MSWAHILI : MUME ANAPIKA KULIKO MKE WAKE/ WANASEMA NI LIMBWATA LIMEHUSIKA

  Рет қаралды 37,455

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 127
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 3 жыл бұрын
Yaan baba shebi hongera kwa wazazi waliokuzaa na kukulea vyema pamoja na kukufunza ukawa mwanaume bora kwa mkewe
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Ukiona mwanaume anajua kupika' mafinzo alipata kwa Mzazi wake. Hongera kina Mama wetu duniani. Hakuna limbwata hapo' watasubiri sana.
@dottokulwa9145
@dottokulwa9145 3 жыл бұрын
Mungu wazidishie Amani na upendo wazazi wangu
@dj26number2
@dj26number2 3 жыл бұрын
Safi sana Baba Shebi na Mama Shebi na mmbarikiwe🤲🏾🙏🏽
@hamadali5062
@hamadali5062 3 жыл бұрын
Mashallah Allah. Haya ni mapenzi na kutafuta maisha
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
Mashallah Allah awasimamiye leo na kesho . waTzn wapenda kujudge hata ufanye nini utasemwa tu . wao wanashindwa kushirikiana km mke na mume wenzao wakifanya utasikia karogwa ndio tabia zao , nimuipenda hii couple na ukifanya kaxi na mumeo huna wasi wasi km yuko saa hizi yuko nyumba ndogo .
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
Aya ndo maisha kwakweli Allah abariki ndoa yenu
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
Ameen
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 3 жыл бұрын
Yaan inapendeza sana wawili wakishirikiana namna hii, yaan big up sana kwenu baba shebi n mama shebi. Mko busy kuitafuta riziki ya halal
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 3 жыл бұрын
Zembwela kipindi kimefundisha,kimeelimisha,kimechekesha na kufurahisha....Big up sana zembwela
@fahadfahmy
@fahadfahmy 3 жыл бұрын
hongera sana mzee hiyo ndio kazi yahalali.
@kadulathumani7517
@kadulathumani7517 3 жыл бұрын
Kipindi chako kizuri na kina mafundisho mengi tu ndani yake. Kweli generation yetu ni ya mwisho kukaa kwenye mbuzi kukuna nazi. Busara tu malezi yetu Alhmdulillah
@calacoswailer629
@calacoswailer629 3 жыл бұрын
Zembwela kama Zembwela salute!!! Hongera Kaka kwa kuwa mitaani.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Awesome mashalllah mashalllah mashalllah 👌🏽
@abdallasaleh2303
@abdallasaleh2303 3 жыл бұрын
Mashallah Allah awabariki wazee hawa mama shebi na baba shebi maisha yenu mazur sana.
@dayana5513story
@dayana5513story 3 жыл бұрын
Mapenzi si vita l love this couple ☺️
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 watu ss hiv full kuchoma nyumba tuu
@sirmwangangi4497
@sirmwangangi4497 3 жыл бұрын
Shabiki mnene wa shoo hii ya Wasafi Tv na Zembwela kutoka Kenya. Napenda sana, kwanza, upendo walionao Baba na Mama Shabani kwenye kazi yao. Wanaifanya kwa dhati na moyo wa umoja, kwa kweli nimewaonea fahari sana na wanavyopokezana shughuli nzima ya kazi yao hii ya mapishi na kukubali hali yao kama baba na mama lishe. Asante sana Zembwela kwa kazi nzuri unayoifanya, aisee nimejifunza mengi kutokana na makala haya. Masha Allah, Mungu na awazidishie hata zaidi baba na Mama Shabani kwenye kazi yao
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 жыл бұрын
Masha Allah mabrook baba shabani na mama shabani,wa LLAHI nimependa ndoa yenu hadi naiyonea choyo ,masha Allah
@faridaiddi104
@faridaiddi104 3 жыл бұрын
Zmbwela na baba shebi mmefunika thanaa 🤣🤣🤣 kukuna nazi kwahitji ujuzi Big up💪💪💪👏🤛🤛🤛🤣🤣
@salmahamza3614
@salmahamza3614 3 жыл бұрын
Asante kwa kipindi kizuri sana, hongera Baba shsbsni na mama shabsni, ningependa kutoa ushauri, watumie ndoo za chuma( bati) ndoo za plastik sio nzuri kuchemka na katika maji ya moto, inasababisha ugonjwa wa saratani.
