MSANII ROSA REE AFUNGUKA MAZITO ALIYOFANYIWA NA MWANAUME/ALINIKABA SITAKI VIJANA TENA/TUNATAKA WAZEE

  Рет қаралды 19,621

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

ROSA REE ASIMULIA MKASA WA MAPENZI ALICHOFANYIWA NA MWANAUME WAKE HATAKI TENA MAHUSIANO NA VIJANA #rosaree

Пікірлер: 107
@brunoh_bx
@brunoh_bx 11 сағат бұрын
Kiufupi wadada wanachokitaka sio mapenz ni pesa, ndo maana wanakimbilia wazee maana vijana wengi bado tunajitafuta na tunapambana kutimiza ndoto zetu lakin wazee wameshamaliza kila kitu wanasogeza maisha tu
@danielshauri6390
@danielshauri6390 13 сағат бұрын
Pole sana
@DaluNdeyanka
@DaluNdeyanka 6 сағат бұрын
wanawake mmetufanyia vitimbi mpaka watu wanawaona wazugaji kama hao walinzi wanauzoefu mkubwa sana na wakina dada ila sio wote
@xyz-v6d
@xyz-v6d 11 сағат бұрын
Mi nimewahi date mtu hatoi hela hata ya chupi ila nikisema leo nikale hata chips nje analeta fujo,ee ulikuwa na nani,ulienda wapi?kodi halipi,chakula hatoi,ila hata ninavyotumia hela zangu anataka acontrol.Siku alinipiga mbele za majirani kisa nilisema leo naenda kula nyama choma ,weee alivyoona nami nahangaika kulia kwa kipigo na majirani wananikimbiza hospitali,aliondoka akaniacha pale.Mwe nilivyopona nilimrudia ila nilimsukia tukio mpaka namuacha aliomba po
@muna1165
@muna1165 5 сағат бұрын
Pole sana kipenzi ❤❤❤❤😂😂😂😂
@CatherineKabelege
@CatherineKabelege 8 сағат бұрын
Ni kweli kabisaa unacho sema
@SuleimanHussein-e7x
@SuleimanHussein-e7x 7 сағат бұрын
Story ya uongo
@totonata5384
@totonata5384 9 сағат бұрын
Oh my God !!!! 0 seconds ago Huyu jamaa likua ni bonge la narcissistic and am happy you played smart. Si kila mwanamke anajielewa.
@Zawadi111Kajumwa
@Zawadi111Kajumwa 23 сағат бұрын
Ukipata Na Jambazi angejutoa roho mshukuru Mungu.
@Orenj-l8d
@Orenj-l8d 19 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@nancyg8664
@nancyg8664 Күн бұрын
😂😂Uwa wanasemaga "nani anakupa kiburi"😂😂😂
@Orenj-l8d
@Orenj-l8d 19 сағат бұрын
Mm sijui nikumbushe 😂😂😂😂😂😂😂
@rosemaryisdory2263
@rosemaryisdory2263 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@btylove1870
@btylove1870 53 минут бұрын
Kweli kabisa 😂😂😂
@calvin6445
@calvin6445 10 сағат бұрын
Hapo Rosa reee yaani wewe ni ndugu Yangu kinyama lakini hapo umezingua yaani stori inaonyesha wewe ndo mbaya ubwela .Mwanaume ni kiumbe anayeitaji mwanamke anayejitambua na kujiheshimu hata na sisi timewaona Washangaziiii
@ErickElibarick
@ErickElibarick 5 сағат бұрын
Bora uliwe na uyo mzee unaenda mvulia mtuu mwenye umri wa baba ako soma bible mama
@HeriethKichumu
@HeriethKichumu 49 минут бұрын
Kwan mzee akimuoa bint anaelingana na binti yake nani anasema
@ummySheikh72
@ummySheikh72 18 сағат бұрын
Mwehu huyo💯🔨
@EdwardPaul-bd2fx
@EdwardPaul-bd2fx 21 сағат бұрын
Unaharibia vijana sasa wazee kazi kwenu
@helemencemwadui4201
@helemencemwadui4201 2 сағат бұрын
Mpunguze nyooodo sema mashangazi haki yetu😂 hawana nyoodo nyinyi vipele
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 11 сағат бұрын
Nyie Wasichana mlichonifanyie aisee, Hadi leo Sipendi tena , ,, Niliteswa kma miezi sita mfululizo kidogo niwe chizi. , Sikua na kosa lolote , Anyway Mwanamke akitamke siku ya Kwanza tu muachane basi kubali, Maana hamna sku atabadilika
@Cecyliah0416
@Cecyliah0416 4 сағат бұрын
Pole sana
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 3 сағат бұрын
​@@Cecyliah0416Asante sana. ni miezi 11 Sasa nimeshapona pona. Japo bado nna trauma
@lewismpangala927
@lewismpangala927 9 сағат бұрын
Hoy Rosa nikuoe mimi plz nakuzimika blaa
@TinahFrank
@TinahFrank 2 сағат бұрын
Kumbe unaonga vizur
@deejeydaev
@deejeydaev 15 сағат бұрын
Taja jina la wimbo. Mbona maneno mengi
@AsheryandreaAndrealuchum
@AsheryandreaAndrealuchum 12 сағат бұрын
Kumbe rosa ree ni mrembo hivi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 сағат бұрын
Make up ni nzuri saan
@Bless-b.DL-babyofficial8769
@Bless-b.DL-babyofficial8769 12 сағат бұрын
New song come in guys
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 21 сағат бұрын
😢😢 wanaume sijui wameumbwaje?
