Asante na hongera DC Sabaya. Una uchungu na Tanzania. Chunguza TRA kikamilifu kuna ukakasi hapo!
@annastaziaikona7793 жыл бұрын
Na umechukiwa nakutumbuliwa kwakufanya kazi yako mungu akonde usikate tamaa baba
@mandalorian_4.113 жыл бұрын
Eeh (mwenyez Mungu) naomba unisaidie niwe mvumilivu na kushukuru kwa ninachokipata..... kama ipo ipo tu 🙏🙏🙏
@paulolugano5143 жыл бұрын
utakufa maskini
@karim69643 жыл бұрын
Kumekucha Ss Huu mwaka Mzee Baba Kweli Amesha sema Hapa kazi Tu
@mossyfimbo35773 жыл бұрын
Jamani yoote haya ni ya nini si bora mlipe kodi tu sasa hii si kifo unakufa kabisa kufilisiwa na kifungo kwa maana hiyo wako wengi
@stevenlugojeremia23233 жыл бұрын
Unapo kuwa boss Jaribu kuheshimu Wafanyakazi wako sio kuwaonea na kuwatimuwa hivyo hivyo...Matokeo yake ndio haya sasa ya kuchomeshwa
@jomsonkasindo45493 жыл бұрын
Hahahaha! Ndo kajifunza
@godfreyapollo18643 жыл бұрын
Umenipestia
@ignasyvicent92943 жыл бұрын
Asee mzee baba umeongea Point sana
@wardamzuka39973 жыл бұрын
Subhanallah
@zakyahya46453 жыл бұрын
@@jomsonkasindo4549 kwaiyo wamemchoma watu wake wa kazi ati?
@emmanueljsemwaiko14423 жыл бұрын
Wako wapi wale wanopenda kutetea kila kitu cha kipumbavu,hongera DC Sabaya ila ukweli huo mchezo hata TRA wanahusika,wachunguze utanambia
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Ameni
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
Na nyie TRA ni bora rais awatumbue wengi wao wanawafungia wafanya biashara wa halali na wanafanya biashara n matapeli.
@edisonpeter38943 жыл бұрын
Kwasasa tabia hiyo haipo ndugu
@ombenikazimoto83263 жыл бұрын
Pole kifaru kwa matatizo ajali kazi mungu akutangulie akupe wepesi WA kumaliza hilo tatizo salama kikubwa uzima mengine badaye Matatizo yaki isha pambana urudishe treni kwenye reli safari iendelee kilalaheri 🙏
@josephmonje79983 жыл бұрын
Ndio mana wanamchukia.. wengi. Selekali imemtelekeza pamoja na kufanya kaz kwa nguvu zote. Aise.. sabaya mungu aingilie kati.
@AlissonJB_773 жыл бұрын
Ndo maisha lakin hakuna anaependa kufanya uhalifu bali ni tamaa na kutaka maisha mazuri kwa haraka, ooh God help my life
@olathom7ya7563 жыл бұрын
like father like son.much appreciation to you
@hatmampyahalisi47463 жыл бұрын
Duuu umetisha kiongozi..Hongera sana
@edisonpeter38943 жыл бұрын
Hadi tufikie hatua ya kujua umuhimu wa kulipa kodi itakua ngumu sana. Wenzetu ulaya ukikwepa hata mia umefungwa!
