kama unakubali maamuzi ya huyu dada gonga like hapa
@jumawaziri1816 жыл бұрын
Yupo vzr
@agliventures4 жыл бұрын
.
@agliventures4 жыл бұрын
.
@salummohamed7513 жыл бұрын
Pw
@edwinalexander11706 жыл бұрын
Mwanamke huyu safi saaaana. Moyo wa kujituma ni zaidi ya elimu ya chuo.
@jacksonmathayo65106 жыл бұрын
Kweli kabsa aiseee
@juanmatt42646 жыл бұрын
Ni wanawake wachache wa mjini wenye ujasili kama huo. Hongera sana dadake Allah akuwezeshe kwa kila ulifanyalo. Ameen.
@salummohamed7513 жыл бұрын
Dada
@jafarimsaghaa955 жыл бұрын
Maa shaa Allah, napenda Sana kazi yako dada, Mungu wetu akutangulie inshaa Allah.
@sharifakhamis24616 жыл бұрын
Masha Allah dada nimekupenda Allah akubari katika kazi yako ya mikono
@francisdamian52494 жыл бұрын
Siku hiz elimu ni njia ya kupita na sehemu ya kujipanua kiakili ili kufikia malengo . siyo kusubiria ajira . hongera Dada kwa kuwa icon
@mohdyussah8256 жыл бұрын
Congratulations Zainabu mungu aendelee kukusimamia
@queeneva37096 жыл бұрын
Hongera sana Zaynab umefundisha kitu hapo kwa wasomi wanaokaa nyumbani kusubiri ajira. Abunifu ni mlango mzuri wa kujipatia kipato hongera na endelea na kujituma.
@saidalisuleiman37316 жыл бұрын
Hongera sana kwa juhudi na kazi nzr unayoifanya na mungu atakusaidia zaid
@yusuphalmas82836 жыл бұрын
Allah anabariki na ataendelea kaz ya mikono yako bi Zainabu,
@minskbelarus72556 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie na akustiri kwa kukupa uelewa wa kujistiri. Chukua hata shuka mojawapo na jistiri mabega yako. Kukataa changamoto za kuajiriwa kwa rushwa yoyote ni Ibada kubwa kuliko. Hebu lifanyie kazi hili dogo.
@timeally78806 жыл бұрын
Hongera zainab tunafarijika kwa mafanikio yako Allah aendelee kukuongoza
@zulfajuma98975 жыл бұрын
mashaallah Allah akubariki zainab, hakika cjutii wazaz wng kunpa heruf ya mwsho coz majina tunayoanzia na z tunajielewaga san
@amnemkubwa73536 жыл бұрын
Yaan uyu ni mimi kbs❤❤😍🙌.. hongera sana #madamhero
@fatmakaswaga41286 жыл бұрын
so nice dada as my fellow students from kirinjiko am super proud of you
@dogohemed96296 жыл бұрын
Dah nikaona watu kama hawa aisee huwa unapata uchungu sana natamani siku moja niwe na ofisi yangu inshaallah kheri
@minskbelarus72556 жыл бұрын
Dogo Hemed, In sha allah ALLAH atakufungulia milango ya Kheir, ila Ibada muhimu saana hasa ukiamka usiku na kumsabih Jalla jalalu. Mshtakie , muombe na atakujibu tu.
@dogohemed96296 жыл бұрын
Minsk Belarus Amiin inshaallah kheri ndugu yangu na ww pia Allah akufanyie wepesi katika mambo yako inshaallah
@radhiasalum71566 жыл бұрын
hongera dada.elim ni mwanga.chamsingi maisha ni planiyako.hongera dd
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
Daaa ongera sana dada mungu atakujaria kipato kikubwa sana kuna wadada wengine wanakata miuno mitandaoni kira siku Aya ndio ya kuiga kwa mwenzenu mdada mzuri lkn amejistiri vzl 2 ongera achana na macho kuona
@hamoudcreator63436 жыл бұрын
PGA Kazi.. Masha-Allah Endelea kupigana na Vishawishi, Utashinda.. Hawa ndo Wanawake wa Kuoa...
