NZK Nyimbo za kristo Nena Mungu also known as Speak to my soul Recorded by msanii Records Chorale Copyright 2013 Choral Hymns of all time. All Rights Reserved
Пікірлер: 66
@rosepeter89963 жыл бұрын
napenda huu wimbo sana ninapo anza maombi🙏🙏🙏💞💞💞🙏🙏
@arnoldvictor87633 жыл бұрын
Mmeimba vizuri ILA SIJAFURAHIA kuona mmeandika jina la Bwana wangu YESU kwa herufi ndogo, kama la mnyama au kitu tu. Ingekuwa mimi kwa gharama yoyote ningeshughulikia kulihariri liwe sawa. Hilo jina na kuu mno halina mfano duniani wala mbinguni! Limeniponya dhambi, limeniponya magonjwa, na linaendelea kuniponya. Hilo ni uhai na kila kitu kwangu! Silaumu nashauri tu msiliache hivyo!
@AdinaKasa-jt3fn2 ай бұрын
It made me cry. We used to sing together with our dad long time ago.. he passed away in his 55
@loicenyawara9383 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana keep going my people am Nyawara Lydia
@janetkaingu70384 жыл бұрын
Aaamina,napenda sana nyimbo hizi zanifanya nijisikie niko hewanani na Yesu zanibariki saana
@muokiluvai9833 Жыл бұрын
Praise and highly exalt him forever
@priscaroduya32524 жыл бұрын
Nakuhitaji Yesu rohoni mwangu amen
@3839HP_EG4 жыл бұрын
Nena kama zamani😪❤️
@humphreybernard7355 жыл бұрын
Nena na Roho yangu. Oh Lord.
@nasibmndolwa78543 жыл бұрын
MUNGU ni mwema wapendwa tumruhusu aseme na sisi kwa pole
@davidogweno54273 жыл бұрын
Glory to God. What a glorious song, thank you Jesus.
@andrewcm20994 жыл бұрын
Nong"oneza Kwa pole, upole wa pendo
@OnchongaRich20202 жыл бұрын
Wimbo wa tumaini kubwa. Nena nami Bwana.
@magorimadaraka86284 ай бұрын
Naupendaa sanaaa❤❤ huu wimboo
@loicenyawara9383 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana keep going my people am Nyawara Lydia❤
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Napenda hii nyimbo inanibariki sana
@fridayE1862 жыл бұрын
Jaza roho na sifa, sifa zako Bwana!
@hamphumichael71944 жыл бұрын
This is my song hasa tukiwa ktk hali ngumu
@zerahmtewele13574 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na wimbo
@melixwonder70512 жыл бұрын
Lovely song,siachwi upweke
@irs686 Жыл бұрын
Oh thanks Lord,my soul is uplifted!speak to me oh Lord 🙏
@isaaclewa57824 жыл бұрын
Fundisha watoto wako kuomba na kutoa maishani mwao
@geraldsenkondo43344 жыл бұрын
Amen a good song be blessed all singers
@edinahmasea16032 жыл бұрын
Powerful. Amen
@ictwestern Жыл бұрын
Beautiful
@hildanjeri2248 Жыл бұрын
🙏🙏🙏fungua moyo wangu
@TheBoss-eg7mx4 жыл бұрын
🙏🙏🙏 beautiful song
@solomonmbuna72294 жыл бұрын
Asante waimbaji wapendwa nimefarijika sana MUNGU awalinde
@NairobiTV2363 жыл бұрын
My all time best
@rumona433 жыл бұрын
I'm blessed.
@brianodiwuor18085 жыл бұрын
Always a blessing song
@WillysOkindo8 жыл бұрын
Thank you for uploading my favorite song and continue doing the swahili hymnals
@msaniirecordschoralehymns27278 жыл бұрын
Thank you
@deboracharles82277 жыл бұрын
Willys Okindo Amina
@sarahwambui8793 жыл бұрын
Amen and Amen
@joannenjoki86392 жыл бұрын
Lovely song. It gives strength that I am not alone.
@johnbosco96764 жыл бұрын
Wimbo unakosha moyowangu
@bernicemwende11454 жыл бұрын
It blesses my soul
@samsonkadzosamsonsamson40804 жыл бұрын
Amen 🙏🏻🙏🙏
@andrewwasike41862 жыл бұрын
Very nice 👍
@sandiemoturi98563 жыл бұрын
Speak to me Oh Lord.
@jeanmjimmy4 жыл бұрын
Amen, the lovely Gospel song, it is interesting and it deeply touches inside the heart.