Jamani hiii kwaya nilikuwa sijui kama ipo dodoma kazi ninzuli Sana yakulitangaza neno la Mungu
@hellenaalliy650710 ай бұрын
MUNGU awabariki sana kwa uimbaji wenu nabarikiwa Sana kiukweli
@munuoisaack4184 жыл бұрын
Hiviiiii huyu Dada anajua kiwango cha sauti yake jamaniiiiiiiiiiii kweli Dada MUNGU akufikishe pale ambapo huoni na pale usipopajua ili kupitia sauti yako sifa zake zivume
@amosmchiwa56324 жыл бұрын
Hongera classmate wangu Wilson Hoya kwa kuifuata njia hii
@princes60453 жыл бұрын
Nice song May our Almighty God bless this choir especially this lady
@tamkohuru3 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi kwa huduma njema ya Uimbaji
@doublemtv90164 жыл бұрын
Sikuwahi jua kuwa kuna kwaya kama hii hongera kwa mwalimu anajua tunga nyimbo mwanzo hadi mwisho kapanga kwaya vzr kila mtu jamaa sehemu yake hongera nb msalato nimewapenda huu ni kwaya ya pili kuipenda tz mkiwa na shangilieni tumaini wa Arusha mbarikiwe sana karibuni mbeya
@tamkohuru3 жыл бұрын
🙌🙌🙌 Barikiwa
@patricklukas87585 жыл бұрын
Mungu haangalimwili kama waangaliavyo mwanadamu yeye huangalia moyo mbarikiwe maana mmesababisha niwe na hofu ya mabaya niyatendayo