MSANII WA RAYVANNY MAC VOICE AMUONYA HARMONIZE/AACHE DHARAU/HAWEZI KURUDIANA NA KAJALA/NI ADUI YETU

  Рет қаралды 53,268

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Tumepiga story na Mac Voice

Пікірлер: 644
@clementemmanuel3347
@clementemmanuel3347 2 жыл бұрын
Mac voice uko sahihi sema tu umeongea ukweli ndo maana inawauma ,so huwez kuwa rafiki na adui wa boss wako Zaid ya hapo na unafiki na shobo 👍👍👍👍💯💯 piga Kaz kitaa kinakuelewa hongera Sana sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 жыл бұрын
Bado Mapema sana kuingilia mambo ya vann na harmo, fanya mziki wale Kaka zako achana nao kijana.
@galusiduwe1106
@galusiduwe1106 2 жыл бұрын
Kweli kabisa yani alafu uwo ni ujinga afanye kazi sio makelele
@jaymandy8136
@jaymandy8136 2 жыл бұрын
Ibra alipoingilia bifu la Ray na hamornize mbona hukuongea chochote
@rasheedseleman9779
@rasheedseleman9779 2 жыл бұрын
Mac voice kaficha underground wote wa harmnz kiutani utan ujue...
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 2 жыл бұрын
@@rasheedseleman9779 Usimpe kichwa huyo bado cha mtoto Tena kikojozi kabisaa
@samuellevy2564
@samuellevy2564 2 жыл бұрын
Sikwelewi vizuri😁😁😁😁🤣🤣
@freadyjackson315
@freadyjackson315 2 жыл бұрын
Kwell buro macvoice pigakasi Chui 🐅🎶🎶🎶❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sheilakanege9618
@sheilakanege9618 2 жыл бұрын
Sijuwe una ni elewa Sijuwe una ni elewa sijuwe una ni elewa...sijuwe una ni elewa vizuri, ume kaaa kiswahili sana
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 жыл бұрын
Wasenge sana, Sijiwi ilo neno linawasaidia nini 🤔🤭😏😒
@shaabanshaaban7465
@shaabanshaaban7465 2 жыл бұрын
Nchumali anazani next level Ni sehemu yakutafutia kiki afanye Mambo yake tuko bize na mambo yetu alafu kingine Rayvan hawezi kuwa pamoja na mnafiki afanye tu Mambo yake
@beatboy30
@beatboy30 6 ай бұрын
Daaaaaah dogo anadharau sana ray hamfikiiii harmo ht kidogo yaaaaaan
@anthonbudoda3420
@anthonbudoda3420 2 жыл бұрын
Katoto kamezamilia daah kwel macvoice unaakili sana na kwa hali hii utafika mbali👏👏
@tonylaizer3386
@tonylaizer3386 2 жыл бұрын
siku zote ...kumpata ....binadamu ..mwenyew ..upendo wa dhati ..kwa kazi..yako..hakika ...ni vigumu ..kiukweli ..bhana ibrah ...nakukubali sana ..kijana .mwenzangu ......tia bidiii ..hakuna time .......utatoa ngoma.ama kazi nikose kuwa ...kwenye harakati .........bro.mungu akupeee Kila utakacho katika kazi yako
@maryamomary2641
@maryamomary2641 2 жыл бұрын
Ushauri wangu wenye majina waacheni na majina yao yaani ww unaehojiwa hapo kaa kimya angalia maisha yako.sana simama na mwenyezi mungu tu ayasimamie maisha yako.awe Ray,awe Diamond ww jitazame ww
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Umeonaeee
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 жыл бұрын
Anamushinda ibrah kuongea kwenye interviews ibrah akimu ukiza kuhusu ray na harmo anakwepa
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@thisboyisgreat Hajielewi huyo Anaforce bifu Na Jeshiiiiiiiiiii, Ibra ana akili sana
@braynbreezy7361
@braynbreezy7361 2 жыл бұрын
@@thisboyisgreat naona hujui ivi arie reta jina la kumuita dada vanny nani sio huo usiongeley vitu ambav hujui
@deusdaniel2185
@deusdaniel2185 2 жыл бұрын
Kweliiiiiiiiiiiiiii kaka mwambie sijuii hajielew au kwamutazomo anadhania akimzungumuzia hamonize ndio atapata hela shauli yake haoni hamonize na rayvany kipindi wanaunza mziki walikaaa kimy wakavuna kwanza hela🤔
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n Жыл бұрын
Kwanni Sasa macvoice
@christopherkulaya4191
@christopherkulaya4191 2 жыл бұрын
sijui unanielewa×60 sijui unanielewa vizuri×1000 next jam
@mwalunekashindo5902
@mwalunekashindo5902 2 жыл бұрын
Wewe ni waleo tena una-jiona umefika bdo huwezi shindana na tembo utapasuka msamba.#Dickson Mwalune.
