko vijijini? Ni bora kukaa kimya. Mungu akusaidie.
@charlesmgory3131
@charlesmgory3131 4 ай бұрын
Unaongea kiingereza na kiswahili kwa maana ya kwamba una msimamo hata ktkt kuongea ukaeleweka pili ulichokifanya nikutetea makosa bora mngeliachana kwa kushindana tabia na sio et uwe huru kumtumikia mungu unajidanganya na kundanganya watu .
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 5 ай бұрын
Acheni viburi siyo Shusho tu bali waimbaji wengi kuanzia makanisani hata wale kwenye praising teams mnajifanya vipofu kutokufuata maandiko na kuwa wazinzi na makahaba mnapoingia kutumika huku mmejipamba, mmeshindwa kujikana na kufuata mambo ya dunia. Mna ushawishi mkubwa wa kishetaninili kulinyamazisha kanisa kwa wingi wa ukahaba kupitia mapambo na mavazi toka kuzimu, unayoyafanya hivi sasa ni matoeo ya kujiona mnaenda na wakati badala ya kuukomboa wakati! Watumishi wa Mungu simameni imara katika kuihubiri kweli na kuacha woga wa eti waumini watahama, timizeni huduma sawa na neno.
@gladyskerubo6075
@gladyskerubo6075 5 ай бұрын
Amen ❤powerful words
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel 4 ай бұрын
Kwani kujipamba ni dhambi
@wairimugrace2540
@wairimugrace2540 5 ай бұрын
No excuses, marriage to be honored by all. Most people go through bad things in early days of marriage but later things change. Money isn't everything, go back to your marriage before it is too late. Fame is nothing without Jesus
@ndimurukundophilemon9468
@ndimurukundophilemon9468 5 ай бұрын
Mungu utusamehe , wasamehe Na wanaoitwa wachungaji, Mungu utusaidie kuyatambua Maandiko, maana wanaopotea ni wengi
@PRECIOUS_557
@PRECIOUS_557 5 ай бұрын
Naangalia hizi comments na naona watu hawajawai tenda dhambi😅😅, just because maisha ya susho yako public na yako si public, makosa unayofanya nani hujua😂😂, don't judge for with the same measure you judge you shall also judge
@HellenLemilya
@HellenLemilya 5 ай бұрын
We naye unatetea ujinga wa uaribifu wa watu
@rosekwasi3824
@rosekwasi3824 5 ай бұрын
Its the word that judges .
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 5 ай бұрын
" wewe ndio wale wale unaona kudanga ni kazi na unakuwa upo kanisani na unaimba na kwaya na unafanya Kila kitu ✓ unabadili wanaume ✓ unavaa vimini ✓ unaweka vipandikizi vya uzazi wa mpango na upo kanisani ✓ kwahyo uendelee kutenda dhambi tuseme don't judge ✓ ubebe mimba na hujaolewa tuseme don't judge ✓ uvae vimini tuseme don't judge ✓ ubadili wanaume tuseme don't judge ❤Kuna kukemea kukaripia na kuhukumu wewe unataka Nini na useme ukweli wewe unayo madanga mangap
@Dotto19
@Dotto19 5 ай бұрын
A troubling issue in our African culture is that when a man speaks about his wife, she is presumed guilty. Similarly, when a wife shares her experiences from behind closed doors, she too is often seen as guilty. This mindset is both unfair and outdated. It's crucial that we start believing our young girls when they courageously open up about their negative experiences. It's time for change. TUBADILIKE WATU WA MUNGU .. I stand with Christina
@solomonmichael9735
@solomonmichael9735 5 ай бұрын
Kumkemea mtu si kumhukumu
@necoonlinetv8200
@necoonlinetv8200 5 күн бұрын
Usilazimishe sana watu wakuwelewe, Wenye akili wanakueelewa tu. Hata Yesu walimuelewa baada ya kupaa.
@zanabphilip240
@zanabphilip240 5 ай бұрын
Wewe ni mwiba kwa ukristo shameless woman
@ustawiwetu
@ustawiwetu 5 ай бұрын
There is power in trying to fulfill your dream. IF U A POSITIVE U WILL GRAB THIS POINT OUT OF THE WHOLE MESSAGE
@allenmlelwa7950
@allenmlelwa7950 5 ай бұрын
Which dreams jaman hakuna la kujifunza zaidi ya kuwa huyu ni malaya na limbukeni kama malimbukeni wengine.wanawake mkishafanikiwa mnawaacha waume zenu.
