Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy mfasiri bingwa wa ndoto

  Рет қаралды 35,010

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 232
@kiamanitv5728
@kiamanitv5728 2 жыл бұрын
Waalekum ssalaamu Wewe ni mtu mmoja hatari sana kwenye hii fani sheikh Wallahi unasema vitu vinatokea Allahu akupe baraka sana
@JohainaHakim
@JohainaHakim 3 ай бұрын
Punguza mapozi basi dahh😊😊😊nmeota mama samia amefurahi na ametugawia mifuko Ina nyama ya kukausha na biskuti
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 12 күн бұрын
Tafuta namna nzuri ya kipumbazo maalim
@SadaJuma-k8o
@SadaJuma-k8o 2 ай бұрын
Allah akuzidishie mzee
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 ай бұрын
Allaahumma aamiyn. Nawe pia
@ummusalim5088
@ummusalim5088 2 жыл бұрын
Shukraan Lkn ondoa mzikiiiii sauti mbaya
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.Masha Allah tabaraka Allah.karibu sana kwa kupotea.
@aminambukuzi999
@aminambukuzi999 2 жыл бұрын
Mapozi mengi sana bwana yani unaham ya kuskiliza lkin mwenzio ana maringo aaaaah, atutaki ivo bhana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Mwaka mmoja nyuma wenzio walisema niongee taratibu ili wazingatie sasa hapa napata shaka kama ule mkasa wa punda mtoto na baba wa mtoto, sijui niongee aje kila mtu aridhike
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkorofi we
@HarounAli-rl3uc
@HarounAli-rl3uc 6 ай бұрын
Sas uo mzik unahusian na nn broo Leng tuskiliz mzik au ww
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 2 жыл бұрын
Shukran ila toa mziki
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Lazima uwepo ili maelezo yasichoshe
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
Niliota Jana Niko kiko na Biden. Insh ALLAH natarajia mema Biithni LA
@waridi9250
@waridi9250 2 жыл бұрын
Waalkumusalumu warhamtulhi wabarktu alhamudullh shekh mim nimi ota rahisi anaumwa. Nisaidiy mana yak
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Jua litakuwa kari au baridi 🤔🤔🤔🤔 hii ndoto kimsingi inaongelea mazingira ya dunia, au kama ikiwa kama ilivyo basi haitaki tafsiri
@suleimanmashombo7841
@suleimanmashombo7841 Жыл бұрын
Nimemuota rais mara mbili mfululizo ya kwanza naongea nae na ya pili yeye ni mchumba mpenzi wangu
@BettyKaneza-sd1mj
@BettyKaneza-sd1mj 7 ай бұрын
Asante sana 🙏 mwenyezi Mungu awabariki
@hassanabuu6
@hassanabuu6 8 ай бұрын
Sikuami kwa music 🎶 😢 shehe wa mchongo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
ha haaa haaaa sasa ukija kama hivi njoo na dalili ya kuharamisha mziki ambao hauna maudhui mabaya ambayo sharia inakinza ya uisilamu, ila ukija kama hivyo naona tu unayo shida ya kielimu, lete aya ya quran au hadithi sahihi ndio tuzungumze uharamu wa mziki kijana
@JumaGambe
@JumaGambe 8 ай бұрын
Mapozi mengi sana
@tojotv6414
@tojotv6414 3 жыл бұрын
Sheikh tengeneza sauti mzuri za video
@saraimohamed2778
@saraimohamed2778 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie amin
@jumbemaalim4250
@jumbemaalim4250 4 ай бұрын
Mapozi mengi tatizo
@aishaally8796
@aishaally8796 Жыл бұрын
Punguza vinqnda
@fatumamazul4411
@fatumamazul4411 8 ай бұрын
Nakweli vinanda vinafanya tusimsikie vizuri
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 11 ай бұрын
Masha allah shukulani sana
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 ай бұрын
Ustadh kaa kishekh basi
@malkiamushy1923
@malkiamushy1923 2 жыл бұрын
Mi nimeota namemshika raisi wa nchi Mabega nikimfanyia maombi, na yy alikuwa amekaa kwenye kiti amenyosha miguu...naomba unisaidie
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi sijaolewa nilimuota raisi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Utapata mume inshaallaah, au mipango yako itafanikiwa maashaaallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu nini maana yake
@fatumamhina4622
@fatumamhina4622 3 жыл бұрын
Waaleykum salaam sheikh..samahani naomba unitafsirie hii.....Mimi nimeota namchora mmbwa ilhali mimi sijui kuchora wanyama
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Usiige tabia za watu hawa Ulinzi Urafiki wa uwongo Uadui Na tabia mbaya kifupi ni kwamba jichunguze katika tabia zako kina jambo jipya haitakikani uwe nalo hilo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota uko na msanii maarufu sana mnazungumza huku mmeshikana mikono mnakwenda pahala nini maana yake shekh
@hidayabantulaki2229
@hidayabantulaki2229 9 ай бұрын
Shehe Asalaam aleykum Mimi nimekuona raisi samia akinielekeza niwakusanye watu aongee nao kisha akawa anawapatia pesa
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Mazunguzo na miziki pembeni,wapi na wapi?.