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 3 жыл бұрын
Hawa watu ndio wamepandishiwa miamala kweli duh serekali imejifunza kitu kweli apo,watu wanatafuta kwa jasho sio nyinyi mumekaa bungeni mnawaza upuuzi tu
@lengejohn8083
@lengejohn8083 3 жыл бұрын
Kweli wengine wana ka tu kuiba sasa awa nijasho yawo kweli
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 3 жыл бұрын
Nimempenda Sana baba sheb mama sheb anabahati kapata mume pambeee👌👌👌👌👌
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Mapenzi yao imebarikiwa
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Mashallah family 👪❤iyi family ni 1allah awazidishiye kwakweli amazing
@flavianchuwa4370
@flavianchuwa4370 3 жыл бұрын
Wallah nimependa sana 👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 3 жыл бұрын
Dah sisi nyumban tumezaliw wote wanaume Kwaiy izo habar z kukuna nazi kawaid t
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 3 жыл бұрын
Kizaz cha watoto wa 2000 ni balaa . Binti hatak kufanya kazi na mume mtarajiwa. Wakat baba na mama wanafanya kazi pamoja. Sema sio kesi Big Family
@faridaiddi104
@faridaiddi104 3 жыл бұрын
Mashaallah sio wanaume wa kiswahili isiyojuwa life ikifika office ya wakezao inanuna yaani umaskini ndio wanaupenda wivu kwenye kutafta ni dhiki tuuu lkn nyie wapendwa mbalikiwe sana ndoaynu idumu maisha kusaidiana na mungu azidi kuwapa maisha marefu afya njema na Baraka tele 🙏
@sankofaman4112
@sankofaman4112 3 жыл бұрын
Big up sana zembwela kwa kazi nzuri. Haya ndio maisha yetu!
@hassansalam5920
@hassansalam5920 2 жыл бұрын
Mashalha Alha Awajarie Kazi yenu Yaa Halali Amin
@maryamsaid6534
@maryamsaid6534 3 жыл бұрын
MaashaAllah MaashaAllah TabarakaAllah TabarakaAllah Baba shebe
@deejeydaev
@deejeydaev 3 жыл бұрын
I liked the babalishe , total confidence , totally experienced,
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mashallah Mungu awazidishie mwisho mwema.
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 3 жыл бұрын
Hao hata vizazi vyao vitakuwa sio vile vyakuchomana moto getto wallahi mpaka Raha.. 😂
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 Жыл бұрын
Kabisaa
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
Mashaallaaa ndoa yenu iwe yakheri nabaraka
@nicholausmwakalobo484
@nicholausmwakalobo484 2 жыл бұрын
Daaaa! brother umefanya kitu cha tofauti sana Zembwela, hadi Camera man kuja infront huu ni ubunifu mkubwa sana
@shumbanahafidh4304
@shumbanahafidh4304 3 жыл бұрын
MashaaAllah hard work family
@allytv6448
@allytv6448 3 жыл бұрын
Nimependa familia hii
@bdwel08705
@bdwel08705 4 ай бұрын
Napenda mama shebi na baba Shebi sana , hongera sana
@Siasia209
@Siasia209 3 жыл бұрын
Baba sheby mwanaume na nusu na mkewe pia pambaneni kutafta rizik ya halali
@florachrist9602
@florachrist9602 3 жыл бұрын
Jamaniii jamn Mungu hawa wanaume kama hawa atakuolewa naolewa hat km hana pesa uwiiiu
@busta_malik5971
@busta_malik5971 2 жыл бұрын
Mi nipo hapa 👆👆😂
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 3 жыл бұрын
Daah nimeipenda Sana hii family jamani kila mmoja aige mfano apo
@rehemambito7989
@rehemambito7989 3 жыл бұрын
Cheka tu ulikuwa serious sana kumbe huku ndio huwa kuna kuchekesha😂😂😂today I see how you laugh😂😂😂