@josephmasoud4665
@josephmasoud4665 2 жыл бұрын
Dogo fanya kazi Binadamu tunapita tu huwezi jua atakae kusaidia kesho mabifu yao achana nayo muombe Mungu fanya kazi mpende na muheshimu kila mtu Mungu atabariki kaz zako na utafika ulipo azimia kufika
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Umeonaeee huyu Dogo anakuja juu sana kuforce Bifu na Jeshiiiiiiiiiii
@donedaddy4561
@donedaddy4561 2 жыл бұрын
Wanaandaliwa kumsema harmonize bila kujua wanatupunguza saaana mashabiki wacha nikomae na HIP HOP na mziki wang wa uswahilini SINGELI
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@shaabanshaaban7465
@shaabanshaaban7465 2 жыл бұрын
Mwambieni nchumali next level hatutaki shobo kabisa afanye Mambo yake hatutaki habari za kichoko
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 2 жыл бұрын
Next level kwa nini wanamfatilia Harmo? Kazeni buti labda mtapaa, lkn kwa hapo bado saaana Tena sannnaaaa. Konde forever💪💪💪🔥🔥🔥🐘🐘🐘💞💞💞
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@fatmafaki6163 Umeonaeee 💪
@quizimanemanuel8816
@quizimanemanuel8816 2 жыл бұрын
Kuanini umesema hivi
@chizashungu1236
@chizashungu1236 2 жыл бұрын
@@quizimanemanuel8816 harmo yeye hafanyi lolote bila kumtaja Rayvanny au DIAMOND.harmo hawa jamaa hawezi kuwafikia kwa chochote.Aimbe nyimbo zake tu.
@feristerjames4522
@feristerjames4522 2 жыл бұрын
Kenge ww hamo ndo top
@mohamedjumbe9309
@mohamedjumbe9309 2 жыл бұрын
Mac voice umetisha
@kelvinnelson4498
@kelvinnelson4498 2 жыл бұрын
Uyo mtot mac voice ni choko na mshamba tuuuu🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
@ONELOVE-rd3sz
@ONELOVE-rd3sz 2 жыл бұрын
kiunaga ubaga yaani mbaya mbaya mac voice noma
@samuellevy2564
@samuellevy2564 2 жыл бұрын
Ivi lazima aongee kama rayvan 😁😁.bado MTOTO Sanaa hawezi kulingana na Ibrah he is still a kid
@mwinyiramadhani311
@mwinyiramadhani311 2 жыл бұрын
We chunga maneno yako mac voice fundi angalia namba namba zao halafu nani ajui
@safsanjulius5829
@safsanjulius5829 2 жыл бұрын
Wewe nabos wko muugane pia nabos wenu Domo muugane hamtamuweza jeshiiii 🐘💥 jeshiiii nji2
@dieudonneobyn1578
@dieudonneobyn1578 2 жыл бұрын
Kwani kwenu ni wapi
@tadeitadeo943
@tadeitadeo943 2 жыл бұрын
Duh tz uhuru umezid
@monicakayombo4770
@monicakayombo4770 2 жыл бұрын
This boy is bright hayo majibu ya kueleweka kabisa!!!ana akili na yuko talented...Ray hajakosea kumpa chance
@lugwerasta3083
@lugwerasta3083 2 жыл бұрын
Kwel kabisa Mac voice
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Umetumwa na Chui hee haya bwana Mbona washarudiana hivi amjui Hiyo yote nidanganywa Toto umnadanganywa tuu Poleni Hatuwapi kiki Poleni
@fabiantz1431
@fabiantz1431 2 жыл бұрын
Sjui Unanielewa vizur nyingi San dogo punguza
@allyomary2493
@allyomary2493 2 жыл бұрын
Macvoice Bado xana hata interview hujajua kujibu punguza utoto mdogo wangu
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@christopherkulaya4191
@christopherkulaya4191 2 жыл бұрын