@pesamashaka1479
@pesamashaka1479 10 ай бұрын
Anazingua Sana
@saraimohamed2778
@saraimohamed2778 2 жыл бұрын
Naona leo unafuraha shekhe
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Alafu anaongea kwa maringo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@tatuaamuuinyi9633 🤣🤣🤣🤣🤣
@mvanobilali8502
@mvanobilali8502 2 жыл бұрын
una jitaidi Allah akulipe ila punguza nyodo mwalim
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅 mkorofi we
@N_kali
@N_kali 5 ай бұрын
Unapotabiri ndoto unaweka mziki wa nini
@NassirAbdullah-z6e
@NassirAbdullah-z6e 2 ай бұрын
A alaikum mbona umeka miziki shekh wangu
@mwanamkasishabani522
@mwanamkasishabani522 2 жыл бұрын
Asalamu alaykum Mimi nliota nimeona mwaume anazaa Kisha ilipomaliza kuzaa yulemtu aliekua anamzalisha akanipa mm Yule mtoto nimshika Mimi ikawa nakataa kumsHika yulemtoto naogopa mana Yule mtoto alikua kajaa damu mwili mzma dam znafanya kutiririka Basi nlivyo mshika Yule mtt alikua mzito Yan mzito ajabu mpaka nikashindwa kumbeba nikamuangusha njini hii inamaana gani Ustaadhi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@susanenterpreneur
@susanenterpreneur Жыл бұрын
Salam aleykum warahmatullah warakatu sheikh aki mimi niliota nikizungumza na wasichana wa Rais
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
mambo yako mbioni kukamilika inshaallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu mnazungumza nini maana yake
@oman1oman179
@oman1oman179 6 ай бұрын
Shukuran❤❤❤
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Hapo ndo unaumwa Leo unaturingia kumbe unamapozi shekhe.je ungekuwa na afya njema.leo umejua kutupiga mapoz
@raheemdag6905
@raheemdag6905 2 жыл бұрын
Mimi ni mcongomani niliota niko na moto wa rais wetu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Baada ya muda mambo yako utayapata yametulia inshallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu mnatembea mnazungumza nini maana yake
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Bado hujatulia wewe mziki unautaka na kutafsiri ndoto unataka amua jambo moja alafu unajiita shehe pole baba😢😢😢
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
inaonyesha unaelimu ya kutuambia uharamu wa mziki jitahidi uchukue namba uje whatsapp useme mtazamo wako , soma dini acha ushabiki na ubabaishaji Mungu sio mpuuzi kiasi hicho halali ipo wazi na haramu ipo waz na baina yake kuna mambo yenye kutatiza, NA MIONGONI MWA WATU WAPO WENYE KUNUNUA MANANE YA KIPUUZI "ILI KUPOTE WATU KUTOKANA NA NJIA YA ALLAH" ZINGATIA HAYA MANENO
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana nini maana yake. Mnazungumza
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 Жыл бұрын
Samahani lakni
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Pole sana kama imekukwaza lakini huo mziki duniani una elimu ya kujua haramu au laa kama yupo sheikh asema ni haramu kwa hali yoyote huyo anashida ya ufahamu ila mziki kuna unaofisha moyo na unaohuisha moyo, so itakufaa ujue kwanza kuhusu mziki kisha ndio tuujadili kasome Luqman Allah asema na katika watu kuna wanunua maneno ya upuuzi (ili) kupoteza watu kwenye njia ya Allah. Sasa kama hiyo ili ikiwa ni kinyume chake je???? Na hakuna aya ingine utaletewa kuja kuuzungumzia ila hiyo na ile isemayo "wanasikiliza maneno na kufuta mazuri yake" lakini hadeeth sahihi ya kuharamisha ala za mziki hakuna kabisa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiona uko na mtu maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Muda wote unaumaliza kwakuelezea jambo moja iloilo