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Nimeipenda show Leo daaah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Nmeipenda hii familia ya wapambanaji
@impeccable6974
@impeccable6974 3 жыл бұрын
It's something very interesting ,nimependa sana maisha haya ni ya furaha
@anoldmanamba759
@anoldmanamba759 3 жыл бұрын
Utajuta kusomea camera😂😂😂😂😂😂😂😂
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
Wasafi mm napenda kipindi cha huyu mwamba tu Zembwela
@biubwaalbahry4094
@biubwaalbahry4094 3 жыл бұрын
I like it Zembwela unavoishika hio nazi
@maumaulid1452
@maumaulid1452 3 жыл бұрын
Safi sana kipindi kizuri sana
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 3 жыл бұрын
Dah Yani nimeimisi nyumbani kweli Ubwabwa na marage nyama kwa mbaali
@lengejohn8083
@lengejohn8083 3 жыл бұрын
Wow that nice family GOD bless them all family
@deditocastorey6940
@deditocastorey6940 3 жыл бұрын
#Kifuu Nakimaliza Baba shabani😂😂
@habimanayasin4223
@habimanayasin4223 3 жыл бұрын
Jimbooo liko huluuu 😂😂😂😂😂 #zembwela Love from Rwanda
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 3 жыл бұрын
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 2 жыл бұрын
Baba shabani amefunzwa kweli kweli na wazazi wake
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
munafanya vizuri wenyewe munasomesha watoto wenu fresh hamna wasi wasi .
@jumabias4917
@jumabias4917 3 жыл бұрын
Nice couple
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 жыл бұрын
Jaman maharage ayo😋
@druumarley2159
@druumarley2159 3 жыл бұрын
Mashaallah
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 3 жыл бұрын
Hongereni baba na mama Shebi
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Wanaume km hao ndy wanatakiwa kwenye jamii
@ibrahimchatila4945
@ibrahimchatila4945 3 жыл бұрын
mama bhana sasa anajuaje km mzee anaishinda mitihani. Wkt anaenda mpk ndani.
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Nakubali sana hichi kipindi na namkubali sana Zembwela
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Nimependa kapo jmn
@shabanifp8711
@shabanifp8711 3 жыл бұрын
Familiya ya nguvu
@bdwel08705
@bdwel08705 4 ай бұрын
Baba Shebi na Zembwela mna ni furahisha sana
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Hii ndo kali kuliko Ile ya kwampalange
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Mzee wa KZbin
@nikyhassan9394
@nikyhassan9394 3 жыл бұрын
Maisha khalisi ya watanzania
@nininahazwepascalinemutoni4193
@nininahazwepascalinemutoni4193 3 жыл бұрын
Karibuuuuu 💞🇧🇮😘
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Hahahaha zembwela bhanaaa😂😂😂😂
@nasirikuzigile9228
@nasirikuzigile9228 3 жыл бұрын
Alafu baada ya miaka mitano mume anasema hamtaki mke ndomana mnachomwa moto🤣🤣🤣🤣
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Wewe muna mm nipo huku saudia ila nanyinyi mna shida
@mwanawetuamiri6747
@mwanawetuamiri6747 2 жыл бұрын
Zembwela unakuna Nazi vizuri Ila kidole hicho
@thirdkhalifa9146
@thirdkhalifa9146 Жыл бұрын
Tanzania is a happy place people just get along
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Si uongo, mimi mkenya na nawapongeza sana watanzania...kila sehem kuna amani ...