@salumucharles74195 жыл бұрын
Kabisa yani
@daktarij3816 жыл бұрын
ndio elimu inavotakiwa kutusaidia kupamabanua maisha kwa hekima ....big up dada
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Mashallah, Dada mrembo love you 😘😍😍😍 Nimependa unavyojituma 🙏
@habbetyfatmasaid38106 жыл бұрын
Maa Shaa Allah ni mfano mzur wa kuigwa ndiomana mungu anakufungulia
@eaglefaustin46126 жыл бұрын
Hongera cna Zainabu coz u have trust on ur self
@ireneochieng51816 жыл бұрын
wow, am loving this lady, kindly give me your digits .....
@damariszuckschwert94896 жыл бұрын
Fearful and wonderful made, unang'aa kama jua, na akili unayo. Ingekuwa wanawake wengine naowajua Tz sweetheart wangeuza nyuchi.
@shumywande29476 жыл бұрын
Wow! I’m so proud of you kichuna😘 Hongera sanaaaaaaa mamie😍
@salmamohammed69445 жыл бұрын
Hongera .dada nakupenda buree nitakutafyta
@naomidaniel54256 жыл бұрын
Nimepitia comment weeeee nimeona wanawake walio comment wachache kwl yan kuliko wanaume cjui kwann?? Ila ingekua udaku sasa weee.. Big up mama na mm ntajitahid I won't stay idle I will try to focus on development issues cyo mbaka niajiliwe
@abubakarybeka48345 жыл бұрын
Naom a.nambazako.da.zainabu
@ablamakame6016 жыл бұрын
hongera sana mikono ni ajira
@khaledmasoud54085 жыл бұрын
Naomba kwa mungu binti yangu aje kuwa kama ww
@obedmwakalonge13726 жыл бұрын
Watu wanafiki kweli wanajifanya wanamwonea huruma akat wao ndo wa kwanza kutongoza mabek 3 ....sasa kuna tofauti gani..!!
@kingmnanka9996 жыл бұрын
Dada hakika umetisha
@monicahovda58906 жыл бұрын
Ni michosho. Alafu wanawajaza wasioenda shule na vyeti bandia. Ndio maana hataaa hawajui kuwajibika
@yusuphalmas82836 жыл бұрын
Nikihitaj napataje bi zainab......mashuka mazur mashallah
@yusuphalmas82836 жыл бұрын
Mashaallah bi zainab, endelea kukaza utachomota tu.....endelea kuishinda mit'han......
@zainabmuruke60936 жыл бұрын
Ahsantee
@jenyyusuph49736 жыл бұрын
Safi dada maamuzi mazuri na ww mwenyewe upo mzuri sana mungu. Aendelee kukupa maamuzi bora
@halimajuma49126 жыл бұрын
Mashaallah hongera sana dada nataman na mm kujua cherehan
@zakiamohamed76112 жыл бұрын
Mashalla nimekupenda kwa hilo nitafute huamini mmi nikikwambia umri wangu huamini nna wajukuu wakubwa kama wwe ila hamnammoja alienifata mmi
@MWALIMUMBUNIFU892 жыл бұрын
Nimekupenda bure dada.... Hongera sana, I hope I would have married you...
@leilainnocent65326 жыл бұрын
Hongera kwa kujituma, ila fanya mazoezi unanenepa sana na ulivyo bado mdogo.
@asteriapazza8076 жыл бұрын
Leila Innocent we mwili wake unakuhusu nini Kama mungu kamuumba hivyooo comment kitu kinachoeleweka
Kazi ya kujiajiri raha huna strees lazima anenepe kuliko ya kuajiriwa
@leilainnocent65326 жыл бұрын
@@sadiaabeid7552 nikweli kabisa, ila unene ni chanzo cha magonjwa, ndiyo maana unashauriwa kufanya mazoezi ili kuyeyusha mafuta mwilini.
