Simba vs yanga ni zaidi ya mpira na zimebeba hisia kuliko utashi. Dogo amejimaliza kimpira Simba SC kama taasisi itamtoa kwenye mipango yao,hope this will happen as soon as possible 😢
@franccoz9418 күн бұрын
AFUKUZWEEE HUYOO ,SIMBA HATUTAKI MAMULUKI,KWANI KIBU D HAWAJIBIKII
@AbdulNassir-k7m16 күн бұрын
Ila Hans nimegundua hamuwezi Geoff max ni midfielder na chasambi ni wing
@FeruleyWawi16 күн бұрын
Jamani tupunguze unafki nyinyi wachambuzi ni wachochezi wa maisha ya wachezaji haswa wakitanzania, aucho aliwahi kuulizwa kitambo akasema chama, Max akasema fei na aweso, Lakini kwasababu ni wageni amkuwachambua Chasambi mna mu atack sababu mzawa, Tuache roho mbaya haswa nyinyi wachambuzi. Msiharibu maisha ya watu sababu tu mna sehem yakusemea, Wageni wakiongea mna ufyata Wazawa wakiongea mnavalia njuga, Muacheni kijana acheze mpira.
@Adammwandambo15 күн бұрын
Aliulizwa kwa ujumla wachezaji wote hehe akasema wote niviazi hawanakitu ,,hakuulizwa eneo analocheza
@wilisonmikate165215 күн бұрын
Sio maeneo amesema tim nzima
@JonathanLuchemba15 күн бұрын
Chasambi aicheze game yoyote ya deb atatugarim kwanza nifara mkubwa
@mwalockjeremiah480216 күн бұрын
Yan kaende atukataki simba
@murattaw18 күн бұрын
Mnahangaika bure tu yule amekosea kwa sababu ya utoto tu hata mwenyewe hakujua anachokijibu. Ni mdogo kiumri na hata kimpira pia
@AbdulMgude-iv1ql16 күн бұрын
Ndo basi imeisha kijana kama sio leo basi kesho hafiki miaka miwili ijayo akiwa simba
@kaundasutikaunda776915 күн бұрын
KAMANDA KUWA NA AKILI KIDOGO...CHASAMBI ANAONGELEA MAENENO ANAYO CHEZA...ACHANA NA WAKINA HUSSEIN , KAPOMBE NA MANULA..
@allenmhando844318 күн бұрын
Wewe Dada mnafiki
@gotfriedmwesiga423416 күн бұрын
Huyo dogo alikuwa sahihi kuongea hisia zake lkn kulingana na mazimgira ya ushindani wa simba na Yanga hapa Tanzania kauli kama hizi zinaweza kukuletea matatizo
@allyhamisi-pq7yf17 күн бұрын
Hakuulizwa eneo analocheza, Hans acha uongo.
@bishoparronmgaya174915 күн бұрын
Huyu mtoto MJINGA yeye anamzidi nini kibu nani atampa pass hiyo ni dharau kwa wenzake.
Huyo chasambi wamwache aende yanga ili akajifunze vzr akiwa na max wake
@MariaMboko-o2r17 күн бұрын
Aondoke hatumtaki atakuja kuwa duka siku sio nyingi?
