sarafina you are a star...I predict that..you are a girl to watch..your voice is amazing...my dia girl one day am gonna buy your album...more love from Kenya.. I agree with madam Rita you have all the quality of a star
@agathanyondo93846 жыл бұрын
Kama unasikia makelele kuliko muimbaji like hapa
@beatriceclemence21996 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@happypa20274 жыл бұрын
😅😁👌
@barnabasmalima48236 жыл бұрын
hongereni kwanza kabisa majaji kwa namna mnavyopendana na mnavyofanya kazi mama na dada yangu madam Litha god may bless you unajua nimeangalia machozi yamenitoka hivi km c wewe hivi vipaji vingefia wapi nice nice and sooo nice.no hao wanaofanya festivals.fiesters wengekuwa wasaniii wao wanapafumu namna hivi ingekuwa safi sana kulikokuwaimbisha au kutuimbisha hongereni sana sana nice show duuh top 5 Kali sana ya bongo star search tangu niangalie Bss
@barakafrancis75236 жыл бұрын
Good Dada unajua kuimba Kwa kweli nimeielewa shoo yako respect sana kwako
@ezekieliezekielimelekizede51205 жыл бұрын
Kama umemuona juma sharobaro gonga like
@ssur57976 жыл бұрын
Unasauti nzuri ya kuimba lkni hpo salama atkosowa to mna ktulia na yupo makin na kukutizama dada kazi nzuri mydear 😘😘
@edsonteri44896 жыл бұрын
Nakumbuka shoo yetu ya fainali bss ya kwanza 2008 tena tulikuwa hatuna wadhamini ilifanyika daimond jubilee hall kingilio elfu10 na ukumbi tuliujaza mshindi aliyetuongoza jumanne idd wapili lea muddy nikilinganisha na shoo hii ambapo ni miaka10 sasa nisiwe mnafki bss imeshuka kimsisimko yaani haivuti watu kama wakati ule yaani hata washiriki ulikuwa unajiuliza sasa hapa atatoka nani abaki nani
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Kipindi kile watu walikuwa wanajua sio.kama sasa mtu anaimba ma flat hivyo eti ndio mshindii hawa majaji wananiangusha sijui wnangalia nini..Ngoja tuone ataishia wapii..
@sir_ENOCKMACHA6 жыл бұрын
Nyie hamjui kitu vijana wanaimba sana achen upuuz wenu
@rodricklwamayanga61546 жыл бұрын
Nakukumbuka sana kijana
@andrewmachibya31706 жыл бұрын
ama kweriii kwanzaaa miii nimekuja xhangaa nakutananayo youtube tuuu leo lkiniii enzi zleee nilikuwa nafutiliaa mwanxo mwixhoo na mara yangu ya mwisho kufuatilia nafikiri ilikuwa 2009 cjui anachukuaa paschal cassian duu ikikuwa tamuuu kweriii raia walimwaga pesaa jukwaaniii mpkaaa xhidaaa
@badimusa6946 жыл бұрын
Bss 9
@husnajohn74666 жыл бұрын
Hawa mademu wa hip hop wanatokea kaskazini pekee kingereza kilipo asisiwa
@vicentbasigaza81006 жыл бұрын
Daah asee saiv watu wana ukakasii mifukoni hata hawTunzi ovyo ovyo miaka ya nyuma apoo angeoga mihela
@zakariageorge86576 жыл бұрын
Si unaona watu wenyewe wachache sio kama miaka iliyopita
@allykassim98266 жыл бұрын
vinny cente hahahahahaha. Vyuma babaa
@laymapeace45386 жыл бұрын
majaji wa BSS nawapenda sana mnaijua haki ya mtu sio wale wanafki wa jibebe is
@hamisimnyeheri21556 жыл бұрын
Huyuu dem ni mkali sana tusubirieni tusker project fame ni all east Africa huyu dem atafika mbali
@Dymitri-Babushka.6 жыл бұрын
Hicho kizungu ni kigumu ,afadhali angeimba kiswahili diamond na wasafi group waelewe
@suzansteven75615 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jongojongo93886 жыл бұрын
ushakuwa maarufu karibu kwenye urimwengu wa kukaa uchi
@theafricanprincevivecongo86326 жыл бұрын
Jongo Jongo 🤣🤣
@waziriislam24556 жыл бұрын
Jongo Jongo KWELI KAKA
@nyangimarwa80236 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa
@zaitunimkali38186 жыл бұрын
Jongo Jongo 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
@dorajuma55486 жыл бұрын
Jongo Jongo 😂😂😂😂
@focustz44086 жыл бұрын
hiv yure wazir alie sema nyege kilipu yake bado tu mjaipata alisema kipindi wanasubili ndege ya Tanzania
@eddyeddy29076 жыл бұрын
Kama kuna alyemuona Juma Sharobaro anyoshe kidole juu
@agnesskabalika97286 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@hamzamohd99804 жыл бұрын
Ongera
@aminimunisi32334 жыл бұрын
Dogo janja natamani na mimi ningekuwepo nimpe japo ata 5000 sarafina ana karama aigizi
@nabiilikhamisi74585 жыл бұрын
uyo masta jeu mbaguz tu kwa kuwa kamuona Hamis hana kitu ndio maana alikuwa ana myanyaa paa tu
@maxirodrigez29086 жыл бұрын
Katoto kikwetu Mwanza💗
@ramsojimmykelly33796 жыл бұрын
Kilichobaki tusubirie vituko vyake na picha za uchi
@zaynsalma34666 жыл бұрын
Boya we nimechek kwa saut
@theafricanprincevivecongo86326 жыл бұрын
Ramsojimmy Kelly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@amourabbas23066 жыл бұрын
Ramsojimmy Kelly exactly ilo ndio tatizo kubwa la wabongo
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Na hawa wanaoitwa washidi huwa wanapoteleaga hapo hapo hatuwaoni tena sasa sijui wanashinda au wanapewa kazi kweli kwelii.Kama yupo aliyeshind Na Bado yuko on Fire Sijui wote potelea mbalii kabisaa..
