Mr. Mwaura married sidehen to get a green card to go to the US😭💔 #wanjikuwainaina
Пікірлер: 812
@FidelisWaithera7 ай бұрын
Hio ugonjwa mnawekelea huyo mama ngojeni muone vile mungu hufanya kazi,nyinyi dio mtakua wazimu
@Njeri_1237 ай бұрын
💯
@EverlyneMinayo-g4p6 ай бұрын
Very sad😭😭
@felistawambua56154 ай бұрын
Aki this is sad,mzee Hana hadabu kabisa.cate hakuna hamani hata wewe
@juditholotu72493 ай бұрын
Huyu dada atakuja kupata malipo yake hapa hapa duniani
@carol-shii7 ай бұрын
I wish I could have a chance to advise this mom. This video is enough evidence to go to American embassy to report
@NjokiIrungu-h5m7 ай бұрын
Aki connect with Wanjiku Wainaina, God will reward you 🙏
@marywambui36857 ай бұрын
Advice her through Wanjiku wainana please.... such heartless people needs to be taught a lesson to be a lesson to others
@MarthaAchochi-s2c3 ай бұрын
Aki carol plz advise her just connect wanjiku juu unajua maneno ya America she will connect you with her😢plz
@eva13717 ай бұрын
Sanitise her phone further...also do dna test of the son...utapata wonders...Also please get the wife to do proper medical check up...she may have been put on slow poison
@okutebettina25097 ай бұрын
Very true. This man is akiller. Woman you should khow that no future for you
@lynnetchege34037 ай бұрын
Hapo umesema I dont trust these two😢😢😢😢
@eva13717 ай бұрын
Wewe Mwaura utalia so much....sidechick hata wewe utalia so much because you knowingly took a man that you knew had a wife.even if she is sick you have no right to break that marriage
@LeahMuraya-m9b7 ай бұрын
This man all his money will be wasted .he will end to cry in Jesus name
@gracemburu63557 ай бұрын
Ata huyu Mzee akipeleka this girl abroad watafika amuache. I have seen many men bring women here abroad after 1 year msichana anakimbisana na wazungu. The same tears the goat wife is crying,soon this man will cry abroad. Some men even are depressed from such actions here in abroad.
@PhilipKimaru-s8d7 ай бұрын
Very true
@0sengoshikondi.junior4517 ай бұрын
ATA huyu Mzee hataezana na huyu dem...watawachana upesi Sana...wakifika us
@gladysmartim46717 ай бұрын
Exactly kwanza Hii drum ya mtu ataachwa first month mjinga yeye
@elidahwambui13456 ай бұрын
True huyu anangoja kufika wataichi
@lucioman67-i6r4 ай бұрын
Grace,
@charity49087 ай бұрын
Somebody report this to USA embassy to top this nonsense. This man can not break his family, saying.
@zenjibar647 ай бұрын
Hakuna. watakusikiliza embassy wakati huna marriage certificate . Alonayo ndio anatambuliwa . Ndoa ya upepo hakuna huko .
@JaydenJose017 ай бұрын
Wanjiku should help this woman, asikue tu content creator
@tonymg98927 ай бұрын
GATHER YOUR FACTS RIGHT. IT DOESN'T MATTER IF THERE ARE PAPERS.@@zenjibar64
@sylviawachiira27817 ай бұрын
Exactly...afundishe watoto wetu huko kenya ...yues asirudi
@olivamaziku86927 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅@@zenjibar64
@mosubimorwabe71567 ай бұрын
Huyu Care hawezikaa na hili limzee, she only needs daraja ya kufika USA. He will come back crawling to the first wife
@carol-shii7 ай бұрын
This guy is so disrespectful. He will pay dearly. Ashaa jiharibia his status here in the USA. This mom needs to report this.
@janemunyua54777 ай бұрын
Mob love mama❤❤nakupenda bure
@FidelisWaithera7 ай бұрын
Hamtawahi kuwa na peace in Jesus name
@sylviawachiira27817 ай бұрын
Amen
@ruthakinyi21823 ай бұрын
Family dollar tree 🎄💰💵🌴
@ruthakinyi21823 ай бұрын
🎉🎉😂😂❤ good morning 🌄 how are we going tomorrow morning can
@ndettothejuice30947 ай бұрын
The confidence with cheupe tells it all.huyo mtoto sio wa huyu mzee.pole Mzee kwa kupoteza njia.
