MSIGWA "SIMBA WANATAKIWA KULIPA HARAKA UHARIBIFU UWANJA WA BENJAMINI MKAPA/HATA YANGA WAMEWAHI"

  Рет қаралды 14,020

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 7 сағат бұрын
Simba mashabiki siyo hao waivaa jezi pendwa ila ni mashabiki wa team nyingine
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 3 сағат бұрын
Sasa hizo pesa mulizo pewa ndio mutajalizia nyengine mulipe 😂😂😂
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 6 сағат бұрын
Ni kweli kabisa Ushabiki umekuwa mwingi sana katibu
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 4 сағат бұрын
Mliokua mnabweka kua simba kaonewa kulipa mumesikia sheria hyo? Sasa bado CAF na wao wataongea kwa maana mechi ikichezwa kwako mwenyeji ndo muhusika wa ulinzi juu ya hyo mechi kwahyo SIMBA wameshindwa kutoa ulinzi kwenye ile mechi. Kwa mashabiki vichwa maji hawawez kunielewa
@RamadhanyKhamis
@RamadhanyKhamis 5 сағат бұрын
Tutumie uwanja wa kms kwenye mashindano uwanja wa serikal utumike kwa ajili ya timu ya taifa2🙏🇹🇿
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 5 сағат бұрын
Nimeamini kweli simba na yanga ni kubwa kuliko serikali
@josephvenus3259
@josephvenus3259 7 сағат бұрын
SIMBA HATUNA BAYA, HATUWEZI KUVUMILIA VITENDO VYA KIPUMBAVU KAMA VILE, SISI HATUWEZI KUWA KINYONGE KAMA VILE. MNAWATETEA SANA WAARABU NYIE. ALAFU MWANDISHI WEWE NI YANGA KABISA
@assadyabdull5146
@assadyabdull5146 6 сағат бұрын
Sasa umeongea nn yaan
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 3 сағат бұрын
Sasa kujibu mapigo ilikuwa lazima mng'oe viti?
@AbubaMuhamedAbuba
@AbubaMuhamedAbuba 5 сағат бұрын
Pamoja na yote polisi nao hawakuwapo uwanjani...vurugu zisikuwapo. Polisi. Wapo nje kwenye magari
@AbubakarPatrick-q1z
@AbubakarPatrick-q1z 3 сағат бұрын
Tutalipa hakuna shida
@WilfredChuchu
@WilfredChuchu 6 сағат бұрын
Walipe hao maana wanahujumu nchi
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 9 сағат бұрын
Umewakomesha walifikiri Mtatukomowa wapate hadisi
@jamesmwenewanda5578
@jamesmwenewanda5578 8 сағат бұрын
SSC walipe faini na wawatafute walioharibu, wawapeleke mahakamani na wawe-prosecuted according to the letter of the law. What is law if you don't enforce, enforce it na serikali ionyeshe mfano kwa wote wenye fikra za hooligans. Enforce, nyoosha mkono wa sheria FULL STOP.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 сағат бұрын
Kwani waziri mamlaka yake yanavunja mipaka yanchi?
@IbrahimBinbenya
@IbrahimBinbenya 4 сағат бұрын
Hapa yanga tumehusika na nini
@AzizaShemliwa
@AzizaShemliwa 4 сағат бұрын
Nchi yetu bana hebu muwe upande wa wananchi wenu kidogo hao waarabu nao mtawakamata walioanza kuvunja viti na watanzania wenzenu walikuwa wanapigwa ilibidi wavumilie au??
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy 9 сағат бұрын
Nimekuelewa
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 7 сағат бұрын
Sisi Wana Simba Hili jambo tunalifuga sisi wenyewe, Kwan Kuna watu wanajifanya mashabik wa Simba kumbe sio kama Akina mchome, wanavaa jez ya Simba nakumbe sio wanasimba Sasa watu kama hao wakinaswa kwenye camera hamuon kama atakaehukumiwa ni Simba? Tubadilike tuanze kukabiriana na watu kama hao Akina mchome
@vicentjosephat6501
@vicentjosephat6501 2 сағат бұрын
Serikali hapo mmejichanganya,mbona mnawanyanya wanenu,kwani simba iko nchi gani? Basi wakodi kenya uwanja.mapenzi tu hayo,msingewapa zile pesa muwambie tumewakata kwa uharibifu.
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 51 минут бұрын
Kenya njaa Kali hakuna viwanja kuna uchafu
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 8 сағат бұрын
Simba wenyewe waling'oa viti. Hakuna haja ya kuwatetea. Walipe
@michaelkaphipa4354
@michaelkaphipa4354 6 сағат бұрын
Bwege kubwa wewe.... Team iliyoshinda itaanzaje kufanya fujo? Acha ufala wewe mshinzi mmoja
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 2 сағат бұрын
@michaelkaphipa4354 fala nyinyi tabia ya Kung'oa viti imewajenga sana mgeni anan'goa viti na nyinyi mnamuiga vichaa sana nyinyi
@Boniphacetz-w9x
@Boniphacetz-w9x 9 сағат бұрын
Tuna milioni 10 za goli la mama mcjali tutalipa au hyo haitoshi
@hindusullu3900
@hindusullu3900 8 сағат бұрын
😅😅😅😅
@LatifaIssa-q4x
@LatifaIssa-q4x 5 сағат бұрын
😂😂😂
@KhalidMohd-n4q
@KhalidMohd-n4q 6 сағат бұрын
Milioni 10 kampe.mama.ako kwa ujinga wetu simba mulipe wajinga sana
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 8 сағат бұрын
Mm nasikitika tu na taarifa iliyo tolewa tena official na jeshi la polisi kwamba ni wageni ndio walioharibu na kuvunia viti picha zimevuja zikionyesha ni simba ndio wamevunja viti polisi wamekaa kimya😆😆.... Mm nashauri tu jeshi la polisi liwe linatoa taarifa baada ya kujiridhisha sio kusikiliza viongozi wa simba na viongozi wa TFF wale kina walensi kalia na mwana FA wote ni makolo lazima waitetee simba
@MgazaMhina
@MgazaMhina 6 сағат бұрын
Police wako sawa wao wanaangalia chanzo cha tatizo
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 6 сағат бұрын
@MgazaMhina ile barua waliyotoa ilisema chanzo au ilisemaje kuhusu viti?
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 3 сағат бұрын
Sasa hizo pesa mulizo pewa ndio mutajalizia nyengine mulipe 😂😂😂
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 17 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 81 МЛН
DUNIA (Ep 31)
23:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 44 М.
В Москве убит начальник войск химзащиты РФ
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 70 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН