JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@exaverysimon106410 ай бұрын
WAOOOO
@ibbyikh178810 ай бұрын
Ni vizuri lakini miradi kama hiyo muwapelekehe vijana wa mikowa mingine pia sio kila kitu Dar na Dodoma tuh.
@innocentrichard294510 ай бұрын
Viva Tanzania
@fidelfidel-jz4iw10 ай бұрын
Afanye KAZI wakipewa miradi wanafilisi Wananchi lazima kutoa taarifa bila hivyo itakuwa kichwa cha mwendawazimu
@Kabwela77610 ай бұрын
Hiyo miradi si mngepeleka mikoa yenye rutuba na isiyo ya ukame kama Dodoma , na kwa Nini karibia kila kitu mnajenga Dar na Dodoma hamuoni kama ni ubaguzi kwa mikoa ingine ya Tanzania
@frankmsaki6210 ай бұрын
Yan hii nchi watu wanakula pesa za bure kwa ujinga au kwakutambua kabisa hii sio sahihi lakn wanafanya...dodoma kuna ukame sana unapelekaje mradi jangwani?😂
@ChancellorFelix-vm5yp10 ай бұрын
Bwawa mbona zpo na kina kfupi afu hatuon jinsi yakuvuna Maj ya mvua
@mcback438410 ай бұрын
Sio la maji ya mvua hilo, hilo ni la maji ya chini