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Жыл бұрын
Shekh nimeona nimekutana na raisi nikamuomba atujengee mskiti
@midagutv7626
@midagutv7626 16 күн бұрын
Mziki wako una sumbuwa sana 😮 na una takiwa kupunguza mapozi ambazo hazina maana unapo tafsiri
@hanashhanash535
@hanashhanash535 3 жыл бұрын
Walekum salam nimefurahi sana wajibu comment hilo jambo zuri kujibu comment naomba uwe hivyo hivyo Allah barik
@AndrewKanyika-t9s
@AndrewKanyika-t9s 3 ай бұрын
Shee uko sawa ndio lakini kuwa serious basi upunguze majiono, nyodo na kujisikia bana shee wangu, ujue uko katika somo unatazamwa na dunia yote, watu wanahitaji kujifunza vitu kutoka kwako, kingine wewe na huo mziki hamuendani bana shee wangu, zima,
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@samirisadiki67
@samirisadiki67 2 жыл бұрын
She mi naotaga Niko mshauli wa lais
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Mambo yako yatakuwa kwa uhakika inshaallah
@EshaShamu
@EshaShamu 3 ай бұрын
Mm niliota niko na Rais makuful tuko kwenye msafara na mm ndio kiongoz wa msafara huo
@AHMADSUDI-e8x
@AHMADSUDI-e8x Ай бұрын
Nimeota niko na Rasi wa nchi yetu tukiwa pamoja hata ilabaki kidgo tulikuwa nituoige picha
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Ай бұрын
Yatafanikiwa na kwenda vizuri mambo yako
@gharibasalim2511
@gharibasalim2511 Жыл бұрын
Assalam alaykum vipi hali baba yangu alinihadithia kaota kamuona mtoto halafu kageuka mauwa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 10 ай бұрын
ni ishara njema kwa muisilamu kwani itajulisha neema ama kwa mkristu atazika mwana wake
@IssaSalim-kv4gr
@IssaSalim-kv4gr 7 ай бұрын
Assalam aleykum shekh mimi nliota tupo kweny mkusanyiko wa watu weng wakinamama tumekaa mimi nlikuwa nmekaa na bint yang mdogo wa miaka 3 basi rais Samia suluhu akawa amefika pale akakaa pamoja nasi ila akampenda sana mwanang had akaulza wazaz wahuyo mtt wapo wap nkasimama bc akafrah sana kuniona hii inamaansha nn
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Жыл бұрын
Punguza mashauzi yaan kua gentle man alafu toa huo mziki walau weka qaswiida kwa mbaaaliii
@RAHIMULEMU
@RAHIMULEMU 8 ай бұрын
Miziki yann mpuuuzi wew
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
kazana bado
@pilimlenge1289
@pilimlenge1289 Жыл бұрын
Asalam alayk mie nimeota nmeenda haja ya nyama mithili ya ng'ombe ina maana gani naomba unifafanulie
@hill-topboy7647
@hill-topboy7647 2 жыл бұрын
Thanks 😏🤗
@nasramdachi2972
@nasramdachi2972 6 ай бұрын
Siku nyingine usituwekee limziki lako
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 ай бұрын
itategemea hali ya siku hiyo huu mziki huwa unaficha kelele au miziki ya watu isiingie youtube yetu au kusikika kwenye channel yetu kwasababau youtube hufunga chanel zinazoiba haki za wengine na kuzitumia kamali yao hivyo tutaweka kukiwa na ulazima na kwaajili ya kuficha vitu tusivyo vihitaji, samahani sana kwa hilo mutavumilia ndugu
@EshaShamu
@EshaShamu 3 ай бұрын
Ukiwa unajirekod jaribu kutoa mziki
@elizaClaus-wk5kw
@elizaClaus-wk5kw 2 ай бұрын
Punguza saiz ya ledio
@honestakitomari7048
@honestakitomari7048 3 ай бұрын
Kwa hayo mapozi ni ngumu kukusikiliza hadi mwisho.