@RichardMatumanne16 күн бұрын
Kwani chasambi ana cheza nafac gan Kama ni winga rooolmod wake hawe beki
@paulcharles32116 күн бұрын
Wachambuzi kuweni wakweli dogo alikosea Ili aweze kufika mbali
@jumanneenos248117 күн бұрын
Kauli mbona ni nzuri kabisa
@ZuhraHamdan16 күн бұрын
Tubadilike Tuache Usimba na Uyanga Mulitaka awataje Wachezaji wa Simba hukuu ikiwa iko wazi Yanga wachezaji wake wapo bora.Uyo Max munayembeza Ni bora
@festamwaibabile219017 күн бұрын
Anadharau Sana kijana
@kaundasutikaunda776915 күн бұрын
IPO ALIOHOJIWA NA AKAMTAJA DEBORA FERNANDEZ HAKUNA ANAE IZUNGUMZIA ...ENDELEENI
@maryjkiosa338017 күн бұрын
Kwann mnamtetea? Uyo Mtoto hana nidhamu kweli Mpuuzi kweli
@MWAJUMAMOHAMED-i5t16 күн бұрын
Atumtaki simba
@nangomwabaharia924218 күн бұрын
Yuko sawa tu
@Hanssimpson-ln6zs17 күн бұрын
mbona max mwenyewe anewahi kusema anapenda kucheza na fei na shabalala kwnn chasambi mnamtafutia kesi
@AbdulMgude-iv1ql16 күн бұрын
Lakini max hakusema yanga hamna mchezaji ambae hawezi mfundisha kitu alafu chasambi ni mdg kiumri hata hapo simba si mchezaji tegemeo anasema hamna mchezaji wa kumfundisha kitu simba ni kuwavunjia heshima akina kibu na mpanzu
@sikandarsuleimanTV18 күн бұрын
Chasambi hajakosea kwenye kumkubali Maxi Nzegeli ndio roll model wake , ni jambo la kawaida tuu ila alipokosea ni kujielezea Simba SC hakuna roll model wake ilikua ajibu nawakubali wote wachezaji wa Simba SC lakini baada ya hapo kumaliza mwisho anamtaja huyu mchezaji wa yanga
@yunusimchala656918 күн бұрын
Mbona Aucho alimkubali chama akiwa simbaaa
@WillisOmega16 күн бұрын
Swali halikuwa na nafasi uwanjani, aliulizwa role model yake kwa nafasi anayocheza. Jibu la Chesambi limeonyesha uchanga wake kimawazo. Siwezi kuamini Chesambi hawaoni kina M15, Ngoma, Kapombe kama role model wake. Angesema wapo anaowaona kama kioo ila kwa nafasi anayocheza anamtazamia Max. Swali la nyongeza ameulizwa ni kwasababu gani, amesema ni kwasababu Max anawajibika....sasa uwajibikaji wa Tshabalala na Kapombe ni wa kutiliwa mashaka???? Tusikingie kifua ushenzi na utovu wa nidhamu.
@allenmhando844318 күн бұрын
Huyo Dada hafai
@vascombembela363216 күн бұрын
Hakuna haja ya kuwa na mjadala mkubwa kwa sababu, uwezo wa hawa vijana kwenye interview bado ni mdogo sana
@vascombembela363216 күн бұрын
Saa nyingine na ninyi waandishi mnaleta tahaluki sana, maswali mnayowauliza wachezaji ni ya hovyo tu
@mgendihdellicy621017 күн бұрын
Huo ni kweli amekosa heshima dogo na anaweza kukosa support kwa wachezaji wenzie,Kutaja mchezaji tofauti sio kosa ni majibu alotoa kulingana na swali...hata hizo interviews mnazosema everywhere duniani inatokea nenda sikiliza aina ya swali na majibu ya hao wachezaji
@saidsuleiman175317 күн бұрын
Huyo mpumbavu aondolewe tu, ni takaraka haifai Simba, kwanza hana mpira wa kucheza Simba anaki.bia kimbia tu
@DStarTz-if2ko17 күн бұрын
Huyu hans na shoga yake hmna kitu kwanza hii kaz haiwafai na mpira hawaujui na uelew kisoda pia
@MaulidyMadyo16 күн бұрын
Atoke kikosini
@williammrisha684118 күн бұрын
Wachambuzi hamtendei haki.. kwanza tengeneza uelewa wa maana ya role model hawezi kuwa Kila mtu kwa mtazamo aliokuwa nao. Ingekuwa ni mchezaji mwenye nidhamu Kwa club lazima atakuwepo role model wake au mchezaji mwenye mafanikio katika soka atakuwepo role model pia. Busara kwa waandishi ninkubalance story kwa kumrejea mchezaji na kumuuliza. Jambo la pili waandishi kwa kutofata ethic za uandishi mnaweza kukosa contents kwa wachezaji na timu kutokana na kuchagua upande. Mtazamo kwa Max anasema "work late" spirit ambayo inaleta faida kwa Yanga, nae anataka hiyo spirit ionekanw Kwa Simba tena ikifanywa na yeye. Let's be positive toward his statement about the role model. He is right and "wright" !