@hezronmotari36627 ай бұрын
I like the reading energy "akakutext akakuambia" na "ukamtext ukamwambia"
@fridahoyako7 ай бұрын
Tihihi 😂
@elizabethmusimbi4327 ай бұрын
Me too alafu hapo sauti huja nyororo tena sauti ya juu😊😂
@sharonayako14007 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Mercywambuimercywambui7 ай бұрын
Uuiii God
@josephinekimeu92727 ай бұрын
I like the way angel does it
@mainakamau-bv2hv7 ай бұрын
This side chick and this mzee will pay dearly for what they've done...mungu halali
@eunitakesio7 ай бұрын
Aki na anaendelea kudhihaki huyu mama ni yenye atatoka ngambo akiwa mwendawazimu
@mumbisandtmann89317 ай бұрын
Kwanza huyu mzee huyo akifika huko atajitoa@mainakamau-bv2hv
@julicenyabaro52916 ай бұрын
Sure 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@evenaftali94117 ай бұрын
God who sees and fight for the obedience and the weak, I pray that you stand with the goat wife. The way the goat wife is treated is a red flag that the hubby has moved on. It is heart breaking and very painful but mom, you have a life, think about it. Please Wanjiku don't leave that mama with that man. He might harm her. He keeps saying he is taking her to hospital. She is very normal
@bertywiththepeach37827 ай бұрын
Once you reach USA you're going to be a single man believe me😂😮
@ivymugei7 ай бұрын
Eeeeh sidio mtu anafanya hivyo ukifika Kila mtu anaenda zake, tuliona na mbaba mwingine uko Sheria house ,but now sijui Ako wapi,ukitaka ikue rahisi uingie USA
@SolomeKuto7 ай бұрын
Enyewe akn mkate ngumu mbele y chai yn ata mtu hajali uzito wa mzingo 😂😂😂😂
@SolomeKuto7 ай бұрын
Sikia ati maybe alinyenda kufanya harusi pekeake 😂😂😂😂aki wakenya
@annechege65547 ай бұрын
I totally agree with u 💯, she’s after makaratasi , does it !!!
@Dorcustvshow7 ай бұрын
😂😂😂ndio vivo sasa
@SKYSTAR-wz5me7 ай бұрын
God grant this old lady peace. May that sickness this man is talking about return to sender...may mwaura and Cate never know peace and their family in their entire life. That comfort they are looking in US hawatawai pata
@margaretwambete12287 ай бұрын
Let mama go to the American Embassy to report.He will not be allowed entry.
@AugustineKipyegoRono7 ай бұрын
To report what? She doesn't have any documentation.
@johnkamunyu99727 ай бұрын
By any case concerning family issue no travelling
@gilbertemmanuel96437 ай бұрын
@@thatgirlmimiemarriage certificate is not enough to prove that she’s married, still She can be denied IV
@meg-iv1sw7 ай бұрын
But there is no marriage certificate to show embassy doesn't understand traditional weddings
@gilbertemmanuel96437 ай бұрын
US embassy cannot deal with that situation, Only USCIS and National visa center (NVC) Can help to deny and dismiss the case I know what I am talking about
@jacklinelila7 ай бұрын
Eti aende kwao, I think huyu Mzee is azombii.
@jenniferkamonjo71267 ай бұрын
Ako the most s.... person all over the world 🌍
@ladyjays7 ай бұрын
Taking care of his mamaa
@annajuma98233 ай бұрын
Atakuwa zombii aki
@jecintamuraya38707 ай бұрын
It's only God who can fight your battles mama
@asuntamuthoni22987 ай бұрын
Wanjiku sanitize that second wife
@belindaouma7957 ай бұрын
Tutapata anaongea na love of her life akimwambia "kimbaba kikiniingiza America nitakiacha babe nikuite"
@sharonayako14007 ай бұрын
Yes please
@simondavid96147 ай бұрын
Mama just call Usa embassy Nairobi...both green card will be cancelled ata ya mzee. Easy solution
@jacqueMush7 ай бұрын
Wee,acha zako,kwani alienda na green card, don't think so
@marygift2737 ай бұрын
Haki hiki kimzee kwa nini unafanya bibi yako kama mjinga kitakuraba karma is just doing pressups.