@LukioMateruh
@LukioMateruh 19 сағат бұрын
Unasura yakutembea na kijana mim stembei na Binti anae rap naisi ni men mwenzangu
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 11 сағат бұрын
Umeona eeh! Yani na hao sijui walianzaje kumtafuta Huyu jamaa kwanza hawezi kuwa na pigo za kike hata kidgo
@mickeyraymond8007
@mickeyraymond8007 21 сағат бұрын
Kutokana na hi video Kuna binti somewhere kamtema kijana wake na moyo umelainikia kwa yule mubaba wa PRADO aliyekuwa akimsumbua
@Orenj-l8d
@Orenj-l8d 19 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@Melissashiner
@Melissashiner 16 сағат бұрын
😁😁😁
@yusufulimo5737
@yusufulimo5737 16 сағат бұрын
Kwa history hii ni uwôngo mtupu we ndio mzinguaji
@ErickElibarick
@ErickElibarick 5 сағат бұрын
Nendeni uko mama nyie mna penda wenye pay lowee pambana na hali yako mama
@EmmaTembo-l7o
@EmmaTembo-l7o 9 сағат бұрын
Sema kama alikupiga miti fresh tu shukuru hata kwa hilo
@MtessaAlly
@MtessaAlly 11 сағат бұрын
Hadith hii inatufuneisha nini? Mimi cjaelewa mpaka saivi. Au tukupe mji?
@LatifaCharles
@LatifaCharles 8 сағат бұрын
Tulioelewa inatosha ww mtafute mwalimu wa mathe akueleweshe hapa ni wapi ?
@Ommycle
@Ommycle Күн бұрын
Kwahiyo tukubaliane tunakwenda na wazee 😅😅😅
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Күн бұрын
Hayo maxee yenyewe ndio hayo mwenzangu mimi nina miaka 32 mume wangu 47 lkn shetan kama yeye hayupo dunian nataman hata mungu amchukue nipumue malaya mbwaa muombe mungu tu akupe mwenye kher na wewe ndugu yangu
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Күн бұрын
⁠duuuuuuuuh … hiii comment imenitetemesha
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@xxxl-jf2jiupo sahihi sanaaaaa. Na ukiona mwanamke anaombea ufe mapema ujue umeshindikana tabia kavumilia kachoka. Kifo kiwatenganishe tu
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@mwanaidimussando ivo mpendwa mi nimemuelewa. Kuna wanaume aiseee too much yaan kulala na wanawake mpaka kero
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Күн бұрын
@@HappyJohn-h8q kbs yaan niko hoi mbaya zaid nimwanajesh
@Thatgurl-l8n
@Thatgurl-l8n 21 сағат бұрын
😂😂psycho i understand
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 21 сағат бұрын
Hiyo ni kiki yapikipiki
@BrotherKaka-j4z
@BrotherKaka-j4z 7 сағат бұрын
Ganstar gani kumamako
@AllNEWS-o9m
@AllNEWS-o9m 6 сағат бұрын
Kasabuni
@bilakawaboynew978
@bilakawaboynew978 9 сағат бұрын
Rosa ree wewe ni mkorofi nakujuwa
@XxhamxyyxShha
@XxhamxyyxShha 3 сағат бұрын
Kifuani ndala 😅
@jisrainomwa4015
@jisrainomwa4015 19 сағат бұрын
Kamalaya kalicho kubuhu sema tu umepata ka Babu chako unataka uluma ya watu
@rosemaryisdory2263
@rosemaryisdory2263 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@robbyvanty2757
@robbyvanty2757 20 сағат бұрын
Tatizo mademu wenyewe wanamambo mengi so wote walewale
@OmanOman-i5x
@OmanOman-i5x 13 сағат бұрын
😅
@d15355
@d15355 23 сағат бұрын
unamlaumu bure jamaa kosa lake nini? kukuulza unayechat nae mda wote ni nani imeshakuwa kosa? kama ungekuwa msafi ungempa simu ukamwonesha unae-chat nae we ni malaya-mchafu uliyeshindikana, alikuuliza hivyo sababu anakupenda angekuwa hakupendi asingepanda ndege kukufuata khabis wee,poleni sana wabongo sababu hamna wanawake mnaoaga makahaba na majambazi kama huna pesa atajiuza na ukiwa na pesa atatafta mbinu akuue ili akudhulumu mali zako poleni saana
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 19 сағат бұрын
Wewe ni shetani mlaaniwa rudi kuzimu ulikotoka hata mama yako mzazi ni malaya usisahau hilo
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 19 сағат бұрын
Hata watoto wako utakaowazaa wataitwa hivyo usisahau hilo ...wakati unalaani kumbuka cream yoote ya laana inaanza na watu wanaokuhusu ...unaangalia maisha ya mtandaoni unadhalilisha wanawake unasahau aliyekuzaa ni mwanamke ? Kwani wanaume peke yenu ndio watafutaji? Baba zetu waliteseka wakatusomeshea nini ....tunafanya kazi tunashirikiana na waume zetu hata kama sio wote unaona mwanamke aliyekaa hana kazi ninkahaba ? Kuna wenzako hawataki hata wake zao wafanye kazi mwisho wao ndio huu mwanaume akifa wanaishia kwenye midomo ya kishetani kama yako .....MUNGU ANAYEISHI AANZE NA WEWE