@fahadfahmy
@fahadfahmy 3 жыл бұрын
nani kaona Paka mweupe karuka 20:20
@najmasoudnaj8211
@najmasoudnaj8211 3 жыл бұрын
MashaAllah mabrouq 😂😂😂🥰
@bongomovieplanet2370
@bongomovieplanet2370 3 жыл бұрын
babu unapenda kitonga😂...nakukubali jembe
@FatmaAlly-x5h
@FatmaAlly-x5h 19 күн бұрын
Safi
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Hahahahhahah zimbwela alivo weka kidolee
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Kweli hii ni limbwata
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Wabongo mmekalili maisha viwanjani watu wanaishi hivyo nenda ata Kenya huone unashanga nini maisha sio poa
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@Mpakauseme so kenya tu waje Zanzibar waona mbona mambo ya kwaida tu kwetu mwanaume kukuna nazi kufua kupika kuchota maji kwenda sokoni ni kazi za mwanaume hizo mwanamke kazi yake ni kulea watoto na ndiyo Dini inavyo taka hamna libwata wala nini
@elsnyng6815
@elsnyng6815 3 жыл бұрын
Utajuta kusomea camera🤣🤣🤣
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Wewe zembwela ulipe 😁😁
@saumurashid5232
@saumurashid5232 3 жыл бұрын
Zembwela bhana unanichekeshaga
@stellamwakatulile3202
@stellamwakatulile3202 3 жыл бұрын
Safi sana
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mzembwela anacheka na aziweka ndani 🤣🤣🤣🤣
@abumoyo5341
@abumoyo5341 3 жыл бұрын
Maisha ya sasa n kusaidianaa ongeraa mjombaa a.k.a baba sheb
@bahatimtatah5680
@bahatimtatah5680 2 жыл бұрын
Zembwela hiki kipindi unakiwezea sana daaaah hadi raha
@shabanhamza6814
@shabanhamza6814 3 жыл бұрын
Mama na baba hao! Dah hadi raha
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 3 жыл бұрын
Nimeona mpaka paka mweupe daaahh kweli uko uswahilin aka kariako ndogo😅
@denistemba284
@denistemba284 2 жыл бұрын
Utajuta kusomea Camera..hahahaa
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Kweli uchawi upo.Sio mapenzi ni limbwata tu hiyo😁😅
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
libwata wapi wewe maisha uchukulie poa
@salumsaid8223
@salumsaid8223 3 жыл бұрын
mi5 mingine kwa zembwela
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Zembwela na vidole juuu 😁😁😁😁
@nestorymapunda3988
@nestorymapunda3988 Жыл бұрын
Mwanzo kipind nilikua siki elw.ila saizo ndo na elw.zembelwa nin.una.fany bigap.kwako
@calacoswailer629
@calacoswailer629 3 жыл бұрын
Hapa Pana darasa kubwa kwa vijana wa Leo.
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu muhimu kutoka kwa baba shabani
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 3 жыл бұрын
👍👊💪😎🇹🇿
@christophertz
@christophertz 3 жыл бұрын
#MTAANI_KWETU_USWAZI
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 жыл бұрын
😂😂😂😂Zembwela kudole icho cha mwisho
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 3 жыл бұрын
Kama anapaka Hina
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 3 жыл бұрын
Kutajuta kusomea camera
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 3 жыл бұрын
Vp hapo na weza pata ugali wa 200/=
@MwajabuOmar-nj2gb
@MwajabuOmar-nj2gb Жыл бұрын
Hapan
@zuberysewanga2605
@zuberysewanga2605 3 жыл бұрын
Wewwwwe
MSWAHILI: TAZAMA KIFAA KINACHOWASAIDIA WALEMAVU KUENDESHA GARI
27:19
LOKOLE NA ZA NDANI, NIITEBOSHEN MTOTO NI MALI YA JAMHURI
3:18
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,6 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 27 МЛН
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 28 М.
Staili Ya Kumridhisha Mwanamke Haraka Sana
6:00
Topten Tv
Рет қаралды 24 М.
UJIO_MPYA_WA_ORIJINO_KOMEDI___MPOKI___BROTHER_K___MASANJA_MAMA_IMA_
50:15
LIST YA MASTAA WA KIKE WENYE "TATTOO" NYINGI ZAIDI BONGO
2:11
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 337 М.