Kurya uwe una fanya kazi na CLAM Steve mweusi jot ili upate mashabiki wengi zaidi wewe una uwezo mkubwa sana kaka tuko pamoja
@ikwiririsenta7912 Жыл бұрын
Katika maisha Husipende Shot kati Pambana kama walivyo Pambana Ao hulipo wasema Sio Uchawi Linda Brand kwanza Kitu kizuri
@NoDiskNoDisk Жыл бұрын
Kurya kweli fany Kaz na hao jamaa
@mataimajengo Жыл бұрын
Ndg yangu mkurya matamanio yangu uje ufanye na kicheche bonge la comedian
@Mzuritvonline Жыл бұрын
PITA NA KWANGU UONE VICHEKESHO VYANGU
@DamianoMuhembanoАй бұрын
Magag
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
Fanya kazi na CLAM Steve jot ili uongeze views wengi zaidi kwa sababu ukifanya kazi wasanii wenzio uta kuwa una jitangaza kimataifa zingatia hilo ukifanya mwenyewe uta ganda kwenye upande wa views mimi nakukubali sana maana una uwezo mkubwa sana na nina furah sana nikiangalia video zako
@ayubumwakalelesya52 Жыл бұрын
Kwani awo ulio wataja wamefika kimataifa ujue Ili ufike ni juhud zako mwenyewe ukifanya vizur wao ndo watakufata nakubali kuryaboy og
@abuuvanlampard2564 Жыл бұрын
Kimataifa gani na sisi wakenya🇰🇪 tupo
@forexhedgingvictory8108 Жыл бұрын
Kurya ni jeshii la mtu mmoja
@ZefaniaMasuka Жыл бұрын
Nakubar brother kurya 😂😂😂😂😂
@ChingaBoy56 Жыл бұрын
Nakubali Kurya 🔥💪
@rashidisaidi Жыл бұрын
Nakukubali kaka
@Makwebhaza97 Жыл бұрын
Nakukubali sana wakwetu
@JohainaHassan6 ай бұрын
Yaan kurya ❤❤ so much comes zako aiseeee 😂😂😂😂
@farajiyusuph9019 Жыл бұрын
kama utajipa thamani na kustuka hakuna wakukukamata kwa sasa mzee we una vitu sana shtuka fanya maamuzi
@JackDaud Жыл бұрын
Kulya respect
@beez___wancho____x63908 ай бұрын
Eti aaa KMk ngj nishuke 😅😂😅😂
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ZipoOnline428910 ай бұрын
Moshi umetokea chini😂
@malataogtz2080 Жыл бұрын
Chini kumetobhooka ama chini kumefanyaje!!!
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Жыл бұрын
Namfatilia sana kulya kiukweli unanikosha
@omolomaxfitnessbodylifetim8252 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤😅😅😅😅 kaua kweliiii ima?! Hhhhhhhhhhh
@kingmsukuma1238 Жыл бұрын
Sijawahi kuruka kazi zako
@ferdinandntembagara29497 ай бұрын
Aisee Moshi ukatokea chini
@AmosiMicha-cs5sh3 ай бұрын
Ongeza bidii tata waito
@PetroKimario11 ай бұрын
𝑵𝒂𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒌𝒖𝒓𝒚 🤝
@edwinelias85544 ай бұрын
😂😂😂😂
@gosheningogelwa276 Жыл бұрын
😀😀😀nimoto
@erickdeo414 Жыл бұрын
nakbal sana mwana wa kihaqata villaqe
@mpondamsafiri9 ай бұрын
sanaaaaaa by prince
@johnrogath106611 ай бұрын
😂😂😂😂
@RamsonluttomainoRamson Жыл бұрын
😂😂
@SaimonErenest11 ай бұрын
Nakubali san
@AdamKulwa7 ай бұрын
Unatisha
@Akili-mbili-comedy777 ай бұрын
Kurya boy mee
@wistonwillium82683 ай бұрын
ILA kurya😅😅😅😅😅😅
@MusaSensoMusa9 ай бұрын
Aaaa
@AmosiMicha-cs5sh3 ай бұрын
Aya bwana kurya boy
@NancyMahili-pm5yn Жыл бұрын
Mkuria kazi nzuli sana❤🎉😅😮😮
@biniarb7211 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂🫣
@denisjoel159211 ай бұрын
Mwanetu,jitahd uwe unakuj nyumban pia unapata barak tyr we ni star
@kuryaboyog11 ай бұрын
Sawa Nitakujaaa
@geofreyukason Жыл бұрын
Ila kurya bhana 😂
@AdamKhasim-p3j11 ай бұрын
Mghuuu
@DavidLucas-ou7vp Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂
@Dayotz11 ай бұрын
Jamaa kamfanan cloutos chota Cham sem kulya boy unjuaa😂😂