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nilimuota mama samia
@vickywingstone3551
@vickywingstone3551 10 ай бұрын
Me pia my dia nimemuota mama Samia akiwa amekuja kwenye sherehe amekaa
@gharibasalim2511
@gharibasalim2511 Жыл бұрын
Mie siku ya Alhamis nimemuota rahis nyerere
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@KwakakomboDzillambe
@KwakakomboDzillambe 7 ай бұрын
Nenda direct usijivute
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 ай бұрын
Mimi niliota rais magufuli kanialika nyymbani kwake kwa chakula cha mchana, tumekaa tunakula pamoja tena mara mbili
@merryagustino3508
@merryagustino3508 11 ай бұрын
Mimi nimeota nimejifungua mtoto wa kiume pia nimunene sana ira sijajisikia maumivu yoyote wati mtoto ni munene sana pia nimeonana nalaisi kwenye fulaha sana pia kanipa ukipaubele sana inamaana gani ?
@Tima-g4d
@Tima-g4d 8 ай бұрын
Maelezo mazuri lakini mbona unajivuta navkujinyongowa sana
@رقيهالغافري-غ1ذ
@رقيهالغافري-غ1ذ 5 күн бұрын
Akikupa Namba zasim nn mana yake
@jamilashaban3901
@jamilashaban3901 2 жыл бұрын
A.aleikum....mm nmeota nmemuona rahisi wa kenya .tulikua n marafiki zangu ila kaniita jina kanisalimia...maana yke n nn
@jolieingabire1992
@jolieingabire1992 2 жыл бұрын
Nimemuota mke wa raisi afu nikamuona amenenepa sanaa
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 11 ай бұрын
Kama upo kwenyee mausiano maana yakee upo karibu kuolewa na kama upo kwenyee ndoa maana yake utapata mtoto hivi karibuni na atakua mkubwaa WA mwili
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 11 ай бұрын
NDOTO hio hawezi kukutafsiria huyu shehee vitabuni wao ni vilivyo andikwa tuu vya kaleee Sasa kuna doto Za kisasa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
😅nashukur nikiwai kumuota mama samia mara mbili mara mwisho nilimuota kanipa mkono msafar umepita ukaja kwangu akanipa mkono
@Angel-do2lb
@Angel-do2lb Жыл бұрын
Tunatumia bando jarib kufupisha mambo jmn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 ай бұрын
ili uelewe? au nifasiri uliloona wewe tu ndugu?
@zulfamnanga123
@zulfamnanga123 Жыл бұрын
Mm naota Niko na watu maarufu na hii ndoto inajiridia sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ina maana nzur na wee utafanikiwa kwa kiwango Cha watu hawao maarufu uliowaona
@AkhiymbwanaAbdallah
@AkhiymbwanaAbdallah 3 ай бұрын
mimi nimeota nimemuona rais Pia tumeongea mengi mnoo kuhus nchi ytu then nikamuombea dua lakin tuliku tumept chomb kimoj mimi na Raisi
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 7 ай бұрын
Unakera mziki jaman mpaka kuelewa ngum
@aishajiji3331
@aishajiji3331 Жыл бұрын
Nilimuota raisi Mara mbili kwa sasa... all we na mwanangu..niliona nko hali ya kutafta motto amwpotea..mwishowe nkampata ako katikati ya uhuru na ruto kwa jukwaa
@RahmaIdo
@RahmaIdo 2 ай бұрын
Sasa mziki ni ya nn shekh
@edsonlukuba9290
@edsonlukuba9290 3 ай бұрын
Kaka mi sijaoa lakin nimeota nipo na Rais wa nchi yangu kitandani kama vile ni mke wangu lakin alikuw kapoa hajachangamka na wala sikufanya nae k2 chochote, hii ina maana gan?