@officialhauzimi6 жыл бұрын
@@africanhappyadventure6951 yupo kayumba juma mshind wa2015 na anafanya poa tuu kweny industry
@msemakweli96266 жыл бұрын
nilijua huyu mshindi toka namuona mara ya kwanza
@aishakilangi7174 жыл бұрын
Mwanza xo proud for saraphina j
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
Dada yupo vizuri asee👏👏
@privinusdecroshan1356 жыл бұрын
Team mwanzq
@juliusyohana35435 жыл бұрын
nmependa dada upo vzr piga kolabo na dogo janja
@sungula1006 жыл бұрын
Ivi huyu ni mshindi wa ngapi toka kanda ya ziwa? namkumbuka Misoji Nkwabi, namkumbuka Paschal Kasian, .... Kuleni Sangara na Sato jamani, nafikiri wanasaidia!
@nabiilikhamisi74585 жыл бұрын
Hakuna kama hamis nyinyi wanaguz tu hasa mastar j
@juliusdeogrtius61996 жыл бұрын
Kama nimemuona juma sharobaro
@magrethlawrence15236 жыл бұрын
Julius Deogrtius hata mm
@mansooronlinetv5356 жыл бұрын
Duuh
@brudatv35396 жыл бұрын
Yuko mbele kabisa
@annajohn43216 жыл бұрын
Julius Deogrtius yupo na mim nimuona
@neyjoe89266 жыл бұрын
Ata mm
@djmeza411a586 жыл бұрын
Uyo stephane ameisha pita akuna Cha kula au Nini I see star
@emanuelmushi68785 жыл бұрын
Kinachoshangaza wanaoshindwaga hapo ndo wanaotoboaga ktk ulimwengu wa mziki wanapoamua kupambana mtaani'Like harmonize) AF washindi wa Bss wanaishiaga hapohapo bss: ndo utagundua kua unakazi ya ziada ya kufanya ili kipajichako kilete mafanikio:
@georgefrancis86866 жыл бұрын
Hamna msaanii hapo wanao jua Washa mwagwa nyuma huko angalia walio pewaga mwanzo wako WAP bhn hawa hiz tuzo za mipango BG up sana harmonize kwa kutoboa wcb hawa wakandamizaj kama fiesta???
@fredrickipembe62775 жыл бұрын
Oky brother
@maryamsalum18306 жыл бұрын
Yaaaaan huyu dada Angechukua KablA ya Final mAana mh SaraFina Hot
@muttaadrolph61625 жыл бұрын
Izo hair zako ni rasta au nin maan daily izo izo
@cedricnitunga4686 жыл бұрын
eti Mwanza NY nikadhani New York kuna mahali panaitwa Mwanza kumbe ni Nyegezi😂😂😂 Basata wametisha bwana
@amanlenatus90676 жыл бұрын
HAYO MA FLAT NDO YA USHINDI MAJAJI NI HOVYO TUUUUUUUU
@aminapatrick58836 жыл бұрын
Uko wapi kaka yangu
@juniorsmart24836 жыл бұрын
Aisee!term hii mlikosa kabsaaaa!hakuna lolote
@extramen55346 жыл бұрын
Salama uzee unakustend sasa
@raybrankxbalozi36846 жыл бұрын
She made it
@zenassylvester1256 жыл бұрын
Nice one
@achi_raymond6 жыл бұрын
Saraphina michael bongo star search 2018 Winner mshindi
@allykassim98266 жыл бұрын
Good perfomance
@OmanOman-hr6cb6 жыл бұрын
Mbona nasikia kelele
@youngdady79016 жыл бұрын
Dada anaswaga huyo
@piarajaneth60306 жыл бұрын
Hapo ni haki yake kabisa kuwa mshindi
@benardmartine2446 жыл бұрын
Rock city talents
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Benard Martine rock city
@dicksonulotu97176 жыл бұрын
Safi sana una haki ya kuwa mshindi,Bgup
@georgefrancis53786 жыл бұрын
Sara ni kipaji harisi..