fanya mzikii mzee kuwa unique unajua sana sema unapoingia achana napo piga kazi chalii angu
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@BHTV-ly4jf
@BHTV-ly4jf 2 жыл бұрын
sijuwi unanielewa sijuwi inanielewa hapo sijuwi unanielewa vizuri
@mbarakasaid1912
@mbarakasaid1912 2 жыл бұрын
Jamaa ana onekana ananjaasana Na alafu ajiamini
@chizashungu1236
@chizashungu1236 2 жыл бұрын
Mac voice upo vizuri,harmonize ni mnafiki na siyo mtu salama.DIAMOND PLATNUMZ amejifunza ya kwamba kuna wengine hawastahili kupewa msaada.
@petermachoka2977
@petermachoka2977 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anatumia sana pombe za chorochoroni. Mbona kavimba mashafu kishenz
@mohamedefranciscoxavier4440
@mohamedefranciscoxavier4440 2 жыл бұрын
Falou muito verdade voice estou a que Moçambique 😍😍😍🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mahmudwandi8492
@mahmudwandi8492 2 жыл бұрын
kumbe uyo chalii ni msenge
@prencessj735
@prencessj735 2 жыл бұрын
We na chizi eee unajikosha ujui kwamb harmonize atakuwa boss wako nyoooooooooo
@meshackngailo6266
@meshackngailo6266 2 жыл бұрын
Kaka umetisha hapo
@singeremmanuel5141
@singeremmanuel5141 2 жыл бұрын
Mshamba huyu dogo,,nilifikiria uko na hakili kumbe hujui kitu bro,,Fanya Kazi ya mziki,, check out new hit from Ibra..Huna adabu Mac
@alextanzania
@alextanzania 2 жыл бұрын
Rara
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@opajumaismail8621
@opajumaismail8621 2 жыл бұрын
Nakubar mac voice yule kolosho aachi shobo
@lenoxbuhanza4926
@lenoxbuhanza4926 2 жыл бұрын
Sijui umenielewa vizuri 😂😂😂punguza kusema neno hilo kila mara niushauri tu
@salehejuma4633
@salehejuma4633 2 жыл бұрын
Mtu mbadi macvoice
@emmahazard5292
@emmahazard5292 2 жыл бұрын
Mwandishi cjui umenielewa vizuriiii
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 жыл бұрын
Mbona amekopi Sana kuongeza kama boss wake Naona Kwa Hilo sio sawa
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 2 жыл бұрын
Mjukuu wa Simba 🦁 katisha sana 🙌🙌🔥🔥🇧🇮
@rehemambugulu9618
@rehemambugulu9618 2 жыл бұрын
Mjukuuu wa simbaaaa❤️
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nichek yani watu walewale utawajua yani mtt simb sijaon ht ch maan walh 🤣🤣🤣🤣
@moneykillingbabiez9334
@moneykillingbabiez9334 2 жыл бұрын
Van bway nation tunasupport
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Updsi kiki macvoice
@sashashaibu6821
@sashashaibu6821 2 жыл бұрын
Nikweri kabisa mtoto wa 🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🎶🎶🎶🎤🎤
@alhajirocky3059
@alhajirocky3059 2 жыл бұрын
Macvoice kajibu vizurii sanaa kwanzaa nimependa si mnafik yuko streeet kabisaa nimependaaa sanaaa
@yoabulazaro8614
@yoabulazaro8614 2 жыл бұрын
Kiingereza syo lazima jaman sasa street ndo nn
@eddyjunior2881
@eddyjunior2881 2 жыл бұрын
@@yoabulazaro8614 🤣🤣🏃🏃
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 жыл бұрын
Yupo vzr
@kaskasjule8263
@kaskasjule8263 2 жыл бұрын
