Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Пікірлер: 63
@ndukulusudikucho_2 жыл бұрын
Majirani waliokuwa wanachochea ugomvi wameumbuka, yaani TZ tumejipanga saana , Mungu ibari Tanzania
@bajagihaji89232 жыл бұрын
Kenya ndiyo wabaya wetu hawapendi amani yetu na maendeleo ya tanzania
@salamanhonya96772 жыл бұрын
Mama ni mama. Hakuna kama mama. We love you Our Beautiful Mama Samia Suluhu.
@jamesponeca89122 жыл бұрын
Kwanini wahamishwe?,wangekatiwa eneo waka achwa.tu,Hicho kijiji,cha Msomela Kwa sasa kina maji sijui na umeme,WAKATI HUKO WILAYA YA HANDENI,Kuna vijiji vya siku Nyingi hawana maji,na hapo yaeza kuwa danganya toto,baadae maji watakiwa wanasubiri usiku wa manane au mala moja kwa weeki.
Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya Chai ,yaani ina maana serikali ndio imegarimikia hizo nyumba????? Huuu wema umetokana na nini???? Yaaani siamini kabisa kabisa hiii imefanywa tuu bure !!!! Nani yupo nyuma ya hizo gharama????? Ili afaidi nini??? Tukumbuke siku zote there is no free LUNCH!!!
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
👁️👁️ inafikirisha hoja yako lkn!
@ndukulusudikucho_2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mama Samia, Mungu ibari Tanzania 🇹🇿, Mungu ambarik Mhe Raisi
@yahyahamad18022 жыл бұрын
sasa kuna ubaya gani kuletwa hapo mmeandaliwa vizuri Maisha popote yote ni tanzania
@ototek80372 жыл бұрын
Ubaya ni ngorongoro kuwa kama gesi ya mtwara..si yetu tena japo ipo ni mali yetu.
@yahyahamad18022 жыл бұрын
@@ototek8037 hahahaha
@williamlulale87912 жыл бұрын
Kila kitu kinachofanyika duniania ni mpango Fulani unaweza usielewe Lakini Kuna mpango nyuma ya Kila jambo hata wakati wembe unagunduliwa au kijiko lilikuwa na sababu nyuma yake wewe mlaji ukiona kifaa Cha kulia tu
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Mi nauriza kwani wamejengewa kira mtu na nyumba yakee au wamejenga numba wanakaa nchanganyiko
@rajabrukonge5802 жыл бұрын
Mama nimwenye huruma kwa watu wake, mtu anaacha kajumba ka udogo anakuta nyumba ya kisasa na umeme na maji vyote analewa hakika huwezi kuwalidhisha wote ila iko siku wataelewa tu
@salamanhonya96772 жыл бұрын
Hiiii Ndiyo Tanzania Bhanaaaaaà. Apana chezea New TZ.
@mwanaiddi96602 жыл бұрын
mama mung akuweke miaka1000
@jambo37512 жыл бұрын
Duh! Yaani sijui nianzie wapi! MAMA SAMIA wewe ni kiongozi mwenye utu na upendo Mungu akubariki.
@bajagihaji89232 жыл бұрын
Sema hakika huyu mama wanamchukia ipo siku watamkumbuka
@mohamnedsalum21502 жыл бұрын
Mama muungwana
@ototek80372 жыл бұрын
@@bajagihaji8923 huyo mamaako unazani kaiuza ngorongoro sh ngap kwa mwarabu!? au unazani ni upendo!? Huu ni mchongo babu; usubiri mda utakwambia ukweli wote.
@bajagihaji89232 жыл бұрын
@@ototek8037 brother ardhi haiuzwi Propaganda tu ndugu zetu wamepata makazi bora jirani zetu hawaitakii mema nchi yetu ok
@ototek80372 жыл бұрын
@@bajagihaji8923 bro jiongeze basi! Huu upendo wa kuwapenda Masai na kuwajengea nyumba kwa maslahi yao ni upendo wa hali ya juu haupo dunia ya leo shtuka, watu wamemwaga mipesa kuwinda na kusafirisha wanyama Sio jambo la kubishana au kuelimishana, mda utangea.
@PolioWonder2 жыл бұрын
Kwa hiyari= kwa risasi/bomu
@abdulbari55732 жыл бұрын
Jeeee na mashamba zao ????????
@vero572 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
Serikali yenye Nia njema kwa watu wake hutumia nguvu ya ushawishi hata ya mbavu kuwatoa watu wake ktk mazingira waliyoyazoea hata km hayawafai. Sasa wanachekelea na kufurahi . Walaaniwe wote waliokuwa wanapotosha kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Mm Samia umeshinda tena kwa kusimamia msimamo kufikia malengo mazuri kwa watu wako, Kazi iendelee!!
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
Tatizo ninaloliona kwa sasa, matamko rasmi toka vyanzo rasmi vinachelewa sana kutolewa ili kuipa jamii tarifa sahihi kwa wakati sahihi matokeo yake upotoshaji huchukua nafasi na hata kuleta taharuki isiyopasa kwa umma. Msemaji wa serikali, waziri wa wizara husika na wawajibikaji wengine wawe wanatoka mapema kutoa matamko ya kueleza ukweli ulivyo ili kuondoa nguvu ya mawakala wa mtandoani kupotosha umma wa watanzania. Wanavuruga!!