@ayoubgabriely65176 жыл бұрын
sarafina anajuwa
@magrethmhoha16306 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rnOph5WYqbt7Z7c diet ya mayai siku saba kupunguza zaidi ya kilo nne Fungua link 👆
@dechemisttv50646 жыл бұрын
Talented🔥🔥
@masoudabdi60766 жыл бұрын
lovely
@florencegregory89326 жыл бұрын
Sidhn km mnazingatia kura za watanzania
@innojoowzey69136 жыл бұрын
Super hero 🔥🔥🔥
@ToyTz6 жыл бұрын
uyu dem.jini
@nasramsami34106 жыл бұрын
Mhhh huyo mbn anapaka lipshen
@officialhauzimi6 жыл бұрын
Jomon ntaipataje hii video
@ruqiaothman31126 жыл бұрын
Katokea nyegezi huyo
@deborahalyoce21786 жыл бұрын
hahahahahaha nice one
@arafazakir41506 жыл бұрын
Mmecheka MASTER J asa mjinga 😂😂😂😂😂
@zaitunimkali38186 жыл бұрын
Nyege nyegeziiii
@abdulrahmanibrahim62836 жыл бұрын
Ntafute ww +97450580766
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Kazi ngumu kweli kweli
@mohamedsadiki15756 жыл бұрын
kufik apo simchezo mwamb
@emlongetcha886 жыл бұрын
Kazi ngumu?? Acha utani!! Kuimba nyimbo ya mtu🤣🤣🤣 Sijui alietunga tumwambieJe😆😅😂🤣
@musicworldwide26256 жыл бұрын
Kabebwa
@mbodzebemasika74776 жыл бұрын
sarafina ni faida ya Nchi wallai
@rigalugano87916 жыл бұрын
Abo janatizma wamesomea wapi mziki pumba tuu
@merveillekianga88884 жыл бұрын
Mevreille
@merveillekianga88884 жыл бұрын
Max
@hafidhdrogba18136 жыл бұрын
Akunalolote jau kabisa
@mwisakihaji37826 жыл бұрын
Tatizo hawafiki kokote wanaishia hapohapo Bss
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
We bwege!dogo Janja yupo wapi?
@jurmainezaidi7396 жыл бұрын
We nae anaemwaga pesa ni nan kwan??!
@aminapatrick58836 жыл бұрын
Hatujui mm na ww
@aminapatrick58836 жыл бұрын
@@jurmainezaidi739 pow
@EdwinMrope6 жыл бұрын
NIFWATE HAPA
@featurebillionaire54646 жыл бұрын
Kwani wauza nguvu za kiume bado hawajacoment
@kulsweetmatanda45936 жыл бұрын
Wako insta tu
@frankphilipo84136 жыл бұрын
Poa
@vickymmasi26186 жыл бұрын
jmn tuekee yote
@aboubakarmassooud69086 жыл бұрын
Huu wimbo unatakiw kuwepo mtaan sass
@FatmaFatma-kt1or6 жыл бұрын
Nc
@hollontugwa4176 жыл бұрын
Safi sana salaphina
@topandbesttalents96996 жыл бұрын
Boers and weird!!
@AliBaba-zb3tg6 жыл бұрын
Madam rita hii nywele na sura yake utafikili Embe mawazo mxiuuu
@dotomohd91566 жыл бұрын
Mbavub2 embe mawazo ndio ipoje hiyo
@agnesslukanyanga97426 жыл бұрын
Nimecheka sana
@halimahalima91336 жыл бұрын
Ata c uongo ni vituko2 na picha za uchi
@barnabasmalima48236 жыл бұрын
hongereni kwanza kabisa majaji kwa namna mnavyopendana na mnavyofanya kazi mama na dada yangu madam Litha god may bless you unajua nimeangalia machozi yamenitoka hivi km c wewe hivi vipaji vingefia wapi nice nice and sooo nice.no hao wanaofanya festivals.fiesters wengekuwa wasaniii wao wanapafumu namna hivi ingekuwa safi sana kulikokuwaimbisha au kutuimbisha hongereni sana sana nice show duuh top 5 Kali sana ya bongo star search tangu niangalie Bss