wew mshamba dogo
@emiathuman4031
@emiathuman4031 2 жыл бұрын
Mmmh hawez kujielezea huyu jaman japo anaimba vizuri
@emmahazard5292
@emmahazard5292 2 жыл бұрын
Hiyo sijui umenielewa vizuriii imetajwa mara 100000
@shaabanshaaban7465
@shaabanshaaban7465 2 жыл бұрын
Macvoice yuko sahihi sema wavuta bangi wanapenda kujistukia
@hamzamohammed2535
@hamzamohammed2535 2 жыл бұрын
Nikweli
@FredoBoy
@FredoBoy 2 жыл бұрын
Waandishi musiwe na leta vurugu bana, RAYVANNY iko wapi sasa hivi, na Harmonize yuko wapi sasa hivi, RAYVANNY yupo busy anafanya mambo makubwa sana huko inje huko yeye anaaza tafuta Kiki tena kupitia RAYVANNY. Inatakiwa awe na Respect
@braynbreezy7361
@braynbreezy7361 2 жыл бұрын
Kabisa husemi uogo ray ana juhudii sana uku mwenzet makiki tu 😀😀🇧🇮🇧🇮
@FredoBoy
@FredoBoy 2 жыл бұрын
@@braynbreezy7361 we have to be honest sometimes my G
@zakaliamaganga3978
@zakaliamaganga3978 2 жыл бұрын
Kuma ww cheki mashavu umekula chumvi
@joenation2322
@joenation2322 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa kumbe choko kweliiii anamuiga Vanny boy kila kitu......... Sijui unanielewa vizuriii nyingiiiii kumbe bado kashambaaaaa kwenye interview😂😂😂
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Uyu Nae mcvoice sijui katokea wapi anashangaza sana
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Acha uswahil kuma ww harmo Co type yko,unanataa kwa kipi???ovyoo kabisa nilikuwa shabiki yko nishakukunai
@hasheemomary4507
@hasheemomary4507 2 жыл бұрын
😂mwambie muone na miwani yake ka mchomelea mageti
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Hana jipya🤣🤣🤣🤣🤣dogo choko sanaa hyu
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 жыл бұрын
Yani nimekaa naangalia hayo mashavu yake yalivo utafikir mtu mweny anakul ugoro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣yn nina muonag kweny pich Alf leo nimekaa nimechk vikumbwa walhi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Yy mwenyewe kituko anajikuta kunata looh bongo kufa kwa stress kupenda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Mbona ibra alivyo ingilia ugomvi hamkumyukana
@mohamedjumbe9309
@mohamedjumbe9309 2 жыл бұрын
Ipo ivo
@fridaynyota4707
@fridaynyota4707 2 жыл бұрын
Macvoice nakukubal sana
@jaqlinemanyama1876
@jaqlinemanyama1876 2 жыл бұрын
Macvoice ungetulia tu maana nyota huna
@mbigokabwere5251
@mbigokabwere5251 2 жыл бұрын
Nakubali dogo kuwa muwazi usiogope mtu hadui wa boss wako ni hadui yako
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Katika maneno ya Ommy Dimpoz juzi juzi akiwa kwa Milaldayo alisema hawezi kuwa na vita na mtu eti kisa rafiki yake anaugomvi nae. Ilikuwa point kubwa sana. Haiwezekani mtu agombane na rafiki yako na wewe ugombane huo ni ujinga
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
Nazani umenielewa vizuuri sanaa ni pana na inaenderea leo rich mavoko yupowapi? Kama angempigavita alikiba leo angekua anasapotiwa na kings na ziikimedia?