@MashakajumanneSuddy18 күн бұрын
Mbape akiwa psg aliwai kuulizwa Nan mchezaji anaemtazama alijibu ronardo .nawakati huwa psg Ina mess na neyma.
@arjunaking559518 күн бұрын
mifano haifananiii Simba na yanga in one league Real madrid na psg different league
@allenmhando844318 күн бұрын
Kamanda hoye
@SamweliMango17 күн бұрын
Idara ya habar ya SIMBA ijifunze kwa Yanga....fundishen visimba vyenu kweny media.....unaona vinavyojisahau vinafikr vipo porini
@athumanmdimu16 күн бұрын
tujifuze Kwa wachambuzi wa ki Tanzania mna mlazimisha aseme ungo kwani kamtusi nani wachambuzi ndo changa moto
@Mkagulu18 күн бұрын
wachambuzi baadhi awako sawa ila uyu sister yuko vizuri chasambi yuko sawa. hansi wewe geof mnamshambulia sana uyo dogo ambacho kinawachukiza sana watu kama mimi mna mnamfanya 😊 uyo dogo achanganyikiwe (pumbavu sana)😊
@michenjembikamichenje138817 күн бұрын
@@Mkagulu Chasambi Yuko vibaya, alikisema kipo moyoni mwake Ila kimedhalilisha wachezaji wenzake, Kama angemtaja yeyote wa Simba na huyo was yanga, kusingekuwa na kelele, Hata hivyo hamna mchezaji hata mmoja pale ssc anae mzidi kwelii ?
@siasporttv782317 күн бұрын
Ila waandishi wa habar mnazinguaga sana yan mnachoshangaa nin roll mode sio lazima atokee nyumbani kwako na sio shida mnakuza mambo kishamba hiv mmesomea au kwavile mdomo ya kuongea mnayo??
@mosesgeorge397417 күн бұрын
Aisee , tunako elekea simba nayanga vita zalisha vita sasa na sio ushabiki tena ....
@FurahaAngetile-m4w17 күн бұрын
Jeff unazingua na ww unataka umchafue mtoto kwa sababu zako za ushabiki acha upimbi huo na pia hakusema pale Simba hamna mbona mnakuza Nako ka Hans kashenzi tu
@kelvinbinda876717 күн бұрын
Hapana wala hana kosa lolote, niushamba wampira wa bongo mm ni msimbaz lakin lig yote hii namkubal pacome.
@danielmwakapila223117 күн бұрын
Chasambi mpumbavu ,kiyangayanga,ameonyesha ushabiki wake kwa yanga,hatufai kuna siku atatugharimu,
@franktebeka462018 күн бұрын
Ww mdada km sio shida ww siupo crawn isifie wasafi hapo ndo utajua km nishida au sio😊
@selemohd906018 күн бұрын
Kwani yeye kaisifia yanga?
@nicholousmtemi390218 күн бұрын
Huna akili ww
@wilfredbalohho228318 күн бұрын
Amefanya makosa kwenu wachambuzi na wapumbavu wengine wasiojielewa
@michenjembikamichenje138818 күн бұрын
Wachambuzi swali linarudiwa Mara nyingi bado mnamtetea amekosa naneno ya Hakuna na staa
@christinataimu15 күн бұрын
Soka gani linalopandishwa na simba kwa kubebwa nyie washamba sana.