@pendoedward94146 жыл бұрын
safi sana mdada
@teemuuh72246 жыл бұрын
Hongera mdogoangu...pambana ndugu
@husseinmlawa76226 жыл бұрын
Safi sana dada unapaswa kuwa mfano kwa wengineo
@keshenitemilinga52543 жыл бұрын
Naomba kujua aina ya cherehani anayoitumia na ni Bei gani nahitaji.. please naomba kujua
@ashaali71546 жыл бұрын
Mashaallah Mungu akuongoze zaidi ya hapo.
@cathiebrown89324 жыл бұрын
I love this would like to learn please, thanks
@iky1836 жыл бұрын
This is beauty with brains
@tumainifesto89106 жыл бұрын
hongela kwa kujiajili so lazima uajiliwe
@jescajoseph48186 жыл бұрын
Hongrraaaa tunakuangalia#more blessings
@estellairambona38556 жыл бұрын
Asante sana kwa hiki kitu kikubwa munanipa idea kubwa
@christinen82916 жыл бұрын
Tangira iyo business tuzagushyigikira
@khadijahbanana56026 жыл бұрын
Mashallah Unafanana sana na dada mmoja anaitwa Hawa muruke
@felistersmejumaa51884 жыл бұрын
Nmekupenda kwa juhudi zako tu
@mohamedjuma4236 жыл бұрын
Ni bora kujishuhulisha mwenyewe maendeleo yatakuja Mara moja kuliko kuajiriwa unapoteza muda mwingi lakini maendeleo sufuri ,safi sana Dada namini baadae utakuwa mjasiriamali mkubwa kwani una elimu yakutosha
@yaredkabogo6 жыл бұрын
hawa ndo wanawake wakuoa appreciate sanaa huyu dada
@salmaothman1536 жыл бұрын
Safi sana umetumia akili 💪💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌
@kibibingao5696 жыл бұрын
MashaAllah dada zainab nikitaka mashuka ya biashara nakupata vipi my
@rigobertmlasa30786 жыл бұрын
0757 559553 no yake hiyo waweza mcheki
@zainababdillah87016 жыл бұрын
Kibibi Ngao 0716099144/0757559553
@kibibingao5696 жыл бұрын
Asnte my
@kibibingao5696 жыл бұрын
Zainab Abdillah nitakutafuta mwaya
@kasimuyahaya40106 жыл бұрын
good dada washauri na wenzio
@momrackonlinetv43524 жыл бұрын
Namba ya hyu dada plz
@raheemidy81796 жыл бұрын
Well done class mate
@jacksonmathayo65106 жыл бұрын
Hongera Sanaa madam.ndivyo inavo takiwa utakuwa tegemezi mpaka lini.hata maandiko ya Bible Yana sema alaaniwe yule amtegemeae binadamu.
@angelherman54646 жыл бұрын
Mm pia niliomba kaz sana nilitembea mchana jua kali na vyeti vyangu lakin kila nikiitwa kwenye interview natongozwa naambiwa nitakupa Nafas ya Kaz duuuuh nilikua naumia sana lakin nikazid kumlilia mungu kwakweli nimepata kaz sehemu ambayo ukijulikana unamahusiano na mfanya kazi yeyote ofcin unafukuzwa kazi moja kwa moja labda.otherwise mkipendana mtoe taarifa mfunge ndoa ,tena waanasema utafanyiwa Sherehe kugaramia harus .hawataki ujinga kabisa kwaio enjoy mungu manipa kaz mahala sahihi
@margarentwandi91896 жыл бұрын
Mh Mikazi gani hiyo
@queengee9886 жыл бұрын
Mungu akusaidie san mwaya
@JEZZATZ6 жыл бұрын
fashion industry imetelekezwa TZ ndo mana tunashangaa kushona Italy na nchi zingine washonaji ndo matajiri wakubwa muulizeni Hamornize alinunua track ya Gucci milioni tano. fashion inalipa sana hatujazungumzia viatu hapo, tunaagiza tu sijui mpaka lini
@nasmafarmsltd91466 жыл бұрын
Jezza mtanzania bhana anajua èĺmù bas ñ kuajiriwa hajui hzo anazo nunua dukan yaan nguo wanaoshona n waupe wazur zaid hao wasichana wa tz n ushamba ñďò maana weng huishia kudangaa
@abouhamidu96235 жыл бұрын
Mungu akubariki mdada hakika Maisha mazuli ni kujiajili bila ivyo tutawanufaisha Maboss wetu maana tunatega Aram ili tutimize ndoto zao na sio zetu ongera dada kwa maamuzi ya kujiajili
@xkingx80416 жыл бұрын
Hiyo ndiyo degree ya maana .kuji ajiri mwenyewe. Clever girl 3💪💪💪💪 songa mbele.
