Mrusha mikuki katika ndoto (@mtavassy tv Tanzania) Skh Jafar Mtavassy

  Рет қаралды 171

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 5 ай бұрын
Naomba niunganishe
@HatkaIssa
@HatkaIssa 5 ай бұрын
Shekhe nimeota pikipik mbiĺi moja ya Zaman imezungu kwa na kinyesi ilè mpya linichukua na kwenda nayo nyumbani Shekhe je ndoto hii Ina maana gan
@user-oy1dg7zc7k
@user-oy1dg7zc7k 3 ай бұрын
Maalim nimuota MTU alie fariki nilisoma nae miaka mingi tu nyuma nimemuta kamuacha mkewe anataka kunioa mimi na alishafariki huyu MTU. Nini mama ya ndoto please nijibu
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 5 ай бұрын
Asalam aley kum mtavas kitambo sana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
Wa,salaamu warahmatullahi wabarakaatuh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
Chukua namba hapo njoo whatsap inshaallaah
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 5 ай бұрын
Mimi nimeota nipo na mtoto wa kaka yangu, tunakimbizwa na WA kaka kama watatu, tumekimbia lakini kufika mbele tulimuona mbuzi, yule mtoto wa kaka yngu akamkata shingoni yule mbuzi kafa anatoka damu, lakini mtoto wa kaka yangu akambeba huku anakimbia nae, kufika mbele tukajificha , wale wakaka waliokuwa wanatukinbiza wakapita hawajatuona. Sisi tukaondoka kufika mbele tulikuta nyumba nyingi, ila sisi tulienda kwenye nyumba Moja ya udongo Ina chumba na valanda tulikuta Babu na watu wengine nnje, tukawa tunamsalimia yule Babu. Ghafla kuangalia pembeni Nika muona nyoka mwembamba anamelemeta mnzuri umeremeto wake umechanganyika na virangi vya njano,, nilivyokuwa nashangaa yulenyoka, yule nyoka akaondoka akaingia ndani ya Ile nyumba ya udongo ila nyuma ya mkia wake upo kama ivi # . Nikamwambia yule Babu mwangalie yule nyoka anaingia ndani mwako, yule Mzee akaonekana kutojari. Nikastuka. Naomba nisaidie. Ustadhi maana yake nini?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
Kila atakaye coment kwenye video mpya ndiye atajibiwa mapema, inshallaah maana nilikuwa vibaya huko nyuma coments zimekuwa nyingi mno, karibuni muda kidogo tu mutajibiwa
@jumatwalib6305
@jumatwalib6305 4 ай бұрын
Assalamualaikum sheikh mi huwa watu wangu wa karibu huwa wanaota nimekufa na hasa mke wangu sielewi hii ndoto ina maana gan
@MarthaNehemia
@MarthaNehemia 3 ай бұрын
Asalam aleykum shekh .naomba kujia maana ya hii ndoto .nimeota makabiri ya ndugu zetu walio takungua yapo wazi nilipo fika hapo nikakuta mdgo wangu amesha fariki yupo hapo amelala ila ukiongea naongea nikamuuliza baba yupo wapi hap mbna hayupo kwenye kabur lake asema dada mimi sijui .na kwel kabir la baba yangu ukichungulia ndan hakuna mait
@mariamusultan2659
@mariamusultan2659 5 ай бұрын
Asalam aleykum shekh nimeota baba yangu mzazi amefariki na wameshamzika. Hii ndoto hii mara ya pili sasa niliwah kuota muda kidogo kama miaka 5 au 6 hivi lkn leo tena nimeota napewa taarifa ya msiba huo na wameshazika
Ndoto ya zawadi : Skh Jafar Mtavassy
4:35
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 796
Mambo haya matatu yakikutoka basi huwezi kuyarejesha kamwe (@mtavassy tv
1:15
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 99 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
Je ni ugonjwa gani unaogopa zaidi?
11:13
Minibuzz Tanzania
Рет қаралды 32 М.
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
I Was Drawn To Islam  | Jamila Wanjiru #revertedtoislam
29:46
The Daawah Centre Foundation Kenya
Рет қаралды 2,9 М.
Aliyeota anavutiwa kwenye maji na samaki
5:26
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 2,8 М.
NINI KIMETOKEA KWENYE MITANDAO HII GHAFLA?
14:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.
Jinsi ya kumfanya mchawi anase asiweze kuondoka  ( @mtavassy tv Tanzania)
6:28
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 99 МЛН