@martinhinda52333 жыл бұрын
Kweli kabisa
@adijaniyonkuru97313 жыл бұрын
Kabisa
@habibaathman79533 жыл бұрын
DC Genius sana,,haulali kwaajili ya Taifa lako..Safi sana..inafaa kuwa Commissioner wa Tra kabisa..uko makini kupitiliza
@johannesjoseph70513 жыл бұрын
Katka wakuu wa wilay Tz sabaya ni number mojaaaaaa na anapaswa akawe rc
@flova70223 жыл бұрын
@@johannesjoseph7051 kawa RC WA jela
@zakyahya46453 жыл бұрын
TRA WANAHUSIKA APO NAO WABANANISHWE PUMBAVU AO vyuma vimekaza kumbe wao ndo wanavibanisha
@shamsahassan36663 жыл бұрын
Yn serikali inavumikia mengi wallah jmaan anatk pesa za mtelemko
@kabongahamisi5003 жыл бұрын
Mipombe hii ndio maana vijana wengi wanaweuka wakinywa
@hasinathasan40573 жыл бұрын
Hahahaaaaaa wakamatwa na takukuru aisee raha sana hii sabayaaaaaaaaaaaa nadhani asahivi unayakumbuka maneno ya lema malipo nihapa duniani
@superfredfred97193 жыл бұрын
Jamani haya hamyaoni kwann mnamfanyia ukatili sabaya mungu anawaona mama samia weww Mungu anakuona
@kelvinmtavangu77012 жыл бұрын
MUNGU ATAZIDI KUKUTETEA SABAYA. MAFISADI SASA WANASHEREHEKEA. SABAYA UTASHINDA HII VITA NA KUTOKA UKIWA MZIMA. Ulichapa KAZI sana.
@theresialadislaus31053 жыл бұрын
Sabaya nakukubali baba umenisaidia kiwanja changu kilizulumuwa umenisaidia sana nimekipata sasa
@emmamatemu82253 жыл бұрын
Ukuu wa wilaya sio level yako tena Yabidi upandishwe daraja
@martinhinda52333 жыл бұрын
Tunamwomba dar sabaya
@khadijahomankweliyamjahaya74213 жыл бұрын
@@martinhinda5233 dar si yupo kunenge
@abdallahsaid81573 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa wilaya. Mola akupe nguvu ili utekeleze majukumu yako! 🙏
@sponsor78823 жыл бұрын
Mwisho wake miaka 30
@mohammedmhina3973 Жыл бұрын
Jambazi uyo sio muheshimiwa
@teddyoscar68763 жыл бұрын
Hao ndio wanaovikaza vyuma duuh🤣🤣🤣
@annaisaya83303 жыл бұрын
Mungu atamsimamia, Kodi zimekua nyingi ckuhz, hlo contena mpk uje ulitoe bandarini hujui hata utauza sh ngapi huo mzigo.
@malickmakatta60893 жыл бұрын
Unatetea uhalifu hapo kwake limefikaje
@oxyrio12243 жыл бұрын
Wakikuy mshafika Tz maina😂😂
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Tumbua hao t r a ni wasumbufu Sana wanaacha wasiyo waaminifu wanasumbua WA halali
@salimamri94883 жыл бұрын
Wabongo sijui wanavichwa gani? Hivi kilasiku serikari inaongea receipt receipt lakini bado kunawafanya biashara ambao hawaelewi. Nikama wale wamadini nihivyo hivyo pia
@nadhiryyusuph83393 жыл бұрын
Jambo la kawaida sana mzee ni hustling kinyamwez sema nn utajar wakuhuza vitu vya hall upo kwa Allah ila ukitak kuwa Tajir ish kinyume na Serikali
@ezekielevarest92153 жыл бұрын
Nakubali Mann yko mkuu
@rosenamilia41403 жыл бұрын
Yapo maduka mengi ya namna hii ambao huficha uhalisia wa biashara wanazozifanya, ili walipe kodi kidogo. Nyuma ya pazia wanauza jumla na rejareja. Hongera sana DC wa Hai Mh.Sabbaya kwa kazi nzuri.
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Siku zote ulifanya biashara ya haramu mungu atakuumbua tu aiseeee hii ni noma
@willeydavid21083 жыл бұрын
Kuna mtu kachomoa bettry hapa hadi jamaa kanaswa
@machintangachibwena59223 жыл бұрын
Itakuwa kamfukuza mfanyakaze wake ndio maana kachomwa, wahindi wajanja sana bora wapate mia 500 kwa siku ila wasipoteze haki yao
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Kbs
@missangela67203 жыл бұрын
Huwezi kuwa mwongo forever. Umesahau ile mithali ya shule ya msingi: Siku za mwizi?