@alliymkobe39496 жыл бұрын
Hongera sana dadaang aithee bibiee Miss zainab
@mankaka44896 жыл бұрын
Safi saana, pig up,utafika mbali mamaa.
@bintybinahsiraj94996 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@zainabmuruke60936 жыл бұрын
Ameen
@dianastanley86736 жыл бұрын
Kweli we mwanamke big up dada angu
@michaelkichaka75966 жыл бұрын
Mimi naona elimu ya siku hizi ni miyeyusho tu maana Hakuna msaada wowote Ni bora kama Uko on neep na maisha ukafanya yako tu Mimi mwenyew niliacha shule kwasababu ya matatizo kama haya
@kelvinjohn68516 жыл бұрын
Micheal Kichaka 😂😂😂😂
@fadhilinambulaja84894 жыл бұрын
Nakubalii Kaka 💪💪
@mariamukajiru18986 жыл бұрын
Hongera sana Dada kwa kazi ya mikono yako Mungu azidi kukufikisha mbali, mnapomhoji mtu wekeni na namba yake ili tujue anapatikana wapi tukihitaji.
@zakiamohamed76112 жыл бұрын
Mungu akusaidie tusome kuondoa ujinga ila huko mbele hamna mafanikio yakuendelea nibora usomee kazi za mikono ya aina yoyote ambayo utaona inamafanikio kwako na ambayo uloipenda natamani nipate namba yako tuongee namimi napenda hivyo nannailimu nyingi ya ubunifu mmi ni mwanamke mjacri yamali nipo oman lakini najishughulisha nitafute plc
@artemisneoy95966 жыл бұрын
Hongera sana umefanya vyema, kuajiriwa nayo ni uboya
@fahadfahmy6 жыл бұрын
tena sana Artemis,niulize mimi
@husnauthman76096 жыл бұрын
Ctaman kuajiriwa
@fahadfahmy6 жыл бұрын
@@husnauthman7609 kuajiriwa na utumwa
@saumumousa50896 жыл бұрын
artemis neoy hongera sana nimeipenda aidia yako.
@Gratefulheart31885 жыл бұрын
@@fahadfahmy ni zaid ya utumwaaa Mungu atusaidie tutoke huko kwakwel
@magesamambaga79396 жыл бұрын
Hongera dada yangu kwa kujituma
@shiraann6326 жыл бұрын
hongera sana dada .
@usatoenglandvegas40464 жыл бұрын
Ongera sana dada yangu
@jacklinekimario18836 жыл бұрын
Tunaomba no zako Zainabu
@sarahjames1566 жыл бұрын
Hongera ccy
@ballnellybakers6 ай бұрын
Naomba namba za huyu dada
@mwasitially29286 жыл бұрын
Hongera Sana dada
@nayfattykipanya8106 жыл бұрын
😘😘😘😘dada
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
kwa uzuri huu mashaallah nilazima ukutane na mitihani nakupongeza dada kwa maamuzi mengine
@shukurunzenzule59636 жыл бұрын
naomba unitafute kwenye CM ninamawazo mazuri kwako nataka tusaidiane katika maisha 0765763459 tafadhali mdogo wng naomba uniamini
@amnemkubwa73536 жыл бұрын
@@shukurunzenzule5963 mhhhhh😜😜😜🙌
@marthajeremiah6 жыл бұрын
hongera zake
@zulisaid42836 жыл бұрын
Kila LA kheri,in Uganda silver awori has traveled to many world countries because of tailoring,to design
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Saafi sana dada uko na maono ya mbali tena ni.mchumi jmn wanawake tunaweza kbs bila hata ya kuuza miili yetu.