@chanzumakala388
@chanzumakala388 2 жыл бұрын
We ndogo tulia Kama ulivyo ongelea maisha yako acha kuingilia vitu usivyovijua maana bado unasafari ndefu Kuna. Leo na kesho
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Kwani yeye kajuaje harmonize anasarau na yeye katoka tu jusi kutoka kwa chenge
@clementemmanuel3347
@clementemmanuel3347 2 жыл бұрын
Wanaelewa tu kuwa rayvan Moto wake siyo pow sema tu wanajitoa ufahamu
@nestorassani5461
@nestorassani5461 2 жыл бұрын
tuliya wedogo huna lolote, pumbavu
@fredymakame3044
@fredymakame3044 2 жыл бұрын
dogo uko smart uwezi ukawa na urafiki na adui wa boss wako uwo ni ukishati
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 2 жыл бұрын
Ww mpumbavu Sana jiangalie humfikii hom hata nusu robo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Uyu dogo Ni msenge ata show moja ajapiga ajapanda stage alafu ashaanza kuvimba na miwani ya kuchomoa a vyuma
@lidyahaule7220
@lidyahaule7220 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@petrokomba9991
@petrokomba9991 2 жыл бұрын
Kwani we umepanda ngap
@mickystephenkalama3212
@mickystephenkalama3212 2 жыл бұрын
Saa anajaribu kuongea kama rayvanny. Huyu ata ni fala..Hana mwisho mwema kweli
@waziriadam1022
@waziriadam1022 2 жыл бұрын
Miye najua harmo ni mkubwa ndiyo mana watu wanapata tabu
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 2 жыл бұрын
Sasa mbona anajiliza Liza mitandaoni Kama yeye mmubwa
@waziriadam1022
@waziriadam1022 2 жыл бұрын
Ni kawaida msanii kujiliza
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 жыл бұрын
Yes wachane na hamo bana😏😏😏
@kadhathaboy7374
@kadhathaboy7374 2 жыл бұрын
Bado mchanga kwenye game braza pambania hali yako...huo ni ujinga kuingilia bifu isiyo kuhusu...harmo humuez broo...better fight for ua success.
@maclucky4149
@maclucky4149 2 жыл бұрын
Daaah!!! 😭😭😭😭,,,, Mac voice Bado hujafikia level ya kuanza kuingilia bifu... Tafuta mashabiki wako ndo uanze huo upumbavu unaouonesha saivi... Still you got long way to go... Ucwe na mihemko kwa sasa.. ushauri tu
@philbertemmanuel7630
@philbertemmanuel7630 2 жыл бұрын
Mbn dogo ibraah huwa anaingilia
@maclucky4149
@maclucky4149 2 жыл бұрын
@@philbertemmanuel7630 wote wanahitaji huu ushauri,,, kaangalie interview ya ibra ambayo ameropoka vitu kama hivi!! Ushauri lazima.. na makosa ya nyuma hayalalishi kuendelea kufanya makosa,,, so ibrah hawezi kuwa chanzo Cha yeye kujiingiza kwenye nonsense
@philbertemmanuel7630
@philbertemmanuel7630 2 жыл бұрын
@@maclucky4149 we shabiki muongo kaa kimya kama hutaki kusema ukweli
@maclucky4149
@maclucky4149 2 жыл бұрын
@@philbertemmanuel7630 sawa boss
@bern1229
@bern1229 2 жыл бұрын
Ko wasanii wa bongo bila bifu mziki hauendi..nan kawaloga namna hiyo jaman
@alexmolli8806
@alexmolli8806 2 жыл бұрын
Wazani ana chomee milango
@michaelmymy1307
@michaelmymy1307 2 жыл бұрын
Kwasasa rayvan niwakimataifa ,harmo wasawayake niwewe macvoice apana vanyboy
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
Hajaongea kisanii kaongea ki shabiki msanii huheshim vitu visivyo muhusu mojakwamoja hua wanajibu kwa kuficha hisia binafsi hapo kaongea maneno ambayo hata huyo rayvany mwenyewe hawez kuongeahivyo
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 2 жыл бұрын
Umeona eeh
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
@@ROSEROBERTROBART wasanii hua wanaangalia maisha na keshoyao ebu kumbuka chuki ya hamoniz kwa kiba sasahivi anaombapicha na kiba hajari anasahauyalopita sasa mdogowetu anakurupuka kuonyesha makuchayake wakat anahitaj sapot kubwa kutoka kwa wadau
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
Ibla nae mshamba kama mac voice wote ni wasanii wachanga kujiingiza kwenye ujinga huo ni kujipunguzia mashabiki kwani huoni kua ibla nae kadumaa?