@MangweluSaid17 күн бұрын
Uyo dg kaleta zalau sisi kama mashabiki aoze bechi au afukuzwe kabisa
@WillisOmega16 күн бұрын
Na niombe kupendekeza wachezaji wapewe mafunzo maalum ya kuongea na vyombo vya habari na matumizi ya mitandao ya kijamii, lakini pia, wanahabari wengi nao ni kama hawana mafunzo ya uanahabari, there's a lot of unprofessionalism within our journalists and pundits. Wengi wanatawaliwa na mihemko na ushabiki.
@PaziAthuman-e9d17 күн бұрын
Dogo stairi yake ya uchezaji anaendana na max kwaiyo kawaida kuwa rormd wake tuwe waerewa wadau
@geofreykasinda189517 күн бұрын
Jamani kasema ukweli max ni mashine ya kazi, nani simba yupo kama max
@SamwelMethod17 күн бұрын
Chasambi. Ni. Fara. Anasifia. Timu. Pinzan.
@saidsalim717717 күн бұрын
Chasambi hatumtoi Simba acheni promo zenu
@JohnSasi-oe9mi16 күн бұрын
Tuache ushabiki mbona wakati chama anatajwa sana by then hakuna debate nyingi kama hii ya chasambi, kuwaheshimu kwani kawatukana? alafu sometimes wachbuzi wetu ni hovyo sana sidhani kama Kuna mjadala sana hapa and then si kila mtu lazma awe role model wako, kuweni na kisomo kwenye uchambuzi kwani hawa vipiiiii, alf swali lenyewe kumbe hata hawajalielewa maskini
@lilianmassare-yf4cq18 күн бұрын
Hii inadhihilisha bado hajafundishwa kujibu maswali ya wandishi.na kingine nikutambuwa uwezo na umuhimu wa wachezaji we zake.
@deniskajuna-wy7rs18 күн бұрын
Mnamshambulia Ladaki Chasambi mnasahau kwamba ni mtoto mdogo yule hajawa matured enough kuchanganua namna ya kuzungumza kauli kama ile na si kwa ubaya
@omarimdoe844716 күн бұрын
Geoflaya usimBA UNAKUSUMBUA NA NDO WACHAMBUZI KAMA NINYI MNAWALISHA MATANGO PORI MASHABIKI WA TIMU ZENI YAANI KWA NINI WEWE ULAXIMISHE KUWA LAZMA AMTAJE SHABALALA YEYE "ROLE MODEL" WAKE NZENGELI NA SI WACHEZAJI WA SMBA NA HAIMAANISHI KUWA KAWADHARAU KWANZA ANGECHEKESHA KUSEMA SHALALA WAKATI YEYE NI WINGER
@christinataimu15 күн бұрын
Simba mna tabia mbaya ndio maana mchungaji wenu niva anatangaza uchawi yanga ifungwe na tp mazembe nyie mkashinde kule ni roho mbaya huu ni mpira kila timu. Inasajili vizuri acheni watu wacheze mpira sio kurogana .ni upumbavu na huyo mchungaji wa mbwa shetani huyo ajiangalie la sivyo atajiloga mwenyewe sio yanga
Chasambi akutunze Kwa yule beki na tatu wa azam alipokuwa timu ya taifa mechi ya mwisho kufuzu afcon alisema shabalalani kaka yake na anajifunza Kwa husen huyu Chasambi ni nani amekosea
@MashakajumanneSuddy18 күн бұрын
Mpila sio mziki ujue yule kiungo mshambuliaj na max nikiungo mshambuliaje nani hapa kwetu Simba nikiungo aina ya max
@MashakajumanneSuddy18 күн бұрын
Mbona kapombe aliulizwa mchezaji Gani anamkubali alijibu yusuph Dunia kwan simba Kuna max dunia wangap
@mckobatz586117 күн бұрын