@josephjohnmagesa82563 жыл бұрын
Mkuu wa wilayaaa uyoooo angekua mkuu wa mkoaaaa ingekuaje🤣🤣🤣🤣🤣
@muddymkamba3523 жыл бұрын
Enzi za nyuma kabla ya magu,unashangaa ushahidi umepotea na mtuhumiwa yupo town anakula maisha
@bmone73933 жыл бұрын
Sabaya uko vizur we piga kaz mzee tunakukubal sana
@AzizKhan-si8cc3 жыл бұрын
Namkubali sana huyu mkuu wa wilaya
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Safi sana Sabaya, kama tusingechekeana na kuzalisha wafanya biashara wezi na wasomi wezi toka enzi ya Mwinyi Tanzania 🇹🇿 ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
@MohammedHassan-us3uk3 жыл бұрын
Nyie mnafikiri kulipa kodi kikamilifu rahic jaribuni na nyinyi muone
@martinhinda52333 жыл бұрын
Ni kama kutoa zaka na sadaka ila angelipa hata kidogo serikal isingemfuatilia sema hata mia hajalipa
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
@@martinhinda5233 😁😁😁kutoa zaka ni ngumu eeee
@HASASON3 жыл бұрын
Kodi siku zote ni chini ya 7% ya thamani yote kwa ujumla, tamaa ya kutaka kupata chote mwenyewe tu ndio inawafelisha lakini ukikamatwa unatoa mpaka ambayo hukustahili kutoa
@MohammedHassan-us3uk3 жыл бұрын
@@HASASON huna unachokijua ktk biashara ndo mana unaongea tu
@MohammedHassan-us3uk3 жыл бұрын
@@HASASON huna unachokijua ktk biashara ndo mana unaongea tu
@victorialucas44763 жыл бұрын
Dah! Nimesikitishwa Sana na hiki ninacho kiona, hapa kazi tu
@zawadijoel75163 жыл бұрын
Mungu akusimamie Sabaya, Siku zote
@remenmunis77293 жыл бұрын
Ukiskia INTELINJENSIA ndio hii sasa hapo DC sabaya hajakurupuka ona tangu mwanzo alivomuuliza kama kasajili biashara yake as a private or company 😂😶 jamaa kaingia cha kike ..then alivomuuliza haya maroba ni ya chakula cha kuku jamaa kajibu yes katoa konyagi ...mwisho kauliza mapipa ni ya nini jamaa kajibu ya kuweka nafaka kumbe kuna diesel 😃😃ila huyu jamaa anatisha Sheli humo humo Hardware humo humo ...Bia humo humo
@saidrajabu95893 жыл бұрын
Watu wapo kazini nakubari sana DC
@atuganilemsomba30283 жыл бұрын
Usitamani maisha ya watu Yana njia ngumu sana
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Nimerudi Hapa baada ya Kifungo cha Sabaya miaka 30....
@leonardmrope95283 жыл бұрын
Daaah!! Kunawatu bado sana aisee,,,,,Yani MTU anajitoa Ufahamu wkutolipa kodi
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Mbona majizi ni wengi tuu au mnaangaliwa biashara tuu hata wengine ni wezi WA Kura au hamwoni wizi wa hapa tz ni wengi mno yaani wizi uko WA Aina nyingi mno kuna viongonzi WA serikali wanameuza Hadi twiga wakapandishwa ndege wakaenda nje kuna wizi serikalini wamehamisha udongo ukafungwa km biscuit ukapelekwa nje tumeona mengi Sana sijui hata raisi analijua Hilo wizi wa madini tumepigwa mbaya ndivyo vitu muhimu vya kufatiliwa Sana madawa ya kulevya yapo biashara kubwa ya viongonzi au watoto WA wakubwa mbona ni ck nyingi mnawaacha tuu
@abdulahijama23083 жыл бұрын
Kwajili mumekambwa na sheriya ya raisi na nyinyi mkabe wanyonge ila mwaka zote mlikuwa mnakula nawao leo mugeuke hakuna mnachafanya hata kama mwaweka hazarani nikwajili ya raisi ila kimoyo mnatamani mfanye kuzuluma hata raisi kakosa ngapi hakumu ni mungu
@abdulahijama23083 жыл бұрын
Msitufanye wajinga zama zamagu zitaisha hi ni AFRICA unajua manake ?????