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
Mi ukweli ntasema hivi umeshawai kuwaskia wasanii kama mboso kumkashifu alikiba ? Au tommy kumponda diamond? Wale wanajielewa
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 2 жыл бұрын
@@rashowofficial2224 mi simkubari konde wala wcb mi shabiki wa msanii mtuliv mkongwe wagem kiba ila madogo wanazingua kiki miingi wenzao mond na kiba wanapiga mauzo wao mipashomiingi
@فاطمةفايز-غ1غ
@فاطمةفايز-غ1غ 2 жыл бұрын
Utajiju bro..abadan Aslan baby boy haezi kamwe Wala hatoeza..hata Kashuka juu chino..konde Yuko juu..atulie tu huko nje. Achume Deni la wasafi.
@abdulniyonzimanzigo2720
@abdulniyonzimanzigo2720 2 жыл бұрын
We mtoto kwenye game
@alexmolli8806
@alexmolli8806 2 жыл бұрын
Acha useng watak uuiitwe mkubwa ingali amemzidi kiuumrii
@evatim3142
@evatim3142 2 жыл бұрын
Hehehe ngoja nicheke 🤣🤣🤣😂kutoka +254 wew kijana njoo taratibu coz hayo malingo ya one fifty punguza acha kumtukana hamornize na upunguze ushamba unakuja na msheneee mwingi Sana lakini naona ulimbukeni ndyo unakusumbua your mad man Shem on you
@mishindeguwa3026
@mishindeguwa3026 2 жыл бұрын
Kwa hpo ni hakumuele siyo kwamba ni mdgo kimuziki laa ni mdgo kiumri ndivyo anavyo amanisha hamonaiz ache ugovu kijana mm siongea kuwa eti ni shabiki wa hamo ni kuchambua maneno anayo ongea tu hvyo so wote ni watanzania na wanamziki si mwengine ni mama mpenda amani tu mm from 🇰🇪 one ♥️
@eliseembambu6451
@eliseembambu6451 2 жыл бұрын
Umechindwa ku fanya kazi unakaaaa kumu zungu muziya hamo WE pimbi
@wonderstylish
@wonderstylish 2 жыл бұрын
Umekuja sana kaka tulia mziki hauhitaji pupa
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 2 жыл бұрын
Najua hakuna mtu ambaye anataka kusemwa au kupata umarufu ambaye hajui njia moja tu tz, na hiyo njia n KondeBoy Jeshi tu, ukimsema vibaya unatrend.
