Kila siku mnataja asilimia Sasa za nn,, tunataka safar za tren zianze
@starjay30522 жыл бұрын
kwaiyo dar moro tunaanza kupanda lini mana kila siku maneno tu alafu atuelewi kila siku wanatembelea tu
@hope_for_this_time_tommorow2 жыл бұрын
Hayo mabehewa Kama ya ordinary colonial era. .waafrika tunapenda Sana kula walivyotapika wazungu
@vintagemusicgroup92362 жыл бұрын
Mnajaza lini bwawa la Nyerere?
@shinipapaya8462 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 daaaa hilo nalo neno ila ndugu yangu kama ulikuwa hujui ngoja nikujuze hivi unajuwa ya kwamba wale waliokuwa wanalipinga hilo bwawa mchana kweupee leo hii wameteuliwa kuwa mawaziri? Ndio maana hilo bwawa kwa sisi wazalendo na kuona mbali zaidi au watoto wa indigo children mbona tayari lishakuwa chujio la NAZI RIP mzee baba Magufuli 🙏😭😭😭😭😭😭😭🏃🏃🏃🏃
@simongitau81132 жыл бұрын
Mwaka ujao litakua tayari kaka
@vintagemusicgroup92362 жыл бұрын
@@simongitau8113 Bwawa mnaanza kujaza lini?
@ndilanhabonie46422 жыл бұрын
Yan me mpka nmekata tamaa kabsa na nmeanza kusahau kabsa 😭😭😭
@jelasnkoma42402 жыл бұрын
Maneno mengiii tunataka treni zianze tupande
@salehsimba53062 жыл бұрын
Angekuwa Magu y hai bs kipande cha kwanza kingeanza kufanya Kazi tokea mwaka 2021 mwezi wa 4
@prorwega2 жыл бұрын
Napenda kupongeza kazi inayoendelea ila mimi nataka kupendekeza yafuatayo: Rangi za shirika la Reli kwanini tunarithi za tangu ukoloni? kwakuwa reli sasa imejengwa katika kizazi hiki si ingekuwa bora kuwa na rangi za rangi ya taifa? mabasi ya mwendokasi walau wamefanya hivyo lakini hizi rangi za TRC zinawakilisha nini na nani?
@shinipapaya8462 жыл бұрын
We ndugu yangu una akili nyingi kama mm yaani hata nashindwa kuelewa hiyo mirangi ya ajabu ajabu sijui ina maana gani 🙄🙄🙄👎👎👎👎
@deven.oauditx75472 жыл бұрын
Hizo rangi zipo sawa. Haiwezekani kila kitu kikawa na rangi za bendera ya taifa.
@starjay30522 жыл бұрын
ben yuko wapi mana enzi za mzee adi leo sikuoni why
@cyrusdemore31802 жыл бұрын
Ben mtalali
@shinipapaya8462 жыл бұрын
Anaitwa Ben Mwanantara tayari washamfanyia figisi eti kwakuwa yeye ni mzalendo na ni mpenda maendeleo 🤣🤣🤣🤣 ndio ujue baazi ya akili za watu weusi wezetu 🏃🏃🏃
@heritier51192 жыл бұрын
Mmetunyima watu haki ya kuvuka upande wa pili kwa kutuwekea fence bila kutuwekea makaravati ya kuvukia chini ya reli
@ken-ul2jg2 жыл бұрын
Eti Asilimia 97 point 03, the points killed me really😅, after 1 year watasema asilimia 97 point sufuri nne😂
@davidbenjamin67682 жыл бұрын
asilimia azijai tu🤣
@salehsimba53062 жыл бұрын
Nimetoa Jana hii reli kipande cha kwanza Dar to Moro kilitakiwa kianze Kazi 2021 mwezi wa 4 lkn nimeota mpaka karibu na uchaguzi ndio it aanza kufanya Kazi. Nimeota kama sio 2024 bs 2025 mwanzoni.
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Mnanunua tren gan hzi
@starjay30522 жыл бұрын
dar dodoma wakati dar moro tu watu awapandi tren wasafili adi leo 🫵
@christianemil60162 жыл бұрын
Mkuu...,jitaidi kuishi ndani ya miyoyo ya waliokuwa Trc then TRL then Trc miyoyo yao imekufa......
@saidibalagwila84962 жыл бұрын
Kigoma lini
@jituakilimali152 жыл бұрын
Tuonyeshe na bwawa la Umeme nasikia nauye na makamba wamefanikiwa kusimamisha mradi ili wakajenge bandari bagamoyo
@greysonmheni51762 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mmarandu24172 жыл бұрын
JPM REST IN PEACE, A MAN OF ACTION NOT MERE WORDS.
@danielandrew98922 жыл бұрын
Lengo lenu nimegundua mnataka mpaka mkamilishe kipande cha Moro Dom ndio treni zitafika
@abubakarharuna67122 жыл бұрын
😁😁
@greysonsahani26192 жыл бұрын
Tunataka treni zitembeee
@rommelmauma58722 жыл бұрын
Swali bado lipo pale pale. Kwa nini tunang'ang'ania kununua au kukodi *mitumba* ya mabehewa badala ya mapya kutoka viwandani [Korea Kusini na China]? Kuna habari za mwanzo zilizoandikwa na gazeti la *The Citizen* la Tanzania na kurudiwa na kijarida cha *Africa Intelligence* kwamba serikali kwanza ilikataa Kampuni ya Uturuki kutuuziwa hiyo mitumba ya Kijerumani. Na kwamba Kampuni hiyo ya Uturuki ilikuwa inaandaa kesi ya kutushitaki katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi. Lakini sasa serikali imekubali kununua au kukodi hiyo mitumba kwa hoja kwamba hata kama ni mitumba *mitumba ya wenzetu hasa Wajerumani* sio michakavu kama hisia tulizo nazo kuhusu neno *mtumba*. Je, habari za kesi hiyo ni za kweli? Kwa nini tusingoje moja kwa moja tununue mabehewa mapya kwa reli yeti mpya? Je, tuliogopa kushindwa mbele ya Mahakama ya Usuluhishi?