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 5 ай бұрын
​@@allenmlelwa7950sio wanawake wote. Sema baadhi ya wanawake. Weka neno baadhi. Maana ukisema wanawake unajumlisha mpaka mke wako humo na mama Yako humo na Sisi ambao hatupo hivyo. Ni Hawa baadhi wapo hivyo. KUNA WANAWAKE WAMEWAPA WAUME ZAO PESA KUANZISHA BIASHARA NA WANAWAHESHIM WAUME ZAO.
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 5 ай бұрын
Hakuna Cha wito umalaya tu
@joelking3692
@joelking3692 5 ай бұрын
Kwa kweli usijitetee hata kidogo yaan ushahama wewe umeshakengeuka
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 5 ай бұрын
Sina hata hamu ya kusikiliza tena nyimbo zako
@JaneMtulya
@JaneMtulya 5 ай бұрын
eeee dunia ina mambo kweli hawa ndo vioo vya jamii kweli????
@dorahmalaki8195
@dorahmalaki8195 5 ай бұрын
yaaani siamini hadi saasa uza ice cream hata mavi ya ng'ombe yote maisha acha kufichua mammbo yako, shetani kakukamata 🙆‍♂🙆‍♂🙆‍♂
@lesleytsama987
@lesleytsama987 5 ай бұрын
Stop the church business, get harmonizer and diamond and continue being a celeb.. or repent and go back to your rightful place. Mungu hange mind ndoa yako, hange sikia maombi ya mumeo Shusho na kukuenua wewe. Watu wanakutamani just because of your husband's prayers, don't be deceived. You are hurting your husband, you are hurting the church, you are hurting even me who is in a small village in Kenya. Repent sister and go back home . Tulikupenda vile vile. Tafuta kujua the great singer chibalonza alienda wapi after grave, it's all in the media, na ujiulize na wewe umeshika njia gani.
@MarcKabaya
@MarcKabaya 5 ай бұрын
Uyu dada anamusau Mungu ?amekosea Sana arudi kwa mumewe
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 5 ай бұрын
Ila dada Fanya kazi ya MUNGU ya kweli usipotoshe watu
@lydiawahome2301
@lydiawahome2301 4 ай бұрын
Keep up girl. I love your songs for long, i now understand you, keep up beautiful girl, washa waseme watashoka. Ni wivu
@sergebaleke695
@sergebaleke695 4 ай бұрын
Nimekubali ule musemo unasema Don't trust any body... Sister rudi kwa mumeo hapo nikama Treni imetoka kwenye reli mwisho wake huanguka nakuomba usome comment yangu
@brucesimwelo5580
@brucesimwelo5580 5 ай бұрын
2009 unikumbuke,bwana....na kijana huyu ataka mke/mume.swali langu Tu ni,uko 'elluminate'ama ni singizio?
@georgenathanael
@georgenathanael 5 ай бұрын
Nasimama na Christine shusho,,, tusiwe wepesi kuhukumu,,, hatujui magumu wanayopitia hawa watu😢
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 Ай бұрын
Leo anatoa siri za chumbani tangu mtoto wa kwanza wa pili wa tatu changanya umaarufu akalewa ndio akagundua vibenteni vya akina mwambino akamuona mumewe mzee sasa anamuanika hadharani dah baba wa watu anajuta huko eti nimeamua kufanya kazi za Mungu kumbe kutoa mafundisho ya kihuni ya kumuumiza mzee wa watu na kuwadhalilisha hata wanao
@AmonSimfukwe-t7r
@AmonSimfukwe-t7r 12 күн бұрын
dada tinna rudi kwa nyumba yakoo unapotea
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 4 ай бұрын
Ukiona watu wanakusifia kwa ulichokifanya ujue ni mapepo lakini wanajua watakachokufanya badae,ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga na ni ujinga tu.
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 1,8 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 28 МЛН
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH JOHN SHUSHO AND YUSUPH MAGUPA
14:15
Faith Victory Media
Рет қаралды 28 М.
Christine shusho (kuachana na mmewe)
7:40
Rebecca k official
Рет қаралды 1,5 М.
Mch Moses Magembe - NDOA NA FAMILIA |  SEMINA YA NDOA NA FAMILIA 04
1:29:51
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,3 М.
IPM: "HUWEZI KUWA TAJIRI KWA MAFUTA YA UPAKO, TUNAWAIBIA..."
18:16
REV. DR. ELIONA KIMARO: KIJANA KUJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO
1:32:02
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 11 М.
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 1,8 МЛН