🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtanga umenivunja mbavu sana mimi naomba. natamani siku moja aigize mtango brother k na mpoki combination itakuwa balaaa
@starpord3 ай бұрын
Mtanga kitambo sana nakufuatilia ww na bambo😂😂😂😂 mkopa sana nakumbuka ile nyimbo ya kabinti ka mizinga
@andersonmakassy88113 ай бұрын
Bambo unapendeza San ukinyoa ivyo
@khadijanurdin31632 ай бұрын
Janamke la hovyooo kabsa
@murshidyabdallah13563 ай бұрын
Itham mashallah naomba nikustil nkuoe mamaa
@Moha-w9t3 ай бұрын
tamweza?😅😂😊
@NaifinMohamed3 ай бұрын
Utafanya la maana ila usisahau anataka maokoto zaidi na mwendo nginja nginja😂😂😂😂
@AhmadaHassan-gy5uj2 ай бұрын
@@NaifinMohamednaifin Mohamed huenda we umetuli a sana
@chidiomari.653 ай бұрын
Much love from Helsinki Finland 🇫🇮🤝
@ZiyandaMhlana3 ай бұрын
Hiyiii kali😊
@geeva993 ай бұрын
Ila kweli, uyo mke wa pili live 😂😂
@hudhaimaismail3 ай бұрын
Akh hiki kidem kuect hakijui asaaa😂
@hassanovajunior69723 ай бұрын
Love Haitham good job👏👏
@salehkhamis-ob8ln3 ай бұрын
Mbona huyu haitham hana vigezo vya kuekti performance yako na ujuzi wake mdogo sana ajifunze kwanza hajui kuekta
@bilid41283 ай бұрын
Hivyo unavyosema ni sawa na unawaambia wakina Bambo hawajui kuchagua mtu anayejua kuigiza !
@zuheorsalim77593 ай бұрын
Wamemuweka hiyo coz wanampakua
@chibudenga89773 ай бұрын
mdogo mdogo hata hao walianza hivyo hivyo muhimu kama anataka kufika sehemu flani
@ShehaSalum-p3s3 ай бұрын
Ata ww unaemuambia mwezio hajui bc ata ww utawez Kam itakua unauzr Kam ule Kam sura mbov kaogot makop😂😂😂😂
@IssaSiame3 ай бұрын
Unaware nn kuusa mke mbona anakutesa
@autorepair23213 ай бұрын
Huyu dem fake Sana ujuzi wako ya kuekti ni buree Sana...towa hawa ma dem bana
@AbihudKaale-vt6hn3 ай бұрын
Cha ushamba chiz ww
@autorepair23213 ай бұрын
Nugu wewe
@AbihudKaale-vt6hn3 ай бұрын
@autorepair2321 😁
@sittandaki21353 ай бұрын
Kivipi sasa ?
@hajiomar70263 ай бұрын
Huyo demu wanamtumia tu ila hana anachokijua
@tayga20313 ай бұрын
😂😂😂
@safarichui85513 ай бұрын
Mume Bwege naye
@Moha-w9t3 ай бұрын
eti mbajuni😊😅😮
@nakalikyumile32343 ай бұрын
Tatizo lenu hamzingatii vipaji,mnazingatia uzuri wa sura za watu!hawa mademu hawawezi kabisa kuigiza mmechoka na nyie kina mtanga,waachieni kina brother k hii kazi na kina senga,nyie mmechoka
@FahmiAbdallah-x9w3 ай бұрын
THANKS (HAO BAADHI YA WASIMAMIZI AU WACHAGUAJI,NI WALE WALE UKIWACHUJA)TZ TUJITAHID SANAA INSHAA ALLA KHEIR
@Moha-w9t3 ай бұрын
plate number😅😊
@RabiaSaid-sh1km3 ай бұрын
Ah jamn haitham mamaa jistiri bas uko kichwan 😢😢😢
@KhamisFeysal3 ай бұрын
Mmh naww rabia hatak mtu utamlazimisha
@salimsaleh93543 ай бұрын
Usiumize kichwa na huyo malaya , hatujui kwao alilelewa malezi gani na wazazi wake , iyo ni athari ya kutowalea watoto katik misingi mizuri ya dini
@hilalkhalfan14523 ай бұрын
Kweli kabisa, wazee wanawalea kuhusu kutafuta dunia wasife njaa bas, kufa kafiri huwa hawajali sana
@Bmsecret3 ай бұрын
Muache apigwe cheche na za kiruguru
@KhamisFeysal3 ай бұрын
@@RabiaSaid-sh1km wewe
@FahmiAbdallah-x9w3 ай бұрын
SORRY, UHALISIA NI VITU VILIVYOJIFICHA SANA AU VIKO KWA MBALI OK?SO KIVIJUA WASIKURUPUKE KUWAPASISHA PLEASE (LETS TAKE THE NATURE TAKE PLACE AT FIRST,THAN TO TRY OF TRAINING THEM PLEASE(BSS)SORRY
@Irfaan-k1j3 ай бұрын
Hana kigezo cha kuekti hana mvuto hana ushawishi ata avae chupi na sdiria tu ata hata aekti picha za ngono hana mvuto. Anasubiri laana ya mungu wala hotoboi labda atoboe mabox