mtu mzima ata ashike shoka hadharani hawezi kukata gogo❤🔥❤🔥❤🔥
@johnrichard5482 Жыл бұрын
Hii Ngoma Yote Ni Ya Moto 🔥🔥🔥🔥 Yaani Kuanzia Chorus Mpaka Verses ZOTE Ni PUNCHES...✍️ Mwanzo Mwisho 🎧🎤🎵💥💥💥💥💥💥💥💥💥 MUCH RESPECT TO #Youngkiller #Kontawa #Stamina na #Rapcha 👏👏👏👏👏👏
Hapo ndyo utajua marapa wanatembea vp na puch line hamna kelele bint haiisikii sana unasikia miamba inaongea nn na wana wa mitaa . Big up sana kwa msodoki kwa kutupa hip hop og yenyew
@johnrichard5482 Жыл бұрын
@@JaymbwanziOg Ni Hatari Yaani BITI Lina Mfata Rapper Na Sio Rapper Kufuata Biti...✍️
@mrsinia3064 Жыл бұрын
@@johnrichard5482😂😂😂
@johnrichard5482 Жыл бұрын
@@mrsinia3064 Sio Poa...
@SethMunisi11 ай бұрын
Mpemba naomba chps kaki na mishkavu kwanza nijenge shavu,,,like zangu hapa
@bigkakameshack8066 Жыл бұрын
Any song with Stamina and youngkiller is always a hit before you listen to it🔥🔥
Watu wamelinda vyeo sana humu ndani..collabo imesimama
@kadmc9124 Жыл бұрын
Young killer u remind me verses za mwsho kwenye "tungo" . Stamina remains a dude, killer killed it. Rapcha + kontawa ❤❤
@eliudytafawa4648 Жыл бұрын
Collabo yaa mwaka Wote mmeitendea vyema ngoma.. Ndoa ya kochi🔥🔥🔥
@youngrapaboy Жыл бұрын
Ata mlango wa fahamu unahitaji funguo😂
@shagarbycash9549 Жыл бұрын
Hip hop ya kweli...huu ndo mziki sasa
@majorcrazy1988 Жыл бұрын
Muunganiko wa maana, respect to this collaboration
@rahatv5299 Жыл бұрын
Bila unafki wote mumetisha🔥🔥👍 hakuna mnyonge🚶gig up
@amissisumaili9995 Жыл бұрын
Nakukubali young 🤝nakufatilia kutoka🇨🇩
@kelvinmacha813 Жыл бұрын
Ukichoka kuumia haujakua Makini Rasta🎉🎉
@Kilifianoxy254 Жыл бұрын
🙌🙌hapa mmecheza kama nyinyi wakuu Leo from 🇰🇪❤️🔥🙌
@TheIC3KR3AM Жыл бұрын
Una love kubwa sana Y Killer . This is more than love. 🇹🇿
@demask3423 Жыл бұрын
StAmina nlikuwa nshaAnza kukukatia tamaa ila umeniprove wrong Apa🔥🔥
@Kiswaking Жыл бұрын
Young killer una vitu vingi sana 🙌🙌mistar Yako chakula Cha ubongo 🙌🕯️tunainjoy kwa kifupi.......
@yombokasonga8161 Жыл бұрын
Kabisa
@SteveTegemea-fj6de Жыл бұрын
Unyama Mwingi..!!!! Rappers WANGU Hawavimbi Maana Nna Dawa ya kuchua!!!!Oiiii!!Stamina.......Ngoma Kali Sana Kila Mmoja Kaiwakilisha Vizuri..Ila Kosa Kidogo Tu Wamembania Sana KONTAWA Kwenye Chorus...Baada ya Verse ya Stamina Angepiga chorus Au Angemalizia Ila Big Up Hip Hop Tz ....
@kawimmullah Жыл бұрын
Wanangu wote kwenye daladala Moja,.... dereva msodoki this song is a killer🔥🔥🔥🔥rep. Kenya ❤❤
@barakalyimo1581 Жыл бұрын
sure
@munywoki2549 ай бұрын
Young killer mwanza mwanza💯
@stephenkianga6643 Жыл бұрын
Best collaboration so far
@IddyZuber15 күн бұрын
Kwel ww msukuma mjanja nakukubari sana
@lucaskanyamaha4885 Жыл бұрын
Rapcha you killed it💥😬😬😬
@JamalOthuman-ko5nl Жыл бұрын
Ndani ya uwezoo toeni mawazo alf usikaze msuli kama upaja wako mdogo💪💪💪
@fadhilmwami1478 Жыл бұрын
Leo wamelipuka, wamepita sheli waka-smoke 🔥🔥
@fabianmachele89 Жыл бұрын
Ukipima ni oversize kama jeans ya Mgunda @stamina 🙌🙌
@revocatusmtahaba9955 Жыл бұрын
Jeans ya mgunda ni hatari lakini😂😂🙌🔥🔥🔥
@SamwelSebastian-e7w Жыл бұрын
wanang rapcha ataftiwe kiti akae asee sema baba baado baba mwanza ndo city
@tellodelucky6864 Жыл бұрын
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤❤