Nampenda sana mtanga pamoja na Bambo mnanipaga burudani 😀😀😀
@universitylink2 жыл бұрын
Mwanakombolela mwanakumshtua
@sadicknyange19172 жыл бұрын
Utafikiri umeweka vuvuzela mgongoni 😃😃😄😄
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Hihihihi
@sadicknyange19172 жыл бұрын
Kiukwel mtanga na bambo mnanifurahisha sana ww umesikia
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Asante sana
@Hancejuma2552 жыл бұрын
Bambo wewe noma sana leo nimecheka sana eti mwanakomborela 😂😂😂mimi ata nikisikia oni pii aisee unajua sana comedy chakula chote kimebadilika kimekuwa kama kahawa
@alexkalonga53232 жыл бұрын
Mi nampenda Sana huyu bint, ni mzuri ananifaa kuishi nae kabisa
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Sema Bambo huyo dem hamfanani kuwa mkeo huyu wa kisasa sana
@edwinismail94012 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Hii clip nacheka sana 😂😂😂mwanakumshtua mwanakombolela
@Qs35572 жыл бұрын
Kama umeweka vuvuzera mgongoni au ndo sio riziki😁 bambo noma
@thabitissa67662 жыл бұрын
Nyiee jamani mtatu vunja mbavuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maombijofre23022 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza 🤣🤣🤣🤣
@erickchami48592 жыл бұрын
Hahahaaaaa mambo yamearbka
@chameleoncorpesprit29862 жыл бұрын
Eti automatically 😄😄 Watching from America 🇺🇸
@Ramso. Жыл бұрын
mbavu zangu jamaniiiiiiiieeeeeeeeeeeh😂
@festomnyalu48332 жыл бұрын
🙄🤣🤣🤣🤣🤣🔥kweli bamboo siku anazo shinda nyumbani wewe usishinde🤣🤣🤣🤣🤸sio powa in
@paulchembezi37082 жыл бұрын
Kkkkkkkkkk bambo nawakubali sana na mtanga
@pendosamwel92892 жыл бұрын
😂😂😂😂Yan nimechek mpk kifua kinawak Moto mimoo
@ndorondoro90192 жыл бұрын
Hehehe mtanga...kila siku nakwambia utamu wa shuzi ni harufu lakini wewe unatoa maskadi badala ya shuzi 🤣🤣 balaa hio 🇰🇪🇰🇪
@msasenathpotiphar17322 жыл бұрын
Hatari sana nyie watu 😍🔥🤣
@edwinismail94012 жыл бұрын
nimecheka sana
@laulymo20632 жыл бұрын
Ila mtanga unavisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BabaTiza2 жыл бұрын
Best comedians
@hamissuche65762 жыл бұрын
Samawanii kwa kashemegi 🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪
@HusseinRj2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🔥🤣🤣🤣hatari sana
@revocatusawadhi65503 ай бұрын
🤦🏻🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 oyaa 😅😅
@mazinhafidh99432 жыл бұрын
The funniest Movie ever seen😂😂
@frankmwinuka62982 жыл бұрын
Kazi nzuri bambulile
@danielelikana26152 жыл бұрын
Hivi kwa nini mmebadilisha msichana wa kuact nae??? SIKITU yuko wapi???
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Ameolewa
@Rikas_Riphin2 жыл бұрын
Tabiya oza hiyo Mtanga 😥😥🤭
@edwinismail94012 жыл бұрын
Hii episode nimerudia sana, kama ile ya supu ya taulo na chizi muziki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mmetisha sana wazee
@inocentmwale9622 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kamutanga kanazinguwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@safiasaid45632 жыл бұрын
Bambo ukiongea tu mi hoi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@frankvianey24382 жыл бұрын
Hahahaaaaaa,ya leo Kali asee
@universitylink2 жыл бұрын
Chakula kimekuwa kama kahawa
@babawnv542 жыл бұрын
thanks Tanzania for the support you gave us during our electioneering period.Big thanks goes to your choir at Bomas of Kenya and mama Samia suluhu visit 🙏
@TheBastarrrd2 жыл бұрын
Kahuduma haka ni wito😂😂
@blue-hd8fo2 жыл бұрын
Mtanga ako sawa kinoma
@amehassanrehanirehani50612 жыл бұрын
Huyu dada ni mzur san nimempenda so siri
@zachariarashid16422 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ety breki zimefel kabisa
@jasonnathan33372 ай бұрын
.
@laulymo20632 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 break
@abdallahkassim3182 жыл бұрын
Punguza kiki we mtu mzima 🤣🤣🤣🤣
@nahiriali14052 жыл бұрын
Sikitu yuko wapi au mushamjaza mimba nini?
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Ameolewa
@nahiriali14052 жыл бұрын
Mtanga tafadhali mkuu kama kakusea msamehe mlete tena
Sikitu alikuwa anauwezo wa kuigiza uhalisia na yuko serious sana
@edwinismail94012 жыл бұрын
@@mtangacomedy wakati nilitaka kumuoa
@edwinismail94012 жыл бұрын
@@mtangacomedy ila unajua kutuletea warembo 🤣🤣🤣🤣
@fahadfahmy2 жыл бұрын
Niva na Sikitu wamejitoa
@universitylink2 жыл бұрын
Hicho kimeshaingia harufu
@mkingaboy5502 жыл бұрын
Jamani sikitu yuko wapi?
@koffilove27962 жыл бұрын
Sikitu iko wapi
@wakatiiddi11202 жыл бұрын
Mtango umeingia chooni na mitambo ya studio
@ahmaduun65232 жыл бұрын
mtanga kwa hilo bukta tu! ama short ulilolivaa leo kau mchunga mbuzi, nilipokuona tu nilijuwa kazi unayokwenda kuifanya walahi sio ndogo, bambo alipokaribia kuweka kijiko mdomoni tu, duuh! ule mzinga uliouachilia huko chooni hata mimi mtazamaji nilishtuka walahi! hhhhh. Muone daktari baba ukashonwe! sio masihara!
@TAYTA_MEDIA17 күн бұрын
😁😁😁
@universitylink2 жыл бұрын
Hadi kabichwa kamekolea moto yaani kabreak kamefeli
@universitylink2 жыл бұрын
Nilijua hutaji tu mlio kumbe hata mafua
@MayamimusiclabelMML2 жыл бұрын
Ety unijalo
@universitylink2 жыл бұрын
Tunaenda kulia wapi, hamna unaingia na nzi we nenda tu
@bekaali89302 жыл бұрын
Bambo ana mdadi. Huyu ukimjambisha anaruka huyu
@mtangacomedy2 жыл бұрын
🤣
@alexkalonga53232 жыл бұрын
Mtanga bhna eti hadi kabichwa kamepata moto
@shomarymussa69702 жыл бұрын
Nawapatavizuri kutoka south Africa wakwanza leo
@Raquel-ng9vi2 жыл бұрын
Muito obrigado por fazer me rir,
@aishachambo86632 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@konamutiboko89311 ай бұрын
😂😂😂
@firtekfluidconnector15372 жыл бұрын
Sikitu mmesha muacha wazee..
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Ameolewa
@jacklinejacklinejonh65302 жыл бұрын
Huyu mdada mpya ata hajui amepowa sana
@mtangacomedy2 жыл бұрын
Tumpe muda
@josephlorri4312 жыл бұрын
Ila anapendeza,mwili mzuri
@nahiriali14052 жыл бұрын
Mpe muda nini mtanga unazingua Wallah sikitu yuko wapi
@edwinismail94012 жыл бұрын
@@mtangacomedy anaitwa nani? Tupe Instagram yake.. Mimi namkubali sana