Karibu utazame na usikilize wimbo mzuri wa Noel kutoka kwa Kwaya ya Mt. Joseph Baba Mlishi Magereza Tabora. Tafadhali usisahau kusubscribe, Kulike na kutoa Maoni yako! Karibuni sana katika buradani hii nzuri. Asante.
Пікірлер: 20
@MaikoAlex-t2p4 күн бұрын
Waoooh wapi mwlm fubusa😊
@BrigitherMichael2 күн бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri sana video nzuri japo nimepitwa kazi nzuri mungu awabariki🙏🙏🙏🙏
@mtjosephmagereza32532 күн бұрын
Amina
@nkindamyete38233 күн бұрын
Keep it up wapendwa saafi sanaa👏🏻👏🏻👏🏻
@mtjosephmagereza32532 күн бұрын
Asante sana
@fredrickfrestus16684 күн бұрын
Mungu azidi kuwa nanyi kazi nzuri sana
@mtjosephmagereza32534 күн бұрын
Amina
@EliutaProtas4 күн бұрын
Hongera sana wanakwaya kazi nzuri sana nimeipenda.
@mtjosephmagereza32534 күн бұрын
Amina
@MwajumaMabula4 күн бұрын
Wimbo mzuri sana💥💥🔥🔥🔥
@Hellenseverin4 күн бұрын
❤ hongereni sana Mungu aendelee kuibariki ,❤
@SuzanaMbanga2 күн бұрын
Hongereni sana,Mungu aendelee kuwainua katika huduma yenu wapendwa