@agreykombe68353 жыл бұрын
Kuuza bithaa feki ni halali Kwa alie sikia like zangu
@mabenzimabenzi43483 жыл бұрын
Awamu hii iko macho sana jitahdinibkutafuya hela kiuhalali tu
@salimsalim84213 жыл бұрын
Hawa wame sahau kuwa sirakali hii ya magufuli hakuna mchezo, mwisho una kamatwa una filisika unakuwa maskini, kwa nini bin adam tunakuwa na tamaa kiasi hikicho, alafu una kaa una laumu ,pole sana, lazima utakuwa chizi kwa kujitakia
@sudymgeni7013 жыл бұрын
Sabaya ni mkuu wa mkoa wangu kuanzia leo.asante sabaya.nimependa kesho tukutane saa tatu ofisini.mbona watakoma
@missangela67203 жыл бұрын
Yaan dah
@flova70223 жыл бұрын
Nawewe upo mkoaa WA gerezani au
@shabiruseiph48973 жыл бұрын
Mmhh..! Naipenda KLM YANGU HAI YANGU --BOMANG'OMBE YANGU from Dar-es-salaam tz
@samwelikisali13453 жыл бұрын
Moshi woyooooooo
@davidngowo94593 жыл бұрын
Aiseee nakula hongera sana bado kuna madudu mengi yatapatikana tu kama itaendelea you operesheni
@charzsanga78543 жыл бұрын
Sukuma ndani
@kurwamkopi2153 жыл бұрын
Vizuri kazi nzuri sana
@eliudmaster21753 жыл бұрын
Kama naww unamhurumia huyu mfanyabiashara gonga like hapa
@einsteinmboje47303 жыл бұрын
Daaaaaah Yan Mpaka Sasa Hivi Siamini Tuhuma Alizopewa Huyu Jamaa ... 🥺🥺🥺.. He Is So Smart And Real ...Imekuwaje Tena ??
@emmanuelkubambala19983 жыл бұрын
Jamaa Wilaya sio size yake kabisa!
@winniekayanda82553 жыл бұрын
Jamaa apewe mkoa au.....??
@missangela67203 жыл бұрын
@@winniekayanda8255 tena mitano: Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro
@MuhinaCharse-gt7og8 ай бұрын
Sabaya lazima wakuchukiee pole sana kamanda Ila utarud kwa kasii
@evaristjames98453 жыл бұрын
Inapaswa serikali iangalie hili Jambo hiyo ni kazi ya jeshi la police lakini Hadi DC anafanya uchunguzi na kubaini hayo huwa jeshi la police linafanya nn?
@wardamzuka39973 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya ndo mkuu wa majeshi kwa wilaya yake
@martinhinda52333 жыл бұрын
Police wakienda wanapewa gongo wanarud
@aminimushi69453 жыл бұрын
Polisi hawafanyi kazi za kipolisi, wanafanya kazi za kisiasa zaidi,kumbuka matamshi ya Ocd Hai wakati wa kampeni.
@evaristjames98453 жыл бұрын
Shida ya police rushwa imewatawala mno kumbuka Ile dhahabu ilikuaje Hadi wakafukuzwa na kuwekwa ndani
@kibonaamenye68783 жыл бұрын
Mungu ni mwema tuu,, hata sasa ametenda,, wapo wanao waza kulisaidia taifa na wengine wanawaza kurihujum taifa,. Taifa letu. ni wimbo ambao unazungumzia namna ambavyo inapaswa tuliombee taifa letu irituelekee kule liliko tabiriwa na Mungu
@rajabmlau16683 жыл бұрын
Jaman mm nimfanya biashara kiukweli nimemuonea huruma sana huyu jamaa atafilisiwa
@eliudmaster21753 жыл бұрын
Sana bro bora wangechukua nusu ya mali zake
@HASASON3 жыл бұрын
Zako Tia maji
@khaliphamajid2703 жыл бұрын
Huyo mfanya biashara kajitakia Kama angelipa kodi na kufuata utaratibu angekua tajiri sanaaaaaa tu.Lakini anayo akili ya kimasikini ndio umasikini unamtawala. Wauza madini wengi ndio wanaakili za namna hiyo. Anayo madini thamani Milioni 20 na serikalini inataka kodi ya asilimia saba tu milioni 1 na laki nne jamaa anaona atoroshe ili asilipe 7% Serikalini inamtia ndani na mali yote imepotea. Ndio Huyo jamaa.Nashukuru wamemkamata maana mapombe yanauwa watu wengi.
