MTI WA RIZIKI {audio}MARIAMU HAMISI/T.O.T. TARAAB

  Рет қаралды 20,866

Bakari kijazi

Bakari kijazi

Күн бұрын

Пікірлер
@shakiraqassim529
@shakiraqassim529 8 жыл бұрын
Masha Allah kwa roho izo hamfiki popotee mti wa riziki upo kwa mungu
@aishaali4273
@aishaali4273 7 жыл бұрын
huhuuu imenibamba Sanaa maneno kuthuuui Wimbo mtamu mwenye akilI asumbuki wallah waiskia hiyo
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 8 жыл бұрын
Nilikuwa nautafuta sana wimbo huu asa nimefurahi kweli
@aysherkitwana993
@aysherkitwana993 8 жыл бұрын
naupenda sn huu wmbo, mti wa rzk upo kwa mungu...mungu amlaze mahal pema pepon.... ameen
@MarleyBrown-iq9pl
@MarleyBrown-iq9pl 8 жыл бұрын
duuuuu asante sana nilikuwa nautafuta kweli jinsi yakupata sijui asante sana👏👏bakari kijazi
@aishaali4273
@aishaali4273 7 жыл бұрын
pandeni juu mkauKate mti wangu warizki hapo Chachaa jwaaa
@mwanahawasaid4726
@mwanahawasaid4726 8 жыл бұрын
ya allah muepushie adhab za kabri amiiin yarab napenda sn nyimbo zake mashair kuntu
@jamesbaya4191
@jamesbaya4191 8 жыл бұрын
Wimbo babu kubwa. nimeupenda si haba.
@tatoomar7563
@tatoomar7563 7 жыл бұрын
Allah umsamehe dhambi za Sirii na za dhahir mariam
@zainabdaruwesh9353
@zainabdaruwesh9353 7 жыл бұрын
nice, Allah ampunguzie adhabu ya kaburi bi Maryam
@minuubeiby2127
@minuubeiby2127 8 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi Yarrabby
@sophiayahya6889
@sophiayahya6889 8 жыл бұрын
Du namie nlikua nausaka huu wimbo jaman japo hamjaweka video yake ila nimzur sana..m.mungu amuondoshee adhabu zakabur Maryam khamis
4 күн бұрын
@@sophiayahya6889 Kwa bahati mabaya wakati inatoka audio Hii na yeye haikuchukua muda alifariki kwa uzazi kwa iyo video halisi ya huu wimbo haipo
@makalkindy9807
@makalkindy9807 8 жыл бұрын
Bakary Kijaz
@zubedazubeda2041
@zubedazubeda2041 8 жыл бұрын
lmenikumbusha mbali sana!! mungu amuweke pema popeni lnshaallah.
@abdulpondeza7854
@abdulpondeza7854 8 жыл бұрын
kweli mti wa rizik upo kw Munguu
@kidawakindamba2434
@kidawakindamba2434 7 жыл бұрын
Allah araze pema peponi lohoo ya mareheem maliam hamisi
@fatumaally9778
@fatumaally9778 7 жыл бұрын
Kidawa Kindamba amina
@sylivesterokeyo7174
@sylivesterokeyo7174 8 жыл бұрын
napenda sana wimbo huu wa Miriam
@hamisihassani3744
@hamisihassani3744 7 жыл бұрын
kwenye umziki wamwambao tumepoteza mtu muhim sana ila mipingo yamungu
@kibbymsaka8294
@kibbymsaka8294 8 жыл бұрын
Naomba muntafutie wimbo Sijui unaitwaje ila chorus yake inasema hivi Jipeleleze ujiulize usitafute mbaya ujue wewe mwenyewe
@abossto
@abossto 8 жыл бұрын
Bakari kijaz umejipatia pesa nyingi nyimbo za Marehemu kutoka KZbin marehemu Mariam Khamis amewacha watoto wawili an wanahitaji malezi kwahiyo lazima ufahamu pesa hizo inahitajika uwapeleke an sio ombi in lazima
@semenchikawe8467
@semenchikawe8467 7 жыл бұрын
rest in peace mamu naupenda sana huu wimbo
@RykerySixtus
@RykerySixtus 4 күн бұрын
Jaman nataka kudowload kwahyo nafanyaje niupate
4 күн бұрын
@@RykerySixtus tafuta app inaitwa vid mate au kama unaweza kutumia app nyingine inaitwa you tube studio utaweza kupata wimbo huu bila tabu
@prettyajumy4227
@prettyajumy4227 8 жыл бұрын
r.i.p mungu akupenuru huko ulipooo 😥
RIZIKI MWANZO WA CHUKI   KHADIJA YUSSUFU/JAHAZI MODERN TAARAB
15:15
Bakari kijazi
Рет қаралды 95 М.
MTOTO WA GHALI(audio) - OMARI KOPA
16:31
Bakari kijazi
Рет қаралды 706
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Salha Music - Tamu ni ya mume tu
11:40
KIPAJI HALISI
Рет қаралды 4,8 М.
MOSSY SULEIMAN _ SOTE TWASAKA RIZIKI WITH DAR MODERN TAARAB
13:47
Mti wa RIziki uko kwa Mungu - Mariam Khamis
21:44
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 49 М.
Pr. Bullón - Lección 2 - Amor Pactual
21:03
Alejandro Bullon
Рет қаралды 72 М.
MSUMENO / ISSA MATONA /JKT TARAAB
7:10
Bakari kijazi
Рет қаралды 15 М.
Langu Jicho
15:23
Khadija Yusuph - Topic
Рет қаралды 133 М.
UZUSHI WENU - MARIAM KHAMIS
16:33
dolphin tv
Рет қаралды 225 М.