@farajaissaka4718
@farajaissaka4718 2 жыл бұрын
Hahahaha. Mnaweweseka Mac voic kashaanza kueavuluga
@zebakimuzic.10k....2
@zebakimuzic.10k....2 2 жыл бұрын
Only you and tam hit🔥🔥song
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 2 жыл бұрын
Panya buku umetokea wapi ww
@geoufo2858
@geoufo2858 2 жыл бұрын
Napenda confidence ya uyu dogo
@geofreyelphjr3710
@geofreyelphjr3710 2 жыл бұрын
Sijui unanielewa vizur😁😁
@othumanikamilagwa1129
@othumanikamilagwa1129 2 жыл бұрын
Kwani huyu macvoice ni nani anataka kutembelea nyota ya harmonize,nachowaomba konde gang msimjibu huyu fala rayvan ni mdogo sana kwa tembo.....
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Wewe fanya zako Dogo Acha kuforce Mabifu na Wasanii wakubwa...! Haya ni maisha tu na sikuzote Duniani tunapita acha kumuendekeza Shetani
@farajaissaka4718
@farajaissaka4718 2 жыл бұрын
Mbn Ibla hamumsem yeye anae mtukanaga ley. Ila kwa Mac ndo mmeona achen amtetee boss wake
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
Very true
@shaabanshaaban7465
@shaabanshaaban7465 2 жыл бұрын
Macvoice kaongea ukweli kabisa yule msenge nchumali amuache Rayvan hatutaki unafiki kabisa yeye ndo mtu ambaye anamchukia Rayvan saivi anataka kujifanya mwema msenge Sana daogo
@abdalmalikalhsani4080
@abdalmalikalhsani4080 2 жыл бұрын
Kweli amuache vany wetu
@darcieniyongere8982
@darcieniyongere8982 2 жыл бұрын
Mashavu kama kapusi.namashati kama unazoa takatak. hata kuvaa hujajua tulia
@andreasumani6531
@andreasumani6531 2 жыл бұрын
Hata kuongea kwake kuna onesha haja kua,anafosi kumuongelea Harmonize ili tujue bado yupo maana alikua amesha potea.mi nilizani kasha kufa 😊
@petrokomba9991
@petrokomba9991 2 жыл бұрын
Acha wivu nyokooo
@donedaddy4561
@donedaddy4561 2 жыл бұрын
Wamekuwa waimba taarabu wasanii bongo flavour yaani wasanii wamekuwa machawa wa maboss wao wanangu HIP HOP piga kelele
@SalimuSaidy
@SalimuSaidy 2 жыл бұрын
Uyu nae kila kitu sijui umenielewa vizuri
@VC-oo3cj
@VC-oo3cj 2 жыл бұрын
Uyu kaongea vizuli sana
@moalix8880
@moalix8880 2 жыл бұрын
Mmmh kaongea pumba tu
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 2 жыл бұрын
Kijana wetu 🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮
@bonifasjuma248
@bonifasjuma248 2 жыл бұрын
Mac voice kumbe akili zipo timam✊
@nusramohammedabdillah6870
@nusramohammedabdillah6870 2 жыл бұрын
Njoo.. 👇 Njoo.. 👇 Njoo.. kzbin.info/www/bejne/lYmkpqObabGhla8
@hadisondanifrd1046
@hadisondanifrd1046 2 жыл бұрын
niaj bl
@sarahevarest1202
@sarahevarest1202 2 жыл бұрын
Sasa scalf kwani bongo Kuna winter,
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 2 жыл бұрын
Mac kama mac nakukubali
@blackstone4488
@blackstone4488 2 жыл бұрын
Hyu naye ni nani mbona simjui mi 😃😃
@shabani_kitemba
@shabani_kitemba 2 жыл бұрын
Uyu macvoic choko kwery
@TheMint_tz
@TheMint_tz 2 жыл бұрын
Bado sana kijana ila kamekosa nidhamu 😅af kanaomba support 😂😂😂😂
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
Rayvanny - Naogopa (Video) SMS SKIZA 8548827 to 811
3:54
Rayvanny
Рет қаралды 27 МЛН
Ip Man 3 | Rescue Scene
9:46
Cinewatch
Рет қаралды 3,1 МЛН
Exclusive interview with Rayvanny’s first signee , Mac Voice
3:10
Boomplay Music
Рет қаралды 1,2 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39