@zainabuzainabu4160 Жыл бұрын
Asalaam Aleykhum wajina naomba namba yako.
@fabianfrankparesso76906 жыл бұрын
Gud xana mate
@neemalkiswaga61265 жыл бұрын
Hongera dada
@giftmruttu80916 жыл бұрын
Hongera dia I'm happy for you
@zainababdillah87016 жыл бұрын
Gift Mruttu asante kipenz changu
@vailethmoses35506 жыл бұрын
mashallah nimekupenda
@tysonsinga50214 жыл бұрын
Vizuri Sana mrembo
@dorahdorah39266 жыл бұрын
Nimependa sana hii biashara, nataka na mimi nianze huku kenya ila material kubwa za bedsheet natoa wapi? Sababu vipimo vya vitambaa kwa meter ni ndogo kwa kutengeza bedsheet. Nikitaka material kubwa za kutoshea bedsheet nafanyaje?
@derickrugemalila55276 жыл бұрын
Hongera saaaaana
@evelinewagara3569 Жыл бұрын
tAFADHALI NAOMBA NAMBA YA DADA HUYU ZAINAB
@rahmahussein40196 жыл бұрын
Absolutely beautiful mashallah ❤
@JP-ex1ps4 жыл бұрын
dada nimekukubali sana rafiki,naomba namba yako ili tuzungumze zaidi.
@donaldmecky72826 жыл бұрын
Hongera sana Zainabu
@omarbaruan26406 жыл бұрын
Hicho unachofanya ni bora kuliko kuajiriwa na future yake ni yenye mategemeo makubwa zaidi kuliko baadhi ya ajira nyingi. Hongera sana.
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Dada una Akili sana wenzako wana Mi iphone ya Milioni Ina lalamika hakuna kazi na Hawana mtaji wa Kuanzia wewe umeanza na 250 nusu..Hongera Sana Hivi wa Dada wengine mnaolalamikia ajira Hamjapata Changamoto hata na nyie mdhubutu kama huyu mnabaki kupanua Mapaja Yenu mtaani..Amkeni Aseee
@lovenesbaraka78926 жыл бұрын
asante dah nilikuwa naitaji sema nitazipataje niko mbali jaman
@ريناء-ك5و6 жыл бұрын
Hongera sanaaaaaa
@timeassa84886 жыл бұрын
naomba namba zako dada Zainabu
@zainababdillah87016 жыл бұрын
Napatikana kupitia no hizi 0716099144 na 0757559553 pia instagram devinebedsheet
@rasokauzu52506 жыл бұрын
Millard pinned hii sms
@alliymkobe39496 жыл бұрын
Keep it up dadaang
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Nimekupenda Bure Dada Nataka nikuwoweee..Endelea hivyo hivyo waache wanaodanga wadange tu wewe piga Maisha
@cars99696 жыл бұрын
Wapi number yake ?
@sk-wj9or6 жыл бұрын
Naomba size zako unazo tengeneza. Mimi nipo huku mbali kidogo inakuwaje usafirishaji wa nje ya nchi? ??
@maryammaram26126 жыл бұрын
Hellow zaynab nimekupenda bure hongera sana hivi ndio inavyotakiwa wadada tujitume hakuna kukata tamaa.. umenigusa sana lkn ndio #TANZANIA# YETU kazi wanapeana ndugu kwa ndugu sijui tutafika lini 😢😢
@irakozemaissarah43256 жыл бұрын
da maryam na uku upo mdogo wangu,mimi na wewe kwa kupenda wajasiriamali tunaongoza.ongera sana
@maryammaram26126 жыл бұрын
@@irakozemaissarah4325 😀😀😀 nimefurahi baada ya kuona reply yako 😀😀 napenda wala sio uwongo nataka siku moja nami nije kuonyesha Dunia nin nilichuwa nataka kufanya. Tupo pamoja Irakoze 👏👏