@slykachess7 ай бұрын
Unadhani huyu dem anaenda majuu kukaa na huyu Mzee?😂,,atatokwa tu
@FriddaGodfrey7 ай бұрын
Kabisa afu nene baya itakua linaumwa pumu hili linavyoongea msiiiiiu
@Yuca8787 ай бұрын
Wanjiku saidia uyu mama mzee akuwe bloked kwa migration 😢😢😢this is so bad
@edithnderitu4647 ай бұрын
Mr John no where to go without regretting; Chiku we believe in you sanitize kabisaa iyo phone for the rescue of the Goat wife.God this battle belongs to you upon this woman ❤
@Miriam-Smith7 ай бұрын
Mama amenyanyazwa na hiki kibuda! I hope her children are watching this.. mzee shall never have peace
@mungaikimani33287 ай бұрын
The only thing that people lost is the fear of GOD...they don't fear GOD'S judgement...
@charity49087 ай бұрын
Sasa huyu mzee na kitammy... nothing good comes out of such side-chick deals. Just destroying your family and God-given wealth. This is the beginning of this man downfall. You make your wife crying. You have lost it all. Foolish man breaks his own home like this. Terrible.
@susanngugi24897 ай бұрын
Seriously sending your wife after 20yrs Seriously wife reports American embassy to stop visa
@vannessanaomi7 ай бұрын
Mama wachana na mzee aende .plz take heart. Leave him alone .Let God will bless you .he is going to face his death coz he us inhuman .it's very sad but GOD IS still with you mama
@Ivy2-tx2zp7 ай бұрын
If their is an immigration lawyer who see this pls by the grace of God take this to the immigration department pls, help the woman pls
@ValentineMukanda7 ай бұрын
akuna aja hawachie mungu then wataona chenye mungu atafanya
@tonymg98927 ай бұрын
@@ValentineMukandaNO NEED FOR AN IMMIGRATION LAWYER. AN AFFIDAVIT FROM A KENYAN LAWYER IS SUFFICIENT TO INITIATE THE PROCESS.
@sylviawachiira27817 ай бұрын
Please
@CatherineGathukumi7 ай бұрын
This lady will see fire coz i sense hata mtoto si wa huyu mzee
@tabithamwihaki2487 ай бұрын
Akifika usa anatema huyu mzae
@CatherineMutuku-hd9vv7 ай бұрын
😅😅😅😅😅hakuna MTU anaeza zaa na hiki mubaba na Hana d...k
@Roxana-q5j7 ай бұрын
Niko sure huyu side chick hawezikuwa na huyu mzee peke yake laxima anacheat wanjiku sanitize huyu mwanamke
Maybe the guy they're calling uncle ndiye bwana wa sidechick wanakulia mzee chini kitaenda kumramba akifika us
@reginanguku54207 ай бұрын
Angel advice this lady to report to the American embassy... Huyo mzee hatakubarishwa kurudi na huyo side chick hatapewa visa...pliz pliz advice her
@KARNI4EVA7 ай бұрын
Theres no evidence
@maggiem27597 ай бұрын
This lady is after his money 💰 🤑 then she will tell him read 📚 my back number prate .God protect this woman we don't want her to have heart attack
@maryndungu70907 ай бұрын
We pray a mighty n everlasting God. Mama Njoro keep praying.
@nyobsАй бұрын
Atakiramba! Let's please follow their story years to come. Asiuwe huyu mama.
@christopherallindi81767 ай бұрын
All said and done, the second wife has behaved respectfully. Although what she's done is not good.
@ajaletchristine7 ай бұрын
Well behaved
@jacqueMush7 ай бұрын
@@ajaletchristinewell behaved wapi,siako na bwana who is not aware of all this,na anaachwa
@lilynjenga75097 ай бұрын
Let mama call the American Embassy and report coz ones the lady and the guy goes back to USA that is the end of the marriage.
@musilivimediatrix35707 ай бұрын
I like how mzee keeps Changing the topic😂😂😂
@gracewanjiru87167 ай бұрын
A true kiuks man taking things casually 😅😅
@veronicawangui3177 ай бұрын
True I hate this man
@MammoesWetu2 ай бұрын
😅
@alexodongo36027 ай бұрын
Huyu Mzee ndio anahitaji daktari
@lucywanja30197 ай бұрын
Happiness can not be built on someone's sorrow. Young lady seek God, he has a plan for you.
