Ninacho kupendea pimbi kwenye fact huna utimu si kama dingano mjinga huongea kwa chuki na wivu na waliofanikiwa
@Lewinglovbi669913 күн бұрын
Naombeni mnikumbuche Huyo Ibra ni msani wawapi?😂😂😂😂
@FatmaAhmad-y1k14 күн бұрын
Yaani mm mpaka leo sijamuelewa yule ding,ano yule meneja wa hamonaiz au meneja wa kumuongelea vibaya diamond maana kila anapohojiwa diamond kama dishi lake halipo sawa
@humbleshoal10 күн бұрын
Kuna wanaomkubali, we msikilize tu afu achana nae.
@DiemeKambale-og8xo4 күн бұрын
Baba levo hajuwe kitu
@CaisseMalatinho15 күн бұрын
Hoje sou o primeiro comentar , quero meus gostos
@imrizzy966814 күн бұрын
Sijui ngoma zake kwnzo ndo nani 🤭
@Mendezmusictz14 күн бұрын
Facts za Pmbi hapo naona kaanza kukuwa kifikra sasa
@MohamedSelf-m8c13 күн бұрын
Alishindwa na Majukumu wala Akumuachilia
@strong853414 күн бұрын
Huyu muulizaji pia hana maswali!!! Anarudirudi maswali😂😂
@mikenafro939315 күн бұрын
Mr pimbi sikuizi nakuelewa kweli kwenye ukweli unanyosha....
@Tommy-c6y13 күн бұрын
Umeanza kujipimbisha sasa kalale ww Huna jipya😂
@JaphetCalvin12 күн бұрын
Kumbeee mwandishi alikujaa kuhoji akiwaa na majibu yake huyu kumaaa kweli 😂😂😂😂😂
@humbleshoal10 күн бұрын
Usituletee matusi babuu mbona haina haja
@SalumMusa-f5l9 күн бұрын
@@humbleshoalaah aah umemwambia ukweli
@onionpeeling582212 күн бұрын
Alafu naskia Pimbi anakaribia miaka 50 kikubwa hichi
@FrankSinyangwe-wg2nx3 күн бұрын
Dingano hanaga point
@WeckEmmah7 күн бұрын
Baba levo si nikama mvuta bangi nani anasikiliza baba levo ??????? Kuza wacha alelewe na aunt ezekiel ..?? Nana huwa ana sikiliza music za kuza smhf
@BakariMwakesi-v1b13 күн бұрын
Apo kwenye mbosso uongo analolote ngoma za madem
@bakarimakame469415 күн бұрын
Uwongo uwo kaimba nyimbo gn mwaknhuu
@scofieldalimasi704615 күн бұрын
Dharau ni Yako?
@AllymohdAlly10 күн бұрын
Mr pimbi chizi
@ImaniMsafi15 күн бұрын
Huomtoto wakonde aturie aache ushamba na aache kbx kwasababu anajiharibia sana tenasana
@humbleshoal10 күн бұрын
Karibu kipi, kaulizwa majibu kosa lake nn! Huo ni ushabiki wa kishamba
@swahilifoodtz644614 күн бұрын
Hana kitu chochote wacha kumpa sifa za ujinga
@HenryNuhu14 күн бұрын
Huyu anajua mzik wengne njaa TU sinawasumbua
@SwaleheSaad14 күн бұрын
muandishi alikuja na hisia zake kuwa mr pimbi atamkanyaga mondi na mboso ila amekutana na za uso ndio maana anamuuliza umeasi kambi nini huyu inaonekana content aliyoifata siyo aliyoipata