Just imagine Max ametaja Awesu yupo Simba na Fei ambaye yupo Azam ila kwa kuwa Chasambi ni Simba na Max ni Yanga basi inakuwa shida hiyo sio tabia ya mashabiki wenye tuzo ya mashabiki bora
Wachambuzi akili zenu zipo matakoni yani mtu ameulizwa mnataka ajibu mnavyotaka nyinyi duh kweli Leo nimeamini tanzania inawezekana wachambuzi wote vilaza tena ndo wanafki wa kwanza na wachochezi elimu bila akili ni bure
@kelvinefuronielisha403917 күн бұрын
Mhu hata hakuulizwa hivyo
@EmmanuelPaul-j2x17 күн бұрын
Ni bora kaongea ya moyoni kuliko unafki
@AbassAbdalla-e7j18 күн бұрын
We Jof kumbe mjinga kweli inalazimisha nini
@bishopmosesmagadula757217 күн бұрын
BADO ni MTOTO mdogo amepungukiwa hekima. Azuiliwe KUFANYA interview Hana hekima
@mitinjemaziku18 күн бұрын
Shida bamba wanacheza tofauti chasambi na mohamed yeye labda alijua anauliziwa mtu anae cheza maeneo anayocheza
@victorgogadi5518 күн бұрын
Wachezaji TZ hawana elimu ya kutosha pia hawafundishwi jinsi ya kukabili media
@festamwaibabile219017 күн бұрын
Wewe dada unamtetea Sana wewe utopolo tunakufaham
@JayKimMungwab17 күн бұрын
Huyo dada anajigongesha kwa CHAZAMBI
@richardmtepa638618 күн бұрын
Kamanda analazimisha awasikilze na wenzake
@MatokeoJoseph.Fonkol17 күн бұрын
wachambuz akili zenu zina shda kwan nikosa kutaj max tunaon hta uraya huwa wana ulizwa wanataj wachezaj tofaut akili zen zinashda
@boscomtani100617 күн бұрын
Yaani mnapinga mpaka mawazo wa mtu, nyie hatari
@CheerfulCakeSlice-po2ht18 күн бұрын
Mm sioni kama amekosea hayo ndio maono yake
@sadih533317 күн бұрын
Wewe haujui jema wala baya, hatushangai.
@Adammwandambo15 күн бұрын
Acha uongo swali halikuwa vivo Sena nyie MNA taka Ku pi Diana swali actually hakunamtu ambae Hana Hi yo clip
@Abuushaymaatz18 күн бұрын
Sasa amekosea Nini hapo?
@SaidAli-rs5pc17 күн бұрын
Chasambi yupo sahihi ikumbukwe hata khalidi aucho alisema natamani sikumoja kucheza na chama wakati huo chama akiwa anachezea simba mbona wanayanga hawakumshambulia kwamaneno mabaya nyiewanasimba mnanini?
@diwanidugumbi340418 күн бұрын
Hajielewi huyo mtoto
@BasilLucasBenedicto18 күн бұрын
Mtangazaji alimaanisha kuuliza swali hilo? Waandishi wa Tanzania wengi Wana shida ya kuuliza maswali. Hakuwa sahihi kwani kuna waty wapo Simba na wamefanya makubwa kuliko ambayo amefanya. Na kingine bado mdogo anaweza kupitia shida asipojua namna ya kudili na waandishi wa habari
@MichaelMapogo18 күн бұрын
Acheni kujadili mambo yasiyokuwa na msingi jambo ni dogo tuu hilo pia mtu anatoa maoni yake
@FadhilSaid-h1x18 күн бұрын
Ingebidi arinder bland
@SaidMkome-p6s18 күн бұрын
Mbona inshu ya kawaida tyuu
@DravioMgulunde17 күн бұрын
Weken crip yote bhana tuisikie
@boscomtani100617 күн бұрын
Mnataka mchezaji awe mnafki? Dogo yupo sahihi, nyie nanyi majibu yenu ni yenu myaamini tu