@puritywambu80593 ай бұрын
😂😂 huyu Mzee aki 🤔🤔 ako na akili zingine ama ni hizi tu? eti " ama bibi aende kwao" Ngai 🤔
@sarahkirowo35077 ай бұрын
Wanjiru, help this lady to seek help fair division of property, Thisxman is a narcissist, see how how he is gaslighting
@belindaouma7957 ай бұрын
Wooi the smile mama gave akiambiwa ati bado anapendwa first😂😂😂😂she is too soft walai.embassy ikuje haraka faster
@millicentwangari57115 ай бұрын
😂😂Iki kimzee kiko na wana aki ata kazi nikuhema he Maa ata sijui kazi yee hufanyaje😅😅
@brendahsteve69007 ай бұрын
It shall never be well with you. Mama jitie moyo Gid is on your side. He will fight for you.
@eddahkithimba91257 ай бұрын
USA will not allow double marriage juu they know Africa kuna traditional marriages which is very much respected,hii watasema mzee amedanganya akapa tena.huyu mama akienda embassy,they will be denied to travel
@P2004-cQ7 ай бұрын
Mama go to the U.S.A Embassy and report the matter. None of them will travel
@mercylinekerubo68837 ай бұрын
Na sasa huyu mzee anaweza nini kindly aki sidechick kitu anataka ni kuenda ng'ambo but atatafuta mwanaume believe me walae 😢😢😢😢😢😢😢
@ElizabethNgure-ig5xy7 ай бұрын
Mama njoro to the Embassy mara that that,Angel wanjiku help her please.
@faithmutua26947 ай бұрын
Ata wanjiku ange-sanitize simu ya side chic lazma akuwe ako on mission
@belindaouma7957 ай бұрын
Hakuna vile tunaeza tag American embassy???haii huyu azuiwe.
@gracemburu63557 ай бұрын
She won't get visa, GOD is not a man. Let the woman stop his husband too from travelling back. If she visit embassy and report non of them will go. The man visa will be revoked.
@zenjibar647 ай бұрын
Mwenye certificate ndio mke hawezi kuzuia .
@gracemburu63557 ай бұрын
@@zenjibar64 America embassy will prevent any of them if the woman mention she has children with the man. White people believes in children right all the time. They can even follow the man and get half of his salary to educate children.
@bertaraunde48327 ай бұрын
It's so heartbreaking the man is denying everything this man is evil surely
@NjokiIrungu-h5m7 ай бұрын
Ata uyu msichana ako na nguvu anakanwa live live na hashtuki
@josephinewanjiku87107 ай бұрын
Wanjiku kindly help this wife goat aende US Embassy wafungiwe entry kabisaa
@nahummusyoki51967 ай бұрын
Please wanjiko help her
@rachelnjoroge58518 күн бұрын
Mama nenda uka report kwa embassy,hakuna pahali mtaenda Mungu atafunga hizo njia
@charity49087 ай бұрын
DNA ya huyu mtoto needed to confirm if it is her child. Marriage certificate is fake as if. Then why is this man saying gnrhe wife is sick/illness.
@SolomeKuto7 ай бұрын
Uyu Mzee inafaa to apewe ngumu y macho ndio aoege ukweli 😂
@zawiynasra7 ай бұрын
😂😂😂😂
@treasureforashes34977 ай бұрын
Hakuna mwanamke hapendi harusi ,it's every womans dream ,lier,he's soo wicked for real
@rhodamatalanga45567 ай бұрын
Kindly, Wanjiku, I hope this reaches the US embassy, straight revoked!!! Which woman would refuse to have a wedding? Honestly this bellied ma.
@josephinewanjiku87107 ай бұрын
Huyu sidechick kitamramba mtaniambia haki nawewe goat wife can you involve your children acha kuzubaa
@rosemaryjoseph94147 ай бұрын
May their plans fail miserably for causing pain on an innocent woman..may the tears wamepea huyo mama go back on their own heads mara saba!
