Hii nyimbo ni historia ya kweli kabisa. Huyu alie imbwa hapo anaitwa Masunga au mama ngosha alikua anakaa kipawa kalibu na uwanja wa ndenge ambapo kwasasa kumevunjwa na kujengwa uwanja wa ndenge. Mwaka 2005 Masunga Alifaliki na alizikwa makabuli ya kalakata
@Mwajeyrume Жыл бұрын
Yooo papaaa
@gordonkadege5 ай бұрын
Goma linanikosha mizuka Arabia fadhili
@wilkinsonndigajustus332 жыл бұрын
Heko msondo ngoma
@D_n_football5 жыл бұрын
Favorite band
@D_n_football5 жыл бұрын
My favorite song
@andreaa.nyundo83334 жыл бұрын
Nakupenda lakini wifi zangu eee ni hatari, kibaya zaidi pale wanapovaa kanga za mafumbo kama vile sina kwetu.
@shabanimussa64153 жыл бұрын
Y6 66
@allymazige9642 жыл бұрын
Hadi machoz yananitoka msondo Ngoma my the best band of music in Tanzania
@michaelmwakeja4303 ай бұрын
@@allymazige964 wimbo wenye ujumbe sahihi cha kale ni dhahabu