@barakakazumba23153 жыл бұрын
Kodi zime zidii lazimaa tuee ivyooo✊✊✊
@yudajoseph3 жыл бұрын
True
@edisonpeter38943 жыл бұрын
Kodi ipi mzee iliyozidi? Au ww kwakua unasikia shemeji yako anasema kodi kubwa basi ndo umekariri
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Kodi imezidi vp sasa hayo ndo matokea yake bora angelipa hiyo kodi kuliko hasara hiyo jela hiyooo
@MrMbwelwa3 жыл бұрын
Hapa Sabaya nimekubali kazi yako
@tereseamasawe81113 жыл бұрын
IKIWEZEKANA SABAYA AWW HATA WAZIRI MKUU.MUNGU AKULINDE MWESH SABAYA.
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
Mh sabaya hongera sanaaaaa
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Acheni nioshe vyombo vya Warabu tu
@wemakalamu35383 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@damsonwillison4353 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha
@kutailadifi28543 жыл бұрын
Kweli kipenzi tukaze tu but
@fatimamtoo92883 жыл бұрын
Tukaze but mama
@eliudmaster21753 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@petersanagaya29163 жыл бұрын
Bwana kiukweli Sabaya unafanya kazi vizuri sana.
@marianamontoedi23333 жыл бұрын
Chapa kazi sabaya big up
@nyaticarriersllc3075 Жыл бұрын
No wonder he is in Jail. He wanted ya "Macho". Very arrogant Sabaya behaving like an ordinary usual DC using KIFUA. At the end Sabaya was left alone to defend himself.
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Eti mtu Kama huyu apendwe... Asichukiwe... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@abdulwahidmsellem19983 жыл бұрын
Vyuma vimekaza kumbe wanakaza wao😂😁😁😁🇹🇿
@fpctsamariakahama57133 жыл бұрын
duh??
@wastambuli80393 жыл бұрын
My royal model keep it up
@mosesjackson_tz3 жыл бұрын
hahahhaha bado role model wako?
@thomaswegoro43313 жыл бұрын
Umepata ulichokua unakitafuta. Shenzi kabisa
@oscarkasalile84423 жыл бұрын
Sasa huyu mtu mbona ni mzalendo kwann mnamtesa sabaya.
@husseinbakromar58653 жыл бұрын
Serekali ya JPM kiboko ya Africa mzima pongezi wanaichi hoyee ccm hoyee wapi like yake
@emmymaleshi23 жыл бұрын
Safi sana ,nakukubali sana mheshimiwa ,yan nimependa kazi yako jamn wewe ni muaminifu na unafanya kazi nzuri sana .......napenda sana unavofanya kaz yan unajua unafanya nn ....
@wilbartwilliam3 жыл бұрын
Watu wale wapi mbona mali zenu amzionyeshi mnaona za wengine acheni kunyanyasa watu nchi mmeiyalibu wenyewe kumbuka mishahara yenu inategea hao hao wafanya bihashara.
@HASASON3 жыл бұрын
Mishahara ya wafanyakazi wote lazima ikatwe kodi, ninyi msipolipa kodi mnawadhulumu wafanyakazi sababu mnafaidi miundombinu iliojengwa kwa jasho lao wakati lenu mnalitafuna wenyewe, acha mkomeshwe kabisa
@jimmyisdory99333 жыл бұрын
Am the one
@eng.mghashwa44713 жыл бұрын
wapi hapo
@benadakomba11773 жыл бұрын
Hayo ni baadhi ya matokeo ya vibali vya shilingi 20000 kwa kila anayetaka kuuza chochote na popote .baadhi ya wafanya biashara wamefunga maduka wanagawa mali kwa vijana wengi kutoka kwenye magodown yao.vijana hurudisha pesa baada ya kuuza. Matokeo ushuru hukwepwa na TRA ni vigumu kutambua pia nani yuko wapi kwani barabara zote nyumba zote zimekuwa ni za wáfanya biashara wadogo wadogo.