@tanzaniaoman64232 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kwa furaha jinsi serikali inavyowasimamia kwa umakini maisha ya ngorongoro na huku Tanga ni tofauti kule waliishi kama wakimbizi naipenda nchi yangu Mungu akubariki mama kwa kuwaona hawa wenzentu waliotaabika mwa miaka mingi
@jacksonkesoi99662 жыл бұрын
Mama ajenge to watu wahama lakin minaona zoesi lina pungua kazi mbona kimya walianza moto kazi kweli sikuisi hatuoni ule moto imepunguwa sana tena san au zile nyumba mia nne haijajengwa bado
@KATOPE12 жыл бұрын
Safi sana
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Safi our mother
@abayuu92272 жыл бұрын
Kongole mama samia. Allah Akupe busara zaidi na uingozi ulio bora zaidi. Sisi kama wakenya maeneo ya kwale tulifukuzwa kama mbwa kwenye maeneo yenye tulipata wazazi wetu wakiishi zaidi ya miongo 2. Na hiyo ilikua ndio sehemu ya kipato kwetu. Allah Azidi kukupa hekima mama samia
@felixmsale92442 жыл бұрын
Nchi inaendelea kuuzwa kwa waarabuuu ,hao wamehamishwa Hivyo ili wasione majanga yatakayofanywa hapo .fungua machoooo weweeee !!!!
@niksonsumari89432 жыл бұрын
Not msovera msomera ndio sahihi
@zamzamabdi52792 жыл бұрын
Na ngombe amejengewa zizi
@norahazan7962 жыл бұрын
Kwa hiyo mlishawaandalia hadi makao
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Ndio tofaut na miaka ya nyuma mnahamishwa mtajijua wenyewe! Hii ni kama ulaya mnahamishwa sehm na makz mnaekewa kabsa na kila ktu chenye uhitaji 😘so mnahama mkiwa mko na amani
@Ali-nl2du2 жыл бұрын
Vipi naweza kuwa mmasai wa Ngorongoro?
@lamlanyava61532 жыл бұрын
Bado ni Giza
@juliasmolellmolell48152 жыл бұрын
Mbona kunawengine wan piga kelele kwani wanataka kuishi maisha ya manyata enda na kurudi hadini nasikia kilakitu inakubali so God bless you 🙏 mama samia
@felixmsale92442 жыл бұрын
Matokeo ya yote haya watayaona wajukuuu zetu tunawaachia nchi ambayo imetawaliwa na wageni (Waarabu )makosa yale waliofanya mababu zetu wakakabidhi nchi yetu ikatawaliwa na wakoloni kwa kupigwa na vita. Sasa tunaingia kwenye ukoloni mpya (NEO COLONALISMO) kwa hiari yetu kabisa ,hapa tunaingia kwenye Hii hali kwa HIARI kwa sabb ya kutokua na viongozi wenye Maono!!!!
@zariadunia63282 жыл бұрын
Mpotoshaji mkubwa wewe huko ngoringoro nani amekwambia waarabu wanakwenda huko hivi unadhani waarabu wanakaaga poorini kama wazungu hao labda waarabu pori acheni kuleta udini na ubaguzi fitna tu za kibaguzi wangekwenda wazungu mngekaa kimya mfyùuuu
@bakariamour60242 жыл бұрын
Mjuku wako yupi wacha unafiki
@felixmsale92442 жыл бұрын
@@bakariamour6024 unafiki ni Nini ? labda kutoa mawazo !!! na kama ni Hivyo basi wewe ni mnafiki wa kwanza .
@charlesphilipo64432 жыл бұрын
Dunia duara,,,,wana harakati ni hatari sana,,,mnataka wamasai waishije ,,,,mmeumbuka mburula nyie na wapinzani kweli nyumbu kila kitu kudandia na msaliti was ubeligiji
@KizitoKizito-pi9mk5 ай бұрын
Nan kama mama
@godfreysamson30692 жыл бұрын
Masai wa mchongoo alafu mbna hatuon magar ya Ng'0mbe wakutosha wawo wachachee maana. Masai mmoja anang'0mbe karibu 1000 saa ninyi mumebewa wenye ving'0mbe tuwili mnasema hawo munaamisha Masai awo wa mchongo tunajuw hloo..
@cbegram61612 жыл бұрын
Kwanza maasai moja ana watoto 10, na mtoto kabla hajafika 22 ashaoa na watoto 3
@williamsenkoro22102 жыл бұрын
Tuwape miaka 3 msipoangalia ugomvi utaanza wakulima na wamasai utaibika.
@mariamgodfrey532 жыл бұрын
Hiyo ni kawaida wamasai ni wakorofi
@jambo37512 жыл бұрын
Endelea na kazi ya utabiri.
@sosthenesmaemba2 жыл бұрын
Mmmmh
@kelvindaud39812 жыл бұрын
Daa nimependa sana selekali pamoja sana
@tanzanite99442 жыл бұрын
Hawa ni waTanzania waliopendelewa maana hiyo pampering sio ya mchezo na haijawaho tokea TZ. Safi sana Rais Samia unaonyesha tofauti ya uongozi wa kiume na wa kike kwani wanawake wanaongoza kwa details na actions.
@yassinsalum18642 жыл бұрын
Haya huzeni hiyo mbuga ya gorogoro wamasai wamewaachia mfaidike nyinyi
@mohamnedsalum21502 жыл бұрын
Wacha ujinga
@babusadala57322 жыл бұрын
😁😁😁
@ndogoroedson1992 жыл бұрын
Tanzania weeee
@dicksonsheja2512 жыл бұрын
Nimefatilia wamasai wengi wanaohamia Tanga hawajatoboa masikio ,,ivi na waliobaki ngorongoro na hawajatoboa masikio!!!
@cbegram61612 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@florianmwaibabile25412 жыл бұрын
Kazi IPO Dunia ndo hii yenye werevu na wajinga wanaendelea kushindana Kwa fikra