@barbiepixie92
@barbiepixie92 18 сағат бұрын
We nae usituchoshe andika comment fupi unavyolalama sasa hata hueleweki
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Күн бұрын
Kumbe ma pddy wpo wngi. Unyanyasaji huo
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 19 сағат бұрын
ungekua unajua nini maana ya dini basi ungeacha mziki kuimba alafu soma Quran kwanini Allah kakataza zina yani ukiza nje ya ndoa mtoto wa haram unaweza muowa ndo ujue kua kwanini dini unasema zina haram ndo bunadam watakua na akili
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m 9 сағат бұрын
Ww unaemuona msanii yyte unahisi ni muislam loooh
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 6 сағат бұрын
​@@Deboramartin-z2m😂😂 chizii hl kwanza alijui kuwa mziki ni biashara
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m 5 сағат бұрын
@@HappyShirima-k9t hajui huyo eti wakike kwenda kaburini 😀😀mwweee
@DominPallangyo
@DominPallangyo 17 сағат бұрын
Kinachonisikitisha nikwamba anaongea Kingereza anatafsiri yeye tena kwa kiswahili duh nonsense
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 21 сағат бұрын
Hiyo ni kiki ya pikipiki
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 23 сағат бұрын
Fiction😂
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 9 сағат бұрын
Ukiwa na kiburi tunakubonda akili ikae sawa wasumbufu sana nyie
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 сағат бұрын
Ushakua feminist tuliaaa
@MathayoMagavilo
@MathayoMagavilo 17 сағат бұрын
?
@JamesGiligita
@JamesGiligita 22 сағат бұрын
Kiki za kishamba
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 23 сағат бұрын
Muongo huyu. Mtu wa miraba minne chumbani lazima alikushughulikia.
@mariamnur1036
@mariamnur1036 22 сағат бұрын
😂😂😂😂
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 сағат бұрын
Kulumbembe kumbe,,,,, Mnakula vya watu mno
@d15355
@d15355 Күн бұрын
siku hizi bwana wanawake wanataka kuwa wanaume na wanaume nao wanatamani kuwa wanawake sasa huyu dada ana copy maisha ya ki-marekani wakati ni mbongo? it will not work sister, nimeshasema siwezi oa wanawake wa kibongo nitaoa waswahili wenzangu tu, yaani huna aibu unakuja kutusimulia kuhusu uzinifu wako? bora angekuua kabisa pole wazazi waliozaa kahaba asiyena aibu kama huyu
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 22 сағат бұрын
We una mtindio wa ubongo sio bure
@melaniaherman1098
@melaniaherman1098 22 сағат бұрын
​@@vanessalaizer4363 sio sir atakuwa na shida 😂😂
@janeneemamakulu5507
@janeneemamakulu5507 21 сағат бұрын
Aiseeeee utakua na mental issues sio bure
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Күн бұрын
Umalaya tu unamtagazia nani sasa ovyooo
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Күн бұрын
😂😂😂asia
@LeahCosmasNzoka-po3dr
@LeahCosmasNzoka-po3dr Күн бұрын
Kweendaaa
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED 23 сағат бұрын
Malaya mamako, unaona sawa wanawake kupigwa na kufanyiwa ukatili, Fala wewe
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 22 сағат бұрын
Malaya ni wewe na roho yako mbaya biiiiashhh
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 22 сағат бұрын
@@vanessalaizer4363 samahan lkn msitukaniane wazazi mtukane yeye
@javandaudi5553
@javandaudi5553 16 сағат бұрын
Story ya uongo
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 88 МЛН
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 1,6 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 16 МЛН
Cheka tu - Erick Omondi (4K) Jan 2021
6:24
Mufid Al Jabri
Рет қаралды 15 М.
PENZI LA MUUZA MAZIWA.
1:06:24
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 198 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 88 МЛН