🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya Yaibuka,Simba 1-0 Fc bravo,Simba hawakuijua bravo vizuri, performance mbaya

  Рет қаралды 4,131

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 3 күн бұрын
Simba.hawakucheza.vizur.jana.
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 3 күн бұрын
Simba.jana.hawakutufurahisha.hawakuwa.vizur.wachezaji.hawakucheza.vizur.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 күн бұрын
KOCHA WA VIUNGO JITAHIDI SANA KUWAFANYA SIMBA WAWE BORA.
@leonardnyange7152
@leonardnyange7152 3 күн бұрын
Eti wanafika zaidi😂😂😂😂
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 3 күн бұрын
chasambi.alikuwa.jana.hakuwa.na.kiwango
@leonardnyange7152
@leonardnyange7152 3 күн бұрын
12 kwa 26
@TegoRamadhan
@TegoRamadhan 3 күн бұрын
Awajui wakati walikuja kuchezà na coastal
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 3 күн бұрын
Kweli sasambi,nilijua anatoka,anaingia Budo,akajefa aingie mavambo,kibu asinge Toka,mapema,
@georgegregory8414
@georgegregory8414 3 күн бұрын
Hance ww yanga sisi tumeshapata point 3 tunasongaa mbele hatuitaji maelezo zaidi
@contempo_builders
@contempo_builders 3 күн бұрын
Naona leo Jemedri anapata kigugumizi kwa timu yake pendwa.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 3 күн бұрын
Umeanza mfatilia juzi Jemedari ndo maana unaongea hivyo , manara akiwa msemaji wa simba aliwahi sema moja ya maadui wa simba Wanaoichukia ni jemedari na wanasimba wajue hilo ,sku hizi kisa anaisema yanga anaitwa simba , kilichopo Huyu hupenda kutoa mawazo yake na hilo watz hawalipendi tunaanza wazulia watu
Yay😃 Let's make a Cute Handbag for me 👜 #diycrafts #shorts
00:33
LearnToon - Learn & Play
Рет қаралды 117 МЛН
MZEE WA UTOPOLO ASEMA ACHENI SIMBA ITAMBE YANGA HALI MBAYA
4:06
HAULE 24 MEDIA
Рет қаралды 20 М.