@tamarimahega7384
@tamarimahega7384 3 жыл бұрын
Na nilimuotaga magu akiwa kanisan na kulikua na wanakway weng
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Mambo yako yatanyooka baada ya muda au utafanikiwa mpango wako
@PendoKapten
@PendoKapten 3 ай бұрын
Mi nimeota niko na rais na namuomba pesa kanambia nimpatie namba yangu ya sim anitumie nikashituka kabra hajatuma
@PendoKapten
@PendoKapten 3 ай бұрын
Natulikuwa tunapiga stor
@radhiaibrahim2951
@radhiaibrahim2951 8 ай бұрын
Sasa mziki wa nn shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
Nimeshajibu hilo, ikiwa kutatokea kelele zozote wakati wa video ili youtube wasione kama kosa huwa tunaficha hiyo sauti na mziki usio haramu, au ikiwa kuna shida ingine 👍
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti 7 ай бұрын
Shekh wangu ss tunaokuskiliza.ni watu wenye akili timamu embu acha makuz kwanza.toa izo kelele shekh wangu plz.
@arjenarjen6718
@arjenarjen6718 2 жыл бұрын
Kutafsiri pamoja music ni sawa?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Bora wewe umeuliza, huo mziki kwanza mtu lazima ajue hukmu zake kisheria na ajue asili ya neno lenyewe kisha aujue mziki huo unaotumika hapo na hukmu zake, sasa basi jibu fupi yu ni kwamba HUO HAUFISHI MOYO.
@danielkariuki1911
@danielkariuki1911 2 жыл бұрын
Umekua nikiota atii our president has called me and requesting me to bring my family to him and introduce to his family
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Maashaallaah unajuzwa kwamba mambo yako yatapanhilika inshallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@AsiaSaid-p9y
@AsiaSaid-p9y 3 ай бұрын
Niliota namwambia raisi jambo langu na akanipa funguo nikachukue kitu nilichomwambia
@ShelaRashid-fo2rx
@ShelaRashid-fo2rx 3 ай бұрын
Una nyodo
@sambokadigi8427
@sambokadigi8427 2 жыл бұрын
Mbona maneno mengi mno na yakurudia rudia du mb zetu zinaliwa
@SofiaUmande-ss1zj
@SofiaUmande-ss1zj 7 ай бұрын
Nimeota nimemuona mama samia rais wa nchi anatembea alizin kwenye mimea mizuli na kuna mtoto wa kike wa shule ana muimbia nyimbo za kumsfu akampa kisi cha shlng 60 kuna miatano za kalatasi elfu moj na elf 2 yule mtoto akaja niliko mm alikuwa anataka hela ya pamoja nikapaneee
@shaabanbindawood6538
@shaabanbindawood6538 6 ай бұрын
Hhhhhhh😂😂😂😂😂
@anithamallya1104
@anithamallya1104 2 жыл бұрын
Waooo
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 2 жыл бұрын
shukran
@علياحمد-د3ش2م
@علياحمد-د3ش2م 2 жыл бұрын
Shekh mim nimemuota rais ambaye amefariki alikuja kwenye shule yake kisha akasema wajitokeze ambao hawakwenda shule mimi nikajitokea akaniongelesha kwann sijaenda shule kisha akachukua fimbo na kunichapa kidogo tu nini maana yake shukran.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Ndoto inakutaka uzinduke, ungekuwa mwamke basi ningekwambia acha uzinifu kabisa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota uko na msanii maarufu saana mnazungumza nini maana yake shekh
@benardwankoka3447
@benardwankoka3447 3 жыл бұрын
Nenda kwenye point
@immaculatejohn9906
@immaculatejohn9906 2 жыл бұрын
Hahaha
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 2 жыл бұрын
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh.shekhe Mimi nimemuona Rais kaja nyumbani tukala nae matunda nini maana yake nisaidie shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Wa,salaamu warahmatullahi wabarakatuh, pesa hiyo au maisha yatakaa sawa kidogo
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 2 жыл бұрын
Shukran Sana shekhe Allah akulipe kila lenye kheri In shaa Allah
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 2 жыл бұрын
Shukran Sana shekhe Allah akulipe kila lenye kheri In shaa Allah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@MTAVASSYTv mie nimeota queen Elizabeth kanipa pesa
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi 5 ай бұрын
Unaongea Vizuri sana Lakini Uzo biti za Mziki Nauongeaji Wa kukata kata Sio mzuri Pia samani badilisha Mipangilio yako weka mizuri watoto vitu vinajigonga gonga Unaondoa Umakini Wa wanaokutazama Na hata soko lako litakuwa Halikuwi
@awadhbasheikh6385
@awadhbasheikh6385 2 жыл бұрын
MIMI NIMEOTA RAISI AMEFARIKI JEE YAMAANISHA NINI
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Rais nani sasa ndugu yangu wa nchi gani ?