@hottensiahibau63697 ай бұрын
Wanjiku tell the wife to call USA embassy and cancel those visas😊
@zipporahkirigwy67837 ай бұрын
Angel, this should bevreported to American embassy immediately. This visa should be revoked haraka sana. His visa should be cancelled. Send those document for cancellation thru e-mail. Yes
@ayikoruproscovia13145 ай бұрын
Wama njeri we look for away to reach US 😂😂😂😂
@lucioman67-i6r4 ай бұрын
Wakifika US Dem atadai divorce😂 Mzee atabaki amefaint😂
@rackelturner67277 ай бұрын
Wanjiku please.help.this.marrage if she is.legally married to her man the embassy can revoke his green card
@digoachieng22283 ай бұрын
This mubaba You will know what you don't know in your life, but hautoboi na hiyo mdomo
@zachariahgitari88497 ай бұрын
Kanono ni.zuzu.😂😂😂kils kitu ajui mko pamoja na uyu eeeh apa tuko ata wewe tuko na wewe uyu ninani tusaidie tupeleke uyu bibi yangu hospitali😂😂😂😂
@sue.74947 ай бұрын
May God avenge for this woman... May justice reign
@priscarkandonga77017 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwakunipa baba bora Mungu akutunze babaangu hiii niaibu aiseeee
@Njeri_1237 ай бұрын
Ii hope there’s a part 4, where Angel goes through Kate’s phone for more shockers…
@vincentkirui71837 ай бұрын
Mungu atujalie pesa na atuepushe na kisirani tukipata.MONEY is arrogant
@shukemohamed87737 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani😢...Oh Allah don't let that tears go away
@everlynekasidi91708 сағат бұрын
Walai kama ni mimi huyu mama naenda kwa nyumba na nichome hizo travelling document zoootee before aende
@mungaikimani33287 ай бұрын
And you will hear a person saying...adults don't make mistakes....this a big mistake....
@judymuiruri3613Ай бұрын
Huyu mzee ndiye wazimu aki ....mnawekelea mama ugonjwa na mnasahau Mungu yupo.......
@rolinekathure30217 ай бұрын
Sanitize the phone the lady wants to go to USA then later she will dump the mzee😅, huyo mzee atalilia kwa choo, the first wife is always a blessing if she has not done anything wrong 😢
@zenababdalla53806 ай бұрын
😂😂we baba ni muongo Sana aki waah
@cessyliamkenda3 ай бұрын
Kama huyu mzee anamasikio he well enjoy for a short time but end up with tears asiisahau hii Mungu halali
@edwinonyango16917 ай бұрын
Even if his wife is truely sick, it's unfair to mention in public severally to cover up his unfaithfulness n betrayal 😢😭💔
@TheresiaWandia7 ай бұрын
Shiku yuo have a big mind and your soo young lkn make sure umesanitize huyo dem
@beckymaria21257 ай бұрын
Cate akifika tu america ataclear pesa zote kwenye bank atamruka kipetro kiyuda ,hata mayb mtoto sio wake sanitize na DNA pia ifabywe, mama file Divorce upewe mali yako before cate afagie mzee , mungu atakupigania mzee ataregret karma is real
@ShufaaMwakidundu4 ай бұрын
Uwongo huo mzee wa hovyo ww jitumbo kama chura,Mungu atakuhukumu 2
Wah si mbora 😢waskizane mbasi wakue wawili na waheshimiane uyu wa pili anasema ameoleka na arusi hio sio shida
@mourinesylivia59885 ай бұрын
Even the old don't respect themselves,aiyah,tears of mama Njoro will never drain in vain
@RoseImani4 ай бұрын
Wanjiko unyu muzeha atajuta Mashakeyote🇨🇩
@priscillanjeri9687 ай бұрын
Go to embassy and report...no entry to the US😢
@leshmuiriithi40697 ай бұрын
This man is the real meaning of "even with evidence 🧾 deny "😢😢😢😢😢😢😢
@maryotieno38894 ай бұрын
Mzee mungu atakuchapa vibaya
@stellahnnjagi68517 ай бұрын
Hi there my learned friends, please someone with Immigration knowledge to contact the US Embassy please!! It's so heartbreaking to see the goat wife hurting like this...haki saidieni huyu mama jameni😢😢😢
@florencenabushawookecho39817 ай бұрын
What is the wedding for with this guy?
@CatherineShirima-fj4sj7 ай бұрын
Bora nkae singo😢😢😢😢😢kulikoni haya nnayoyaona kwakweli😢😢😢
@eunicepeter52837 ай бұрын
Hakuna mwanamke anaeza kataaaa wedding uooooongo NKTS 🤣😁 huyu side chick nimchawi akifika USA ataolewa na rika lake mzae funguka macho kitakuramba
@youtubelover25317 ай бұрын
No surelly huyu mama ni mzuri na akona akili mzuri kabisaaaa !!!! Huyu mzee akona tabia mbaya sana
@gladysnangamig96607 ай бұрын
This man is gaslighting the wife by saying that she is crazy!! Total abuse! Cancel his Green card. I hope Immigration in US see this! He should b e in jail!