@ntogadeviv73423 жыл бұрын
Dah msema kweli hapendwi jaman
@gidionmanwingi90393 жыл бұрын
Ndoo maripo analipwa kwa kwer saw mungu yupo
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
Tena safi sana
@beaugosseadam68313 жыл бұрын
Hii awamu sio ya Kikwete jamani!! Badirikeni, bila hivyo mtaumia sanaaa.
@bableeyzabdalla5313 жыл бұрын
Awamu hii niyauzulumaji kweli sio kama ya kikwete
@ellyisidoli21923 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 na bado
@bableeyzabdalla5313 жыл бұрын
@@ellyisidoli2192 Yataisha tu
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Mungu ndio anayejua ukweli au uwongo kuhusu kesi za mtu huyu!!!
@prospermushi15623 жыл бұрын
Mungu humlipa kila mmoja kwa ujira wake sasa sabaya onja na wewe
@neemadominic63 жыл бұрын
Dah
@cleopalema Жыл бұрын
Nakumbusha tuu hii kesi bado ipo mahakamanii
@elieneapalangyo69383 жыл бұрын
Huyu naye analete mambo ya sokoine
@mchaganaduka3 жыл бұрын
Mhn mi naona jamaa ni. Mpambanaji kufanya biashara kubwa ashauriwe kibiashara angekuwa tycoon mkubwa
@mchaganaduka3 жыл бұрын
Mhn mi naona jamaa ni. Mpambanaji kufanya biashara kubwa ashauriwe kibiashara angekuwa tycoon mkubwa
@tereseamasawe81113 жыл бұрын
MWESH SABAYA ILIBIDI WE UWE MKUU WA MKOA AU WAZIRI.
@catholicvibemusic31513 жыл бұрын
DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248
@lizyonce74143 жыл бұрын
LEO HIII WANAMSHUTUMU SABAYA KUWA MWALIFU ALIYETOA LISASI KUMZULUMU MTU KWELI MAGU AMKA UTAZAME HAYA
@hivemutongore76383 жыл бұрын
Mungu akuongezee nguvu na weledi wa kuitambua haki ya wananchi wako
@musaabdiely16443 жыл бұрын
Mmasai mmoja kawa kiongozi
@luganomwankyoko26533 жыл бұрын
#sabaya ni chuma😃😃😃😃😃
@sophialaurent24063 жыл бұрын
Hali ningumu sana jaman, mwangalien na upande mwingine sio mumfilisishe jaman, hapo kuna mtu amemuuza na sio RC mwenyewe amejua
@sudymgeni7013 жыл бұрын
Wacha maujinga watu awalipi kodi alafu bei nizile zile.nani anafaidika.
@ahmedishabani91023 жыл бұрын
Ndio 😂 kunamtuu kamuuza awezii enda derekt
@sophialaurent24063 жыл бұрын
@@ahmedishabani9102 haiwezekan ametoka home moja kwa moja, itakuwa kuna mtu, sis wenyewe hatupendan
@mgongolwajoseph69013 жыл бұрын
asanteeee sabayaa
@erastomgongolwa13563 жыл бұрын
aiseee hapa kazi tuu
@sharifabdul60853 жыл бұрын
Ni kugawana majukumu tu wengine wizi wa kura wengine wizi wa kodi baba mwizi mtoto mwizi,ukianza kupekua mambo haya utakuta hata taasisi za serekali nazo baadhi ni madudu tu
@martinhinda52333 жыл бұрын
Kweli aseee watu ni wezi mnoo..ila acha tumuunge JPM
@cosmasdaud90883 жыл бұрын
Acheni janja janja mtafirisika shauli yenu unaomba lesini ya duka la rejareja alafu unafanya yako jamani hii serikali inamacho mengi Sana na mashushushu wengi kila kona
@J4UPro3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@shailamunis98673 жыл бұрын
Shkamoo Tanzania🙄
@erickmapunda42313 жыл бұрын
Narudia tena DC sabaya ndy DC bora tz kuwahi kutokea tangu nchi ipate Uhuru.