@tamarimahega7384
@tamarimahega7384 3 жыл бұрын
Nilshawai kuota nimeiba begi lenye sarafu za zaman nyiiing mnooo, nikawa nakimbia kila mtu akawananitafuta walichukue
@MwanaidiMajidi
@MwanaidiMajidi 8 ай бұрын
Punguza mbwembwe tusubscribe
@kuthumhamdan1043
@kuthumhamdan1043 2 жыл бұрын
Asalamu Alaykum shekhe mm nimeota nimekaa na raisi tunaongea kwa kunong'ona namuuliza kuhusu kazi kisha akanipa namba zake za sm nisaidie shekhe maana yake
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Njaaa hio ina kunyomelea uta fukarika mpk kuomba, muombe Allah akuepushe fitina hio
@adidjamusabwasoni6694
@adidjamusabwasoni6694 Жыл бұрын
P
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 2 жыл бұрын
Nimeota nipo shule mara darasani akaingia raisi wa nchi yng nnayoishi sasa akaniuliza mbn ww huandiki lkn kwa hali ya upole na mimi nikamjibu kwmb naumwa akananambia pole na kuhurumia jee ina maana gn?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Kama hautopitia haki ngumu basi Wallahi ni faraja katika maisha yajayo matatizo yako yatapata suluhu na maisha yatakaa gyema huzuni zote utasahauu inshaaallaaa
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 2 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Allah ajaalie kheri
@naemasalum3954
@naemasalum3954 2 жыл бұрын
Assalamualaikum warhamaturullah taala wabalakatu,, niliota juzi nimemuona rais ruto akitembea nikaongea naye , kando kando walikuwepo watoto wanacheza nikawapa pesa ya not
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
wa,salaamu warahmatullaah wabarakatuh ishara ya ya kutimia au kukamilika mambo yako inshaallaah
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
BADILI TABIA ZAKO au yaweza kukuashia kwamba wewe unashindwa kuhendo majukumu yako baadhi
@naemasalum3954
@naemasalum3954 2 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv kwa kupeana watoto pesa au?
@johnbaluku6149
@johnbaluku6149 2 жыл бұрын
Volume
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Shekhe Mimi nimeota nipo na Rais Samia suluhu Hassan tupo tunatembea tukiwa wawili tu na pia tukaenda sehemu Moja kukagua. Pia nilimuota hayati JPM kabla hajafa nae nilimuota tukiwa pamoja na nikawa namjibu maswali then akaniomba niende ikulu. Ivo hizi ni ndoto kwangu zinazojirudiarudia Sasa sifahamu maana yake ni Nini?au inahashiria Nini?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
mipango yako itahakikika inshaallaah yaani utapata mafanikio jitahidi usikate tamaa katika majambo yako so unahusudiwa lakini hautofeli
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Amina, Inshallah m/mungu azidi kuniwekea wepesi na kutimiza ndoto zangu katika maisha yangu.
@mamuumuya4348
@mamuumuya4348 Жыл бұрын
Hauko criaz xx mziki wa nn
@joanithaedsoni6987
@joanithaedsoni6987 2 жыл бұрын
Mim nimemuota rais Samia akiwa kweny kundi la watu wengi ila nimepenyeza katikat ya watu nimeenda nikakumbatiana nae Kwa furaha kubwa sana tukacheka than tukaanza kuzunguka kweny majumba ya watu wengne ndoto yngu imeishia apo tafathar nisaidie
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
hapo inshaallaah mambo yako yatatimia inshaallaah
KUOTA VIONGOZI WA NCHI NA WAFALME.
9:09
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 30 М.
UKIOTA MSIBA USIOUFAHAMU NI DALILI NZURI - MAALIM QASSIM
2:26
Wasafi Media
Рет қаралды 3,2 М.
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 96 МЛН
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 44 М.
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 15 М.
KUOTA NA BABA ALIYE KUFA INA MANISHA NINI?
21:41
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
KUOTA UNA ENDESHA GARI INA MANISHA NINI?
15:30
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 30 М.
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 54 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 509 М.
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН